| VUGUTA LA UCHAWI | Maeneo ya Kisii yameshuhudia wakongwe kuuawa kwa madai ya uchawi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 91

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 3 года назад +22

    Mchawi ni mtu mwenye wivu, asiependa maendeleo ya watu

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 3 года назад +6

    Dungwa software ndio utajua uchawi is real ...no chills for them black eyed

  • @magufuli2465
    @magufuli2465 3 года назад +5

    Ucyawi uko sana kijijini kote Africa Wivu njo uzaa ucyawi. Wepewe hazabu kbs

  • @monicakavata6503
    @monicakavata6503 3 года назад +6

    Wewe unawatetea wakati mchawi atakulogea mtoto ukiwa umeuza kila kitu umsomese ndio utachukia mchawi kabiza. Mimi siezi ogea juu mchawi ana huruma ata kidogo

    • @sallyedward533
      @sallyedward533 2 года назад

      There is God in heaven and if you pray the witch craft will never have way in your life

  • @JumaaNdululu
    @JumaaNdululu 2 года назад

    Dunia nzuri Watu wabaya

  • @nancybitutu7861
    @nancybitutu7861 3 года назад +14

    witchcraft is real, wametusumbua sana kwa vijiji, hawataki maendeleo kamwe. Hata wakichomwa hawataisha, dawa yao ni kuwaombea tu wabadilike.

  • @faithogata1008
    @faithogata1008 3 года назад +8

    Mwenye anataka evidence ya mchawi endelea kuongoja kama hatukuamini vile yule mtoi wa marani alivyotaja watu akisema walikua na wao usiku,,,,alaf tulete huruma watoto wadogo wakiendelea kufanywa pupu bila sababu wachawi wachomwe

  • @Winnie2547
    @Winnie2547 3 года назад +9

    Wachomwe kabisaa

  • @sallyedward533
    @sallyedward533 2 года назад +4

    It's good to take them to court instead of killing them

    • @graceneema8755
      @graceneema8755 2 года назад

      Waaache uchawi ,LA sivyo mtajua hamjui

    • @graceneema8755
      @graceneema8755 2 года назад

      Wewe unae sema wapelekwe kwa Cort, wewe ndio mchawi

    • @graceneema8755
      @graceneema8755 2 года назад

      Huwezi kuelewana n mchawi,ht ukimuita njia n hiyo wakufe kabisaa ktk jina l Yesu

    • @pochondigital5004
      @pochondigital5004 2 года назад

      @@graceneema8755 the problem is that you won't get any evidence against them but it really exists.

  • @WSW254
    @WSW254 3 года назад +14

    Kwanza mi nipate mahali ameshikwa lazima ni changie , they are worse than thief

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 года назад +4

      Hafadhali mwizi kuliko mchawi

  • @musilivisabala9259
    @musilivisabala9259 3 года назад +9

    Hiyo ndio dawa mzuri wachomwe

    • @jamesotienomeja3151
      @jamesotienomeja3151 3 года назад +1

      Don't think that you are safe

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 года назад

      @@jamesotienomeja3151 wachomwe kabisa

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 3 года назад +1

      @@hkmeme5437 kumbuka Ata wewe ukizeeka utaitwa mchawi

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 года назад

      @@mariamdimosso621 hapana sio kila mzee ni mchawi, kuna vijana wachawi wamijikenda sana sana

  • @asparagusonly
    @asparagusonly 3 года назад +5

    Wakenya tunakuanga mafala aki😂

  • @veronicamachok9018
    @veronicamachok9018 2 года назад +1

    Nawewe kama ni mchawi si uwaje uchawi jamani!!!

  • @raphaelmwendo6368
    @raphaelmwendo6368 3 года назад +2

    "uchawi iko"......" Nilikuwa mchawi".... We should never run away from the truth.

    • @Hillary_Maomba7
      @Hillary_Maomba7 2 года назад

      tell us more what changed you, how was the experience?

