Hali hazifanani kama mtu uwezo wake anaweza ku afford hakatazwi kikubwa ni kulinda tu mipaka mana ni haram mwanamke kujianika kwa mitandao na kupaisha sauti hivyo ila yote kwa yote Allah atuhifadhi
tunakosea huku tunajiona tukosawa hakuna tafauti na taarabu huwezi sema kuwa Hili ndo dufu aliloguambia mtume tupige kwenye maharusi wanawake wa kiislamu tunakwama wapi
dada zetu wa Zanzibar wabishi sana ,hapo kuna wengi hawana hijabu ila hawajashtuka,nguo wengine hazijaenea kwenye mwili,wamefunga nywele kwa nyuma ni kosa unafatilia vizuri hivi vitu. na hii mnanda hauna tofauti na Makame Faki,kwa kweli kazi ipo siku ambayo hakutokua na kivuli ispokua cha Mola.
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️ ukhty Mwanacha nakupenda nakupenda Tena ukhty 🌹❤️❤️❤️🥰🥰👌👌
Masha allha ukyti mwanacha pambe kazabuti songa mbeleeeeeee tizama lako wasikuvunje moyooo binaadamu ss
Noma sanaaa mashaAlllah mwili unasisimka
Anaesema huu ni wimbo gonga like
MashaALlah hongera Kwa mafundisho mema ya harusi
wimbo mzuri sana kutoka kwa maukhty wetu. ila tu kama hamjaoleka. tafadhalini msijiunge na uzinifu
Hellow
mashallaaahh!!! naipenda sana hii qaswida.. hongera dear 😘
⁰0⁰0⁰0⁰Aà0q000⁰00⁰0000000000
Masha'Allah Allah Barik fiykum
Mashaallah mwanacha mashaallah naipenda sana hii qaswida
Ukhti adila safisana ukhty Aisha safisana mwanacha unaniuuuwaaaa
Mashaallah kwakweli unajitaidi sana mungu akupe gufi uzidi kutupa vitu
Maa shaa allah
Uko vzr mdogo wng ukht mwanacha
Maashaalla nyimbo mzuri
Mwanacha sauti amekupa Mungu ya saaalaammm
wow mashallah allah akuze kipaji chako♥️
Mashallah nimeipenda sanaaaa 👌🏽
Mashallah ksawida pambe
Mashallaah ukhty mwanacha nakukubal sana uko Juu ukoseiiii
From tiktok
Napenda iii nyimbo😊
I wish niolewe tena
❤️❤️❤️ 2021 we are here
Mashallah inshallahmungu akuze kipaji chako
Tmu ya wtu wtatu. Mamb. 💥💥💥💥💥💥💥
Ma sha Allah ma sha Allah
Mashaallah daa zangu
Jamani hii ni kaswida au taarabu
Hongera san ukhty
Ibrahim nisalime sana Ukht mwanacha ujumbe umefika vyema🌙Ramadan Qareem wote islama
Ndo aliemuoa mwanaacha uyo ibrahim 😂
Enheee
My fever qaswida love pop..❤❤
I really appreciate her Qaswidas
Nataka muje niimbie kwa harusi yangu Niko 254
❤❤❤❤bést song
Nice voice Ma Sha Allah
Please jina la kaswida
Humnh wanawake sie bwanaa daanh mungu atusalim salama 😢🤲tunapenda mambo hatar japo mtu akimaliza huwa madeni matupu ilimradi t😭hatari
Hali hazifanani kama mtu uwezo wake anaweza ku afford hakatazwi kikubwa ni kulinda tu mipaka mana ni haram mwanamke kujianika kwa mitandao na kupaisha sauti hivyo ila yote kwa yote Allah atuhifadhi
masha allah ukhty
Mashallah mashallah🥰
Mashallah ❤❤❤❤👌👌
Maashaallah mwanacha
Ngoma Kali kinoma beat ...Kali nataka instruments yke hii
Duh kaswida hakuna Bali Kuna taarabu ndugu Rudini kwa mungu
Ushazoea tahrabu ...kaskilze taharb huko wachana na hzi...😊
Beautiful voice MashaAllah, better then the original 👍👏👏
Mashallah ukhty mwanacha
hongera wajua
Subhanallh😭😭😭😭😭😭Dhambi hilo
Dah et wanaita kaswida ili wIfanye ni halali. Allah awaongoze
Tafuten la kufanya ny nanyi...wew unae dhambi una usafi gani...
