😭😭KIJANA AUWAWA NA NGOMBE KUIBIWA ENGIKARET LONGIDO, TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 70

  • @dannythegreat8017
    @dannythegreat8017 5 месяцев назад +4

    Ooohh pole sana ndgu zetu wa Enkikaret.
    Tuko pamoja, naomba tutume wawakilishi kwenye machinjio mfano Arusha, Kilimanjaro, na sehemu zinginezo ili wezi wasiweze kwenda kuchinja make ninachojua hawawezi kwenda kufuga, hao ni wezi hvyo watapeleka machinjioni tu.
    Lakini kwa maombi mliofanya naamini Mungu atawarejesha hao ng'ombe, tuendelee kuamini kuwa Mungu atatenda.
    Amen

  • @Nkongoni-g2l
    @Nkongoni-g2l 3 месяца назад

    Ich bedauere sehr das sehr Danke!!!😢😢😢😢😢 mein Vollk ich bin sehr traurige 😭😭😭😭¡!!!! Sehr ich wünsche euch nur das Beste PS Nkongni Ole kirrinkai

  • @SamwelKitesho-jt9bz
    @SamwelKitesho-jt9bz 4 месяца назад

    Daaa pole San wamasai wenzang ni jmb la muomba mung atusaidie na kutuopusha na Bali mbl 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 5 месяцев назад +1

    Tumeni watu kwenye minada na machinjio kubwakubwa na muwe makini kwani huo ni wizi mpya kabisa na unweza kuhuzsha watu toka mbali. Poleni maasai lang

  • @MulengaAshell
    @MulengaAshell 5 месяцев назад

    poleni xana ndugu sangu mungu anuliwe daima maompi yenu ata jimbiwa

  • @Saimon-siria-yc2lu2bh6m
    @Saimon-siria-yc2lu2bh6m 5 месяцев назад +1

    Poleni sana ndugu zangu 😭😭😭😭😭😭😭. 🇿🇲🇿🇲

  • @officialrpmbaula
    @officialrpmbaula 5 месяцев назад

    Mmh! Polen ndugu zangu Mungu wetu sote atatupa jibu......

  • @mejalepeta7130
    @mejalepeta7130 5 месяцев назад

    Pole Sana engaji e maa changamkeni machinjoni arusha babati kiteto kilimanjaro upante wa kuingia Kenya

  • @konemelau9068
    @konemelau9068 5 месяцев назад

    Ni jambo la kushangaza sana, poleni sana ndugu

  • @lufutamanhyabuluba7136
    @lufutamanhyabuluba7136 5 месяцев назад

    😢mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ameeen😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @KillahlaizarLaizar
    @KillahlaizarLaizar 5 месяцев назад

    Poleni sana watu wa nchi yangu but hili tendo liangaliwe kwa uchunguzi mkubwa sana maana aiwezekani kama ng'ombe inaitwa tena inauliwa mtu kwangu Kam killah laizar hapo ndani tuu imeibwa hizo mali yetu😢😢😢😢 emakwa enayook igili aichirii irmaasai endolo mekiara Maote miigili iyook eng'oki engaji emaa 😢😢😢😢

  • @MpSimelmollel
    @MpSimelmollel 5 месяцев назад

    Poleni Sana tushirikian pamoja

  • @FredyLibusi
    @FredyLibusi 5 месяцев назад

    Poleni sana ndugu zetu mungu yupo

  • @EliasBoniphas
    @EliasBoniphas 4 месяца назад

    Poleni sana ilagwana lenkai

  • @carolakinasha2106
    @carolakinasha2106 5 месяцев назад

    Poleni sana Engikaret

  • @IsaacParteri
    @IsaacParteri 5 месяцев назад

    Poleni sana Woii Enkiteng Namishaar Enkutuk Naaii Tadamu Iyiok

  • @Yutubecretors-o1x
    @Yutubecretors-o1x 5 месяцев назад

    Kama ndo hivi wezi wa ngombe wanatumia magari kuiba alafu mbaya zaidi wanawaua watoto wadogo machungani.ebwana yesu tusaidie.

  • @IsaacParteri
    @IsaacParteri 5 месяцев назад +2

    Naaai Ntukuru Irmangatii 😢😢

  • @SamwelTindi
    @SamwelTindi 5 месяцев назад

    Poleni sana wamasai mwazangu

  • @BahatiTayarimamasita
    @BahatiTayarimamasita 5 месяцев назад

    Poleni sana ndugu zanguni

  • @James-m7o3z
    @James-m7o3z 4 месяца назад

    Poleni sana imasai lang

  • @lovoisaing2007
    @lovoisaing2007 5 месяцев назад

    Poleni sana ndugu sana

  • @bethkaraine4383
    @bethkaraine4383 5 месяцев назад +1

    Eee Munguuu tuonekaniee😭

  • @PAULOLAKILI
    @PAULOLAKILI 5 месяцев назад

    ❤❤ poleni xna

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 5 месяцев назад

    Tabia ya kuiba Ng'ombe na kumua mtu ni mbaya sana tena sana halipaswi kufungiwa macho mkishindwa kuwapata pasueni chungu tu

