PAULO SIRIA - OLE WENU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 436

  • @najatalnoamani8172
    @najatalnoamani8172 4 года назад +85

    kama unamkubali PAULO SIRIA like twende sawa

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 4 года назад +8

    Mm sio masayi ila nasiklizaga nyimbo za huyu kaka coz zinaujumbe like zenu ambao tuko pamoja 💜💜🙏

  • @shayowilbert-ug3ti
    @shayowilbert-ug3ti Год назад +3

    Mungu akuongezee kipaji hakika mm nyimbo zako zote huwa nazielewa sana

  • @judithmunisi9328
    @judithmunisi9328 3 года назад +3

    Kaka ongera unaimba vizuri sana nyimbo zako zinanibariki. mungu akuweke miaka mingi sana ukimtumikiya

  • @Its_kidbwoy
    @Its_kidbwoy Год назад +3

    Mmeni furahisha kabisa mbarikiwe

  • @stevenrobert1998
    @stevenrobert1998 4 года назад +3

    Nimebarikiwa sana na maneno ya muimbaji Paulo mungu akuzidishie zaidi baraka.

  • @simplekish223
    @simplekish223 4 года назад +32

    Kama unaamini Paulo siria ameimba wimbo wa kubariki ponyeza like

    • @martherlelei4501
      @martherlelei4501 Год назад

      Blessing song

    • @adilimogha9834
      @adilimogha9834 Год назад

      ​@@martherlelei4501ppppppppllooooìììììi😅😅😅😅😊il😅😅😮😮😮😮😢😮##$$$$$

  • @naomykoech3255
    @naomykoech3255 2 года назад +2

    Am here from Tiktok, what a nice song may God bless you

  • @funwithnaomishihafugospel5211
    @funwithnaomishihafugospel5211 4 года назад +4

    I love his songs.Will invite you to minister in our church April 2021

  • @sheninakanyoro7481
    @sheninakanyoro7481 4 года назад +14

    Wow the first Masai song on RUclips to get 1million views💪💪💪💪

  • @dianafelix9707
    @dianafelix9707 4 года назад +3

    Nabarikiwa sana mngu akuinue zaid na zaidi

  • @lelegweltumbesi2644
    @lelegweltumbesi2644 4 года назад +9

    Northern Kenya is onboard, Kimayian Enkai Ang! Be blessed brother.

  • @stephenmutisya4555
    @stephenmutisya4555 2 года назад +2

    Keep it up bro, sky is not the limit go beyond the sky

  • @nascomsururu1267
    @nascomsururu1267 3 года назад +3

    Ur songs are always superb🔥kazi nzuri

  • @johnazigadi4628
    @johnazigadi4628 4 года назад +3

    Very nice for your good song may the Almighty God bless you

  • @هنودهاليامي
    @هنودهاليامي 4 года назад +7

    Almost 2021 still repeating the same song since was out u are really blessed man watching AL the way in Yemen I am aby

  • @psalmkaris741
    @psalmkaris741 4 года назад +2

    Wimbo mzuri sana na wenye mafunzo umebarikiwa sirisia

  • @ellyminja8681
    @ellyminja8681 2 года назад +2

    nyimbo zenu zinanibariki sana mungu awabariki sana

  • @linettoto6988
    @linettoto6988 Год назад +3

    In love with the song,,❤️❤️ infact all your songs

  • @Ellenplaysroblox
    @Ellenplaysroblox 7 месяцев назад

    Kiukweli mungu akubarik sana brother nyimbo zako ziko na utukufu Sana Huwa Nabarikiwa sana Hatakama sijui kimasai lakn nabarikiwa sasa❤❤❤❤❤

  • @pascalmaripei7403
    @pascalmaripei7403 4 года назад +6

    Paulo siria may God bless you and your family.Your songs really are piercing into our hearts.Soon we shall meet God willing.I'm from Kenya and I'm a maasai from Kilgoris. Mekitamayiana Enkai eshumata,taata o intarasi esai.

  • @elishamasambuli7859
    @elishamasambuli7859 5 лет назад +3

    MUNGU awainue katika uimbaji wenu,na awape mafunuo zaidi ya hapo,katika jina la YESU,na tuungane pamoja kuitangaza injili ya kwetu,na watu wajue kuwa MUNGU yuko.....

