RAIS KAGAME ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU WAASI WA M23 WA CONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 157

  • @DivinMaombi
    @DivinMaombi 4 дня назад +3

    Kagame hawezi itika kweli siwenyewe tumeshuhudia kwamacho zetu askari warwanda kupitia mipaka nakuwazaidiya wahasi sikuwa walio uteka muji mukuu goma

  • @NepporSabith
    @NepporSabith 17 дней назад +8

    Huyu mwamba usijipange naye kwenye swala la vita ,maana hanaga SIASA ktetea wanyarwanda nawanao zungumza kinyarwanda popote walipo,Taifa lake linajengeka kila siku huwezi amini hana malighafili kwenye nchi yake hili liko wazi, chamsingi Kheseked atulie amuite wakae meza Moja au M23 akae nao wazungumze kwaajili yakuleta USALAMA wawananchi wa CONGO

    • @Crizostom
      @Crizostom 9 дней назад +1

      Niwakala WA CNN na marekani kwaiyo anatumika na mabeberu

    • @MercyJ-p6y
      @MercyJ-p6y 8 дней назад

      We kuma we

  • @YusuphIddy-h2d
    @YusuphIddy-h2d 2 дня назад

    Wanamsingizia huyu mzee kagame moto unao washwa hapo nikwamba tutaipoteza afrika kwasababu wapo wenyetamaa wanao ihitaji kongo kutokana na malizake mungu asaidie taifa lakongo na hao wote waumbuke wanao anzisha vitahiyo

  • @shamisissa9165
    @shamisissa9165 6 дней назад

    😂😂😂 Kwa hiyo wasiochaguliwa kumbe na huko wapo? Itakua wamekopi Kwa wenzao 😂😂

  • @RAMADHANIHAMADI-c7i
    @RAMADHANIHAMADI-c7i 7 дней назад

    Kagamee yupo sawa❤🎉🎉🎉

  • @SeruhungoAlex
    @SeruhungoAlex 6 дней назад

    Musaza H,E p,kagame ndakwemera go forward

  • @Umuhetsi
    @Umuhetsi 16 дней назад +4

    Raisi kagame ni mukweli tena ni mwanaume kbs

  • @AdjiShango-k5q
    @AdjiShango-k5q 10 дней назад +1

    Mkuki kwa nguruwe ni Sawa Ila kwa binadamu ni chungu,kwa kila jambo kuna majira. Acha n'a tuone huu mchezo vile utakavokua.

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 15 дней назад +2

    Kagame 👍👊💪😎🇹🇿

  • @ubwihishotv8265
    @ubwihishotv8265 17 дней назад +3

    Wewe unayesema muheshimiwa Kagame ni mujyinga wewe huna hakiri kama Raisi wa congo anahakiri sarinde wanaichi wake kazi si kuria TU Congo Haina jeshi inarindwa na warundi na ichi zasadeke na terahamwe kutoka Rwanda kwaufupi Congo Haina kiongozi Kagame ni shujaa wajaribu wawone

    • @KatemboJeremica
      @KatemboJeremica 17 дней назад +2

      wewe imbwa koko shoga ngurue kagame yeye ni nani na kazi yake nini nyinyi wenyewe mwakimbia nchi yenu kwa kukosa amani furaha Congo imewa weka kwa muda murefu sana na iyo Rwanda kuitwa Rwanda Na uchumi wa Rwanda ni Congo mukiiba madini uko Goma Bukavu sasa muda wenu umefika

  • @Jamillabeloni
    @Jamillabeloni 10 дней назад

    Uyo kagame nimuchawi ka bisa ame fatiliya sana congo yetu🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪

  • @FrancoisMushagalusak.
    @FrancoisMushagalusak. 2 дня назад

    Sasa kwanini kwakila kushutumiwa kagame ndiye anaalikwa kukuwa muovu ku shambuliya RDC

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 17 дней назад +3

    Kwa. Uelewa wangu mdogo wa darasa la saba, nimelewa. Raisi wa congo. Ni kibaraka wa nchi za maghalibi kawekwa kwa masilai ila sio chaguo la wa congo.

