Jinsi ya kutengeneza Software Radio |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 13

  • @is-hakaame
    @is-hakaame Год назад +1

    kwa hakika unatoa elimu ya bure ambapo wengine kukufahamisha ni pesa nyingi Allah azidi kukupa Afya njema tuzidi kupata elimu kutoka kwako.
    Kwa hakika sijaona walimu wazuri na wenye kufahamisha kwa ufasaha kama wewe sina mengi ya kusema zaidi ya kukuombea kwa Mwenyezi mungu akupe afya njema

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Год назад +1

      Allahomma aamiin, nyinyi ndo sababu kuu Mr. Is-haka asante sana.

  • @is-hakaame
    @is-hakaame Год назад +2

    hongera sana mwalimu

  • @Imrani-Jumaa
    @Imrani-Jumaa 11 месяцев назад

    Thanks Teacher

  • @Imrani-Jumaa
    @Imrani-Jumaa Год назад

    Mwalimu Naombahutufundishe jinsi ya kumtafuta mtu alipo kutumia mtandaoni na kumpta Ahsante

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Год назад +1

      Sawa ila somo hilo halitokuwa hapa hakikisha umejiunga na Channel yetu ya Whatsapp.

    • @wiliamungulu5383
      @wiliamungulu5383 6 месяцев назад

      Naomba namba yako nikupigie

  • @SIMONGERAD
    @SIMONGERAD Месяц назад

    Hauchoshi Wala hauboi

  • @kwayayamt.gemmakisongo7287
    @kwayayamt.gemmakisongo7287 6 месяцев назад

    Naomba namba tafadhari

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  6 месяцев назад

      wa.me/201028123266
      Bonyeza hiyo link utatufika moja kwa moja.

  • @PeterMwidete-wm5sh
    @PeterMwidete-wm5sh 10 месяцев назад

    Naomba namba ya whatsap