Sanaa Na Baadh Ya Wanawake Wanatabia Zakichawi Na Limwanaume Linatetea Uchi Utazikwa Na Uyouyo Kijana Wako Wanawale Baadh Hawana Maana Atakuacha Uyo Pabaya Looh Wanaume Amkeni
Popote huyo mama alipo namuomba amfuate mtoto wamama wa jambo asilimia 90 huwa wanaroho mbaya sana kuliko mtoto ateseke hivyo Bora uishi nae hata kama maisha ni magumu naamini Mungu awezi kukuacha naomba
Ila jamani Kuna wa mama hawajui tu kumbuka hata huyo mtoto wa kambo anaweza kukusaidia zaidi ya watoto wako.pia akina baba walio wengi hawajui kabisa kuwa watoto wao wanateswa na WA mama wa kambo .ila Mimi ni Bora nihangaike na wanangu mtoto anauma jamani
Tanzania 🇹🇿 imekuwa nchi ya kishenzi sana ndio mambo watanzania wanaweza vizuri kufanya siku hizi yaani ni unyanyasaji ukatili kubaka majungu fitina uchawi na mambo yote ya ovyo na Serikali ipo tu yaani hawafanyi mambo yote ya maana kuzuia huu ushenzi !
Mi nasema wababa mkiacha mke wacha mke aende na watoto wake toa matunzo sehemu husika imfikie mke uliemuacha huyo mke unaemuoa hawezi kumpenda mtoto wako atakudanganya anampenda sio kweli.
Huyo mama anavyoelezea eti mtoto ananiambia mama flani hajavaa nguo anamwambia achana na mimi, mpaka saa mbili ndo anakuja kumrekodi!!!!! Ina maana muda wote huo alishindwa hata kumchukua amvalishe kwanza nguo za mwanae?? Roho mbaya tuu na yeye😏😏😏😏. Na vipi kama huyo mtoto angepata na madhara ya kulawitiwa na kuuliwa ndo angekuwa anaongea hivyo????
Wazazi tunatakiwa kuwa makini sana kwa sababu ipo nguvu ya upotevu inataumia watoto kuvuruga familia na jamii.Hivyo wazazi lazima tuwe na akili tuwaonye watoto wetu bila kutumia hasira ya kupiliza kwani tusipo kwa na hekima watoto wanaweza kufanya makosa na tena tukawapa adhabu kupita kiasi mwisho jamii ikatuona sisi wababaya na makosa ya mtoto yasionekane kabisa.Mafundisho kwa watoto wetu yanatakiwa yawe kwa wingi sana kuliko adhabu hapo tutawaokoa watoto wetu na sisi tutakuwa salama.
Mungu nilinde nilee mttwangu mungu naomba unipe afya na nguvu wanaume wanaekewa akili mbovu na baadhi ya wanawake wanaume hamshindi nyumbani jamani sikilizeni majirani wanaona mengi
We mwanaume acha ufala, huyo mwanamke wako angekuwa mwanae wa kumzaa angemsahau huyo mtoto? Wanaume embu tujitambue kwa watoto tunao achiwa na mama zao. Ni ufala kabisa penzi likiwa jipya ndio umnyanyase mtoto
Siyo wa mama wote wa kambo,, Mimi nilikuja kugundua kwamba dada niliyokuwa naishi naye hakuwa mtoto wa mama yangu nikiwa form three kipindi ambacho dada ndiyo alikuwa anaolewa na ndio hapo mama yake halisi alipo kuja na mimi nikajua wakati huo,, manaake jinsi nilivyo ishi naye hata baba hakuwahi kutuonesha tofauti.M nadhani changamoto inaanzia kwa baba wa mtoto huyo
Mkiendelea kumuacha hapo huyo mtoto mtashangaa ameuwawa ..kama tu ameachwa nje saa saba usiku kifuatacho ni kingine Limwanaume pengine limelishwa limbwata ya mavi liko kumtetea mwanamke mkatili..na Wakati huyo ni mtoto wake
😂😂😂 wacha wakachezee mkono wa sheria wawe mfano kwani angekua wake angemuacha nje ? Au kama angekua anampenda c angekuachia hata jirani ?wacha MUNGU awanyooshe ....
