MANDALA ALIA KUTOLEWA UWANJANI KISA SHABIKI WA SIMBA | MPIRA SIO UADUI | MPANZU ATAWANYOOSHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 53

  • @benedictoandrea-ny1cf
    @benedictoandrea-ny1cf 14 часов назад +1

    Oya mandala nakukubali kinomaaaaaaaaaaaa kaka ang

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 21 час назад +1

    tatizo nduguzetu washamba sana utopolo

  • @azzanassor3482
    @azzanassor3482 День назад +3

    Hayana team Ndo maana yanafunga kwa mkono

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 20 часов назад +1

    Nenda kamshitaki police fungua kesi ya kutishia kuua,ushahidi clip hy atakaa sawa huyo mjinga mmoja,na itakua funzo kwa wengine,huko tunapoenxa kuna watu watasababisha mauaji kwenye mechi km kwa wenzetu,hii co tabia yetu watanzania

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День назад +2

    Huuuuh si mpira yanga wasenge sana.....

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig День назад +1

    Tutawafanyia mbaya wasije kwenye mechi zetu zasimba kuanzia Leo tutawafanyia kitu kibya watajuta kuzaliwa

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 15 часов назад

    Nawasije kwenye mechi zetu ,, ubaya UBWELA

  • @FadhiriMyamba
    @FadhiriMyamba День назад +3

    Sasa Kama mbwai naiwe bwai2 shabiki wagongowazi akitokea kwenye mechi zasimba apigwe mbaka anye mavi tunakoelekea kubaya

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y День назад

    pole mwana tuta lipa

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 16 часов назад

    Nasisi tuwafukuze wakina God yanga,mzee wa utopolo na shetani wasije Kwenye mechi zetu

  • @LovelyBakedBuns-ue7un
    @LovelyBakedBuns-ue7un 15 часов назад

    Wape za macho hao utopolo mbona wenyew kila siku kuitukana simba na tuna nyamaza washamba tu hao.

  • @VedastinaVedarian
    @VedastinaVedarian День назад

    Umekua mpoleeeeeee leo hujachangamka kabisa jomoni😊

  • @burukinyebo6294
    @burukinyebo6294 День назад

    Sema hakuna timu yenye mawazo yaliokufa kama Utopolo sasa hivi mpira upo ktk nyezo za kiteknolojia yaani Mpira sayansi lakini Hawa utopolo bado wana mawazo yaleyale ya kizamani ya kuvunja nazi njiapanda,..uchawi ungekua una nguvu basi Rukwa ingekua ishatoa Bingwa wa Ligi kuu mara km zote

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb День назад

    Yanga timu ya kichawi

  • @BeatriceZakaria
    @BeatriceZakaria День назад

    Achana nao hao wala wasikupotezee muda,Nawenyewe tusiwaona kwenye mechi zetu tutawapiga siwameanza ubaya sisi tutamaliza na ubwela

  • @NuruAmina-h1q
    @NuruAmina-h1q День назад

    Yanga washamba

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 День назад

    Fungus kesi shtaki polici ni ku kutishia maisha

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 День назад

    Kwani kwenye timu mnachagua watu wa kuingia na kalipa pesa yake kwa nini

  • @husseiniddy5094
    @husseiniddy5094 День назад

    Ila hii sio fair kwenye mapato ya uwanjani huwa yanatokana na mashabiki wa vilabu mbalimbali ukianzakubagua watu mtapunguza mapato

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene День назад

    Ni washamba awaoni kocha wa simba amefoto picha na washabiki wao waende wakasome na kujifunza kwa simba

  • @kelvinmsyani3913
    @kelvinmsyani3913 День назад

    Tutalipa na sis ubaya ubwela

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 День назад

    KWANZA SIKU HIZI MABAUNSA WOTE WANALIWA NDOGO TU HAWANA LOLOTE

  • @AlfonceKasanyi
    @AlfonceKasanyi День назад

    Wamejaribu kukuroga wameshindwa achana nao achana na hiyo elfu kumi itawasaidia Utopolo washaanza kutembeza bakuli

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri День назад

    Achana nao wasenge ao wakifungwa kila mtu wanamchukia utopolo sio timu ya mpira

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 День назад

    Timu ya hovyo sn hiyo wakija na nyie muwatimue

  • @FaridaMwamlima-b9l
    @FaridaMwamlima-b9l День назад

    😅😅😅😅😅 achan nao hao hawana tim had wanafugia mkono

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q День назад

    Washitaki washamba wakulipe fidia

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh День назад

    Hao ndio nyuma mwiko. Kesho utamsikia kamwe anasema wao ndio wanamashabiki bora afrika. Uborawenyewe ndiohuo.?