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Wewe kweli hujui kitu chochote kuhusu Congo... Ludi shule kasome... Tshekedi ndo raisi mwenye msimamo zaidi kuliko raisi yeyote kuwai kutokea Congo... Wakongo wanamuita mtoto wa Congo... Tshekedi nikama Magufuli... Hakuna kipindi M23 wanapata tabu kama sasa.... Kafukuza hadi wanajeshi wa umoja wa mataifa kutokana na kukuza mzozo Congo... Soon anawamaliza M23.. Amezamilia na ata shinda

    • @KasendrLukadi-pj7xy
      @KasendrLukadi-pj7xy 15 дней назад

      Hamna uongo huo wa kagame wa nyarwanda haweji wezi kuishi naku kuza uchumi pasipo leta vurugu ktk inchi za maziwa makuu mbona burundi haileti kelele congo inawatu wana sema kinyarwanda sasa kupitiya hao njo rwanda analetea congo shida yeye kagame kuna social money anawapaga wa rwandese mandeleo gani analeta uko rwanda ku ondoa takataka barabarani naku jenga magorofa njo maendeleo tu?

  • @IsharaDavid-n1k
    @IsharaDavid-n1k 17 дней назад +4

    Jikaze sana kutuleteya habari za huko Congo 🇨🇩🇨🇩💯💯

  • @Milamilasf
    @Milamilasf 16 дней назад +3

    Napenda habari hi Mataifa hua wanadanganyasana kiukweli watusi wa Drc congo siwanywa Rwanda swali Wamekuliwa nyama wame uwawa Hiomonusko haija ripori kitu basi kwanini kulaumuRwanda wenyewe mumeona laki tatu Yawakimbizi Uganda laki nyngine Rwanda kenya Tz ulaya JE Watusi wakonngo wamefanyanini?

    • @nambasasarah2725
      @nambasasarah2725 16 дней назад

      Minerals for the white man who owns the mines

  • @MulegaJulbert
    @MulegaJulbert 3 дня назад

    Sisi kama raiya wa congo tuta pigana ahadi tungombowe ichi yetu

  • @jeandenga
    @jeandenga 8 дней назад

    merci pour la voix du peuple

  • @GerlossbChadboy-s8w
    @GerlossbChadboy-s8w 8 дней назад

    Paul kangame ni munafiki afe naasizikwe inaomba atundikwe naaliwe na ndege

  • @SifaMwatanya
    @SifaMwatanya 9 дней назад +1

    Yeye paul kagame alishaka chaguliwa hata limoya huko rwanda ?

    • @GerlossbChadboy-s8w
      @GerlossbChadboy-s8w 8 дней назад

      Hakuna ndomana namuonaga kama mbwa anakaakimya ila anamaneno mengi moyoni

  • @RizikiBahati-c8z
    @RizikiBahati-c8z 10 дней назад

    Kagame ogopa Mungu,umetutesa sana kumbuka historia ya goliath ipo siku utakufa kwa lijiwe kuliko risasi Mungu wambinguni akulaani!!!

  • @ingenieurfidele-ru7bv
    @ingenieurfidele-ru7bv 8 дней назад

    comment un pays digne de son peut accepter de coopérer avec un groupe des rebelles , je suis congolais et je mourais congolais , Nous déclarons la guerre entre le Congo et le Rwanda

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 17 дней назад +6

    Kagame yuko sahihi sana, siku hizi propaganda ni mhimu kuliko ukweli halisi.

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Kagame yeye ndo mwenye propaganda

    • @HansChuma
      @HansChuma 17 дней назад

      Yan wewe nifinyu sana unajua chanzo cha tanzania na ruanda kutaka kuchapana mpaka then raisi wa marekani kuingilia kati kuja tanzania...

