Salim Ally - Adam na Hawa (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 72

  • @salhiaadam5205
    @salhiaadam5205 Год назад +2

    Allah akubaarik Salim Ally....🥰🥰🥰💖💖💖💖💖💖 Allah akupe mke mwema na huyo Hawa ameelekea kuwa mke wako.💝💝💝💝🧡🧡🧡🧡💕💕💕💕💕 Hadi anatutia wivu hahahaha but nasheed ni nzuri bint amependeza sana maasha Allah mandhari ya video pia ni nzuri 🥰🥰🥰🥰

  • @sharifathamid8205
    @sharifathamid8205 Год назад +1

    Masha Allah video ni nzuri sana na sauti yako Salim Ally ni tamu sana. Bint Hawa nae amependeza maashallah kweli huyu ni binti wa kiislamu 🥰🥰🥰🥰💟💟💯💯💯💯💯💯💯

  • @mohamedabdullahi1620
    @mohamedabdullahi1620 Год назад

    M.a kijana mwenye sauti ❤nzuri
    Na mwenye kuhifadhi mkewe wke m.a

  • @shabikiwasalimally1637
    @shabikiwasalimally1637 Год назад +1

    Mhhhhh Maasha Allah sasa nasheed imepata muonekano mzuri. Asante Salim Ally kwa kutuletea video. Yaani nilitamani nikuambie tunataka video asante kumbe Salim Ally unajua kazi nzur thank you kwa vide💖💖💖💖💖

  • @maalimzhen9981
    @maalimzhen9981 12 дней назад

    Nimerud ku comment...hii kazi hatari salim ally maşallah ❤🎉

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  9 дней назад

      Asante Mkuu Allah akubaarik

  • @officialashasimai
    @officialashasimai Год назад +1

    Mashallah beautiful nasheed,hongera ka salim

  • @asmasalum922
    @asmasalum922 Год назад +1

    Takbiiiiiiiiiiiir, Allah Akbar 💯💯👌 Mashaallah Masha Allah Masha Allah Masha Allah Masha Allah, Hongera sanaa zaidi ya sanaa Salim ally 👌💯 Kwa kuonesha Upendo mkubwa kwa Wanandoa, Hakika hii nasheed huwaonesha watu njia sahihi ya kudumu katika Ndoa 😍. Allah sw Akudumishe katika kipaji chako na akuondoleee Husda na mabaya ya Aina yoyote na akueke maisha marefu yenye kheer na barka na nour ndani yake na akupe Mke Mwema Ambae Atakaemridhia Allah sw. Aaaaamiin aaaaamiin yaa Rabbi inshaallah kheer 👌💯💯

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Год назад +1

      Aaaaamin yaa Rabbi asante sana kwa dua zako na wew Allah akupe mara elfu ya ulioniombea mimi

    • @asmasalum922
      @asmasalum922 Год назад +1

      Aaaaaamin Yarabb takabal dua yarabb kwasote inshallah kheer, shukran🥰 👌💯

  • @Deligent4647
    @Deligent4647 Год назад +1

    Ma shaaa Allah nasheeed nzur n msomaj saut ma shaaa Allah ,Allah akuzidishie kheir tup pamoj 😘♥️♥️💯

  • @azizasaid7400
    @azizasaid7400 Год назад +1

    ❤❤ma shaa allah...naipenda sana hii nasheed

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Год назад +1

      Maasha Allah kama umeipenda watumie na wengine

  • @maryamalli825
    @maryamalli825 Год назад +1

    Maashaallh nasheed nzur Allah akujaalie umpate Hawa wako wa kweli @salim ally 💝🤗❤

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Год назад +1

      Aaaaamin amin Asante kwa sote

    • @asmasalum922
      @asmasalum922 Год назад +1

      Aaaaaamin aaaaamiin yaa Rabbi inshaallah kheer 💯👌

  • @SumaiyaKassim19-tc1hy
    @SumaiyaKassim19-tc1hy 11 месяцев назад

    Mashaallah kazi nzr❤Allah akulinde na hadad

  • @AbdallahSaid-fk2mv
    @AbdallahSaid-fk2mv Год назад

    Brother wow very nice good job ♥️♥️👌👌💕

  • @BrotherMasoud
    @BrotherMasoud Год назад +2

    Hii ndio nasheed yangu pendwa kwako Brother, Mashaa Allah ❤💯

  • @abuuhafswamunsheedu5790
    @abuuhafswamunsheedu5790 Год назад +1

    Eeeh bwana weeeh 😊
    Maa Shaa Allah

  • @nasrashaban1691
    @nasrashaban1691 Год назад +2

    Maa shaa Allah ❤😊

  • @Abuuhaniifah6
    @Abuuhaniifah6 Год назад +2

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته ، عمل جيد جدا أخي جزاكم الله المزيد من الخير والحلوة ، أنا شخصيا أحبك كثيرا❤❤❤❤❤

