Honey wetu kipenzi hongera sana kwa simulizi nzuri good story a Big wonderful simulizi yani utamu utamu mtupu hadi raha tumeinjoy tu na mafunzo ya dada yetu Lisa mwala mungu azidi kuwabariki sana anko Jay family
Wanakondoa tumefikiwa😂😂😂 asante sana Lisa mwala pamoja na ankoJay kwa kutusimulia story nzuri mungu awabariki sana, maana story tunazosikiliza zinatupa mafunzo mengi hususani tusikate tamaa pia tusipende vya mserereko bali tufanye kazi kwa bidii na kuwa na Imani kwa Mungu❤❤❤
Naipenda sana kuisikiliza simulizi zako Anko ila pesa za kitanzania unayo semanga utu tafsirie kwa pesa za kenya ita kua ngapi Ila naskianga LAKI TU Huku kenya laki ni pesa mingi sana
tuuu simulizi tumeanziwa na mwimbo wa kuachwa yn mama mwenye akili awezi kumuambia maneno mabaya kwa mwanaye yani utelekezwe wewe na mzazi mwenziyo chuki uamishie kwa mwanao huo ni ujinga
Napenda San simulizi za anko j na Lissa mwala simulizi zen zinmuvuto San haswa anko j jamen unajua kutubulusisha mala nyimbo mala kucheka sauti kama zot nisisahau bonge nyanya uwiii mpaka Nika zidalodi kabsa
PART 02 Hii Hapa ruclips.net/video/JxOF7V7aZIE/видео.htmlsi=6gCdDUlcSxVW-i4g
8 I uuui
Mm Okay an anyway mis and I the oI can to nly way 9m
Okay Mm sina ubaya naww and by 🎉😅😢😊❤the way that
Aa@@wairimuwairimu8295
Mmmh anko j shukrani kwa sauti na simulizi moto ❤ kweli mungu akuzidishie mahali palipo pungua tunakuombea kheri kwa mungu pia tunapenda kazi zako
Cinderella, Madame shuby, house girl MY FAVORITE STORIES 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Na my boss nayo nzuri sanaa
Pia kuna nyingine inaitwa boss wangu yaani kuna my boss na boss wangu
Hongera na 🎉🎉🎉kwa dadaetu lisa mwalla na kipenzi cha wengi Anco j.burudani wallahi.bado dada sumeiya mwendo.nae atuandalie kigongo kijacho
Tuendelee kusikiliza ila mimi simulizi kaliiii ya mwezi huu ni Cinderella 🥰🥰🥰
Apa tuko pamoja sna Cinderella imechukua banaa ,,anko jey acpopeperusha uwa nackiliza2 Cinderella 😂😂
Hii cinderella ilishika bana
Nikweli kabisaa sindelela no 1
Simuliz nzuri ankoj.
Tuharakishie part to
Mhuu anko unatuvunja mbavu Kwa wimbo ❤❤❤mungu awape maisha marefu mtunzi na msimuliaji
Tunaomba part 2 basi tumalizie MAISHA yaendelee uhakika combination ya mjomba na shangazi Lisa huwa moto sana❤❤❤❤❤❤ mauwa yenu hayo
Jamani anko Jay utanifanya nikuje nikutafute huko Tanzania sauti weuh🥰😁
Lisa mwala na anko j maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Simulizi tamu mubarikiwe Lisa mwala n anko j Napenda anko wetu ana sauti kama zote ❤❤🎉🎉
Asante kaka. Lisa mwala 🐺💌💌
Anko j mapesa.. love u...Maisha marefu kwako wew na Lisa ❤❤
Wa Kwanza Leo naomba likes zenu,thanks Anko Jay for nice stories,
Anko tunaomba sehemu ya pili ni nzuri Sanaa et
thanks anko jay kwa simulizi nzuri be bless💛💛🙏🙏💥💥🇬🇧🇬🇧
Hatimaye wanakondoa Tumefikiwa❤❤❤ Shukran Saana Anko jay❤
anko mwendelezo wake jmn 🥰🥰
Waooooh jamn naomba like ❤❤🎉🎉🎉.