    • @Alliance1-m3t
      @Alliance1-m3t 16 дней назад

      Kagame ni mjinga sana kweli au akilini mwake amnaga chochote?? Yaani criminal kagame imbwa kabisa weye

    • @NaomiEnock-z4g
      @NaomiEnock-z4g 15 дней назад

      @@HansChumaTanzania na rwanda walitaka kuzichap kisa nini ??😊

    • @HansChuma
      @HansChuma 15 дней назад

      @NaomiEnock-z4g HAHAHAHAH dah!inamana wapo wengi kama wewe hamjui nchi yenu inaenda vip.....hicho kilikua kipind cha uongozi wa Kikwete kuhusu mapigano kulecongo kikwete alimwambia Kagame atowe wale wanajesh wake congo wanaojiita m23 nawakat niwanajesh wa Ruanda ndio wanaoleta ushenzi congo wakifika congo wanajibatiza jina nakujiita m23.....so mgogoro ulianzia apo

  • @chadrackCharleslomande
    @chadrackCharleslomande 14 дней назад

    😀😊merci

  • @phestonmwerya
    @phestonmwerya 7 дней назад

    kagame nimuongo natuko tayari tutavamiya rwanda

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 17 дней назад +2

    Utawala wa dunia sio wa haki kutokana na dhulmu kila 1 anatamani neema ya mwenziwe hilo ndio tatizo kila mmoja anatamani neema ya mwenziwe lakini mkaemkijua duniaapito

  • @INNOCENTNDOOLE-p5z
    @INNOCENTNDOOLE-p5z 7 дней назад

    Haya chaguliwa hayo yana muhusu nini... Kagame aache kutusumbua kongo na vita tamaa zake

  • @gracepaluku3734
    @gracepaluku3734 7 дней назад

    Sisi Wacongo mani wagoma tunataka Amani!!!!!

  • @Assanibinissaassani
    @Assanibinissaassani 8 дней назад

    ata sisi wa kongomani atumtaki raisi wetu ende kule Rwanda ahongee na raisi wa Rwanda Paul kagame ili tuwe na amani mu République yetu.

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 9 дней назад

    From 🇧🇮 wa congo musiwi tayari kagame apumuwe iyi turu lazima mukaze nguvu kama ni kufa mufe tu ila kageme awakome

  • @ChaurMaquiduba
    @ChaurMaquiduba 16 дней назад +1

    Kagame anaongeya ukweri

    • @BalungweMunyololo
      @BalungweMunyololo 12 дней назад

      hauko sawa wemwe una sema kama kangame ana ongeya ukweli ule ni tesi ana penda bwinzi ya mali ya Congo la kini mwisho yake na yé ni kifotu nju batu yamingu alisha tuma banauwa uku kwetu Kongo nak unji fanya sawa haiko yéyé njo mwe iko na saindiya m23 miye ningi kuwa na uwenzo ningi chomatu Rwanda kulimoya nju

  • @MukinaraTheophile
    @MukinaraTheophile 7 дней назад

    Hussein courage kaka kwakutusukumia habari . Aksanti

  • @Assanibinissaassani
    @Assanibinissaassani 8 дней назад

    sisi kama taifa za kongo tunasema ivi tutakuya kule goma juu mimi mwanainji niko Bukavu kwa muda iyi tuta pigana mpaka ku pumizi yetu ya mwisho

  • @ErnestNduwimana-ji4ty
    @ErnestNduwimana-ji4ty 6 дней назад

    Kama haja chaguliwa Kagame vinamuhusu nini?

  • @Charmant-e4r
    @Charmant-e4r 8 дней назад

    Ni mambo ya inchi, ila Mungu ni mkuu, kagame ni muongo, ila kwe ipo thu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 дней назад

    Mwache basi mtumsikie yeye mwenyewe.

  • @Cukasbalibunomoises
    @Cukasbalibunomoises 7 дней назад

    Wakae wazungumeze viziri wasipo elewana tuta kiamsha

  • @upendofamily7127
    @upendofamily7127 16 дней назад +1

    Kagame acha ubabe, haukupeleki popote. Bisha kama haupokei mizoga ya vijana wako wanaouliwa DRC? Mbona we mbishi.

