I think God accepted to bring rose muhando down so as she can come and pick up the growing musicians...she had reached to a point that she was unreachable😻...if rose muhando stops singing I'll stop listening to gospel...😳
🔥Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilinipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua👌mikono ya Yesu ni mizuri imejaa uwezo, ina miujiza Naipenda mikono ya Mungu🤲
@Rose Muhando unatupaisha sisi Watanzania Kimataifa. Mungu akutunze na kukuinua kipenzi chetu. Tunajivunia Mungu kukuinua na kukutumia. Muinue Lydia Kwani anajitahidi Saba. Cde. Lucas Ole Ng'iria Kiongozi na Pia Muimbaji Wa Album ya Kitujurro
Wee uyo jamaaa ana dance poa sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕ako na energy sana...iyo video iko sawa akiwa apo...ameifanya ikawa tu sawa...ako na dancing move poa sana ❤️
Finally it's here, how I looked for this song here yesterday when I saw it on TikTok. Rose Muhando is one of the most consistent gospel artist of our time. Be blessed mum.
Wow am here celebrating with this song for what God has done in my life after 2yrs of suffering here in Dubai bt final God ameanswear my prayer,mikono yake nimizuri sana aki.haijalishi utachukuwa mda gani bt akisema atatenda atatenda tu kuwa na subra,wacha kumuuliza maswali mengi,weka imani mbele yake na uwache atende kwa wakati wake. This song is blessing me more n I blv more blessings are coming to me this yr his going to open great doors in my life. Huu ni mwaka wangu wakupanuliwa 💃💃💃💃💃🗣🗣🗣🗣🤸♂️🤸♂️🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️🙇♀️
Ayayayayayayaaa😅😅😅sisemi k2 mm hapa. Mombasa mikono ya yesu ni mizuri ni mizuri bado naomba kibali cha uchungaji nikikipata tu mpaka nikutafute uje uimbe kwa kanisa ambalo bwana yesu Anaenda kunipea hivi Karibuni Mungu akipenda hujaniangusha Ki imani tangu zama za mteule uwe macho 😅 nakupenda saana na roho yangu yote God bless you all.❤
Nganashe sinadai tesifarta osingoloi, kake eng'uraiti ina kishopo topolosaita naleng'i . Embu tu tambueni duniani nzima inawatazama wazazi wakimwili, wakiroho nk . Ni ushari tu nganashe
Nakupenda Sana Rose na timu yako, hakika mikono ya esu Ni minzr maana tunapitia kushindwa wanadamu hutusukumia mbali inagharimu Mungu kutuinulia watu watakaotuelewa
Whenever Rose muhandos Vocals comes in, everything flows smoothly, i just love Masai music although i am a Kamba. You are going places, this is a good one👌
Mikono ya yesu ni mizuri imenifikisha mahali mwanadamu hakutaka nifike ila mikono yaMungu imenifikisha ya mume wangu ilinipiga makofo mikono ya marafiki ilichukia ila ya yesu iko pekeake ni mizuri kweli kweli
@@erickmeshac3135 kabisa. Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilimipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua
Rose muhando mzury anapenda kuungana nawatu mungu awenanyie wote
Amina mtu wa mungu
#rosemuhando nisaidie kusukuma hii injili ya bwana yesu
Wow
@@rosemuhandoofficial5676 p 💋0p0
@@rosemuhandoofficial5676 God bless you mum.yesu mbele Sisi nyuma yake.
I think God accepted to bring rose muhando down so as she can come and pick up the growing musicians...she had reached to a point that she was unreachable😻...if rose muhando stops singing I'll stop listening to gospel...😳
Nimizuri❤ Kweli.
Help me share this link man of God👏
@@lydiatikani don't worry dear ni mizuriiiiiii
44444444
4
Kasolo,,,mob love ❤❤
Soon and soon Rose muhando will sing in kimaasai .
