Wallah Mimi Ostadh hafidhi nakupenda hadi imefika Maharishi nikapata namba yake nikatamani nimpigiee tu nimpe hongera kwa kazi zake zote wallah nawapenda sana kwaajili ya Allah na nawaombea umrii mrefu sana inshallah
Uislamu haujakataza kushereheka katika harusi ila hiyo namna ya kushereheka ndo penye shida, tujitahidini sana tusichanganyike jinsia mbili kwa sehemu moja kufanya hivyo ni HARAMU.
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Uislamu ni amani na furaha bn 😁 waleee wenye kutaka kufanya uislamu uonekane mbaya washindwe kabisa nani kakwambia kua uislamu ni kununa tu eti hakuna kucheka cheka qaswida tamu sana hii 😀😀huko mlipo mtaumwa Sana acheni watu tufurahi bn 😁
hem tujuane ambao tunaingalia mpaka leeo hii qasida
tuko apa
Mojawapo mm naipend mpak leo
Kama mimi huwa sichoki kuangalia ni nzuri mno
Tupo sote hata sichoki
Mimi jamani
this is the best ever
Ongera
2024
Wallah Mimi Ostadh hafidhi nakupenda hadi imefika Maharishi nikapata namba yake nikatamani nimpigiee tu nimpe hongera kwa kazi zake zote wallah nawapenda sana kwaajili ya Allah na nawaombea umrii mrefu sana inshallah
Insh allah awape kila kheri frm Kenya
Ñimependa Sana Mashalla
Upo wapi mwenzangu?
Huyu hapa mafaghari wawili wakiwastejini Hongera sn Ust mwenzngu Hafidh wenu Asmu Omar njoo inbox anaetaka Kaswida 0735-767676
Naomba na mm niunge kwenye group hilo number 0693758105
Ndani ya Oman🏯 ila kiukweli Zanzibar tamu love you💞💯
Uislamu haujakataza kushereheka katika harusi ila hiyo namna ya kushereheka ndo penye shida, tujitahidini sana tusichanganyike jinsia mbili kwa sehemu moja kufanya hivyo ni HARAMU.
Kweli haswaa
Sawa lakini furaha iwep ila ww unaonekana kama suni
Waletunoangalia bada ya Corona kuanda kilakona tujuane
Yaarrab naomba unijaalie ndoa yenye kheri na mm nataman kuolewa nije niite madrasa hii
ishaallah allah akupe kpnz chema
Hiyo ndio nini wanaume wazima kukataa mabuno
Sheikh Hafidh na AHLUL MADINA kwa ujuml ALLAAH awape umri mrefu
Kaka mwenye tishet nyekundu anasaut nzur sana na anafuraha sana hili kundi kiujumla nalipenda maisha marefu kwao
Mashala
Ni mm huyo nikupe Namba zangu 😂😂😂😂
Remix uyo so mwenyewe
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Vitu adimu vinapatikana ZANZIBAR TU
Yan me ndo qaswida pendwa
Hongereni nyote wanakadria kwa vipaji mola alowajalia naushirikiano muzuri munaoshirikiana nawapenda ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
tupo vizuri sana aqaz hongera kwenu mungu awadhidishiee katika kazi yenuu
mashaallah jaman niungen Kwa group Len plz nawapenda sana
Maashaallah hii kaswida haichuji
Wapi Asmu lepa km nakuona in shaa Allah tar hyo khery na baraka zote kwako nawe zamu yko imefika y kusomewa
Tupo wengi jomn kill nikitizMa hi qasweed namc numbness jomn dah😢
Me huwa hainichoshi cku zote naiona kama mpya
Kuna wakati natamani umri ujirejee .
Jamaa wanaupiga mwingi
Sichoki.kuiangaria❤
Remix tu uyo mwenye flana nyekundu
nawapend sana Aqaz mko vzur mashaaAllah, we proud ov our Zanzibar big u to uh brooz!!
mukosawa
Mbona hazitak kudanload
Miaka 2 ni michache kwa utam wa kaswaida
Mziki mtooo
Hii
Kila cku mwisho sahv
Ayubu wewe atali 😂
Nawapendaje ahlal madina mnatisha
Yani hii qaswida Ni Mashallah mashallah mashallah 😘😘
Mashaallah mashaallah
Jifunze quran kusoma na kuandika gusa picha yangu hapo
Ostadh hafidh nakukubali sana Mashaallah Ahlul madina naombeni iyo Qawsida whtssp namba 0653359279
Bado tunaingalia sana tuu
Sichoki.kuiangalia
Hayo mahadhi sasa
Mashallah nawapend Kwa ajir ya Allah😍
Ma shaa Allah😘😘
HAMISi. BAHATi
taratibu ni kueka oda na kulipia harama BC ikifika siku yko ishallah watakuja.kwa maaelezo zaid nipigie 0773950250
MADRASA SHOP TV ONLINE
Naomba mnitumie qaswida
0656731027
MADRASA SHOP TV ONLINE mashallah
In shaAllah,,,,vep hata mikoani mnafika?