    • @MukarusineEsperance
      @MukarusineEsperance 15 дней назад

      Nimbabe baba. Uyu nimwamba wa vita.maswara yavita kagame nambamoja.kwa iyo nirazima atutetehe sisi wanyarwanda .tunampenda sanaaaa

    • @upendofamily7127
      @upendofamily7127 15 дней назад

      @@MukarusineEsperance

  • @RizikiBahati-c8z
    @RizikiBahati-c8z 10 дней назад

    Tulimchagua felix,we baba ahuzishiki ata abri 10za Mungu kabisa utajutiya iyo damu inayo ya wa kongomani inayo mwagika,sisi ivi tuko mayatima sababu yako wachozi yetu iko nafika adi kwenye kiti cha rehema cha Mungu.

  • @SneyIsmail
    @SneyIsmail 7 дней назад

    Bya Congo hamuone a géré Rwanda yangu

  • @FikiriBuhendwa
    @FikiriBuhendwa 9 дней назад

    Sasa kagame yéyé aliwai kuzungumuza n'a fdlr?

  • @TumainiFaustin-t7t
    @TumainiFaustin-t7t 11 дней назад +1

    Asante Sana kwa maelezo mawazo yangu ni kukamata bahutu bote ambao kagame alikimbiza muinji yao waende wa gombowe inji yao kwani ao ndiyo wamekuwa kisingiziyo ya kagame kwakuseme anakuya watafuta congo

  • @KatanaRehema-u4j
    @KatanaRehema-u4j 8 дней назад

    Tshisekedi felix be strong my brother fight ur not far frm peace congo viva

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 10 дней назад

    KAGAME WE MUNAFIKI ila kumbuka hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho na malipo ni hapa hapa duniani ogopa sana chozi la binadamu

  • @JoelMondo
    @JoelMondo 5 дней назад

    Kenge

  • @robertnshokano4344
    @robertnshokano4344 10 дней назад

    Raisi wetu awe ame chaguliwa ama apana haya usu inchi ya Rwanda
    Sisi tuna choka mauwaji ya ndugu baba mama dada na watoto zetu
    Raisi chisekedi ange funga mipana zote naku vunja vilalo kila watu wabaki kwao

  • @BahongaIlerri
    @BahongaIlerri 10 дней назад

    ❤❤❤

  • @MulundaBwanamuloko
    @MulundaBwanamuloko 13 дней назад

    Pole sana kwa kutujuza. Lakini hiyo malalamishi ya rais PAUL KAGAME sio kweli. Ni tangu muda gani amevamia congo drc,yeye ni muporaji. Unakumbuka wakati wa colonel MAMADOU NDALA,wa M23 wote vyiongozi wao wakakimbilia RWANDA,yeye hakujua ile siri ? Ni upuzi mtupu.

    • @AlexByenda
      @AlexByenda 13 дней назад

      😂😂😂😂😂 mambo Ya upuuzi

  • @KikuvinDalton-sq2ny
    @KikuvinDalton-sq2ny 9 дней назад

    Île misemwa ya Gagame inakuwa misemwa ya woga ajiandae vizuri kwenye mapambano tu !

  • @KankyirihoEmmanuel-ne4ku
    @KankyirihoEmmanuel-ne4ku 7 дней назад

    Wakae kimazungumuzo iri wanainchi wasiteketee

  • @Andrélubaya-j8q
    @Andrélubaya-j8q 12 дней назад

    Kagame😂😂😂😂😂

  • @Andymusic-2025
    @Andymusic-2025 13 дней назад +1

    Kondoo ndo wanaoweza kutawaliwa miaka yote hizi huku wakiuawa na mchungaji wao.

