Johnny's "hauwezi jua niko Wapi ata ukam na budha blaze" punchline invokes memories of WAPI(words and pictures) them days at BC apo upper hill😃.Used to be lit🔥until they relocated it to ngara😒
hizi lines ni mwoto sana Acha wabonge TU weuwe Wamlambezz take notes muzik with well mastered lines beats si kelele Dandora was Dandora kitu safe the Kenya hip-hop city
0:11 hii trumpet ya mChizan huwanga imenimaliza!
Vigeti alifunga kazi
changamka kama kanisa on Sunday hivi
Uneza sema mic ni supper vile inatafunwa freshi
Si lazima ucheki ktn ujue who's smarter now
Kamaa always hits the nail on point... hardest guy ever
very hard
Sasa hii ndio mziki naweza relate to! Wapi link to buy the Album!!!
John vigeti never disappoints with punching lines, big up to entire K-shaka crew!!
"Natokea dandora land ya gikuyu Thai Thai, ukikam na hizo, unathiukurwo tu saa hii saa hii" vigeti
dando msee
Hiyo line tu, iliuwa track
Hapa si theatre kuanza kuact hivo ndo haifai...
Killer punchline
For real man
there will never be another k-shaka this talent was beyond its time
Legends of the Kenyan rap scene
Ati ni wanna be wa rap
Word
No doubt 💯
😂😂😂😂 watu wako off beat mpaka nasikia kulala mpaka niwe na coffee wanaboa kinyama 😂😂😂 au VP nawakubali sanaaaaa wakubwa
Johnny's "hauwezi jua niko Wapi ata ukam na budha blaze" punchline invokes memories of WAPI(words and pictures) them days at BC apo upper hill😃.Used to be lit🔥until they relocated it to ngara😒
WAPI was LEGIT!!!
Imerudi Pale Lava Latte.. Statehouse road
Used to do graffiti art pale british council..them days long gone 😏
Those were the days
Chizen brain the baddest beats master
😂😂😂 viget bhana number 9 mi ndo nagundua rapp ako inadai saverc salut sana kalamashaka toka 255 tz APA man 2024 Nouma sana
In my best Clay Davis voice '...sheeeeeeeeeee.....iiiiiiittt' 🔥 🔥 🔥 This is off the chains... Damn!!! Utmost respect for the pioneers.
Not often you meet a person who likes the wire and kshaka all in the same breath. Feels like you and I could be really good friends
The Wire, mad respect
Thanks to all heads for the support!!
"UNA WEZA SEMA MIC NI SUPPER VENYE INA TAFUNWAA FRESH"🔥🔥
Kenyan wu-tang 🔥🔥
STILL FOREVER ...THE ONLY GROUP THAT MADE REAL HIPHOP IN + 254
Ati we ni hustler unaeza uzia eskimo soda baridi
Real talk..K Shaka
K shaka should open Dandora Stadium with a performance.... No Dandora without Kalamashaka....
True
3:34 "Giddem a run Giddem a run.. yaani bado tuko pon de riddim, pa pande hizi"..Vigeti jo.. wacha tu..flow
my number 1 kshaka trak of all time!!!
kama roba na johnny vg!!
machine gun funk!! now this is some serious rap music, them punchlines heavy like bam bam!!
hizi lines ni mwoto sana Acha wabonge TU weuwe Wamlambezz take notes muzik with well mastered lines beats si kelele Dandora was Dandora kitu safe the Kenya hip-hop city
wakiwa mnazi huwa wa rowdy ka wajerumani redykyulass, ni kama wamekunywa mong'are mathare scandolous...damn
Vigeti's verse is fire!
+Paul Njoroge Nakubali mzeya!!! Unaweza sema mic ni super vile inatafunwa jo......
This would have broken the internet if it was played in this Era...Good old times.
You guys need to comeback ....we need you to make real rap..
Forever bumping my speakers to this
K.shaka..we need you in this Ke vs Tz beef
Mi ni uncle na 'Blood' ya ku 'Creep' any Gangsta... Roba punchline.
Mi sio jiga, na snoop ni 'encore' na blood ya kucreepia any gangsta .... It's a long and complex rhyme/punchline... Also very intelligent
Kamaa ni Mista Spitski....si we ni hustla unaeza uzia coke baridi ma-eskimo!!!
