Ngome inayotembea: Ndani ya magari ya kifahari ya Putin na Xi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • Ulimwengu uliogubikwa na siri ni wa magari yanayowasafirisha viongozi. pale usalama unapounganishwa na ufahari. Magari haya ni zaidi ya usafiri - yanabeba nembo ya taifa- yakionesha teknolojia mamboleo na ulinzi usio mfano. Gari gani limekuvutia? La Putin au Xi?

Комментарии • 2