    • @strongmummy580
      @strongmummy580 2 года назад

      Glory to God alikuogoa tell others come out speak the truth

  • @morganmutwirimukwanjeru6475
    @morganmutwirimukwanjeru6475 3 года назад +3

    wachawi wako,tuko nao,tunawajua lakini tunawaficha,siku yenu ikifika UA UA bila huruma,LEVITICUS 20:27 inasema mrogi yeyote awe mwanamme au mwanamke auwawe damu yao iko kwa vichwa zao........wauwawe,bado hatujawaua watauwawaaaaa sijui kama wako tayari......mjitayarishe nakuja kuwalipa mshahara yenu in CASH AAAAAHAAAAAAAA

  • @xjxjxnxn2673
    @xjxjxnxn2673 3 года назад +5

    So sad,ata kama alikuwa mchawi astahili kuuwa hivo

  • @josephmwangi2005
    @josephmwangi2005 2 года назад +2

    Wachawi wauawe wanakuangA na wivu sana hata gari huwezi enda nayo huko mtoto wako akisoma apite wanamroga tabia gani his.

  • @gracemacharia5130
    @gracemacharia5130 3 года назад +3

    They will never know peace forever,kuchoma watu si haki

  • @patriciawaisaac4885
    @patriciawaisaac4885 3 года назад +3

    Why the government not to take action those who burn the people and condemned life sentense

  • @janewamaitha4930
    @janewamaitha4930 3 года назад +4

    So sad 💔

  • @hersonfarah9857
    @hersonfarah9857 3 года назад +3

    May Allah save uu

  • @kabaikubenson5436
    @kabaikubenson5436 3 года назад +4

    No one have the right to take someones life apart from God.. ..unachoma aje mama ya mtu bwana🤯.

    • @kenya-id9gt
      @kenya-id9gt 3 года назад

      kwa nn na yy huyo mama aroge mtu amwaribie maisha

    • @lucyann7442
      @lucyann7442 2 года назад

      It's tit for tat

  • @strongmummy580
    @strongmummy580 2 года назад +1

    The weapons of uchawi ni prayers if you are really strong in the word of God, atakuruka autarogeka in the name of Jesus, till uyu mtu ataokoga , trust in God a witch do nothing

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 3 года назад +6

    Even my mother is there to be burnt if she can afford to destroy somebody's life with no apparent reason and also no benefits at all

  • @ii-bt3yj
    @ii-bt3yj 3 года назад +4

    It was evidenced walimtembeza yule mtoto alipoongea so ongojea nyinyi wakubali walikuwa wachawai.

  • @abublessings.1301
    @abublessings.1301 3 года назад +2

    اللهم اكفناهم بما شئت.

  • @lilianmwenderanimwenderani1409
    @lilianmwenderanimwenderani1409 3 года назад +2

    Mchawi afai kuishi wauawe kabsaa

  • @puritymaxwel5211
    @puritymaxwel5211 3 года назад

    Mbona wanakalia kiti cha mwenyezi mungu ambae yeye peke yake ndie mwenye kuhukumu

  • @NoorAhmed-lg8xr
    @NoorAhmed-lg8xr 3 года назад +4

    Subxan Allah

  • @jacksonmonyoncho2899
    @jacksonmonyoncho2899 3 года назад +7

    Wachomwe awana mahana katika jamii wako

  • @hypemcsouja8893
    @hypemcsouja8893 2 года назад

    The funny thing here is that Hao wenye walichoma wachawi walipitia kwa wachawi kupewa madawa kwanza

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 2 года назад

    Kenya ninchi ya hovyo sana hivi serikali inaendaga likizo ama inawatuma watu wakafanye hiyo upuzi nonsense

  • @rizikimichelle5885
    @rizikimichelle5885 3 года назад +4

    It’s a bad excuse for burning old people that’s so sad . Thats really primitive.

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 2 года назад

    Kwani wote that day they were sick?

  • @stephenkamau5055
    @stephenkamau5055 3 года назад +1

    Wah

  • @wuodabala9706
    @wuodabala9706 3 года назад +1

    What is Matiangi staying

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 2 года назад

    Iyo night runner yenu mnasema ati mnalinda boma za watu usiku .ati serekali iwakubalie.shem on you.