  • @BelingtonSaitoh
    @BelingtonSaitoh 5 месяцев назад

    All will be well my good friends in Jesus name

  • @James-m7o3z
    @James-m7o3z 4 месяца назад

    Poleni imasai lang

  • @JosephsarunimollelMollel
    @JosephsarunimollelMollel 5 месяцев назад

    Poleni sana engajiang😢😢😢😢

  • @wilisonwetu
    @wilisonwetu 5 месяцев назад

    poleni xana wenzangu

  • @estherkoipapi8464
    @estherkoipapi8464 5 месяцев назад

    Mungu atasimama juu ya hili tumwamini atatenda muujiza

  • @salaikisota
    @salaikisota 5 месяцев назад

    Ooooooiii pole sana saw 😂😂😂😂😂

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 месяцев назад +1

    Duuuhh,,,Le maasai kanyoo ina

  • @MalakLaizer
    @MalakLaizer 5 месяцев назад

    polen sana enganing' 😭😭

  • @josephlaizar87
    @josephlaizar87 5 месяцев назад +1

    😭😭dahhh

  • @SamwelSenwa
    @SamwelSenwa 5 месяцев назад

    Pole sanaa .

  • @Paulinawilliam-n8f
    @Paulinawilliam-n8f 5 месяцев назад +1

    Uuuuuuuwi, uuuuuuuwi, Engai Engai , tag'orore ilosarge liloshekut migira engaiyaai

  • @OLENAIBALA
    @OLENAIBALA 5 месяцев назад

    Poleni sana wa Kaka wangu

    • @EliaKarani-b9f
      @EliaKarani-b9f 5 месяцев назад

      Polenii mno ndugu zetyu enkikaret

  • @anithasadida
    @anithasadida 5 месяцев назад

    Eeeee MUNGU wangu Poleni san Jmn

  • @Loolera-t7k
    @Loolera-t7k 5 месяцев назад

    Tufanyeni uchunguzi jamani Mungu yupo nasi

  • @yohanakaleku
    @yohanakaleku 5 месяцев назад

    Poleni sana

  • @MusaLakara
    @MusaLakara 5 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @NGOYELEMTOTO
    @NGOYELEMTOTO 4 месяца назад

    Engai taasa em bae pasinaaiii

  • @JohnpurkeiLaizer-kq7he
    @JohnpurkeiLaizer-kq7he 5 месяцев назад

    engayai itukuru,kulo mag,ati otaraa oshokutu engayai

  • @josephsikorei6832
    @josephsikorei6832 5 месяцев назад

    Too sad !Enkai Taretoki iyook

  • @EzekielLaizer-hj3ri
    @EzekielLaizer-hj3ri 5 месяцев назад

    Polen engaji emaaa

  • @LapaniMwarabu
    @LapaniMwarabu 5 месяцев назад

    Polen sana

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar 5 месяцев назад

    Nipo monduli tutashirikiana ndugu zangu

  • @ashleyshoemaker7168
    @ashleyshoemaker7168 5 месяцев назад

    What is this about?

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 5 месяцев назад

    Eñkaiai tabolu kulo mang'ati otara Olchokut nereu iñkishu.
    Meiborie eñk Ai kulo mang'ati .

  • @JafarAbdallah-wv9ob
    @JafarAbdallah-wv9ob 5 месяцев назад

    Poleni oleng kake emidung osiligi aamu etii engai tenebo oondai poleni oleng engikaret

  • @IsayaIyasa
    @IsayaIyasa 5 месяцев назад +1

    😢

  • @johnnkoitoi3600
    @johnnkoitoi3600 4 месяца назад

    Sija wahi sikia mimi

  • @PaulPesi-c8r
    @PaulPesi-c8r 5 месяцев назад

    Goto

  • @MpSimelmollel
    @MpSimelmollel 5 месяцев назад

    Tunaomba ushirikiano wenu wote olosho lang,a lemaa ili tupate wahisi hawo

  • @lenganlemalini3511
    @lenganlemalini3511 5 месяцев назад +1

    😭😭😭

  • @MasaiMolell
    @MasaiMolell 5 месяцев назад

    😂Ng ombe zetu sitapatikana tu kwa jina yamungu

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 5 месяцев назад

      Je kijana wetu aliyeuwawa atapatikana? Yaani waliomua nao wauwawe kabisa hawapaswi kuishi kabisa

  • @BenjaminNchue-zg4ln
    @BenjaminNchue-zg4ln 5 месяцев назад

    Robers stolen the cattles and killed the shepherd and took the 🐄 by using a lorry, # kindly Piga hiyo nambari ya simu ukiwaona

  • @MelamilekokoLengisho
    @MelamilekokoLengisho 5 месяцев назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 5 месяцев назад

    Nani anaiba ng'ombe zenu??? Na wakati hiyo ndo kazi yenu.kumbe mkuki Kwa ngruwe.....

  • @gadiehilwahi2496
    @gadiehilwahi2496 4 месяца назад

    Tadanya mootii

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 5 месяцев назад

    😡

  • @MpSimelmollel
    @MpSimelmollel 5 месяцев назад

    Poleni Sana tushirikian pamoja

  • @LorisujmLeleruk
    @LorisujmLeleruk 5 месяцев назад

    Poleni sana

  • @ThomasleimbaMaitei
    @ThomasleimbaMaitei 5 месяцев назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @MishoniMishoni-l1g
    @MishoniMishoni-l1g 5 месяцев назад

    😢

  • @MpSimelmollel
    @MpSimelmollel 5 месяцев назад

    Poleni Sana tushirikian pamoja

  • @MpSimelmollel
    @MpSimelmollel 5 месяцев назад

    Poleni Sana tushirikian pamoja