Kwa kweli dear sijawahi kuchoka kuangalia mapishi unayotufunza kila siku jinsi yalivyo mazuri na ya kuvutia...Mwenyezi Mungu azidi kukujalia kheri ili nasi tupate kujifunza zaidi...🙏
Aslm alykm mummy mashaallah nimefurahi kurudi tena baada ya mitihani. Alhamdulillah shukran mummy nimekumiss sn nimeingia tu nikatafuta mummy wng jmn Shukran kwa mapishi. Ahsnt
Always a pleasure to watch and learn from you. Mimi mapishi yenye yeast situmii kwa sababu mwanangu yuko allergic. Nevertheless, huwa naenjoy kukusikiliza na kuangalia process.
Nakumbuka kipindi cha lockdown ya lastyear hamira ziliadimika. Niliwahi kusearch youtube namna ya kuumua bila hamira hii tuloizoea lkn nimesahau. Nakumbuka ulikua unatumia unga but nishasahau kinachofuata. Km unaeza kupekua angalia u tube utaona au km dear atakufanyia anamda anaeza kuiangalia akafundisha. Labda inaeza kumsaidia mwanao.
Huu mkate unafanana na ule unaweka kuku/spinach, its soo good, yani am tempted wakati niko kwenye zoezi la no wheat, I wish kama kungekua na unga ambano no wheat😄😄😄🥰🥰
Asalam aleykum, mimi chochote nitakachofanya cha kuingiza kwenye oven lazima kitakua kigumu au ndani ngano haiivi sasa sijui nakosema mda mwengine nawaza au oven sio zuri 😢
Sijui kama waweza kisia jinsi unavyoo okoa na kuzituliza ndoa nyingi kwa hilo unalo lifanya. Allah akulipe mema!
Alhamdulilah
Maashaallah umependeza Inshallah nitajaribu kwa kuku
Kama kawaida mpenzi lazma ni pende mapishi yako Masha Allah mm pia napenda Sana kupika Allah akubariki mikono yako akupe afya uzidi kutufunza 😍
Amin
Ameen
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THE LINK ruclips.net/video/La7BD_JZId4/видео.html
Aroma of zanzibar umenimalizaaa
MashaaAllah unakaa mlaini sanaa na mtani😋😋
Masha Allah ni nzuri sana
Mash allah tabarak rahman unainyesha mzuri na mtamu kabla sijaupika na sijaula...
Shukran sana kwa mapishi mazuri na mepesi tupo pamoja habibty wangu
Shukran
Kwa kweli dear sijawahi kuchoka kuangalia mapishi unayotufunza kila siku jinsi yalivyo mazuri na ya kuvutia...Mwenyezi Mungu azidi kukujalia kheri ili nasi tupate kujifunza zaidi...🙏
Shukran sana kwa support. Amin kwetu sote 😘
Machalha Machalha safii sana tuna shukuru kwa elimu unayo tupa
Jazakillahul khayr
Jazakallah khayran😋
Aslm alykm mummy mashaallah nimefurahi kurudi tena baada ya mitihani. Alhamdulillah shukran mummy nimekumiss sn nimeingia tu nikatafuta mummy wng jmn Shukran kwa mapishi. Ahsnt
Aleikum Musalaam, pole kwa mitihani Inshallah mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
Asante. Nzuri sana. Nitajaribu
MashaAllah yummy
Mashallah tutajaribu inshAllah
Maashaallah
Hicho chuma naona nichahio kazi kabisa❤️
Naihisi hata flampen zile za kutumbukia zinafaa
Maa shaa Allah
Mashalllah mzuri
Thnkx for the recipe nimejaribu ni nzuri sana nimeipenda
Glad to hear that
Masha Allah mum mzury alhamdulilai shukran jazzakaallah khery
Amin, shukran
Masha Allah mchicha umechemsha tu na .maji sio
Mchicha una maji yake nimeweka mafuta ya halizeti na kitunguu thom
Moto juu na chin ama wa chin kwanza
Juu na chini always
Ikitiwa mbatata ni tamu sanaaaa
❤😋😋😋😋😋 Mmmmmmm Ma"Sha"ALLAH Mapishi Nzuri Saaana saana Shukran
Mashallah anty
Sooo nicee...i wish to be mpishi mbunifu as you are
You can learn by following my recipes
Always a pleasure to watch and learn from you. Mimi mapishi yenye yeast situmii kwa sababu mwanangu yuko allergic. Nevertheless, huwa naenjoy kukusikiliza na kuangalia process.
Pole sana but I appreciate the support thank you
Nakumbuka kipindi cha lockdown ya lastyear hamira ziliadimika. Niliwahi kusearch youtube namna ya kuumua bila hamira hii tuloizoea lkn nimesahau. Nakumbuka ulikua unatumia unga but nishasahau kinachofuata. Km unaeza kupekua angalia u tube utaona au km dear atakufanyia anamda anaeza kuiangalia akafundisha. Labda inaeza kumsaidia mwanao.
Mashaallah tabarakaAllah
Nimefanya for dinner leo it was delicious thank you for the lovely recipe 🌹😘
I'm glad you like it
Masha Allah 😋
Maashaallaah
mashaallah mashallah
Mashallah mashallah
Wow ma sha Allah...it a must try this one 😍😍😋😋👌👌
Mashaa Allah.
mashaAllah👏
Mashallah
MaashAllah😘
mashallah
Huu mkate unafanana na ule unaweka kuku/spinach, its soo good, yani am tempted wakati niko kwenye zoezi la no wheat, I wish kama kungekua na unga ambano no wheat😄😄😄🥰🥰
Pole dear uta celebrate ukiwa tayari
@@aromaofzanzibar for sure😃😍😍
Maashallah 😋😋😋😋😋
Shukran
MashaAllah
Jazakallah
Thanks my dear! 😘👍👌
Welcome 😊
Jmn hv hv chizi zinapatikana wapi nifahamisheni please! Nimependa pichi
Nenda supermarket kubwa hutokisa na pia nimefundinsha jinsi ya kutengeneza cheese nyumbani kama utakua na maziwa fresh
Chef kwan kuweka hio mboga ni lazima siwez kutumia cheese pekee ake?
Utakachopenda
Mashaallah mashaallah kama kawaida mambo extra super
Shukran
Hv kupika kwa mkaa aiwezekan mpnz???????????
Ndio unaweza kea mkaa utapambia mkaa mkaa juu
Allah snipe nguvu leo niupike 😋😋😋 maana pirika 😤😤😤🙄
😋😋asantee
Samahani hiyo uliotia kisha ikafata yai ni nini inaitwaje?
Nimeweka cheese ya unga
@@aromaofzanzibar aanha sawa shukrani ❤️
Here is the beautiful video. Come to our side too. Let's go on a journey together
Sorry I do not understand your music language...
Asalam aleykum, mimi chochote nitakachofanya cha kuingiza kwenye oven lazima kitakua kigumu au ndani ngano haiivi sasa sijui nakosema mda mwengine nawaza au oven sio zuri 😢
Ni vigumu kukujibu swali kama hivo labda huja set moto vizuri
Inaezakua unga huukandi ukalainika vzr pia au km anavyosema dear hapo jiko lako bado hujalijuilia moto.
Au pengine unga wako unakunywa maji wake haunywi unafuata kipimo chake cha maji bila ya kuongeza kwa mujibu wa unga wako ulivyo.
mbogaa ya mchichaa unaitia chumvii au ipo bila chumvi
Nimetia chumvi kama hutaki chumvi ni aumuzi wako
Mashallah
Mashallah tabarakallah
mashaallah
Mashallah