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 9 дней назад

    Kwa maelezo hayo ni wazi Kagame ana mguu wake kwa m23

  • @richardtonydominic2457
    @richardtonydominic2457 16 дней назад +1

    sasa nauliza Rwanda prezida habadilikaki miaka tote niujama kwa nini

  • @ibn-morishot.v623
    @ibn-morishot.v623 17 дней назад +2

    Point Kuhusu kutokuchakuliwa Kwa tshisekedi uko sawa bwana kagame❤

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 16 дней назад

      Acha ujinga wewe kagame nimjanja ikiwaaupo umakini atakupoteza

  • @gisabenjamin9394
    @gisabenjamin9394 11 дней назад

    Mwanaume ni mwanaume PK aliwambia tangu zamani, wa congo na ma raisi wao walituwuwa miaka kazaa sisi tumezaliwa congo na babu zetu hadi sa hiizi hatujuwe rwanda ni wapi sasa wanatuwuwa tutayenda wapi tutaacha mashamba zetu na manyumba yetu na mifugo twende wapi wa ndugu mututetee Mungu tusayidie sisi wasema kinyarwanda congo

    • @TumainiFaustin-t7t
      @TumainiFaustin-t7t 11 дней назад

      Namiye naongeya ki nyarwanda lakini ile yenye umesema ni bongo mutupu m23 ilianziyaka bunagana make abo habiko nauwa ?

  • @Emmanuelmagwaya
    @Emmanuelmagwaya 15 дней назад

    Kagame oyeeeeee rais mwenyewe maarifa makubwa African nzima waambie ukweli ao waaache unafk,kwani ni wao kwa waondio wanaogeukana.kagame mwamba ww hatetereki hata kidogo

  • @CharlesMabira
    @CharlesMabira 9 дней назад

  • @GasagwaMasundi
    @GasagwaMasundi 8 дней назад

    Kwanza nawapa pole wa congo wote wakiwemo m23 kiseked akubari waelewane ukabira usiwe tatizo

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 8 дней назад

    Nyie piganen t tupate ajira ya kuchimba makabur yenu

  • @YakoboMagabe
    @YakoboMagabe 17 дней назад +1

    Kweli KAGAME ni Rais wa nguvu aendelee tu anajali uafrica

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Muhuni tu huyo... Yeye ndo chanzo cha vita Congo... Muhuni sana huyu... Tshekedi ataki kusikia huo ujinga... Kagame ni muhuni... Kwani yeye Kagame amechaguliwa??

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Gusa hii link ujue ushetani wa Kagame ruclips.net/video/Jem202k_3bs/видео.htmlsi=ya1xVF72yZt1Z3mK

    • @FrankBushiri-kk4lo
      @FrankBushiri-kk4lo 16 дней назад

      Hujuwi kagame ndio maana unaongea M23 ni jeshi la Rwanda

  • @Maiko-d1s
    @Maiko-d1s 14 дней назад

    Anawaone sana wenye nchi yao wahutu kila idara ya serikali kamuweka ndugu yake mtusi hawa wahutu kazi yao kufagia maofisin na barabaran waache waikomboe nchi yao 🤣

  • @Daniel-r6o4u
    @Daniel-r6o4u 13 дней назад

    Bwana kagame kongo inakosa amani na raha juu yako,apana kulaumu tchitchi yakwamba yeye ndiye analeta vita kongo,kusema kama hakuchaguliwa.tukotu natuta pambana juu ya inchi yetu kongo.

  • @SimonBishi
    @SimonBishi 16 дней назад

    Anayoyafanya kagame kwa muda wa myaka hii yote 30 ni kuendelea kuchafulia wanyarwanda wote na wakongomani wanaoongea luga ya kinyarwanda na kuongeza chuki kati ya raia. Kama alipigana na kupata kua kiongozi wa inchi ya Rwanda.mutajua kwamba Rwanda sio DRC. Kua raia mukongomani si kutumia silaha kuua,kuiba,kubaka na kufukuza watu makwao wahamishwe na mateso mengine mengi.Mujirudie wakongomani hawatakubaliana na hayo mambo.ingawa kuna wengine hawana uzalendo kwa inchi na munawatumokisha kiisha munawaua hayo yote tumeyagundua