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Год назад +2

      Comments zenu watu wakubwa kama nyinyi ni barka. Asante sana Sheikh Abukhanifah ibn Thabit

  • @maallimissa1759
    @maallimissa1759 Год назад +2

    Nipo hapa naisubiri inshallah

    • @BMSChasasa
      @BMSChasasa Год назад

      ❤❤ mashallh mashaallh mashallh mashaallh mashallh mashaallh mashallh mashaallh mashallh mashaallh mashallh Salim ally hongera yko allh akujalie umpate hawa wako ilikuwa naisubiria kwa hamu zote hii nasheed ❤❤❤❤

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 Год назад

    Mashallah kazi nzuri Sanaa hii

  • @AbisinaMaryamu
    @AbisinaMaryamu Год назад

    Masha Allah nasheed nzur San hiv Haina group ety

  • @jawahirothman1610
    @jawahirothman1610 Год назад +1

    Maa shaa Allah

  • @mamusuleiman7028
    @mamusuleiman7028 Год назад +1

    Mashaallah Nasheed salim😘😍

  • @AsyaBakari
    @AsyaBakari Год назад +1

    Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mamzain2021
    @mamzain2021 Год назад +1

    Mashallah👌 kaka io location nimependa🥰🥰🥰 naomba tuongee private iioo💖💖💖

  • @Kadzo231
    @Kadzo231 Год назад

    ❤mashallah

  • @BarakahSalum
    @BarakahSalum Год назад +1

    Tunaisubir kwahamu zote in shaa Allah

    • @mamzain2021
      @mamzain2021 Год назад

      Ck nyengine baraka niachie bwana niwe mie wa mwanzo🙄🙄🙄kila ck ww tu😔😔😔😔😔😔

    • @BarakahSalum
      @BarakahSalum Год назад +1

      😂😂😂😂 basi nasheed ijayo ntakuachia lkn uwe unajikaza😂

    • @mamzain2021
      @mamzain2021 Год назад +1

      Achana na kujikaza na nipambane na ww😠😠😠🥶🥶🥶🥶🥶

  • @rukayyamasoud6564
    @rukayyamasoud6564 Год назад +1

    Maashaallah❤❤

  • @rahmaothman8693
    @rahmaothman8693 Год назад

    Mashallah tabarakallah fiy💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @qaisomarmunshid8934
    @qaisomarmunshid8934 Год назад +1

    MashaAllah 🎉❤

  • @AminaHalid-q9z
    @AminaHalid-q9z Год назад

    MashaAllah❤😊

  • @hafsaalbaalawiy7982
    @hafsaalbaalawiy7982 Год назад +1

    Woooow mashallah wonderful 🤍🔐❤️♥️❤️♥️u made it 💕❤️💞 Allah akubarik n akuhifadhii alinde kipaji chko🤲🤲💕❤️💞❤️❤️❤️💞💞❤️❤️💞❤️ yooooteee yko ayoooo🤗🤗🤗😋

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Год назад +1

      Hahahaha Asante aaamin aaamin

    • @asmasalum922
      @asmasalum922 Год назад +1

      Aaaaaamin aaaaamiin yaa Rabbi inshaallah kheer 💯👌

  • @AsyaBakari
    @AsyaBakari Год назад +1

    Mashalla❤

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 Год назад +1

    MashaAllah

  • @hamisisaid9677
    @hamisisaid9677 Год назад

    Mashallah salim Ally 💕💕💕

    • @hawamstapha6281
      @hawamstapha6281 Год назад

      Napenda nasheed zako MashaAllah Allah akupe umri mrefu

  • @suriamaalim6887
    @suriamaalim6887 Год назад +1

    Mashallah

  • @ibrahimammar7800
    @ibrahimammar7800 Год назад

    Mashallah habbeeb

  • @salumjumasaid1266
    @salumjumasaid1266 Год назад +1

    Mashallah kazi made

  • @bilalkhamis_
    @bilalkhamis_ Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @humuodalhadharmy5149
    @humuodalhadharmy5149 Год назад