Wow hongera sana ankojey kwasimliz nzuri
Honey wetu kipenzi hongera sana kwa simulizi nzuri good story a Big wonderful simulizi yani utamu utamu mtupu hadi raha tumeinjoy tu na mafunzo ya dada yetu Lisa mwala mungu azidi kuwabariki sana anko Jay family
Asante sana Anko J mapesa kwa smlz tamu yenye kinyimbo cha kuvutia ndan mwake dda etu Lisa Mwala ongera sana
Jamani jamani hata wazizi wanakataa watoto waefeso 6:4 Nanyi Akina baba msiwachokoze watoto wenu Bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana
Wanaelewa sasa 😂😂😂😂
Kweli Mungu atusaidiye kizaza hike cha laana
Kweli kabisa
Mashaallah kazi nzuri Ankojay na Lissa Mwalla ❤❤❤Asanteni sana❤❤❤
Lisa Mwalla hanaga show mbovu😮❤❤
Jaman Lissa na ANKO J ❤️❤️❤️❤️
Amazing Lisa wetu and Mr jay ❤
Anko jay mbona hauachilii part 2 tunaisubiri jamani iachilie tunaboeka wenzako❤❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi na lisa mwalla ❤❤❤
Ila lissa Mwalla❤❤❤❤ Sijawahi kujuta Haki tena yaani 02:08 kitu ndio namaliza duuuuh mbinguni una seat yako haki tena 🎉🎉🎉
I lov uuu ❤❤❤
Waooo,😍😘😘😘😘💐💐💐💐💐💐💐💐kwa Lissa Mwala na 🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀 kwa Ankojay
Enjoy 🎉😊
Rafiki ndo adui yako duuuuu mapenzi shikamooooo mungu akatusaidie ss mabinti wa sasa hivi
Wajitambue na kuwa na msimamo wa maisha yao
Binti morena❤❤❤ kitu na earphone kusikiza sauti ya anko jay🎉🎉🎉🎉
Ewe nimepitwa hivi 😂😂😂😂bonge nyanya very nice story niliipenda mpaka basi 🤗🤗🤗
Thank you Enjoy 🎉😊
Kunani tena Ankojay !...kiboko ya usimuliaji pokea 🎉🎉🎉🎉 .....thanks Sis. Lisa Mwalla mtunzi wetu mahiri we❤❤❤❤
Thank you Enjoy 🎉😊
❤❤❤enjoy
Anko jay pongezi kwa simulizi tama sana lakini hilo nifuzo sana, waiting for part 2 and 3❤😂🎉😢😅😮
Thx uncle jay nimeipenda
😅 lissa jmn karibu kwetu maana umejua kutuchangabya
MashaAllah hii team yawatu mbili ninoma bi lisa na bongo la msimuliaji anko kwa jina maharufu ankojay🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
Napenda rington be blessed anko jey niko nao watatu bt stamani hata kuwa mbali na wao nawalea kama yai be blessed single mothers
Wow. Twende kazi anko jay wetu❤❤❤
Na me leo nimewahi kdogo nakupenda anko Jay na lisa😊😊
❤
Hongera Lisa mwala Kwa simuliz nzuri mung akupe maisha maref 💝💖💞💕💖💝
❤❤❤❤❤morena nasauti ya anko j 🎉🎉🎉❤❤❤nasikiliza hapa
Be blessed kwa story tamu tamu
Wow nilimiss story ya Lisa mwalla ❤upewe mau yako dear lissa🙏😍🙌
Wakwanza wadau like zunu❤❤❤❤❤
Enjoy 🎉😊
@@ankojay_ thanks ankojay
Nampenda sana lisa rongera mwaya🎉🎉🎉😊
Nakupendaaa
🙌🙌🙌ama kweli Dada lissa haunaga kazi mbovu,❤❤❤
Ati wamekamata kuku wa watu wananisubiri nirudi tuchinje 😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂hii simulizi una make my night for real 😂😂😂😂
Tnx ankojay very nice story ❤❤❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉
NASEMAJEEEEE NASEMAJEEEE LISA NI MMOJA TUUU BINT MWALA TAFAZAR OGOPA MATAPELI
❤❤❤❤❤❤❤❤
If you are addicted to Ankojay simulizi let's show love please ❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank you Enjoy 🎉😊
Ila Usituchelewesheyee
Jini la salenda 😂😂😂 Baba
lisa mwalla wewe sijachelewa 🥰🥰
Warangi time since imekuja vibaya inasikitish 😅ila gusi 😂😆 hii Stori mbon kama imegusa familia ya rafik Yang 😢kuna watu wanapitia haya kweli 😢
Oooh dear
Wanakondoa tumefikiwa😂😂😂 asante sana Lisa mwala pamoja na ankoJay kwa kutusimulia story nzuri mungu awabariki sana, maana story tunazosikiliza zinatupa mafunzo mengi hususani tusikate tamaa pia tusipende vya mserereko bali tufanye kazi kwa bidii na kuwa na Imani kwa Mungu❤❤❤
Nimewai leo wa kwanza asante ankojay kwa simulizi nzuri