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 5 лет назад

      😂😂😂💖💖❤👌👏 Keep up injili isonge mbeleee 🙏🙏🙏

  • @janetkaonga2527
    @janetkaonga2527 4 года назад +4

    I love this song very much God bless u naskiza nikiwa Baringo county

  • @danielmwalia5390
    @danielmwalia5390 2 года назад +3

    Wimbo mzuri, mungu akubariki

  • @JecintaAkiru-bm4zs
    @JecintaAkiru-bm4zs 6 месяцев назад

    Penda wew siria ❤❤endelea na huo moyo na mwenyezi mungu aweze kukulinda🙏🙏

  • @simplekish223
    @simplekish223 4 года назад +3

    Be blessed olalashe,,,the first song for a maasai with 1m views 🙏🙏💪💪💪

  • @prophetjacksonibrahim7075
    @prophetjacksonibrahim7075 5 лет назад +9

    Mungu akuinue zaidi ila usiachie ulichonacho. Unaupendeza Moyo wangu. Kimayani oleng'

  • @Ellenplaysroblox
    @Ellenplaysroblox 7 месяцев назад

    Nyimbo zako ziko na utukufu Sana brother mungu akuzidishiye sana

  • @emmanuelmsuya8578
    @emmanuelmsuya8578 2 года назад

    Paulo hongera Sana mungu aibariki kazi ya mikono yako ashenale

  • @makalasaigoni2275
    @makalasaigoni2275 5 лет назад +7

    mbarikiwe nyote kwa pamoja. haleluya🙏🙏📖🙏🙏

  • @horticulturefarmers9211
    @horticulturefarmers9211 2 года назад +1

    May our Able good meet desires of your heart I love your songs

  • @iboibo7939
    @iboibo7939 4 года назад

    Nimebarikiwa kabsaa barikiweni watumishiwa mungu, na mipaka yenu ipanuliwe

  • @raymondwanyoikendungu9543
    @raymondwanyoikendungu9543 2 года назад

    Voice Kali,words noma...mnaopotexa wana wa mungu siku yenyu yaja

  • @georgelekuraa5190
    @georgelekuraa5190 5 лет назад +3

    Blessings song may God grant you more n more effort brother.

  • @danielmollel5604
    @danielmollel5604 5 лет назад +2

    Nimeipenda sana japo kaini alimwaga damu ya abeli Mungu tu atupiganie na hatusamehe kwa Damu ya Yesu tuepukane ile kikombe

  • @mercynanjala1385
    @mercynanjala1385 2 года назад +3

    May god bless you bro🙏🙏💞

  • @josphinenduta7050
    @josphinenduta7050 5 лет назад +1

    Naomba mungu akupe mafuta mapya kila siku. You're a blessing to the entire community. God bless you

    • @neemaemas396
      @neemaemas396 5 лет назад

      Mungu akuongoze kakaangu ktk hizi xku za mwisho

    • @neemaemas396
      @neemaemas396 5 лет назад

      Wasijekusema hawakusikia wala kuambiwa damu I we juu yao wasioenda katika shauli LA haki

  • @NuruBeth-hu1ym
    @NuruBeth-hu1ym 5 месяцев назад

    Mungu azid kukubarik kak sio masai ila nyimbimbo zako ❤❤❤

  • @aliaaliamint8545
    @aliaaliamint8545 Год назад

    Amen Amen Mungu awazidishie na kuwatia nguvu kwa ajili kz ya Mungu tunabarikiwa sana na hizi nyimbo

  • @benrdmutua4631
    @benrdmutua4631 Год назад +1

    Congratulations my brother 🙌 for this song 🎵 GOD BLESS

  • @RachelRichard-z7d
    @RachelRichard-z7d 3 месяца назад

    Mungu akulind nakuongezee nguvu❤

  • @jasinthaerasto966
    @jasinthaerasto966 4 года назад

    paulo leo umeifanya asbh yangu iwe nzuriii sanaaa Mungu akubariki sana sana pamoja na familia yako