    Masha Allah

  • @drmwitagogwani3636
    @drmwitagogwani3636 Год назад

    Mashallah mashallah🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @BMSChasasa
    @BMSChasasa 2 месяца назад

    Adam na Hawa katk ubora wake

  • @raghadiddarous7103
    @raghadiddarous7103 Год назад +2

    🧕

  • @HasnuuAbdallah-zh4yv
    @HasnuuAbdallah-zh4yv Год назад

    Imeelekea utoe na raghad

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor7396 Год назад +2

    Haipendezi katika dini yetu mwanamke kuwa hadharani kama ivo isitoshe kajipamba tena kwenye mitandao muhushidina kuweni makini

    • @salhiaadam5205
      @salhiaadam5205 Год назад +1

      Wale wanaoshindanishwa Qurani kwani si pia wapo hadharani? Hata hivyo huyo bint anaonaonekana kuwa hahajipamba usimsingizie munsheed wetu hii amejitahid mashallah sijajua ulitaka iwe vipi tu hahahaha

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 Год назад

      ​@@salhiaadam5205 Mashindano ya Quraan hayaleti ushawish ya mapenzi ya jinsia mbili. Unapoisikiliza ni ponyo ya roho (soul) ila hapa kwenye qasida (nyimbo za dini) pana mbegu mbili zinaonekana kwa maoni yangu sisi watazamaji baadhi yetu inaweza kutupeleka sipo. Allah atupe khatima njema. A'miin.

    • @salhiaadam5205
      @salhiaadam5205 Год назад

      @@salimharrasy7047 Hapana, mtu akiwa na matamanio ya sexy huo ni moyo wake tu. Hata hivyo bint amevaa mavazi ya heshima. Kama huyu anashawishi sexy wale wanaoimba nyimbo wao wanafanya nini. Tatizo waislamu tunabezana sana ndio maana hawa munshedin wanakata tamaa hatutaki kuwasapoti. Naamini ingekuwa nyimbo hii mungeandika comment za kusifu.

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 Год назад

      ​@@salhiaadam5205 Wanaume tumepambiwa kupenda matamanio ya wanawake. (Refrance Quraan tukufu).
      Hapa muoneko wa jinsia mbili ni rahisi shetani kufanya kazi yake. Usiwe mwenye
      Blind aquiment kutokana na hisia zako.
      Mtoto wa Kiislam kaa mbali sana na fikra kuwa kinachofanyika hapa ni sawa.
      Hata mkewe mtu atahadhari na kumsifia mbele ya jahra ya watu. Kuna alots of negative (husda,kijicho,fitna nk).
      Chukuwa wewe nafasi ya huyo binti. Awe mumeo anaimba nasheed na mumeo, Vipi hujaipata ladha bado? Dini hii ipo straight haitaki vioja. Tahadhari na ukaidi wako.
      Ukikaa na mtu ambe hujamuowa wa tatu yenu shetani. Haidhuru hapo kuna watazamaji ila inahisabika bado forbidden two unmarried sex ogans to be
      Close. Ikiwa hujui kitu bora unyamaze ya mwana wa kiislam. Hamna hoja katika hili.

    • @nasrashaban1691
      @nasrashaban1691 Год назад

      ​@@salhiaadam5205 Maa shaa Allah
      Hehi nicheke😂😂😂 dini mnaifanya iwe ngumu wenyewe😂 siti neno mimi nasoma tu comments zawatu 😅salhia uko sahihi kabisa 😊

  • @mohamedabdullahi1620
    @mohamedabdullahi1620 Год назад

    ❤❤❤

  • @TimaMshamu-gk2tc
    @TimaMshamu-gk2tc Год назад

    M.a

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Год назад +2

    Wa jina wangu! Act hii vipi ipo sahihi?

    • @salhiaadam5205
      @salhiaadam5205 Год назад +1

      Ipo sahihi madhali Hawa amejistiri. Kuigiza ndani ya dini sio haramu

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 Год назад

      Personal opinion inaleta kishawishi cha sex intercose. Allah atustiri na kuteleza.

  • @HasnuuAbdallah-zh4yv
    @HasnuuAbdallah-zh4yv Год назад +2

    Raghad au

  • @HassanJumbe-t5n
    @HassanJumbe-t5n Год назад

    Tafuta hawa wako wa kwel umri unaeenda huo