NDOA YA KANDA! ya Dar es Salaam Tanzania, ya Ndugu Philipo. Ikifungishwa na Ndugu Branham.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 59

  • @marcomartin5610
    @marcomartin5610 Месяц назад +1

    Amen...Hiyo ni kweli. Alicho kiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe.

  • @Leonard-u5o4r
    @Leonard-u5o4r 5 дней назад

    Amen

  • @marychidahe-jz2xw
    @marychidahe-jz2xw Месяц назад

    Amen❤

  • @kadashahaggai4450
    @kadashahaggai4450 Месяц назад

    Hallelujah. Thanks be to God. God bless you and keep you

  • @LuikesaSaria
    @LuikesaSaria 2 месяца назад +5

    HALELUYA,SIFA NA UTUKUFU APEWE BWANA

  • @Charitymassawe
    @Charitymassawe Месяц назад +2

    Hata sasa mungu yuko hai katika kabisa lake natunaziona nguvu zake kupitia huduma tano ujumbe unasema bibiharusi anakamilishwa na hizo izo pekee ndizo zinamkamilisha bibiharusi mungu na awape neema ya kuona haya naamini ujumbe wa mungu nimkamilifu sanaaa yeye hawezi kusema kitu leo na kesho abadilishe hakika yeye nimwaminifu sanaaa kwa neno lake

  • @Pen960
    @Pen960 2 месяца назад +3

    Roho Mtakatifu bado anatumia watu...na anao mashahidi waliopo hai. Mungu atusaidie

  • @IsayaKonki-gf6vv
    @IsayaKonki-gf6vv Месяц назад +2

    Ni kazi kwelikweli tunatapeliwa jamani,hawana tofauti na wale wa siku za NABII

  • @GideonKirui-l1t
    @GideonKirui-l1t 2 месяца назад +1

    hii ni ajabu. Bwana Yesu atukuzwe

  • @worldrenew-uw9re
    @worldrenew-uw9re Месяц назад

    Hata na mimi nashangaa ni mambo mageni kwangu

  • @ruvubrideassemblykibaha2476
    @ruvubrideassemblykibaha2476 Месяц назад

    Kazi kweli kweli

  • @keepplayingthetapes4310
    @keepplayingthetapes4310 2 месяца назад +7

    Iyo ni Kamilifu sa kabisa. Humna vi fujo Hakuna nimeona kicho . Haswa kumuacha Nabii mwenyewe afanye kazi hiyo. MUNGU AWABARIKI KWAKU LIPATA LILE ONO.

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      Amina ndugu yangu mpendwa Mungu akubariki sana, huduma ya malaika wa saba ndio huduma ya wakati huu kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo. Ni baraka ilioje kuwa mmoja wao.

  • @emilianavicnte9234
    @emilianavicnte9234 4 дня назад

    Mbona hivyo jamani huyo ni nabii sio pastor coz kipindi alikuwa anahubiri alikuwa anamwitaga ndugu nevaa pastor ikuwaaje nabii akwa pasto embu nielewesheni hapo😢😢😢

  • @JosephMinyal
    @JosephMinyal Месяц назад +1

    Uduma ya uchungaji ni ya Muhimu

  • @NeemaMwaibula
    @NeemaMwaibula Месяц назад

    Mmmh

  • @Pen960
    @Pen960 2 месяца назад +2

    3:07 muda umeenda sana!!! Inasikitisha...

  • @athumanmpagama6259
    @athumanmpagama6259 2 месяца назад +1

    🎉🎉❤

  • @anastaziasamson593
    @anastaziasamson593 Месяц назад

    Mh ama kweli

  • @hopekinye8171
    @hopekinye8171 2 месяца назад

    😢😢😢😢

  • @Pen960
    @Pen960 2 месяца назад

    Ayseeee!!!😭😭😭

  • @ndeshimfangavo7259
    @ndeshimfangavo7259 Месяц назад

    Sijaelewa jamani...Nini hii

  • @mo_gideon3842
    @mo_gideon3842 2 месяца назад

    Naomba kuuliza maan hapo sijaelewa. Huyo mtu wa tatu hapo katikati ni nani? Kama yey si mchungaji bas amesimama hapo kama nani?

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      Huyo ni mtekeleza hayo matukio tu yanayoendelea hapo.

    • @mo_gideon3842
      @mo_gideon3842 2 месяца назад

      @@bonyezaplay kulingana na ujumbe naomb kueleweshwa vizuri!

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад


      Nadhani umeona hilo tukio na ukihitaji zipo video nyingi tu za nchi mbalimbali za ndoa zilizofungishwa kwa kanda. Ukihitaji kuona zaidi, kuna ndoa zilizofungishwa namna hii katika maskani ya Branham kwa kanda. Ni Neno wala si kingine.

    • @mosesjoseph730
      @mosesjoseph730 2 месяца назад

      @@bonyezaplay
      Sasa baadhi ya maeneo anasema mchungaji wakati yapo kwenye kanda, na wengine hicho kipande cha kufungisha ndoa husoma kwenye jumbe lakini tumewahukumu kuwa wapo makosani, kwanini? Wakati kuna maneno ndugu anasema yapo kwenye kanda haichezwi kanda lkn wale wengine wanaosoma kipengele kingine tunawaona makosani?

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      @@mosesjoseph730 sina muda wa mjadala kwani unayo nafasi kuamini unachodhani wewe ni kweli kwako. Bali Kanda inajitosheleza. Mungu akubariki sana.