Nashukuru MUNGU NIMEKUA MTUMZIMA SASA NAISHI KWANGU UTOTONI NILIISHIKWANDUGU. IREMEMBER THAT KUNAWAKATI NILIKUNYWA DIAZONE. ILINIFETUU HII HALI NIMBAYASANA. MUNGU AKUBARIKI CHALIIANGU UMEPATA WATETEZI
Hizo nywele sio za saloon kwa nn kamuachia mtandio kwa nn hakumpa CHAKULA kwa nini aachwe uchi kwa nn asiende KUCHEZA na wenzie. Mama wa kambo zaa wa kwako
Wanawake sisi ndo wabeba mimba,sisi ndo tunaozaa ila tukikutana na watoto wa wenzetu ni kuwatesa tu bila huruma na mtoto unakuta mama yake alishafariki eeeh mungu nijaalie umri mrefu nilee wanangu
Ninaomba nipewe mtoto huyo kwa maandishi awe mali yangu akija mbwa yoyote kumfata namchinja kwa mkono wangu inahudhunisha sana kutesa mtoto duuuh inauma sana tena sana😢😢😢
Mama wa kambu si mama mateso niliopata kwa mama wa kambo siwezi kuachika nikamuacha mtoto wangu bora nife nao kwenye shida na raha watakua ishaallah siamin mama wa kambo hata niambiwe ana roho km malaika kiumbe mwanamke baadhi yetu ni mashetan kwa watoto wa wanawake wenetu
Hii nimeipenda.. ulinzi wa watoto ni wetu sote...makopa kwenu wamama wa Arusha
makopa kwao wakati huyo mama wa arusha ndo walofanya unyama huo vo!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yes
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hivi hilo limama mbona linaroho mbaya kama sura yake,kwanini hamkulipiga kwanza.
❤❤❤❤
Wanawake sisi baadhi yetu tuna roho mbaya ewe Mwenyeez Mungu ninakuomba unipe uhai mrefu nilee watoto wangu
Kila ck mkiambiwa mnakasirika
Inshallah 🙏
Sanaa Na Baadh Ya Wanawake Wanatabia Zakichawi Na Limwanaume Linatetea Uchi Utazikwa Na Uyouyo Kijana Wako Wanawale Baadh Hawana Maana Atakuacha Uyo Pabaya Looh Wanaume Amkeni
Allahuma amiiin Allah akujaalie ulee malezi mema na umri mrefu wenye afya
kweli kabisa
Mungu awabariki majirani 🙏❤️🥰💕
Jamani mama mwenye mtoto nenda kachukue mtoto wako hata kama hunaishi maisha ya shida kaa na mwanao
Popote huyo mama alipo namuomba amfuate mtoto wamama wa jambo asilimia 90 huwa wanaroho mbaya sana kuliko mtoto ateseke hivyo Bora uishi nae hata kama maisha ni magumu naamini Mungu awezi kukuacha naomba
Kwa nini unamwacha mwanao mdogo kwa baba ambaye ajitambui vzr?kamchukue mwanao.Hakuna kama mama.
Ila jamani Kuna wa mama hawajui tu kumbuka hata huyo mtoto wa kambo anaweza kukusaidia zaidi ya watoto wako.pia akina baba walio wengi hawajui kabisa kuwa watoto wao wanateswa na WA mama wa kambo .ila Mimi ni Bora nihangaike na wanangu mtoto anauma jamani
Jamami😢. Mungu nipe Afya nilee wanangu, dunia ya sasa hakuna wakukulelea mtoto.
Huyo mama ana roho mbaya tuu
Kweli kabisa, Mungu tu ndo kila kitu.
Inshallah tuombe dua kipenzi 🙏
Amina dah 😢😢😢
Kama yeye kasahau kumwachia nguo mbona yeye hajasahau kuvaa nguo atoke uchi.