Wapi like za maasai love in collaboration with Rose muhando
Kwani hamjaona huyu boy anacheza vizuri... congratulations boy
Sidai kabisa
Yea nimemuona hio kifua imbarikiwe
@@msaniiabeidmumo9364 😂😂😂... hallelujah
Ameweza saaana
@@kasah4productions kabisaaaaaa
Nilikataliwa na kila mtu hii duniani but mungu alinishika mungu
Mikono ya yesu hakika ni mizuri
Mpeni maua yake Rose ,mikono ya Yesu kweli ni mizuri
Mungu wetu ni mzuri kwa watoto wake nakungana na wewe
Ni kweli
🔥Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilinipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua👌mikono ya Yesu ni mizuri imejaa uwezo, ina miujiza
Naipenda mikono ya Mungu🤲
Yes
Hakikaaaaa
Aamen
🙏🙏🙏🙏@@kisalicyrus5744
powerfilul song with inspiring message!
Ross muhando mungu akubariki 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 kwa kushika mikono wasanii wetu
Rose muhando ni moto the hand of the lord has got numerous blessing pongezi naserian
@Rose Muhando unatupaisha sisi Watanzania Kimataifa. Mungu akutunze na kukuinua kipenzi chetu. Tunajivunia Mungu kukuinua na kukutumia. Muinue Lydia Kwani anajitahidi Saba. Cde. Lucas Ole Ng'iria Kiongozi na Pia Muimbaji Wa Album ya Kitujurro
Nawaza siku Mungu akikunyakua Rose,nani ataziba pengo lako
Vile huu wimbo utaenda woiii😘😘😘😘💕💕💕💕🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰TikTok kujeni tunarudia kurudia mikono ya yesu ni mizuri sana
When rose muhando sings unahisi uwepo wa mungu
Kwa kweli ya wale wengine imebeba mikosi.. Lakini mikono ya Yesu ni mizuri
Wee uyo jamaaa ana dance poa sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕ako na energy sana...iyo video iko sawa akiwa apo...ameifanya ikawa tu sawa...ako na dancing move poa sana ❤️
Good music nkonyek...i have ketpt my promise😁
Mikono ya Yesu ni mizuri jamani.
Rose ni mama ya watu,pongezi sana mum ,una promote wanamuziki wengi
It was Nice working on This
May it be a Blessing to everyone listening
Congratulations sis Naserian and our Mam Rose Muhando
Tunaisubiri ile yako na Mummy
Good job 👌👌👌
Kazi nzuri sana, blessings
Rozi MUNGU WAMBINGUNI AKUBARIKI nyimbo umeibeba naumeifanyia haki kama yako mmefanya vizuri Sana nyimbo inafariji ajabu❤❤❤
Napenda kupiga,kusikiliza wimbo huu mi❤❤❤❤❤
Nzuri Sana Lydia keep it up mungu yupo kukutia nguvu
Muhando's vibe and vocals are just of another level 💓💓Mikono ya Mungu ndio salama tu
Fanya hii pia TikTok.
Yaaani
I can't get enough with this song
@@dancanbarasa5596 nishafanya
The best combination best ever.
Hapa kila kitu kizuri kuanzia sauti ya watu, gitaa, na mavazi hayo kwakweli ni mizuri sana❤❤❤ upendo mkubwa kutoka Tz
Maadui wa Rose wakitaka kuishi waachane na yeye tu manake hawajui kuwa wanapigana na Mungu
Hii corabo Iko sawa sana juu wimbo unanibariki sana
Good job mm nataka no ya uyo jamaa anadance
Finally it's here, how I looked for this song here yesterday when I saw it on TikTok. Rose Muhando is one of the most consistent gospel artist of our time. Be blessed mum.
And her love for God is just on another level. This is what makes me love her ministry each day
Kumbe tuko wengi am happy. May she be blessed na Aishi miaka mingi
True
This is amazing.. Have watched it a million times
Amen God bless her❤
Neema izidi kukubeba kwa jina la yesu
Sidai oleng ele singolyo,, mikono ya baba n mixur
Wow am here celebrating with this song for what God has done in my life after 2yrs of suffering here in Dubai bt final God ameanswear my prayer,mikono yake nimizuri sana aki.haijalishi utachukuwa mda gani bt akisema atatenda atatenda tu kuwa na subra,wacha kumuuliza maswali mengi,weka imani mbele yake na uwache atende kwa wakati wake.
