SIKILIZA USIGOMBANE NA WATU WENYE MAMLAKA YA UTAWALA , WEWE FUNGA SIKU TATU J4 J5 ALKHAMIS, USIKU ALKHAMIS MLILIE KIONGOZI WA WOTE HUYO HADHULUMU NAKIAPIA USIPOPATA JIBU KAMA KWELI NI HAKI YAKO NJOO UNIITE MNYAMA NA NIPIGE BAKORA ,
Hapoulipoachiwa mshukuru tu mungu bc inatosha kila cku tunakufa na hkuna aliwahi kuzikwa nanyumba wala fensi wla eneo sanda juu unawekewa ubao natani ydongo mzee mshukuru mungu kweli nakwambia
Haiwi firauna alijiita mungu na hawo wafalme wa kiafrika na wao miungu watu hata wafalme wa kiarabu hawakufanya hivyo lkn latazidu dhalimina ila hasara wako wapi walio uwa wakati wa mapinduzi wako chini ya ardhi na nyinyi mnazulumu kwa jina la samia mtaulizwa samia mwadilifu hapendi dhulma na akiiona hiyo story atatoa majibu ardhi haiwatoshi basi inshaalla na makaburi yenu siku ya kuzikwa yasiwatoshe
Huuu ndio upumbavu tulonawo wa africa yaan mtu akiwa wazaz wake ni viongoz tu basi hakun teina haki, wala kusikilizwa mtu upumbavu tu mtu anafanya nchi kama nyumban kwake
Pole sana mzee mzèe wangu ccm ndio nchi wameinunua huyo mama na familia yake popote wanapopataka watapachukua hata nyumba unayoitaka wakiamua watakwambia hili eneo ni higadhi ya barabara hawatosheki ni makaburi yao yatadidimia wamefika hapa duniani wataishi milele
Kiumbe mzito. Jamani tusishabikie tukatoa maoni yetu. Kuandika barua kwa mwinyi kunauhakika kama Mwinyi kaipata , jambo kama Hilo wakati nipo kazini liliwahikunifika , niliandika barua kwa boss nilikuwa naomba kusafiri na baba yangu mzazi anaumwa, nilikaa nikawa sipati jibu. Kwa bahati nilikutana nae palepale kazini nikamuelezee kuhusu barua yangu, najibu alinipa sijapata. Andika nyingine. Basi niliandika nyingine na kuipeleka Mimi mwenyewe ofisi kwake. Na aliniruhusu nikaenda matibabuni na baba yangu. Tusiwe na dhana tu pengine haikupelekwa kwake.
Nakala zimesambazwa kwa wahusika wengi, tatizo linakuja wenye madaraka wanatumia nguvu ktk maamuzi lkn wànajisahau kuwa hatua moja tu ya ardhi ya dhulma inaweza kuwapeleka jehannamu, jamani viongozi haki ya mtu hata mkiichukua kwa nguvu kama hamkuirudisha hapa duniani mtairudisha akhera wenye madaraka mnasahu kuwa kuna mamlaka ya mbinguni inawaamgalia na inawasubiri siku nafsi zitakaporudi kwake
Happ hakuna pa kwenda ila hao viongozi watambuwe wazi kuwa mungu nihakim mkuu Nahii dunia tunapita tu kifo kipo hukumu ipo azabu zipo namungu hapotezi haki ya mtu
Samiya ni muislam mwinyi ni muislam othman makamu ni muislam makamu wa 2nae ni muislam sasa kama waliapa kulinda na kutenda vyema ktk madaraka yao na kushika quraan basi wanapaswa kujitafakar kila mmoja kwa na fasi yake na sio kwa hili la barabara ila kwa kila wafanyalo mungu awasaidiye
Wamekupuuza coz umewaruka Wizara ya ardhi itakua rahisi wakija na kumbukumbu ya michoro yao, Halafu mzee ulikosea kumuuliza mkuu wa wiliya kuhusu njia kama ipo sahihi Yeye mwenyewe yawezekana hajui kama hiyo njia itafeli ispokua wizara ya ardhi wangekuthibitishia kama ni njia endelevu.
Nimesoma comenti za waja ktk hili nyingi zinaponda ccm ila tusema haya na yale kwq sasa hali za nchi masikini nyingi kama sio zote watawala hufanya hivo Na hapa simaanishi rais na makamu namaanisha hao wapokeaji baruwa ama ujumbe na kuufikisha pahala husika hilo ni vigumu bila kuwa na mwega wa kupush Pili maoni mengi yaliyomo ktk hili suali yapo kisiasa zaidi kuliko kiuhalisiya
Tumekuwa viumbe waajabu sana sasaivi kila kitu mitandao hususana kwa mambo maovu mambo mema watu hawayasifu tumekuwa walalamikaji wazuri sana iyo yote inatokana na uhuru mkubwa tulopewa na serikali tumekuwa tunajenga ovyo bila kufuata mipango mji ila tukiharibikiwa tumekuwa ni walaumuji wakubwa hatuna mashirikiano asa na utawala wetu ivi tunategemea tuende vipi
Muengereza walimtumiya Nyerere kuja kuwauwa waislam zanzibar. JANUWARI 1964. Eti mwarabu anachukuwa watumwa. Eti mwarabu ni mbaguzi. . Ingekuwa hapo kunajengwa kanisa basi kungekuwa hakuna usumbufu. Mzanzibari hana tena mamlala kwa sasa. . Makosa makubwa tunajiona tumefanya mapinduzi kumbe tumepinduwa dini yetu hulka zetu. .eny way kaburini kuna nyoka .