Some one call the cops vigeti ameuwa hio track noma sana
2023 tuko hapa
Hukujia hii track juu ya vigeti tu 3:32 🌋🌋🌋🌋
"watu wako off beat, mpaka naskia kulala nataka coffin ...." Johnie Vigeti.
Coffee sio Coffin msee.
2021 checkin in,,, i love my culture its who i am, i love myself, I am one with the music,,, One small text for mankind...
Firing on all cylinders!
Salute to the Pioneers, Kalamashaka. Big up Kenyan Hip Hop
oterraw si superman so siitaji s kwa chest ni stress
Hapa wangeoza tuu Kitu sewer ingeungua ilipuke🔥
Boom!!!
Unaezau uzia coke baridi maeskimo... We ni ile kitu unakula... Si lazima uone KTN ndo ujue who's smarter now... Kila mtu akimada hii ngoma!!!
Kenya times wanaleta rhymes🔥🔥
Thanks for the upload man. Nimeitafta sana. I would love to buy the album
Kshaka na chzn brain warudi game bana
Came after Kharigraph Khartel 3...to listen to real hardcore
Me too!
Wote wako tu sawa,😂si lazma uchukie mmoja upende mwingine hiyo ni ubombo ya divide and conquer
Vigeti ni noma
Bounce ka track ya Ambizo ama cheque mbaayaaaa....
Wasiojua K Shaka wanafaa WaTafsiri hizi Mistari
The illest trio Kalamashaka.
changamka ka kanisa on sunday ivi
Yoooo 🔥🔥🔥🔥🔥
Fine lyrics. Real to the core.
Too bad they don't benefit as much from their talents.
So sad that commercial music is prioritized by the mainstream media, yet such conscious music is swept under the carpet.
@@raphaelotieno888 real shame
@@raphaelotieno888 sad reality
2020 still
Apa si theater kuu anza kuu act hivo ndo haifai
Я люблю этой песня. I love Kenyan music.
NO REFORMS NO KALAMASHAKA. EPIC we need atleast another track.
k_shaka forever
Been lukin for this joint for ages..thanx for the upload yo
beatz moto brain ..
Last verse was 🔥🔥🔥
Vigeti was lit🔥🔥🔥🔥
Real hip hop Dem days.
loving this song
Kshaka 🙌🙌
Kama na Vigeti noma sana Jo
Naskia wanabonga tu hadi hi 2020... Wanabonga tu
naskia wanabonga tu...unaweza sema mic ni sapa vile inatafunwa
On sequel 4 life 🔥 Classic.
Watu wako off beat hadi naskia kulala nipe Coffee...Vigeti juu kama kawa..kahawa lol hiyo ni sawa
2022 back here
Naskia wanabonga tu,,ile mbaya
Vigeti is talented
MAU MAU -KILIO CHA HAKI
kamah 10/10
I think we need a Verzus ya Wakadinali and Kalamashaka
Ni laana mtoto kukunjia ngumi Baba
@@monicawanjiru2379 Basi Kleptomaniacs Vs Wakadinali...we just need something kuchangamsha game
Anaona mzuka, anatry kuzinduka...
2019 shit is timeless
Damn, can't get enough of this song, fucking hail. 🤘🏾, Where can I buy this Music/album Sir?
Si we ni hasla unaeza uzia soda baridi maeskimo.......
ndoto horror haziwezi wacha udoro.
2021 we still rocking
Hope kalii
"...so Johnny please be good ."
Finally it's uploaded👍🏾
Marapper round hii wako off beat itabidii wakule makofii....ama ni styl zao zinahitaji service damn johnny
changamka ka kanisa on sunday hivi....
Johny killed the second verse
That's Roba
Boomboo 2019 still bangin K~shaka in my car. Wacha wabonge tu!
noma noma...mrudi kwa game.. This is 2018..
Bado 2017 blazin this. Kitu tunakula ni scientific!
Peter Mbogo kabisa
Baro kwenye
Walienda wapi hawaa..
Kalamashaka mambo mbayaaaa
Si we ni hustler unaweza uzia coke baridi ma eskimo!
ata mi naskia wanabonga eeh
Nice music,Vitu mbaya,Otero,Kama
noma sana
Pioneers Kshaka
#My only hip hop legends in Africa
kalamashaka
🔥🔥 is mwoto sana
WUTANG YA +254
vigeti on top
kenya music the best