This song is blessing me more n I blv more blessings are coming to me this yr his going to open great doors in my life.
Huu ni mwaka wangu wakupanuliwa 💃💃💃💃💃🗣🗣🗣🗣🤸♂️🤸♂️🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙇♀️🙇♀️🙇♀️
God's hand are good and we are safe on it
Please subscribe and share to many people so as to administer to their lives
Amen 🙏
@@lydiatikani keep the fire burning sister.i cant get enough of this song
Madam Rosy and the entire team hoyeee 😮😮 you're just a blessing to the world 🙏
Thanks for this Rose and Lydia
Kweli hii mikono ni mizuri sana santee kwa kunipa mikono jehofa
She always sings from the heart @Rose muhando, powerful messages ❤
Ayayayayayayaaa😅😅😅sisemi k2 mm hapa. Mombasa mikono ya yesu ni mizuri ni mizuri bado naomba kibali cha uchungaji nikikipata tu mpaka nikutafute uje uimbe kwa kanisa ambalo bwana yesu Anaenda kunipea hivi Karibuni Mungu akipenda hujaniangusha Ki imani tangu zama za mteule uwe macho 😅 nakupenda saana na roho yangu yote God bless you all.❤
Amen haki Rose namimi pia uje tufanye kolabo uni boost jameni
Pongezi kwake Rose hakika unajuwa vyema mungu akubariki uzidi kueneza nyimbo za kumtukuza.
All the way from tiktok,is he victor of Maria ama,a blessing one
Nganashe sinadai tesifarta osingoloi, kake eng'uraiti ina kishopo topolosaita naleng'i . Embu tu tambueni duniani nzima inawatazama wazazi wakimwili, wakiroho nk . Ni ushari tu nganashe
Nakupenda Sana Rose na timu yako, hakika mikono ya esu Ni minzr maana tunapitia kushindwa wanadamu hutusukumia mbali inagharimu Mungu kutuinulia watu watakaotuelewa
Whenever Rose muhando comes in I just love it, you're a queen
Mikono ni ya yesu TU... Naitegemea.
Supa ,,,sindai,,,,Ni mizuri ata Mimi naona Kwa upande wangu Ni mizuri ,,,,
Wow Kwa kweri naipenda hio mikono ya yesu iliyo nitengeneza
Mkono ya yesu ni mizuri
Enyewe ni mizuri be blessed for this piece
Rose deserve a distinguish service medal ..the Artist with many collabos💥💥Is no easy feat.Ni neema ya Mungu tu . Naseh , thats the way to Go. 👍👍
Trully mama rose your songs are of high level,I can't stop listening to this song, keep it up 👍🙏
congrats lydia keep going mummy
Wonderful song ... though sielewi maasai
Ongeza kasi ya kutunga na kuimba na kutuwekea youtube uko vizuri sana mrumishi Lydia
Mikono ya Bwana ni mizuri ahhhh apewe sifa Bwana wa majeshi
I feel blessed thanks to almost higher back ur again rose
Very very nice song God bless you more more blessings
Maa nation meets Tanzania songbird beautiful and hit songs bells out 🇰🇪🇹🇿
Rose muhando making me cry fluently
Congratulations lydia i also i like the way you dance
Am so blessed by this song 🙏🙏God is great in everything mikono yake ni mizuri sana
Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Hallelujah Jesus Mikono ya Yesu Nimizuri Jameni💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Feeeeeeeeeliiiing blessed ni mizuri kweli
Mama Rose mungu akubariki kwa kazi njema pamoja na mwezako
Mama Rose siku zote unabariki moyo wangu Sana ninapo kusikiza kweli mikono ya MUNGU ni mizuri weeeed hapo sawa. Songa mbele mama kuko sawa
Wimbo mzuri saaaana yaani sijoki kuirudia huu wimbo jamani wapi lives zangu
Lydia to another level the grace is sufficient ....