  • @odethaezekia2624
    @odethaezekia2624 2 года назад

    Hongera sana kwa kazi nzr mungu awainue zaidiiiiiiiiiiiii

  • @sikurafaely7013
    @sikurafaely7013 2 года назад

    Nabarikiwa na wewee Paul siria mungu akubarik muda wor

  • @graceshirima601
    @graceshirima601 5 лет назад +8

    Mko vizuri ktk kuimba wamasai mko vizuri mungu azidi kuwainua sana

  • @janekhaemba1455
    @janekhaemba1455 4 года назад +3

    Paul be blessed as ú continue sininho for The Lord

  • @juliusmwinzi6157
    @juliusmwinzi6157 4 года назад +2

    Keep it up bro i admire how you puts those words in masaai way 🤝🤝🤝

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 лет назад +12

    Masai hajawahi kukosea hakika jamaa ni fundi mimi ni muisilamu lakini nyimbo zake nazikubali zinaeleweka

  • @stephenmuimi6294
    @stephenmuimi6294 2 года назад +2

    May God bless you ....sweet songs

  • @tumainpeter3805
    @tumainpeter3805 4 года назад

    Wimbo mzuri na video nzuri barikiwa sana mtumishi Paulo

  • @bentashapel9824
    @bentashapel9824 5 лет назад +11

    Nyimbo nzuri, God bless you .

  • @renoipashiet3925
    @renoipashiet3925 4 года назад +6

    Gifted brother keep rekindling the spirit,meisisi Olaitorian

  • @magrethmpaki7216
    @magrethmpaki7216 5 лет назад +2

    Kazi yako sio bure ktk Kristo Mungu akuinue viwango vingine

  • @sophiaamimo587
    @sophiaamimo587 5 лет назад

    Ole wao AMEN brother again u ar annointed waaa ...yani hapa sikujua ...still kuna watu kama wewe kwa injili ya sasa barikiwa ...mafarisayo...mafarisayo wamepoteza wengi 😭😭😭😭

  • @marykalekye9115
    @marykalekye9115 2 года назад +3

    Very good songs Paul.. be blessed

  • @elizabethmutuku2473
    @elizabethmutuku2473 2 года назад

    Paul siria sure your songs have live massage God bless you

  • @petrosbicknoss6640
    @petrosbicknoss6640 2 года назад +3

    Very good music and able to transform a person

  • @kerambojomu5676
    @kerambojomu5676 5 лет назад +1

    Waaaooo nmeupenda huu wimbo umenibariki sana mbarikiwa watumishi

  • @evelynnekesa9341
    @evelynnekesa9341 5 лет назад +5

    Good wafrica kamili ,sio kufaa na dance kama wazimu na huku mnasema gospel gospel gispeloooo

  • @justinamkambuya5515
    @justinamkambuya5515 5 лет назад +3

    Nirehemu mungu wangu.. Mimi ni mtenda dhambi.. Kutoka taveta kenya

    • @joseph_misa
      @joseph_misa 5 лет назад +1

      Justina Mkambuya nice,

    • @joseph_misa
      @joseph_misa 5 лет назад

      Justina Mkambuya tvt mitaa ipi

  • @Joy-r1m7c
    @Joy-r1m7c 8 месяцев назад

    Very powerful message.. love it may God bless us🤲🤲

  • @johnmwirigi575
    @johnmwirigi575 3 года назад

    Conglats bro I love your music am from Kenya.

  • @jacobsayialel3259
    @jacobsayialel3259 5 лет назад +5

    Blessings song God give you more effort and faith in your singing ashe oleng Paul siria

  • @rebecasamwel6185
    @rebecasamwel6185 4 года назад +2

    Be blessed brother for message ilove the maasai tribe somuch

  • @lydiahjoshuah5264
    @lydiahjoshuah5264 5 лет назад +4

    Mungu akubariki sana sikujua kama wamasai wanaimba kumbe binadamu ni the same

  • @serahkangi3868
    @serahkangi3868 2 года назад

    Nyimbo zako ni nzuri sana Mungu azidi kukuinua

  • @mcjosemsafi2546
    @mcjosemsafi2546 4 года назад +1

    Napenda hii song saana nasikilisa nikiwa kenya

  • @boenaurori8135
    @boenaurori8135 5 лет назад +3

    Song of the year! Each time I repay this song, May God bless you and the your choir

  • @dismasmodesti1463
    @dismasmodesti1463 5 лет назад

    Nyimbo nzri sana,mungu akubariki kaka katika kazi yako ya kuijilishaaa

  • @dennismwanza3179
    @dennismwanza3179 4 года назад +1

    Wow....a nice song with a big message to false prophets.... Be blessed broo......