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День назад

    Bola timu yyte ikicheza mshabiki wa upande wa pili wasije kila mtu na timu yake

  • @JaphetAndondile
    @JaphetAndondile День назад

    Wewe SI ndo huwa unaisifia yanga ukome

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 День назад

    yanga ni chama cha siasa ..tawi la CCM yenye central committee inayohusisha mawaziri 6 na ramadhani kayoko (UTI sugu)! yanga sio timu ya michezo..! mjue hilo.. na ndio maana mimi hata kuangalia mechi za yanga mtandaoni sina haja.. ni majitu ya hovyo sana!

  • @MuhidnMwinyi
    @MuhidnMwinyi День назад

    Pole Sana tatizo hivi vilabu vimengiliwa na wajinga, watu wametoka huko wanatafuta umaarufu hao wenye YANGA yao wala

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx День назад

    Mdomo wako umekupoza

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb День назад

    Viongozi wa wayanga hovyoo

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q День назад

    Nawao wakija tuwafukuze ibaki Ivo au tff ichukuwe hatua

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 День назад

    mbona Ally kamwe ana mdomo mchafu sana kuliko huyu

  • @neemamwijage
    @neemamwijage День назад

    Wakurudishie pesa yako sio vizr

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День назад

    Mi nauliza simba na jkt kipolo chao wanacheza lini?nauliza

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 День назад

    Maneno yako ndio yanakuponza.

  • @NassibuJaffari
    @NassibuJaffari День назад

    Mbn cc atumfukuzi mchome

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 День назад

    Acha wakufukuze umezidi mdomo yani wewe huna uhalisiya wakutaniya Kimpira kunamahali unatukqna huwena unakuwa umenda kuloga ondoka acha kudandiya mechi zenye siyo zenu😂😂😂😂😂

    • @bone102
      @bone102 День назад

      shetani wa Yanga mbona anaingia kwenye mechi za Simba na anatoa ahadi ya kuchinjwa ila sisi mashabiki wa Simba tunapiga nae story na tunamtania nyinyi mashabiki wa Yanga na Uongozi wenu haujielewi juzi shabiki mwenzenu wa Yanga kapigwa makofi na hao hao steward haya tuambie huyo shabiki wa Yanga aliyepigwa game na al hilal nae ni simba?

    • @MauaGabriel
      @MauaGabriel День назад

      Wew kumbe n msenge kanisa yusra maana unachochea ugomvi kwenye suala la mpira wakati mpira n burudan pia Simba na yanga n watan wa jadi toka enzi za Babu zetu

    • @MauaGabriel
      @MauaGabriel День назад

      Na kama mnataka shari mbona hapatakalika na pia tutaharibu tashwira ya soka ktk nchi yetu Kwa mawazo ya wapumbavu kama wew yusra

    • @ElizabethMurgo
      @ElizabethMurgo День назад +1

      Bora umwsmbie ajielewi na magoal yao ya mkono

    • @yusrairakoze3966
      @yusrairakoze3966 День назад

      @MauaGabriel huwenda wewe ndiyo mpumnavu kabisa wala hujielewi kabisa kwani Yale maneno mabovu anayo yaongeya ndo mazuri hayawezi kuharibu chochote punguzeni maneno yakukashfu watu kila kitu kiende sawa

  • @MussaMbii
    @MussaMbii День назад

    Acha shobooooo Kolo weweeee

  • @NurudiniSankulo
    @NurudiniSankulo День назад

    Wanaabudu uchawi wajinga tu