Jaman huyo ni mama waainagan jaman🎉🎉🎉🎉🎉 inasikitisha sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Tusimulamu ni kutokujielewa na stress ya maisha
Anko unapenda kusistiza jambo na maongezi yako handi raha aki waningingia kila mahali aki❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Tuko pamoja,,,nakupata kutoka Kenya 🇰🇪
Shukran sis lisa mwalla na pongezi ankoj na nyimbo yako hiyo😂😂😂
Thank you Enjoy 🎉😊
Wow, the sweetest voice again feel loved ankojay jameni❤❤❤❤❤
Thank you Enjoy 🎉😊
@@ankojay_ always welcome, 🎉🎉
Asante bi Lisa mwalla. Hongera
❤❤❤❤
Wow simulizi tamu🔥
Nimependa 🥰 🥰🥰🥰
Yani sichoki kukusikiliza Kaka mpaka nachelewa kazini mungu akujalie❤❤❤❤
Naipenda sana kuisikiliza simulizi zako Anko ila pesa za kitanzania unayo semanga utu tafsirie kwa pesa za kenya ita kua ngapi
Ila naskianga LAKI TU
Huku kenya laki ni pesa mingi sana
😂😂😂huyu ni mm kabisa 😂
sasa anko jay kwa usimuliaji wako wa kutenganisha sauti ,kwann tusielewa af tutaachaje kukupenda sasa 🧡
Yaani wale akina mama na baba wanao telekeza wanawe hua mnafeel aje pia kuhukumu watoto kwa makosa ya mzazi mwenza sio poa
Kweli kabisa,kwa hayo mawili Mungu atusaidie sana🙏
Wow anko jey simulinzi iliyo bamba ni Cinderella ❤❤❤❤
Leo nmekuwa wa kwanza ku comment love your voice anko j❤😅
Enjoy 🎉😊
Lissa mwalla❤❤❤❤
Napenda mambo hayo jmn asante anko wetu❤❤❤❤❤❤
Kama mimi😂😂😂😂😂aki
Napenda kazi yako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hatimae leo nimewahi nipeni like zangu bas hata 10 tu
Enjoy 🎉😊
.h
@@ankojay_I will a😂😂2😂😂😂😂
Anko naomba unisaidie part 2
Please ank jay par 2 ya bint Morena
The first comment from anko jay fan❤️🇧🇮
safi , Enjoy 🎉😊
❤❤❤❤❤ aki anko jay ww 😅😅😅
Wawoo aliye pinga lzm atakuwa boss 😀😀😀😀
🌺❤️🌺🌺🌺🌺🌺🌺❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Lisaa na Ankooooo j
Dhawadi yenuuu
😂😂tupeeee ❤😂😂😂
Ako jay mbona haujaachilia part 2❤❤❤
tuuu simulizi tumeanziwa na mwimbo wa kuachwa yn mama mwenye akili awezi kumuambia maneno mabaya kwa mwanaye yani utelekezwe wewe na mzazi mwenziyo chuki uamishie kwa mwanao huo ni ujinga
😅😅😅mimi nakupenda sana uncle jay
Napenda San simulizi za anko j na Lissa mwala simulizi zen zinmuvuto San haswa anko j jamen unajua kutubulusisha mala nyimbo mala kucheka sauti kama zot nisisahau bonge nyanya uwiii mpaka Nika zidalodi kabsa
Asante sana daa Lisa mwana na kaka Ankojay
Ngoja niskie kama itakua mzuri kama cinderela❤❤
ANKOJAY ,singing yako ni 🔥 naipenda
Awww Beautiful Lisa
Anko Jay sauti yako tu inanogesha hadithi mbaya sana maua yako bro🎉🎉🎉❤❤❤
Good thing about uncle J huachi kitu unasimulia yotee😅good work bro
Jaman lissa gift nipo ten nafurah sasa love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Wow wow 🎉🎉jamn nilimumisi Lisa mwalla Asante kwa kutukumbuka leo
Thank you Enjoy 🎉😊
@@ankojay_ thanks anko jay 😘😘
Much respect Anko j❤❤❤❤❤
The sweetheart voice ever, from Kenya l really love your story so much
❤❤❤
Duh jaman watu mpo chapu mashaallah najitahd kuwah lkn kila siku nachelewa haya hongereni by the way acha tu enjoy na sauti nzuri kabisa❤❤
Pole sana Morena kuingia ktk majanga kwaajili ya mahangaiko ya kutimiza wajibu wa wazazi wako
ankojoy part 2 plzzzzzz daraja ya selenda ankojoy
Mashaaallah lisa kiboko
Na msimuliaji wake Anko j
Hoyeeeeee💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻. Leta vituuuuuuuuu
Alafu napenda bits za simulizi 😢❤ ankojaay nakupenda bure
Hatari Umaru ankojoy🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Lisa tulikumiis sana asante
Ila wewe anko j kimono mbaya yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mapenzi shikamoo 😊😊😊
I ❤you anko j na sumulizi zako tamu hongera