Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Basi, kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu tambiko ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa kwa midomo inayoliungama jina lake.Waebrania 13:15
    Audio Production Frester’s Records
    Video capturing :SyberFilms
    Video Editor :Fredrick Stephano
    Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital
    #Essenceofworship#TunaletaSifa#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

Комментарии • 806

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya 3 года назад +182

    Mbarikiwe sana Essence. Mungu awa bebe juu sanaaaa

    • @joyceheriel2779
      @joyceheriel2779 3 года назад +5

      Has anybody tried to tap on translate to English on this comment and see what comes up? 😂

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

    • @sylviamuhonja1936
      @sylviamuhonja1936 2 года назад +1

      Wait i ddnt see patrick😎

    • @sylviamuhonja1936
      @sylviamuhonja1936 2 года назад

      Ooh i thought its actually yoj who was singing
      Sorry sir

  • @jacklynekunikina1540
    @jacklynekunikina1540 3 года назад +70

    I'm blessed and privileged to be amongst the people watching the first 10 minutes.Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
    TUNALETA SIFA ZETU KWAKO,
    Wapi likes za +254

    • @SamuelErnest
      @SamuelErnest 3 года назад +2

      Wow

    • @ndungujeff8124
      @ndungujeff8124 3 года назад +1

      They should plan a worship moment In Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад +1

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @Leopardkingflix
    @Leopardkingflix 2 года назад +4

    Nani anaskiliza bass line na drums kama mimi...wah the groove is wow

  • @marthatattu8948
    @marthatattu8948 3 года назад +85

    This powerful praise was sung by this team when they graced us during the 72 hours of worship at Kingdom Seekers Fellowship in 🇰🇪 🇰🇪 last year and it is a BLESSING! I feel privileged to hear it again. Wastahili Yahweh 🙌🙌🙌🙌

    • @essenceofworshipministries
      @essenceofworshipministries  3 года назад

      Waooo You remember

    • @marthatattu8948
      @marthatattu8948 3 года назад +4

      @@essenceofworshipministries I found myself singing along and I knew I had heard it before. I love it love it. May the Lord refresh you as you refresh us.

    • @eunicerebo
      @eunicerebo 3 года назад +9

      Kenya is the one bombing the comments. Kenya looves essence of Worship. Your visit to Kingdom Seekers will forever be in our hearts. Come back again!

    • @marywangui7142
      @marywangui7142 3 года назад +1

      True

    • @cpaannwanjau6044
      @cpaannwanjau6044 3 года назад +3

      @@essenceofworshipministries We love your ministry led by Pastor Gwamaka keep ministering to us.karibu Kenya

  • @annendunge3441
    @annendunge3441 3 года назад +4

    Woow woow
    We celebrate you Essence of worship. Tunaleta sifa kwako wewe bwana

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @Malima29_10
    @Malima29_10 3 года назад +4

    Kiukwel Nyimbo zen huw zinanibarik xan,,,,,, Mungu awabarik xan........🙏🙏🙏

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @annahmungai7550
    @annahmungai7550 3 года назад +6

    Tunaleta 🇰🇪Sifa zetu kwako Bwana. Usifiwe Yahweh 🎺🎺🎺. So good Pst Gwamaka - Essence of Worship God bless you.

  • @mumbuamarion
    @mumbuamarion 2 года назад +1

    Alililili! 💕🙏❤

  • @margaretkanini2980
    @margaretkanini2980 3 года назад +17

    Only Kenyans here,we love u minister Gwamaka and all essence members

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @Johnsonkayila
    @Johnsonkayila 2 года назад +1

    Mashambulizi ya kiroho haya 😇😇😇😇

  • @sospetermongare96
    @sospetermongare96 2 года назад +10

    Wewe ni mungu (You are God)
    hakuna mwingine wakuabudiwa (There is none to be worshipped)
    Unastahili sifa zote (You deserve all the praises),
    wewe ni bwana (You are Lord)
    Tunaleta sifa zetu kwako( We bring our praises to you)
    maana Wewe ndiwe Mungu mkuu!(For you are a great God)
    Tunaleta sifa zetu kwako( We bring our praises to you)
    Bwana (Lord, Jesus)

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 3 года назад +11

    Tunaleta Sifa zetu kwako Maana Wewe ndiwe Mungu Mkuu💪.
    This is Powerful and Glorious🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @biggyronnymusic
    @biggyronnymusic 3 года назад +2