  • @JosueBaia-ze1vk
    @JosueBaia-ze1vk 16 дней назад

    SHETANI anachoka aliye zaliwa na maman kufa atakufa kongo siyo rwanda

  • @RadhiaRajabu-m7r
    @RadhiaRajabu-m7r 7 дней назад

    Huyu mwamba ajipange

  • @GloireBuhendwa
    @GloireBuhendwa 15 дней назад

    Chaine ya Rwanda iyi

  • @MaitreJhon
    @MaitreJhon 16 дней назад

    Depuis qu'il a commencé à chercher les fdlr au Congo Il a trouvé combien ?

  • @tsongonadine386
    @tsongonadine386 16 дней назад

    Usiseme kitu usicho kijuwa Mungu njo anajuwa maraisi wote na wa nafiki tuombeye duniya yote Mungu njo mwamuzi .

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 14 дней назад

    kagame anachokisema nikweli kabisa hii vita ya congo hayiweze kumarizika bila ushilikiano wa mataifa makubwa kuingilia kihaki,
    Tunamuunga mukono sana kabisa ni mwanaume wa kweli............ oyeeeeeeeeeeee

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 9 дней назад

    Ila mim niulize hao m23 nguvu wanapata wapi Inchi inajeshi la kutosha hapo

  • @rivekambale
    @rivekambale 6 дней назад

    idengo

  • @zazo-bmike6082
    @zazo-bmike6082 10 дней назад

    Kwanini aku sema yote aliyo yasema ndanimwa kunamatusi makali

  • @JustinAksanti-k5h
    @JustinAksanti-k5h 14 дней назад

    Kama m23 inaendelea ivi kagame aondowe jeshi lake

  • @MivumbiDominique-hx1dl
    @MivumbiDominique-hx1dl 17 дней назад

    ASante sana ndugu Hassani kutu leteya habari za huyu Dicteta je, ataishi milele? haja mfikiya hatakidogo Hayati Mobutu

    • @KaburaCedric
      @KaburaCedric 16 дней назад

      Kagame hajamufikia mubutu! Huna habali alie mupidua mumbutu ninani

  • @deusdeditgracias
    @deusdeditgracias 16 дней назад

    Yeye kachaguliwa nanani aongee nacwahutu wenzio

  • @AmidoKasome
    @AmidoKasome 17 дней назад

    It’s true

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Kagame ndo muanzilishi wa vita ya Rwanda na hii ya sasa ya Congo... Hacheni kutetea ujinga wake..Gusa hii link kujua Ukweli ruclips.net/video/Jem202k_3bs/видео.htmlsi=ya1xVF72yZt1Z3mK

  • @MumberekasikaFabrice
    @MumberekasikaFabrice 15 дней назад

    Waooh

  • @ShemaIan-d9o
    @ShemaIan-d9o 17 дней назад

    Sorry, ni majeshi ya RPF, Rwandes Patriotic Front

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 17 дней назад

    Ajuwi abari yoyote

  • @kamalamutiyanyshel2202
    @kamalamutiyanyshel2202 15 дней назад

    Kagame ni muoongo kabisa ana geuza mambo !

  • @juliuskipuyo485
    @juliuskipuyo485 7 дней назад

    Kwani Nini wewe jamaa usitandikwe ushike adabu

  • @tashone7884
    @tashone7884 17 дней назад

    Rwanda amegundua mafuta akianza kuchimba dollar's ziwe zinaingia moto utazidi kuwaka.