Eti? Huyo mwanamme ni mpumbavu kabisa
Eti amesahau
Ni bwege hilo@@zebedayokatamaduni9676
Yanii amesahauje kuacha nguo (kwel angekuwa mtot wake angesahau jmn😢😢
Eti jmn ila wanaume wanaume apo haoni kma mtt anateseka 😢😢😢
Tushikamaneni jamani wamama wenzangu kulinda watoto wetu wenyewe Allah awabariki wamama wote.
Ww baba acha ufala anawezaje kusahau kumwachia nguo kamata wote wawili
Yaani na mm ndo nilitaka uliza hamna kitu kama hicho washenzi hawa
Ety nilimwachia mtandio ajifunge alipokuja kuchukua maji uyo mama chiz nn
Jamani Mungu tusaidie wamama, tuache roho mbaya,pole Derrick 🙏🙏
Ulinzii huuu uendelee, nchi nzimaa,
Hongera sana wananchi. Tuwalinde watoto wote, tuwachunguze sana watu wanaotuzunguka.
Sasa nyie wamama mmeshindwa hata kumtia makofi huyo dada mngemngata hata mdomo
Imagine! Ningempasua mimi uyo mama niende kisongo mwenyewe
😂😂😂
Pigeni makofi huyo mwanamke
Huyu mwanaume ni mbwa kabisa na huyu mama ni paka kabisa hovyo kabisa
Litahira sijui limepewa nyama ya ulimi
Tanzania 🇹🇿 imekuwa nchi ya kishenzi sana ndio mambo watanzania wanaweza vizuri kufanya siku hizi yaani ni unyanyasaji ukatili kubaka majungu fitina uchawi na mambo yote ya ovyo na Serikali ipo tu yaani hawafanyi mambo yote ya maana kuzuia huu ushenzi !
Ndo mana mpka Leo wazungu wanatuona watu wa ajabu ajabu
Mi nasema wababa mkiacha mke wacha mke aende na watoto wake toa matunzo sehemu husika imfikie mke uliemuacha huyo mke unaemuoa hawezi kumpenda mtoto wako atakudanganya anampenda sio kweli.
Tatizo wababa wanaona km wakimpa mwanamke pesa atafaidi kumbe anakula mwanae
@@sharifamahamudu182mimi mwenyewe nagombana na baba wa mtoto wangu anataka aende nyumbani kwake nakataa naroho inasita sana
Hii safi nimeipenda wakome kutesa watoto
Huyo mama anavyoelezea eti mtoto ananiambia mama flani hajavaa nguo anamwambia achana na mimi, mpaka saa mbili ndo anakuja kumrekodi!!!!! Ina maana muda wote huo alishindwa hata kumchukua amvalishe kwanza nguo za mwanae?? Roho mbaya tuu na yeye😏😏😏😏. Na vipi kama huyo mtoto angepata na madhara ya kulawitiwa na kuuliwa ndo angekuwa anaongea hivyo????
Wazazi tunatakiwa kuwa makini sana kwa sababu ipo nguvu ya upotevu inataumia watoto kuvuruga familia na jamii.Hivyo wazazi lazima tuwe na akili tuwaonye watoto wetu bila kutumia hasira ya kupiliza kwani tusipo kwa na hekima watoto wanaweza kufanya makosa na tena tukawapa adhabu kupita kiasi mwisho jamii ikatuona sisi wababaya na makosa ya mtoto yasionekane kabisa.Mafundisho kwa watoto wetu yanatakiwa yawe kwa wingi sana kuliko adhabu hapo tutawaokoa watoto wetu na sisi tutakuwa salama.
Mwanamke wa hovyo kabisa.. unamtesa mtoto wa mwenzio kwani yy kapenda kuishi bila mamake?