    MWAKA WA KUZAA MATUNDA KATIKA KILA KAZI NJEMA VIPIMO MIA KWA KIMOJA........Isee you TANZANIAA Ukizaaa Ibada zenye harufu ya manukato safi mbele za Mungu......bwanaaa weeeeeee Essence of worship hiii ni UMEME aloooo💥💥💥💥💥💥💥💥💥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @solowmak
    @solowmak 3 года назад +17

    Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu 🙌🙌🙌🙌🙌 This is totally amazing!!! Essence of Worship sijui nianze wapi, may the Lord bless your ministry exceedingly and abundantly for consistently blessing us. Love from Kenya.

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 3 года назад +1

      FBI vruclips.net/video/U9EBaCtGjN8/видео.html

    • @speranzakiragu3491
      @speranzakiragu3491 3 года назад +1

      We truly love them😍😍😍..... They are such a blessing to us.... More Grace essence of worship team.... 🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад +1

      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @alanpierrers
    @alanpierrers 3 месяца назад +2

    This is EOW best album so far.
    I usually come back to these songs every now and then.

  • @blessedmike7520
    @blessedmike7520 2 месяца назад +1

    I thank God for the essence of worship. The Spirit of God through this song came upon and I ministered it powerfully at our church, Winners' Chapel Int'l Nairobi. God bless you all, Amen!

  • @jackievictoriousnjoki2338
    @jackievictoriousnjoki2338 2 года назад

    Kweli Mungu ni mkuu, blessings!

  • @alvesmalano4457
    @alvesmalano4457 3 года назад +6

    Here in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you essence of Worship we were blessed in Nakuru ....the song is such a blessing

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @Kathryn82
    @Kathryn82 Год назад +1

    Usifiwe Yahweh.. beautiful song..
    Glory to God... usifiwe Yahweh 🎉🎉🎉🎉

  • @goodluckmsuya8994
    @goodluckmsuya8994 3 года назад +4

    Essence of Worship Mungu awabariki kwa Ibada hii Nzur sana sana Ubada hii ni njema sana sana sana

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @estherkilimba6881
    @estherkilimba6881 2 года назад +1

    Mmnanibariki sana🥰🥰🥰🥰🥰Mungu azidi kuwainua juuuuuuuuu👏👏👏👏👏👏👌🏿

  • @estherkanini8933
    @estherkanini8933 2 месяца назад

    This is my song as we climax the year 2024 🙌🙌🙌
    Usifiwe Yahweh 🙌
    Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu ... Bwana 🙌🙌

  • @RobertSalumu-kl3db
    @RobertSalumu-kl3db 5 месяцев назад +2

    Hakika wewe ni MUNGU,Pokea sifa

  • @mc_glenn254
    @mc_glenn254 3 года назад +4

    Tunaleta sifa zetu Bwana... Mob love from Kenya... Nice piece

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 3 года назад +6

    Gloryyyyy Gloryyyyy Gloryyyyy Gloryyyyy
    Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MiriamSagini
    @MiriamSagini 3 года назад +4

    Tunaleta sifa zetu kwako, maana Wewe ndiye Mungu mkuu! 🙏🏾🙏🏾
    Wonderful song, EoW! Mbarikiwe!
    ION, S/O to the bass player and guitarists! So groovy! 🙌🏾🙌🏾

  • @terryngunjiri2096
    @terryngunjiri2096 3 года назад +10

    This reminds me of 72hrs of worship 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. So glad to finally see the official video. May God bless you guys. Much love kutoka KENYA

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏

  • @bramwelsitumah
    @bramwelsitumah 3 года назад

    Woooow mnabariki sanaa
    Indeed hakuna mwingine wa kuabudiwa eh Mungu😁🙏🏻🙏🏻💪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @franckniyoyandemye7324
    @franckniyoyandemye7324 3 года назад +3

    Amazing 🎺🎷🎹🎸 Franck from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙌🏻

  • @paulinejumwa2992
    @paulinejumwa2992 3 года назад

    Bwana atukuzwe sana kwa ajili yenu. Mbarikiwe zaidi mnapoendelea kumuona Mungu kwa nyimbo, dance na muziki.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @julynchaila8818
    @julynchaila8818 2 года назад

