MAJESHI YA KENYA KUINGIA GOMA// VITA VINAPAMBA MOTO KUKINGIA CONGO NA ADUI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • MAJESHI YA KENYA KUINGIA GOMA// VITA VINAPAMBA MOTO KUKINGIA CONGO NA ADUI

Комментарии • 42

  • @KanialaAmir
    @KanialaAmir 9 дней назад +4

    Africa ni moja tusaidiane kwenye hatari wakenya Mungu awabariki na awarinde

  • @rehemaamoni9013
    @rehemaamoni9013 День назад

    I'm Tanzanian but im happy with you

  • @patientrashidiali9116
    @patientrashidiali9116 2 года назад +2

    Vema Sana AC Company kwakutujunza Mengi zaidi

  • @amosthebroadcaster789
    @amosthebroadcaster789 2 дня назад

    Ooooh may God protect our military am from Kenya,
    Wakenya mko wapi?🇰🇪🇰🇪

  • @GogoNudi
    @GogoNudi 11 дней назад +1

    Ongereni sana kenya kazi nzuri

  • @SaidSalehe-z3p
    @SaidSalehe-z3p 13 дней назад +2

    Naaam imani zaidi suala lienda vyema mungu ibariki AFRICAN

  • @RichardMwandu-y8h
    @RichardMwandu-y8h 4 дня назад +1

    Na mimi mtanzania natamani kijiunga na jeshi lakulinda amani Tanzania ingawa elim yangu ndogo kwamaana kama babu yangu alipambana kutetea amani tanzania na me ikinawezekana kumsaidia jilani

  • @HawaOman
    @HawaOman 12 дней назад +2

    Ee mwenyezi mungu walindi baba tunamba amani mungu kwenye nchi ya kongo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 4 дня назад

    Kenya asanti sana kwa kuleta àmani kdf 💪 strong

  • @HarisonMuthoni
    @HarisonMuthoni 3 дня назад

    Kenya NI moto

  • @KabikaMukongo
    @KabikaMukongo День назад

    Asante

  • @jangalaalexbubehi7658
    @jangalaalexbubehi7658 9 дней назад +2

    Mnatuletea picha ya miaka mbili iliyopita !! Jinga kabisa

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 12 дней назад

    Asante sana 🙏🙏 na mungu awalinde

  • @KisagasiLuyangi
    @KisagasiLuyangi 7 дней назад

    Hivi ndio tunataka Sasa, mkutano kinafata utendaji, mungu awabariki wakenya

  • @WilliamSosiende
    @WilliamSosiende 10 дней назад +1

    Tunamshukulu Raisi wa Tanzania na South Africa nao wasimame Malawi nao wasimame ndio Kagame atajua kwamba kumbe nivibaya kupigana najirani

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 2 года назад +4

    Naba Tanzania bakuye kubapiga m23 bakufe Bose na kagame wabho

    • @kiiza
      @kiiza 2 года назад

      We lofa bona bonala hauwezi ukamaliza watu we lofa

    • @ngangaannick6879
      @ngangaannick6879 2 года назад

      Muzasara nimudafata ibyemezo

  • @barutimkuninwa8222
    @barutimkuninwa8222 11 месяцев назад +3

    Wa kenya wa nafki. Wana tumwa na wazungu. kuvamia waafrika

    • @StephenKamau-t1o
      @StephenKamau-t1o 5 дней назад

      @@barutimkuninwa8222 kwetu tunaweza na tumerinda nihaki kusaidia na wengine piganeni wacheni ndomboro

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 5 дней назад

    Wakenya ndo wananchi wa kongo hawataji kujua habari zao

  • @heritier1989
    @heritier1989 2 года назад

    Nabaki kukodolea macho👀

  • @MarkiJoseph
    @MarkiJoseph День назад +1

    Tusubiri maiti

  • @JEANNEDorcas-rx4ei
    @JEANNEDorcas-rx4ei 10 дней назад

    Mungu apiganie wandugu zetu wenye hawana musaada

  • @bompetibayenga1281
    @bompetibayenga1281 Год назад +3

    Wakenya Ni Bure kabisa, Akuna Vita Wanajua 😢

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 13 дней назад

    Siwalikatas majeshi ya Afrka mashariki

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 11 дней назад

    Kweli wazungu wametuchoka..Siikilizeni hotuba ya Tramp..mnanunua silaha mnachinjana wenyewe

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 12 дней назад

    Raisi wote Africa,amka msaidie wa congo😢

  • @emmascholaofficial1763
    @emmascholaofficial1763 14 дней назад

    M23❤

  • @WilliamSosiende
    @WilliamSosiende 10 дней назад

    Wanzie RWANDA ndani ya inci ya Rwanda

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 11 дней назад

    Hata wazungu wakiondoka hayo madini hamjui kuyatengenezea chchote

  • @AhmedAli-sw4wl
    @AhmedAli-sw4wl 10 дней назад

    Pongezi kwa utalii goma

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 11 дней назад

    Kaongezen nguvu mkawafurumushe ao m 23

  • @ASHLEYSMITH-b3u
    @ASHLEYSMITH-b3u Месяц назад +1

    Waridikwao

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 11 дней назад

    Kila laheli kenya

  • @shukurumugwa
    @shukurumugwa 11 дней назад

    Bongo mutupu niya zamani

  • @MbundaMiruho-pw8zf
    @MbundaMiruho-pw8zf Год назад

    ZSs222222