Jenipher mwenyew anaonekana ana sura ya roho mbaya ana kauchawi kembamba
😂😂😂😂😂😂 🙌🙌
Kauchawi kembamba
Safi wananchi Mungu awabariki
Mungu nilinde nilee mttwangu mungu naomba unipe afya na nguvu wanaume wanaekewa akili mbovu na baadhi ya wanawake wanaume hamshindi nyumbani jamani sikilizeni majirani wanaona mengi
Wababa wengi ufahamu sifuri,muombeni Mungu sana msiangalie makalio kwenye kutafuta ndoa,na thamini watoto wenu sisi wanawake wa nyuma ni wa kupita tu
Wengine wana ndoa hawajahatika kupta watoto wewe baba unaisaliti damu yako Mungu anakuona unaitesa Damu ya Yesu..nimeumia sana
We mwanaume acha ufala, huyo mwanamke wako angekuwa mwanae wa kumzaa angemsahau huyo mtoto? Wanaume embu tujitambue kwa watoto tunao achiwa na mama zao. Ni ufala kabisa penzi likiwa jipya ndio umnyanyase mtoto
Huyo mtoto atafutwe mama yake mzazi apewe mtoto wake tu amlee jamani 😢😢😢mtoto mdogo anapitia mambo mazito
Amefariki Kwan ujasikia
Nipeni nimlee jaman sitaki kulipwa ntalipwa na Mungu.
@@sharifamahamudu182😢mmmh jmn baba ndo huyu hamnazo????
@@JamilaJumanne-u7q very sad
@@sharifamahamudu182 mtihani kwakwel
Daah maskini na baridi la arusha kamuachia tu mtandio. Sasa badala ya kumpa mtandio si angempa tu nguo avae kabisa. Dunia ngumu sana hii
Wa mama nimewakubali hii nzr sahihi kabisa akuna utetezi uyo mwanamke sio mke ni jini
Mmhh dada sura mbaya na roho mbaya juu..Umtese mtoto kosa lake nn..Ingekua ndio mwanae angemuacha uchi..
Wewe Sasa sura tu inaonekan unaroho mbaya, ningekuwa Mimi taraka apo apo
Hongereni sana wamama wa Arusha.
Mwanamke fisadi anamueka mtoto wa mwenziwe uchi, nia yake nn na dunia ilivoharibika saiv loh, si mwanamke uyo ni mbwa jike
Dah, Mungu wasaidie yatima
Inaumiza Sana kusema kweli
Uyo baba hanamapenzi namutoto😢😢😢kama anafamily wamucukuwe atateswa sana😢😢
@@christainc.5217 wakishapewa kwa mpalange hawaelewi kitu.
Uwiii baba anamtetea mke😢😢😢, siez tesa mtoto wa mtu hivi
Hi, jerani iko mzuri sana.Allah bless you.
Wamama mkiondoka kwa wanaume msiache watoto nyumba, big up mamaz wote wa Arudha
Mungu nipe maisha marefu nilee wanangu mwenyewe 🙏
Huyo mwanamke akirudi police mkandeni makofi, alafu ajue wanawake wa huo mtaa hawataki utani na unyanyasaji wa watoto wa mwanamke mwenzenu.
Tukisema mama wa kambo siyo mama mnachongoa midomo😢
Hapana mm naishi na wanangu wa kambo hata wamesahau kama wana mama Yao mzazi
Sio wote mpnz
@jenipheraron3566 hii comment ya siyo wote ndo sitakagi kabisa,narudia tena mama wa kambo siyo mama jamani
Siyo wa mama wote wa kambo,, Mimi nilikuja kugundua kwamba dada niliyokuwa naishi naye hakuwa mtoto wa mama yangu nikiwa form three kipindi ambacho dada ndiyo alikuwa anaolewa na ndio hapo mama yake halisi alipo kuja na mimi nikajua wakati huo,, manaake jinsi nilivyo ishi naye hata baba hakuwahi kutuonesha tofauti.M nadhani changamoto inaanzia kwa baba wa mtoto huyo
Daaa mungu nilinde nisife mapema nilee watoto wangu😢
Asateeni kina wamam faari ya wamama👏👏👏
Eeee Mungu nakuomba wasaidie watoto wetu.wanaume mda mwingine wanaume wanapewa Madawa
From 🇧🇮 pole san mtoto
Ina maana mtoto akichafua nguo ndo anyimwe nguo akae uchi? Pigeni hilo malaya,c bora amekuta mtoto hajaxaliwa na malaya.