    Waaaaaao Essence of worship mbarikiwe kwa wimbo mzuri

  • @mariamumuniss1338
    @mariamumuniss1338 3 года назад +2

    Tunaleta sifa zetu Yesu maana ww ndo Mungu mkuu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @belthaalfred3416
    @belthaalfred3416 3 года назад +1

    Kweli wewe ni Mungu hakuna mwingine wakuabudiwa,unastahili sifa zote wewe ni Bwana. Nawapenda mno mno mno nyie Essence Mungu awalinde na aendelee kuwapa Afya njema kila iitwapo Leo ili kusudi lake ndani yenu litimie Ameni🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️❤️

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @lifewithaugustine5942
    @lifewithaugustine5942 2 года назад +1

    Usifiwe yaweh part🤩🤩🤩🤩🤩

  • @cynthiamuriithi4678
    @cynthiamuriithi4678 Год назад +1

    So beautiful ❤️

  • @mgvinny6056
    @mgvinny6056 3 года назад +11

    What a beautiful song from you guys! Kuwapenda nako siwezi acha. 🕺🕺🕺🕺

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 3 года назад +6

    This live recording was outrageous! It was electric! Nasubiria collabo ya evelyn wanjiru maana that day ilikuwa ni 🔥🔥🔥🔥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @ErickAlex-mk3ef
    @ErickAlex-mk3ef 23 дня назад

    Ameni mubalikiwe sana💯♥️

  • @jeffmwirigi4010
    @jeffmwirigi4010 3 года назад +23

    Finally my song is out I heard it the first time at kingdom seekers and it really blessed my heart
    I learned that all the glory belongs to God no matter the situation

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @praygodmtera9907
    @praygodmtera9907 3 года назад +1

    Sauti zenye mpangilio zilizonia mamoja ndio acha kabisa ,Utamuuu Utamuuu tuuuu

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @praygodmtera9907
      @praygodmtera9907 2 года назад

      essence thanks for your love

  • @asheryfabiani6053
    @asheryfabiani6053 2 года назад

    Mungu awainue zaidi kwa katika huduma nzuri

  • @paulmasele9365
    @paulmasele9365 3 года назад +4

    Awesome! Excellent! Amazing! Magnificent! On point! Inaleta raha kumsifu Mungu ati! Nina uhakika hata Mungu mwenyewe anajivunia kuwa Baba yenu. You’re blessed servants, Glory be to God. Yaani ni 🔥🔥🔥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 3 года назад +1

    Unanipa RAHA MNOO MTUMISHI WA MUNGU........usibadili namna ya uimbaji HUKO MBELENI MANA WENGINE WAKISHA LEWA SIFA WANAANZA KUIMBA HAWATAJI YAWE WALA BWANA, NAFURAHI HADI DAKIKA HII HAUJABADILIKA KIJANA HONGERA SANA MUNGU AKUINUE NA FAMILIA YAKO , MM NAKUELEWA HADI SIELEWI YANI DAAAAH

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @mulokya93cdr44
    @mulokya93cdr44 2 года назад

    Sifa zote kwa Bwana aliye juu mbinguni ...🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mbolehsila4335
    @mbolehsila4335 Год назад +1

    Very powerful watching it from Kenya 🇰🇪 to the most high God be the glory

  • @hannahkarangu6756
    @hannahkarangu6756 2 года назад +1

    Tunaleta sifa zetu kwako, yahweh zipokee🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @frangowafula4884
    @frangowafula4884 3 года назад +1

    Among the first to reap this blessings from kenya

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @jumadalmas605
    @jumadalmas605 3 года назад +3

    Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu... hallelujah hallelujah🙏 Watching from kenya

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @phanicetracey6240
    @phanicetracey6240 3 года назад +5

    Woooow! Essence of worship, our East African Joyous celebration, thank you Jesus for this wonderful worshipers. God bless you essence of worship, you bless my heart.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 Год назад

    Kweli yatupasa kumpa sifa zote kwa Mungu wetu mkuu.
    Barikiwa sana wana sifa wote team hii

  • @jacobkioko8980
    @jacobkioko8980 3 года назад +16

    You never disappoint 🔥🔥🔥,I think you're the band that will be ministering in heaven.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 3 года назад +1

    Mbarikiwe sana asee huduma yenu ni njema sana #Yesu wetu atukuzwe milele

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @victormuuo5467
    @victormuuo5467 2 года назад +3

