Rais kagame unasema juu ya amani kwa inchi mbili tanzania na Rwanda.???Amani gani iyo.???Rais kagame kama ile ni Amani yakweli kabisa. Waruhusu wanyarwanda wahutu wenye wako mu inchi yacongo warudi kwabo mu Rwanda. Iyonjo Amani yakweli na yazati.
Huyo jama Hana adabu hata kidogo Raisi Wa Rwanda 🇷🇼 ana hakili nyingi na anaweza kabisa kuwongoza kuliko Raisi yoyote Africa Viva presidential Paul KAGAME
Viva my President Kagama ❤
Asante mama mimi nakuaminisana mama nani kama mama naamini tuko salama sana kama nchi
Kumbe mzee kagame unajua kiswahili
Nakukubari sana raisi Kagame
Safi sana Rais Kagame, Unaongea lugha nyingi sana kwa ufasaha ikiwemo kiswahili
Kuna mtego wa wazumgu hapo wanamuwinda kagame na museveni...akijichanganya tu wanavuruga Rwanda..
Viva kaga🎉me
Huyu Jamaa ajawahi kuwa fala
Unamuita kagame kaka unataka kumnyima nini
Paul kagame 🇹🇿🤔🙏🏿
Rais kagame unasema juu ya amani kwa inchi mbili tanzania na Rwanda.???Amani gani iyo.???Rais kagame kama ile ni Amani yakweli kabisa. Waruhusu wanyarwanda wahutu wenye wako mu inchi yacongo warudi kwabo mu Rwanda. Iyonjo Amani yakweli na yazati.
He always tell them to come but they can't bro coz many killed Tutsi in jenocide so there are afraid for judgements when they come back home
Amewakubariya kurudi kwasababu wanajuwa wariyo ya fanya hawataki kurudi shida kwawo
Afrika ni moja.
Karibu rais kagame kwetu nyumbani Tanzania 🇹🇿 ♥
Pumbavu kwa lipi la maamabkaongea
Kagame na mseven wanaongea kiswahili kizuri sana.
Huyu mbwa humu hatumtaki aende kwao hyu dikteta
The dog is your Hass 🖕🖕🖕🖕🖕
Afrika bila udikteta haitolaa isimame mbwa wewe,Kagame is always right!!
Unajua sana siasa?@@frednandnsakuzi7584
Huyu sio dikteta Mzee kagame sema hataki kuwa mjinga
Huyo jama Hana adabu hata kidogo Raisi Wa Rwanda 🇷🇼 ana hakili nyingi na anaweza kabisa kuwongoza kuliko Raisi yoyote Africa Viva presidential Paul KAGAME
Wajinga wakubwa kwa kipi Cha maana kaongea mshamba huyo jamabazi was Kanda hii.
I think you're a fool,can you compare tz and Rwanda
Mama mwambie Hilo li dikteta apumzike Sasa amwachie mwingine aongoze Ruanda kamasisi tunavyofanye huyo jamaa na mzeveni wanajifanya miungu watu
mshamba wa democrac
Uhuru wa kuongea
Rais Paul kagame mungu akupe imani na baraka hapa Tanzania
Rais Paul kagame mungu akupe imani na baraka hapa Tanzania
kalibu kwetu inchini Tanzania Rais wa amani na utulivu