  • @mosesjoseph730
    @mosesjoseph730 2 месяца назад +1

    Amina.
    Naona aliyeuliza swali ni nani atamtoa mwanamke huyu kuwa mke, hajauliza mjumbe, kauliza ndugu. Si tungemwacha mjumbe afanye yote?

    • @mo_gideon3842
      @mo_gideon3842 2 месяца назад +1

      😂 nami sijaelewa
      Imekuwaje hapo?

    • @suleimanimsosole3570
      @suleimanimsosole3570 2 месяца назад +1

      Mtumishi wa Mungu Branham kama akirudi na akiona hiki anaweza akalia

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      ati nini?
      ​@@suleimanimsosole3570

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      Hiyo sehemu kwenye Kanda hiyo imo. Hivyo nabii hajacha kitu.

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад


      Sehemu hiyo kwenye kanda hiyo imo. Nabii ameuliza swali hilo kwenye kanda hiyo.

  • @Pen960
    @Pen960 2 месяца назад

    This is amazing!!! So childish...

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      May God have Mercy on your soul. for you talk what you don't know nothing about.

    • @Pen960
      @Pen960 2 месяца назад

      @@bonyezaplay why do you think I don't know my precious friend? Don't you see this things on scriptures, that what your doing is against the Word of God? I think your looking for something which you don't know...anyway, we are praying for you our brethren that God in His divine mercies will wake you up and take you back to the living Word before it's too late!!! Shalom

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      18 Sasa, maishani mwangu mwote, ilionekana kuwa nilipendelea kwenda upande wa Magharibi. Na wengi wenu mmesoma hizo habari na kusikia kanda.
      19 Huduma ya kanda ni ya ulimwengu wote, kila mahali. Nafikiri ni njia moja aliyo nayo Mungu kusambaza Ujumbe katika nchi za makafiri, kule ambako yabidi zitafsiriwe. Na kule Ujerumani, na kwingineko, wanazo kanda zinazopelekwa katika makusanyiko yao, ya mamia na mamia ya watu; nao hutia vitu vidogo katika masikio yao, na kuvichomeka katika kinasasauti. Na jinsi tu ninavyozungumza, mhudumu husimama huko akizungumza vile vile, na katika lugha zingine, na kuuleta mbele ya mamia ya watu. Na mamia ya watu wanaokolewa na kuponywa, kupitia tu kanda zinazosambazwa kote ulimwenguni. Zote katika Kiingereza, lakini zikitafsiriwa katika lugha nyingi, nyingi sana za makabila kote ulimwenguni. Wao wanatupasha habari, kwa njia ya barua.
      63-1128M - Ushuhuda
      Rev. William Marrion Branham​@@Pen960

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      139 Na sasa ninatambua ya kwamba haya yanarekodiwa. Na kanda hizi, tuna huduma ya kanda, kote ulimwenguni. Na watu wengi, hapa tu usiku wa leo, ambapo yapata watu elfu moja wanasikiliza. Kabla kanda hii haijasimama, kutakuwako na watu elfu kumi mara kumi watakaoisikiliza, mnaona, kote ulimwenguni.
      63-0606 - Utuonyeshe Baba
      Rev. William Marrion Branham

    • @bonyezaplay
      @bonyezaplay  2 месяца назад

      Kule nje mikutanoni, nawaombea wagonjwa, na kila kitu namna hiyo; na, kando kando, nasema mambo kwa njia isiyo dhahiri, ambayo kondoo husikia. Wanajua kile kinachonenwa. Ama kweli, ni chambo tu kwenye ndoana, mnaona. Mimi huonyesha zile ishara za-za kujaribu kuonyesha ya kwamba Mungu anajua, katika utambuzi, na anajua mioyo ya watu, na hufanya mambo haya. Hicho ni kipawa cha kiinjilisti, kuwachochea tu watu.
      Muda si muda, kanda inaangukia nyumbani mwao. Imelenga penyewe, basi. Kama yeye ni kondoo, anakuja moja kwa moja Nalo. Kama yeye ni mbuzi, anapiga hiyo kanda teke. A-ha.
      65-0418E - Je! Mungu Habadilisha Nia Yake Kuhusu Neno Lake?
      Rev. William Marrion Branham​@@Pen960

  • @JoachimMario-sp3pk
    @JoachimMario-sp3pk Месяц назад

    Eeeh? Jamani? Mimi hapa sijaelewa kabisa, ivi ndivyo ilivyotendeka? Sasa uyu mtu wa tatu hapa ni mchungaji wao au nabii wao au ni nani sasa kwenye tukio hili?

  • @upedozuberyupendozuberynam4614
    @upedozuberyupendozuberynam4614 Месяц назад

    HUU NI UKOSEFU WA AKILI TIMAMU, HATA MADHEHEBU WANATUONA SISI HATUNA AKILI, DINI BARIDI SANA ILIYOJAA MAMBO YA KIMWILI NA AKILI ZA KIBINADAMU...
    SHAME ON US.
    MUNGU TUSAIDIE.

    • @BatwelSanga
      @BatwelSanga День назад

      Hiyo ni kwel ikiwa hivi biblia haina kazi na waefeso 3 haina kazi au nawaza🤔🤔🤔wakati Paulo anaandika nyalaka zake na walio zipokea walifanyaje maana hawakua na sauti yake au ndo.....

  • @Leonard-u5o4r
    @Leonard-u5o4r 5 дней назад

    Amen