    If only Gwamaka knew how much he inspires me ...May God continue lifting you guys up for me to get more inspired

  • @LizzieGracious-q7d
    @LizzieGracious-q7d 6 месяцев назад

    Mbarikiwe sana maana mnatupea sisi vijana kuwa na tamaa ya kufanya kazi ya Mungu

  • @patricianyawira9553
    @patricianyawira9553 3 года назад +3

    Sifa na utukufu kwa Mungu. Love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @njerimureithi6924
    @njerimureithi6924 3 года назад +3

    A very powerful worship ......Hakuna Mungu mwingine wa kuabudiwa.Alot of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @charity.o9737
    @charity.o9737 3 года назад +2

    Tunaleta sifa zetu bwana..
    Love from 🇺🇬

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @A_proff
    @A_proff 3 года назад +2

    Sifa zote kwa Mungu Baba…
    More grace lovely ministers..napenda Hio dressing pia tamu❤️

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @Aggrey2107
    @Aggrey2107 3 года назад

    First On Here To Watch This Live Premier 🙏

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙌🏻

  • @marysnider4088
    @marysnider4088 3 года назад +5

    Milele na Milele Mfalme Usifiwe, I can't stop proclaiming the works of God when this song plays on my phone, we need u back in 🇰🇪 Essence.Glory be to God forever

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @abigailmutunga
    @abigailmutunga 3 года назад

    First of all,,Glory to God for such a team as you.. secondly..is Anyone Else seeing how the drummer is more than enjoying this?😅😅

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @gracebuchukundi5025
    @gracebuchukundi5025 3 месяца назад +1

    blessed again today

  • @kelvincharles4119
    @kelvincharles4119 3 года назад +1

    Tunaleta sifa zetu.... Kwako YESU. 💪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @alphankamendu2774
    @alphankamendu2774 3 года назад +1

    Sifa zote ni zako bwana wa mabwana. Tunaleta sifa zetu kwako tunaomba uzipokee👏🙏🙏

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @alphankamendu2774
      @alphankamendu2774 3 года назад

      @@Danielmparanyi amina👏🙏

  • @anapatrick8782
    @anapatrick8782 3 года назад

    Utukufu Kwa Bwanaa ainuliwe Zaidi mbarikiwe wote watumishi waimbaji💯💯🔥🔥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏🙏🙏🙏

  • @godfreyit8089
    @godfreyit8089 3 года назад +5

    I have been waiting for this song so long finally it is out....what joy in Jesus celebrating this song, God bless you so much team

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏🙏🙏

  • @isaacmwichande253
    @isaacmwichande253 3 года назад +2

    Wueeh can't wait😍 Kenya tunawapenda😊

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙌🏻

  • @mycrochetworld9876
    @mycrochetworld9876 3 года назад +3

    Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe mkuu... another beautiful praise from Essence of Worship... more grace to you 🙏🙏
    Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

    • @frankkitara
      @frankkitara 3 года назад

      BARIKIWA NA WIMBO HUU MPYA PIA
      m.ruclips.net/video/UTi5NOgsIOU/видео.html

  • @angelmagezi6834
    @angelmagezi6834 2 года назад

    Nilisubiri sana essence mbarikiwe

  • @JoshuaChaula-o1k
    @JoshuaChaula-o1k Год назад

    Mubarikiwe na bwana

  • @davidmshana5481
    @davidmshana5481 3 года назад +2

    Blessed watumishi wa Mungu, hakika ni manukato kwa Bwana 🤩🤩💥💥😍

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @donaldmassawe620
    @donaldmassawe620 3 года назад +2

    Utukufu kwa Mungu, na sifa tunapeleka kwake 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @rozinakatini7726
    @rozinakatini7726 2 года назад +1

    Tunaleta sifa zetu kwako maana ni zako Bwana .I just love the song so much unanibariki sana wimbo huuu

  • @mpoleentertainment1677
    @mpoleentertainment1677 3 года назад +1

    nimeleta sifa zangu...