Kasida dida ananipenda
Masha allah 🔥🔥🔥🔥🔥
MashaAllah 🥰🥰🥰❣️
Dadi ananipenda
Na hii qasida au? Jamaniiiiii tunaelekea kubaya
MASHAALLAH
mashaallsh
Uko Vizuri Kwakweli
Watoto nawapenda hawa naamini chumbani utastarehe
Nyiyi mnaweza jaman nauyo aliewapigia ilo biti
Beautiful ❤
Mashallah tamu snaa
Ukht lkn hizi ni nyimbo
Sikuizi hakuna kaswida Bali nyimbo za kina Isa matonya
Mashaallah imenoga
Ukweli usemwe umetisha mwanacha
Mashaallah naomba namba za hawa watu
Nice❤️
Taarabu hiyo
ماشاالله ❤
Rahma kama unazo nitumie kwa whatsap pls 0684606015
Umejitaid kidogo
tunakosea huku tunajiona tukosawa hakuna tafauti na taarabu huwezi sema kuwa Hili ndo dufu aliloguambia mtume tupige kwenye maharusi wanawake wa kiislamu tunakwama wapi
dada zetu wa Zanzibar wabishi sana ,hapo kuna wengi hawana hijabu ila hawajashtuka,nguo wengine hazijaenea kwenye mwili,wamefunga nywele kwa nyuma ni kosa unafatilia vizuri hivi vitu.
na hii mnanda hauna tofauti na Makame Faki,kwa kweli kazi ipo siku ambayo hakutokua na kivuli ispokua cha Mola.
Ni mtihani kwakweli. Wanaona Mtume alikuwa mshamba sana kusema watumie DUFU . Harusi kama hizi hazina baraka ndani yake
Tafuteni la kufanya ny nanyi...nyi mna usafi gani. !!!🙄🙄
Acheni kujifanya washka dini,yenu mwayaficha hakuna msafi duniani ,furahieni mafanikio ya wenzenu sio kutia ila
Jamani nawaomba mwenye hii Qaswida anitumie whatspp naomba
Ulishaipata?
Mashallah
❤❤❤❤❤
Mashaa.alllaaa
Mashaallah ❤❤❤❤
Mashaallah barakallah lakuma wajama abainakuma fil kheir
Me nampenda huyu mwanacha
Masha allah
Kuuliza sio ujinga nini maana ya UKHTY
Dada
mashaalla
❤️❤️❤️❤️❤️👌👌
Ukht Aisha love u 0657453334
Nzuri
Mashallah nzuri
💙❤❤❤
Taarab hii
mashallah
😍😍😍😍😍😍😍
Mwizi
MashaAllah
Hizo ni tarabu
Mashaa Allah
Kusema ukweli anajitahd kuimb
MashaAllah😍
Haraaam muta kwenda jib mbele ya Allah nyie majaahil wakubwa
أدعو الى سبيل ربك بالحكمة والموعظة الحسنه
Sura ya 16:125
Utadhani yeye hana cha kwenda kujibu
Hashuo aliyekutuma uangalie nani
✌✌
👌👌
Wowing 💜💜💜💜💜💜💜👍👌👌👌👌👌
Ma sha Allah
Mashallwa
Mashaalah wimbo mzur
His
Said
Mashallah ❤️😍
Mashaallah❤❤❤
Mashaallah good
MashaaAllah
Mashallah
❤❤❤❤❤❤
Mshaallah
Mashaallah
Maasha Allah
❤