Woow. Nimizuri jamani mikono ya Yesu inabariki
I love 💕 this song indeed. Iko top kabisa
Rose inakuanga tu vizuri .... Great job 👍
Amen 🙏🙏🙏 kama si mikono ya yesu adui zetu wangefurahia juu yetu lakini ya baba n baraka tele
Barikiwa sana mama,nyimbo zako zimenilea tangia utotoni 🙏🙏🙏,,,,#kweli ni mizuri,,,,,🥰🥰🥰.
Amina amina
If singing excellent is a direct ticket to heaven then Rose Muhando God has ur name in the book of eternal life ❤❤❤
If singing excellent,,,a direct ticket to heaven,,,then Rose Muhando God has ur name in the book of eternal life ❤❤❤❤❤
Whenever Rose muhandos Vocals comes in, everything flows smoothly, i just love Masai music although i am a Kamba. You are going places, this is a good one👌
Rose you are my favorite l love you go go
Woow,,nice song it blessed me, mungu na hawakimuu
Mikono ya yesu ni mizuri imenifikisha mahali mwanadamu hakutaka nifike ila mikono yaMungu imenifikisha ya mume wangu ilinipiga makofo mikono ya marafiki ilichukia ila ya yesu iko pekeake ni mizuri kweli kweli
Hiyo song ina ujumbe mzuri sana , hongera Sana nganashe 🙏
Congratulations Mama yetu
Weeeeh huu wimbo ni wakimataifa mikono ya yesu ni muzuri kazi nzuri Rose muhando
Njoo kimayani engai to singoryo sidai💚❤️💚💚🙏
Rose muhando have got energy 🥰😁👌 I love this song keep it my people 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mikono ya Mungu ni mizuri mno♥️
Hi Lydia. I love your song. It's a big jam. Mikono ya Yesu kweli ni mizuri🙏
It's a nice song 💕🥰
@@erickmeshac3135 kabisa. Ati nilipokuwa nimetupwa mikono iliniokota, ya mpenzi wangu mzuri ilimipiga makofi, ya wapendwa ilinisukuma mbali na ile ya jirani zangu iliniwekea sumu lakini ya Yesu ni mizuri, iliniokoa, ikanifuta mikosi, ikanitakasa, ikaninyanyua
@@michaelmbui8226 Yani yeye Bora umpe mada nzuri tu,anaifanyia kazi kweli kweli,Hadi inakubalika kwa hakika kabisa
@@erickmeshac3135 yes.
I can’t stop listening to this song,the voice and the beats of the instruments,imeenda mahala pake!congratulations,keep praising the living God 🙏🙏
🙏🙏
I'm Soo much blessed
Sina mengi Leo ila mungu to awabariki wote director na kasa 4 mko in another level 🔥
Ni mizuri kabisa
This is taking gospel to another level. Ameeen oh Ameen
This song ,it's has blessed me ,kweli mikono ya yesu iliniokota nilipotupwa na mikono ya maadui wangu ,najivunia mikono ya yesu nimizuri
Aaaaw ❤ inabariki🙏
Amen, Amen ni Mizuri
Cant stop listening to the song indeed the hand of God is God
Be blessed woman of God
Palipo na hii sauti ya mama was taifa Rose Muhando wewe ni nani usiangalie hiyo video 📷.
God's hands are good,they are not too short to save us.
Nailotic tunabarikiwa pande za manyara❤❤❤ ile ya mpenzi wangu ilinipiga makofi ya Yesu imenikumbatia
Napenda huu wimbo
Wabarikiwa ,sichoki kutazama
Mara ya kwanza naupata huu wimbo niliusikia siku mzima kifupi nimeupenda sana ❤❤❤
Nice song nataka mkino ya yesu aki inishike