  • @BizimanaPaulin-g3g
    @BizimanaPaulin-g3g 17 дней назад

    Kwanini hakusema hajaapa rahisi mwenyewe huoo uoongo

  • @GloireBuhendwa
    @GloireBuhendwa 15 дней назад

    Njo kisi biko naba danganya ivi

  • @FurahaYassin-v2q
    @FurahaYassin-v2q 12 дней назад

    Kufa tuu

  • @BayongwaKabumba
    @BayongwaKabumba 15 дней назад

    Kagame akafa shuzo

  • @Bizibaginajason
    @Bizibaginajason 13 дней назад

    Wouw,

  • @MaombiZihalirwa
    @MaombiZihalirwa 17 дней назад

    Kagame amekosa maneno yakusema

  • @PatyKabata-u9w
    @PatyKabata-u9w 15 дней назад

    ekomutumubaya.ekonauwicha.batu.anakatala.baogeye

  • @VumiMoise
    @VumiMoise 17 дней назад

    Kangame ni Mmbwa

  • @HajaraZaidu
    @HajaraZaidu 17 дней назад

    Akiwa kibaraka wa wazungu tatizo liko wapi kama atajali maslahi ya congomani kagame anajichanganya tu atulie moto sasa unakuja

    • @ubwihishotv8265
      @ubwihishotv8265 17 дней назад +1

      Akiwa kibataka wawa zungu tatizo ripo hatatumika kwa faida ya Wacongo

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 17 дней назад

    Rwanda haina uvuvi,madini ya aina yyte.haina mazao y kibiashara.haichimbi gesi. Lakini nchi inajengeka kuliko nchi zenye.rasilimali.anatoa pesa wapi kuijenga nchi na kuimarisha jeshi.

    • @makhanguwakhutu2408
      @makhanguwakhutu2408 17 дней назад

      Kagame Kwa maendeleo ako mbali sana kitu ya kwanza amezuia ufisadi hyo ndio Siri ya maendeleo

    • @kayitarecharles6993
      @kayitarecharles6993 14 дней назад

      Wewe acha kusema usiyajuws Rwanda hayisjajengwa na congo,hiyo ni uongo wako na kisekedi

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 14 дней назад

      @kayitarecharles6993 mkuki moyoni.

    • @KorintoPaluku
      @KorintoPaluku 12 дней назад

      Muda wake unaenda kuisha tusubiri kidogo tuu ,shetani anatabia ya kudanganya watu wake kana kwamba wao ni Sawasawa na Mungu atajuta nyumba Mungu anaona.

  • @BestmanLWABOSHI
    @BestmanLWABOSHI 8 дней назад

    Kuku

  • @BakulikiraMushengezi
    @BakulikiraMushengezi 13 дней назад

    Acha bongo yako

  • @benimlisa6056
    @benimlisa6056 17 дней назад +2

    Kagame nimuhuni... Tena muhuni aliye pitiliza... M23 ni Rwanda ilo wala alijifichi... Tshekedi anadai akikutana nae akamweleza abishi... Lakini akija kwenye public anabisha... Kagame ana poteza Congo Kwa sasa...

  • @RamazaniRiziki
    @RamazaniRiziki 17 дней назад +1

    Naomba unitumie Namba yako ya wa. WhatsApp ili nikutumie video yenye ushaidi tosha kuhusu uvamizi wa nchi ya Rwanda mashariki mwa Nchi ya Dr Congo

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад +1

      Awa awajui kuwa Rwanda ndio amevamia Congo.... Kagame ndo muanzilishi wa vita ata ya Rwanda Genocide... Kagame ni muhuni...

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 17 дней назад

    Muongo huo sna mnafikk sna

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 17 дней назад +3

    Wafrca ni wamojaa. Ila tunachonganishwa na wazungu

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Kagame ni tatizo la Africa... Gusa hii link kujua Ukweli ruclips.net/video/Jem202k_3bs/видео.htmlsi=ya1xVF72yZt1Z3mK

  • @ibn-morishot.v623
    @ibn-morishot.v623 17 дней назад

    Point Kuhusu kutokuchakuliwa Kwa tshisekedi uko sawa bwana kagame❤

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 17 дней назад

    Muongo Sana

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 17 дней назад

      Kagame ni muhuni... Zaidi ya uwongo... Kipigo anachopata sasa lazima atoke kulalamika...