Je Kenya wanafika
Jibuni plz
sheikh khafidh upo vzry na mm natka nkipta mume inshaallah
Kama huchoki kuizikiza hii qaswaida gonga like 👇Hafidh on top..from Qatar🇶🇦
9:36 ALLAH akupe. Mema
me nimo naipenda sana🎉
mashaallah Mungu awawekè nawakubalisana jenikiwahitaji nawapataje
hongera
Jamani watu ashennn
Kaswida nzuri LAkini mbona Hao vijana wengine wache a kihunihuni
Mashallah ♥️♥️♥️🥰
Hhhh
mashaallah Allah azidi kuwapa afya njema umri mrefu pamoja namwisho naombeni kama inawezekana wsp
Amyn kwa sote 🙈🙈🙈
ahsanteni wote na musiache kutembelea Chanel hii wapendwa
Mashaa Allah nawapenda hatar Allah akupe kher ustadh Hafidhi Allah akuzidishie kher zako 😚😍
pamoja sana
Safi saaana
asie pata nusra aje aninusuru
Rahma suleyman
Tupo apo
Uislam raha sana wallah najivunia kuwa muislam
@Mwajuma Kilobwa kweli dada yakeee!! yaan burdaaa
Uislamu ni amani na furaha bn 😁 waleee wenye kutaka kufanya uislamu uonekane mbaya washindwe kabisa nani kakwambia kua uislamu ni kununa tu eti hakuna kucheka cheka qaswida tamu sana hii 😀😀huko mlipo mtaumwa Sana acheni watu tufurahi bn 😁
Haitham Abdallah haipiti siku bila kuangalia kaswida hii mashaallah
kabisa
Haitham Abdallah
Ustadhi hafidhi ahalul madina hiyo qaswida naikubali nitumieni what Asp number 0682213140
Masha allah hadi nywele za simama asee allah awazidishie kila la kheri
Tupo
Hafidh hunaga mbaya mashaallah
ma shaa Allah ...nimeisubiri sana hii video Allah awazidishie kher
Mashaallah ahlul madin Allah awajze kila l kherii pls naombe hap 0658537112
Kwangu mimi hii ndio kaswida namba 1
Nipo apa nachek
ustdh hongera tunaomba uradi wa juma faky
Wanja
Kazi kwko Fakky mbarouk kumtunza wako mke hongera sn
Mashaallah!!!
Mashaaaalh jomonii nimeipenda sanaaaa dah roo yangu mm
Asalamu aleikum mashaallah naombeni yio kaswaida kalibu ndoani watsp no 0621920532
Mashalh
Wallah kaka hafidhu wanikoshaga sana na kaswida zako mungu akujaalie kheri ktkt maisha yako
BC mwambie akuoe akakukoshe vizuri
Una sauti mashaalwaah
Inshaallah wanaqadiria mungu awajaze rehma
mashaaalllah.sherkh.hafidhiii.uko.juuuu
Hadi raha jamani unatamani usikilize mda wote tu🙏🙏
Mashaalah akaz mpo vizur
Watu woyooooo wazanzibar tuko juu uislamu raha
Kuruan
Masha Allah Allah awatangulie kwa kila lenye kher nanyi
Assalam alaykum naomba niungen kwwnye group yenu
masha allah
Masha Allh mungu akuzidishie umri
Mashallah jamani mpo vzuri kwkwel
Sheh hafidhi nakukubali ile mbaya kaka piga kazi🎉 kaswida zako hazishi hadhi asanteeeee one love
wallah sichokagi kuisikiliza hi kaswida inshaaAllah akinijaalia mme nitawatafta.🙏
Ustadhi naomba hiii kaswida whatsapp plizi namba yangu hiyo 0658469073 naomba
naitwa ABUU Qulthum
Mashallah qaswida nzuli shekhe hafidh nawapenda kwaajili ya mungu
Khadiga Ppi kweli
Nawapenda mno
Naipenda sana
2023❤
Mashallah mashallah tabalakarahman
mashallah
mashallah
sauti nzr hafdh
2023
Karibu ndoani nasema mwenzako
marym yusuph ww achatu hichikitu kimetulia
T
Kuna qaswida mmeimba kwenye cd ya harusi ya ustadh faki wakitoka Holi na mkewe,,,"maisha yalo mema muishi kwa salama",,hii qaswida yaitwaje???
Maashaallah
Me
Mashaaallah nawapenda ahlulmadina
Mashaallah kaswid nzuri haiishi ya kuiskiliza💕💔💕
Maashaalla
❤❤
Yaan sichoki kuiangalia mashaallah
Mashaallah Mungu nashukuru kuwa muislamu
♌
iko.pia.hiyo.kaswida
Maaashaallah
😅
Kuna waswahili wingi