  • @hopefamilytv
    @hopefamilytv 3 года назад +1

    i listen this song 5times in days or more, this song is very interesting in many hearts

  • @kelvinndele7041
    @kelvinndele7041 Год назад

    much love to this guy.........your songs are such a bleesing............🤩🤩🤩🤩🤩🤩

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 2 года назад +2

    Very beautiful ❤️ songs from the Star ✨ @paulo

  • @babukasiaka2833
    @babukasiaka2833 5 лет назад +6

    Ole wenu kweli Amina eshe oleng Olaisiayani LENGAI

  • @sandrakandaru3650
    @sandrakandaru3650 5 лет назад +7

    God bless you brother,,,I love this song big up😍😍

  • @seulesanare8924
    @seulesanare8924 5 лет назад

    hongera sana ndugu yangu nimeipenda sana nyimbo mungu akupeleke mbali na tusiache kumlilia mungu

  • @edwinlesdai2624
    @edwinlesdai2624 5 лет назад +3

    Paulo thanks i bless the talent from God keep it burning

  • @collokim8117
    @collokim8117 3 года назад +1

    2021 and I'm listening to it like everyday. May God bless you

  • @johnmwirigi575
    @johnmwirigi575 3 года назад

    I came to know you through one of TV here in Kenya

  • @eliahmhanzi6357
    @eliahmhanzi6357 5 лет назад

    Kwa ukweli huu MUNGU awabariki sana, enyi wachunganyi mnaoharibu kondoo wa GOD acheni mara moja

  • @peterernest719
    @peterernest719 5 лет назад

    daah imenibariki sana ubarikiwe sana mtumishi mungu akutangulie ktk huduma hii

  • @lebereelekako4988
    @lebereelekako4988 5 лет назад

    Paulo itirisha namka olala helai mungu hakubariki

  • @judithanabwani3669
    @judithanabwani3669 Год назад

    Hiyo ni neema Paul ,keep it up

  • @issackwaikama4299
    @issackwaikama4299 2 года назад

    Mtumishi nkubari kwa nyimbo zake 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 5 лет назад +1

    Oh what a nice song, God bless you and lift you higher

  • @olaislongidu7761
    @olaislongidu7761 4 года назад +1

    Aim love this song MUNGU mbinguni akubariki by olais longidu

  • @makeresiapawa7947
    @makeresiapawa7947 4 года назад +1

    God blesed you for ever young boy from maasaland!

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 лет назад +1

    Hongera sana masai, mkurya hapa nawapata sana. Kazi nzuri sana.

  • @olivierkabkalemuhya705
    @olivierkabkalemuhya705 4 года назад

    Mimi ni mu congomani mungu akushaganze muibaji

  • @robertgaitho3998
    @robertgaitho3998 3 года назад

    nyimbo mzuli sana za kumsifu Mungu, balikiwa

  • @meckzephania4479
    @meckzephania4479 5 лет назад

    Safiii Masai iko powa san ole wao wanaowapoteza kondoo wa mungu

  • @Mercykilonzo-u3m
    @Mercykilonzo-u3m Год назад

    Am kamba buh nyimbo za huyo jamaa unibariki akh

  • @gotfridbitanda9480
    @gotfridbitanda9480 3 года назад +3

    A wonderful song God bless you my brother in Christ

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 года назад +3

    What a Splendid song!!!
    God bless you:

  • @annmcutemwenyewe1449
    @annmcutemwenyewe1449 Год назад

    Nice talented for good song be blessed broo❤❤❤

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 4 года назад

    Am really blessed jioni ya leo God thank you
    Ole wenu mafarisayo

  • @zighemargaret
    @zighemargaret 4 года назад

    Wow be blessed bro nimefarijika

  • @raisaafrica0255
    @raisaafrica0255 5 лет назад

    Amen kaka kazii nzur munguuu akuinuwee uzid kumutumikia amen amen am from burundi

  • @johnambrose7223
    @johnambrose7223 5 лет назад +1

    Safi sana masai kiukweli kila siku huwa unakula sana mb zangu

  • @ndayimuhozacharles8167
    @ndayimuhozacharles8167 4 года назад

    What a good message
    Watu wengi wanazipoteza kondoo wamungu