Alie sikia sijui Nini anapewa ana mtetea twnde na like
Et mama alikuwa saloon anamalizia mikia😂😂
Huyu baba mtu chiz 😢😢😢eeeh au nalenyew uwalinapigwa?😢😢😢Mungu anipe maisha marefu nikuze watt wangu
Penz jipya ndo baba anatetea mke mama wa mtoto unaachaje mtoto kwa ex mme 😢😢😢😢
Halafu katoto handsome kinoma ila wazazi wakambo Mungu awasaidie muwe na mioyo ya upendo Kama ya baba
Mwanamke mwenyewe Sasa Sura mbaya kama Roho yake iliivyo mbaya
Duh! Huko Arusha jamani watu imani zao zinazidi kupungua tuu maana hayo mambo yanayofanyika siyo ya ubinaadamu kwa kweli.
😂Sura ya wakambo ipo kiovu bhuana
Wamama wakambo niadui wakubwa simpi mtoto wangu baba yake ikiwa niko hai
Mungu naomba uhai nilee wanangu
Ww mwanaume nikuma sana unamtesa mtoto halafu unasapoti ujinga
Uwiii ngja nkachukue yule mtt wangu kwa babakee we stk ujinga mm naeza dunga mtu kisu😢😢😢😢
Nika .nika. nika. nika. nika.nika .. 😂😂😂😂 Mwanaume hujielezi vizuri... Mtunze mwanao huwa wanakuja kulipa kisasi!!!!!
Huyo mwanaume ovyo kabisa nikute kaka angu anatetea mwanamke wake ivo atajuta kuzaliwa na tumbo moja
Surabaya chef😏
Safi sana wamama,tuwe na Umoja huo huo
Limama la hovyooo ndyo maana linashindwa hata kusuka nywwle za buku
Mama uliyeingia Leba mmeshindana na mume chukua mwanao au wanao hata ukinywa uji wa Chumvi Mnywe wote Kama uko hai
Huyo mama na mume wake hana akili,wote wapigwe viboko. na wewe baba una mtetea hawara yako.
Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim
Nimependa sana wamama naumoja wao mtoto wa mwenzako ni wa kwako naona maadili yanarudi taratibu wengi wape.
Mm naomba kuuliza swali mama yake mzazi yuko wapi????kwann amwachie mwanamke mwingine mtoto wake?????
Haahhahahha😅😅😅😅 baada ya kumuona mama nimecheka 😂😂😂😂😂
Nandio maana hata mungu kamnyima sura na roho yake mbaya huyo baba hana akili unamtetea mwanake kisa mapenzi
Mwanamke mwenyewe sura kama unayo
Mkiendelea kumuacha hapo huyo mtoto mtashangaa ameuwawa ..kama tu ameachwa nje saa saba usiku kifuatacho ni kingine
Limwanaume pengine limelishwa limbwata ya mavi liko kumtetea mwanamke mkatili..na Wakati huyo ni mtoto wake
Wanaume wengine wapuuzii sanaaa sanaa unakaliwa na mwanamke sio mm mzeee ningefukuzaaa uyooo malayaa
Mzee acha tu yaan wengine wanaloga washikaji aisee
😂😂😂 wacha wakachezee mkono wa sheria wawe mfano kwani angekua wake angemuacha nje ?
Au kama angekua anampenda c angekuachia hata jirani ?wacha MUNGU awanyooshe ....
Natamani wanipe mimi huyu mtoto 😢wangejua tunavyowatamani wengine, eeh Mungu
SAFI SANA WA MAMA WA A TOWN KWA UMOJA , HIYO MIVAMPAYA TUNAOKOTA NJIANI HAINA UCHUNGU WA LEBA ,
Jamani Mungu kwanza na tukumbuke kwenda hospitali kucheki afya ya akili.