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @julianambonea4299
    @julianambonea4299 2 года назад

    Mtumishi waMUNGU Akushikilie nakukuinua zaidi_nazaidi inaipelekamioyo yawengi ktk ibada yamguso wakiMUNGU! BARIKIWA RAFIKI WA KRISTO

  • @trizaadongo953
    @trizaadongo953 3 года назад +1

    Ni Yesu tu Wastahili sifa, powerful one 👏👏👏👏👏

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 3 года назад +2

    Usifiwe YHWH!
    Milele Daima iwe ni Haleluyah!!!
    Ninabarikiwa sana na uimbaji na huduma yenu njema!

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @dorahmanya2355
    @dorahmanya2355 2 года назад

    OO VERY POWERFUL...TUNALETA SIFA ZETU KWAKO MAANA WEWE NDIWE MUNGU MKUU BWANA!

  • @carolynekhakasasikolia2238
    @carolynekhakasasikolia2238 3 года назад +1

    Tunaleta sifa zetu kwako, maana wewe ndiwe Mungu Mkuu!!! Already a hit song!

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @davidjulius8544
    @davidjulius8544 3 года назад

    Kaka Joshua nimefurahi kukuona ukifanya maajabu yako kwenye kinanda, nice song, well arranged.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 3 года назад +1

    Amaizing praises 🙌🏿... Essence of worship nyinyi ni watu wakuu Sana you get bigger everyday, Mungu azidi kuwainua Sana ministers..Hakika Mungu anastahili sifa za mioyo yetu Hallelujah 🙌🏿

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @overcomerkagwiria7597
    @overcomerkagwiria7597 3 года назад +2

    Usifiwe Yahweh hallelujah Yahweh 🔥🔥🔥, powerful , my best worship team

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @stanleybulinga4788
    @stanleybulinga4788 2 года назад

    Mungu awabariki essence of worship

  • @keziahmbau3671
    @keziahmbau3671 3 года назад +5

    It's the lady for me..the lead dancer
    This is glorious..

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

  • @mariafrancis4761
    @mariafrancis4761 2 года назад

    Dah ni viwango vya juu

  • @abigailmutunga
    @abigailmutunga 3 года назад

    Someone just buy me a ticket to one of essence of worship live recordings plllzzzz😅😅 coz Wueeeh 😅🔥🔥🔥

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 2 года назад

    Mungu Una sauti nyingi Sana 🙏

  • @fridahmakena2018
    @fridahmakena2018 2 года назад

    Tunaleta sifa zetu kwako mungu mkuu..wonderful

  • @susanmbeyale2060
    @susanmbeyale2060 3 года назад

    Munguu azid kuwainua zaid mnafanyika barak sanaa kwa sie tunaowapendaa

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻

  • @allthingslifebyd.k2060
    @allthingslifebyd.k2060 3 года назад

    heeee my friend. Essence of worship never dissappoints.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏🙏🙏🙏

  • @poulletkavuvi7451
    @poulletkavuvi7451 3 года назад +1

    Amewafanya makuhani wake kumtolea dhabihu za sifa.Kutangaza makuu yake.
    Yeye aketiye mahali palipoinuliwa juu,katikati ya makerubi.

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @florahngaiza2332
    @florahngaiza2332 2 года назад

    Mbarikiwe Sana vijana wa Yesu.

  • @sylvialanya2491
    @sylvialanya2491 2 года назад +1

    Amazing Amazing Amazing... this one is a bomb..ave re played it over n over..Essence of Worship.. God in heaven dances to this. ..with no doubt..you bless me big tym.. continue growing to greater heights in true praise n Worship of our God..

  • @maritwamega
    @maritwamega 3 года назад

    Powerful praise #tunaleta sifa zetu.. my the grace of God be upon you always to do great works

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @vicentjoseph6888
    @vicentjoseph6888 3 года назад +1

    Nilikuwa nikiusubiri sana wimbo wa sadaka Kwa MUNGU wangu, hatimae umetoka,, ☄️☄️☄️☄️☄️❣️❣️🎧

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @christinemuthama6625
    @christinemuthama6625 3 года назад +2

    Powerful ministration. Keep winning

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 3 года назад +3

    POWERFUL 🔥
    EXCELLENT 👌
    GLORIOUS 🔥💯💯💯

  • @frankluoga9651
    @frankluoga9651 2 года назад

    Mungu azidi kuwatunza ili mfanye mambo makuu zaidi ktk praise

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 10 месяцев назад

    Mungu awabariki sana essence of worship 🎉🎉🎉

  • @johnieones6703
    @johnieones6703 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥tunaleta sifa zetu kwako

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