MWL. ONESMO KUSHINDA VIFUNGO VYA KIROHO SEHEMU YA KWANZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • #lunchhour #mwlonesmo
    LUNCH HOUR YA 98.1 MBINGU DUNIANI RADIO

Комментарии •

  • @FlorahMangi-l7p
    @FlorahMangi-l7p 3 месяца назад

    Mwalimu mungu aendeleee kukupa neema zaidi na zaidi

  • @Thomasgalus
    @Thomasgalus 18 дней назад

    naomba mwaka huu yesu nisaidie niongezewe mshahara kwenye kazi yangu

  • @Thomasgalus
    @Thomasgalus 18 дней назад

    naomba kufunguliwa kikaz

  • @pendaelysumari6733
    @pendaelysumari6733 10 месяцев назад +1

    Asante Yesu kristo kupitia mtumishi wako

  • @JamesNnko-i9r
    @JamesNnko-i9r Месяц назад

    Rehema mbise naomba uniombee mutumishi nifanikiwe kiuchum biashara yangu imeshuka sana

  • @Suzy-b1t
    @Suzy-b1t 3 месяца назад

    IPO siku nitakuja kushuhudia nakupenda sana mwalim wa aina yake

  • @evalineloin4211
    @evalineloin4211 Год назад +1

    Amen

  • @JamesNnko-i9r
    @JamesNnko-i9r Месяц назад

    Rehema mbise Kushinda vifungo vya kiroh

  • @eliminajohn
    @eliminajohn 3 месяца назад

    Naomba kufunguliwa Baba nafanya biashara lakini hakuna mafanikiao kabsa

  • @Suzy-b1t
    @Suzy-b1t 3 месяца назад +2

    Dah wewe ni dawa ya changamoto zangu Mungu wako ni live Nina shuhuda Tano ,nimekujua tu Kwa miez mitatu,ila ubarikiwe sana onesmo bidii Yako imeleta uamsho Kwa wengi

  • @JacintaNgina-o6o
    @JacintaNgina-o6o Год назад

    Amina

  • @emmablessing9675
    @emmablessing9675 3 месяца назад

    Nakusikiliza baba

  • @CatherineSteven-d6b
    @CatherineSteven-d6b 5 месяцев назад +1

    Nimemjua juzi juzi lakini anajua kufundisha kama mwalimu mwakasege

  • @JosephYohanna-hn4sx
    @JosephYohanna-hn4sx 9 месяцев назад

    Kushida vibungo vya kiroho

  • @aminambwambo622
    @aminambwambo622 Год назад

    BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE NATAKA NIKUTANE NA WEWE YESU NIKUONE KWENYE MAISHA YANGU