Safi nimeipenda
Mwenyewe sura mbaya
Nashukuru MUNGU NIMEKUA MTUMZIMA SASA NAISHI KWANGU UTOTONI NILIISHIKWANDUGU. IREMEMBER THAT KUNAWAKATI NILIKUNYWA DIAZONE. ILINIFETUU HII HALI NIMBAYASANA. MUNGU AKUBARIKI CHALIIANGU UMEPATA WATETEZI
Mwanamke mwenyew mbayaaaaaa
Akisahau mama mzaz anakuwa sawa akisahau mama wa kambo kesi Ifike wakat mama wa kambo wote wapate mtu wa kuwasemea.
Watu wana roho mbaya mtoto umemkuta unamtesea nini jamani, kwann usimtunze km wako.
Wasingempeleka police wangetukabidhi wanawake tungejua cha kumfanya😢😢😢😢 kubabake ni tungemng'oa maziwa hayo
KWA meno
BABA hajuiiii
Hizo nywele sio za saloon kwa nn kamuachia mtandio kwa nn hakumpa CHAKULA kwa nini aachwe uchi kwa nn asiende KUCHEZA na wenzie. Mama wa kambo zaa wa kwako
USTAWI WE JAMIII MWANENO HIVYOOO CHUKUENIIII MSIMUACHE
Baba anatetea sehemu ya kumwaga kojo anasahau kutetea damu yake 😢😢😢
Yaan usalama wa huyo mtoto wamchukue akirudi tuu anauliwa...
Wanawake sisi ndo wabeba mimba,sisi ndo tunaozaa ila tukikutana na watoto wa wenzetu ni kuwatesa tu bila huruma na mtoto unakuta mama yake alishafariki eeeh mungu nijaalie umri mrefu nilee wanangu
WEWE LIBABA LAKE NI LIJINGA SANA UNAMSAIDIA HILO LIMAMA LIJINGA SANA SERIKALI MKAMATENI HUYO MAMA NI MNYANYASAJI
Ninaomba nipewe mtoto huyo kwa maandishi awe mali yangu akija mbwa yoyote kumfata namchinja kwa mkono wangu inahudhunisha sana kutesa mtoto duuuh inauma sana tena sana😢😢😢
Limwanamke lenyewe linasura ngumu kama makalio,halafu linamtesa mtoto wamwingine
Na yeye wamchape kisawasawa😢😢😢kwani mamake mzazi yuko wapi
Mama mwenye mtt unaacha mtt kw baba unaakili ww unajuwa baba akipewa pezi ataweza kuuwa uyo mtt kachukue mtt wako ww
Huyo baba najitoa akili, mpumbavu sana. hayo makvu ya mgongomi, mtoto kajiweka mwenyewe? mwanamke mwenyewe sura kama dume la ng'ombe.
Safi wananchi, watoto ni wetu sote, tusikibali kunyanyaswa
Usitawi wa jamii.Uchukue hatua.Gwajima chukua hatua😮😮😢😢
yani dume zima unatetea na kuendekeza chini kuliko mtoto wako wa kumzaa. Lord have mercy on us😢
Mama wa kambu si mama mateso niliopata kwa mama wa kambo siwezi kuachika nikamuacha mtoto wangu bora nife nao kwenye shida na raha watakua ishaallah siamin mama wa kambo hata niambiwe ana roho km malaika kiumbe mwanamke baadhi yetu ni mashetan kwa watoto wa wanawake wenetu
WEWE BINTI MSHENZI SANA WEWE HV UMEWAHI KUZAA UKAUONA UCHUNGU?
Arusha kuna laana gani jamani....??hujakaaa chini... Arusha hiyo ..hujageukaa nyumaaa Arusha ileee..hujamaliza kujitawazaa arushaa imewaka...tobaaa