  • @sipendimaringo6631
    @sipendimaringo6631 2 года назад

    For all those years huyo ajuza ameishi, ndio wameona ni mchawi?

  • @antoniothe007
    @antoniothe007 3 года назад +1

    So sadd sorry my brothers

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 2 года назад

    Kama mnaendelea kutetea dhambi .siku moja mtajionea wenyewe.

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 3 года назад +2

    Bona watu wanaamini uchawi,si muokoke muwe munaomba

  • @monicakavata6503
    @monicakavata6503 3 года назад +4

    Mandiko inasema na msimuache mwanamke mchawi aishi wako kwenye mandiko wasilaumiwe.

  • @wairimuwakago1727
    @wairimuwakago1727 3 года назад

    Matiang'i ako mt.kenya akitafutia baba kura

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 2 года назад

    Nyinyi mnasema akuna uchawi na serekali inakubaliana na night runer.

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 2 года назад

    If u r a witch run to church receive Jesus

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 3 года назад +2

    Wachomwe huyo mama anakaa tu mchawi

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 3 года назад +3

      She looks like a witch and you sound like an idiot😂

    • @AbdulHakeem-eo9ep
      @AbdulHakeem-eo9ep 3 года назад

      Una hakika au wazungumza

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 2 года назад

    Mmelrtea wakisii aibu sana ata watu wa maran tu tatuma pst Ezekiel awageuse mu okoke kabisa

  • @Lesliefedy
    @Lesliefedy 3 года назад +4

    Mob justice is never the right choice

    • @liliannyangasi3445
      @liliannyangasi3445 3 года назад

      Mob justice is always the best in Kenya cz huwa ukipeleka mtu court utasumbuliwa hadi u give up uwachane na kesi

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 3 года назад +2

    Hawa wachawi wanatesa kaa nini siz yangu alinyonywa damu tu hivyo kijiji chetu maeneo ya Jomvu mbs uko usiulize alafu uchawi unarithiwa wazee wote wamekufa ukachukiliwa na watoto yaani nivampa

    • @kingpharaoh6981
      @kingpharaoh6981 3 года назад

      Am starting to believe wachawi wako after I saw Pastor nyakundi confession,nilikuwa nafikiria ni uwongo

  • @alicenyabate8148
    @alicenyabate8148 3 года назад +1

    Upendo umepoa vile mathew 24 inasema tusiwe na hasira kwa mwenye dhambia maana twasitahili kuwaombea ili wabadhilike katika jina la yesu

  • @lydiakhamadi7438
    @lydiakhamadi7438 3 года назад

    So sad,

  • @Winnie2547
    @Winnie2547 3 года назад +2

    Batonyarire gaki basambu pii 😂

  • @neno4642
    @neno4642 3 года назад

    so sad

  • @maulinegesare5106
    @maulinegesare5106 3 года назад +1

    Wait till they do worse to you, hutakuwa na hiyo nguvu ya kuwatetea, this are the worst creatures you will ever meet, adui wa maendeleo anyway tuwaeke kwa maombi hopefully they will change one day

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 3 года назад

    Sasa jopo lakazi gani nanikitoa wachawi tu nakunyanganywa hivyo vitu vyao basi

  • @CodeCraftTube
    @CodeCraftTube 3 года назад

    The fuck !! Kwani Kuna communities living in stoneage..? Pure darkness ...mama anauliwa over some crazy shit ...banana republic

  • @francisotieno5086
    @francisotieno5086 3 года назад +1

    The only thing that a Wich craft person understand is the word of God.

  • @verrohwg6086
    @verrohwg6086 3 года назад +1

    This is so inhuman.

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 3 года назад

    Kiss this is too much

  • @mrben1444
    @mrben1444 3 года назад

    Huyu msichana anakaa mchawi

  • @ruthnjambi728
    @ruthnjambi728 3 года назад +1

    This is so inhuman.

  • @personcriticalthinking7162
    @personcriticalthinking7162 3 года назад

    So sad