@@hopefully7090 Jaribu kufunguwa kwenye RUclips. Antikalk Lukuvi kanisani.halafu msikililize. Halafu huku zanzibar kwa hawa viongozi ni waislam jina tu. Hawawezi kufanya chochote. Kwasababu tanganyika imechukuwa kila kitu
@@hamidamussa-sy4fm Nawasifu sana Mwalimu J k Nyerere na Mkapa Mungu awapumzishe kwa amani hawa hawakuwashirikisha watoto wao kwenye uongozi wowote, hawakuwa na tamaa za kujimilikisha nchi kifalme kwa kujaza familia zao kwenye uongozi. Tamaa uchu na kutotosheka ni jambo baya sana
Not good at all....kama kweli iko ivyo....changamoto ya story za mitandaoni ni vigumu kubalance na upande wa pili ili hadhira tupate story iliyokamilika...ila hapo unaangushwa na hao viongoz wa chini...wanatakiwa wakupambanie pasipo kujali waliowaajiri....hapo n kukosekana tu kwa uadilifu kwa wanaolishughurikia swala lako....don't give up!....nenda mahakamani....
Mshitakie Mungu ndie hakimu wahaki
SIKILIZA USIGOMBANE NA WATU WENYE MAMLAKA YA UTAWALA , WEWE FUNGA SIKU TATU J4 J5 ALKHAMIS, USIKU ALKHAMIS MLILIE KIONGOZI WA WOTE HUYO HADHULUMU NAKIAPIA USIPOPATA JIBU KAMA KWELI NI HAKI YAKO NJOO UNIITE MNYAMA NA NIPIGE BAKORA ,
Umetoa ushauli mzuli sana mkuu tena hilo nipigo kubwa sana Kwa watu kama hao wanao lingia vyeo vyaoo
Maalim bora unyamaze ukisema sana watakuteka wakuue tuu hao ni bora ukae kimya umshukuru mungu kuliko kuja ukatekwa halafu ukauliwa
Pole sana kaka, huo ndo utawala wa CCM, hio style inaitwa chukua chako mapema
Hapoulipoachiwa mshukuru tu mungu bc inatosha kila cku tunakufa na hkuna aliwahi kuzikwa nanyumba wala fensi wla eneo sanda juu unawekewa ubao natani ydongo mzee mshukuru mungu kweli nakwambia
Hapo mama samia pengine hana hata habari, watu anatumia majina tu.
Nakubali kweli
Kweli wanampaka tope tuu😢
Pole sana bado mitano
Sijuwi itakuwaje.
Mwenyenzi Mungu yupo
Hatari hizi power
Pole sana kaka mungu muweza
Othman Masoud (OMO) kisheria ni mshauri tu sio mtendaji wa Serikali kwa hiyo ata ukimwita hamna kitu kwa maana CCM haijampa Mamlaka hayo
Unaongea nn ww
@@SalumSafkim Huelew sepa sijakuita kunijibu
OMO usimlaumu maana hadi leo anapambana kwa walokoseshwa ZID. Huyo wa ccm ulomshitakia kumpa barua amekusaidia nini??
Kwa kuwa kaanza kupambana lini@@Zivago12
@@Zivago12ikisemwa serikali na yy pia yumo au yy si kiongozi wa serikali
Haiwi firauna alijiita mungu na hawo wafalme wa kiafrika na wao miungu watu hata wafalme wa kiarabu hawakufanya hivyo lkn latazidu dhalimina ila hasara wako wapi walio uwa wakati wa mapinduzi wako chini ya ardhi na nyinyi mnazulumu kwa jina la samia mtaulizwa samia mwadilifu hapendi dhulma na akiiona hiyo story atatoa majibu ardhi haiwatoshi basi inshaalla na makaburi yenu siku ya kuzikwa yasiwatoshe
ardhi sio kitu cha kugombania muachie mungu,maisha yenyewe umependwa miaka 60 ardhi iyoiyo inakusubiri
Huuu ndio upumbavu tulonawo wa africa yaan mtu akiwa wazaz wake ni viongoz tu basi hakun teina haki, wala kusikilizwa mtu upumbavu tu mtu anafanya nchi kama nyumban kwake
Mimi nakwambia pole kaka huo ndio utawala wa kwetu ccm daima
Pole sana mzee mzèe wangu ccm ndio nchi wameinunua huyo mama na familia yake popote wanapopataka watapachukua hata nyumba unayoitaka wakiamua watakwambia hili eneo ni higadhi ya barabara hawatosheki ni makaburi yao yatadidimia wamefika hapa duniani wataishi milele
Nchi haina sheria hii mzee shukuru Mungu tu
Kiumbe mzito. Jamani tusishabikie tukatoa maoni yetu. Kuandika barua kwa mwinyi kunauhakika kama Mwinyi kaipata , jambo kama Hilo wakati nipo kazini liliwahikunifika , niliandika barua kwa boss nilikuwa naomba kusafiri na baba yangu mzazi anaumwa, nilikaa nikawa sipati jibu. Kwa bahati nilikutana nae palepale kazini nikamuelezee kuhusu barua yangu, najibu alinipa sijapata. Andika nyingine. Basi niliandika nyingine na kuipeleka Mimi mwenyewe ofisi kwake. Na aliniruhusu nikaenda matibabuni na baba yangu. Tusiwe na dhana tu pengine haikupelekwa kwake.
Nakala zimesambazwa kwa wahusika wengi, tatizo linakuja wenye madaraka wanatumia nguvu ktk maamuzi lkn wànajisahau kuwa hatua moja tu ya ardhi ya dhulma inaweza kuwapeleka jehannamu, jamani viongozi haki ya mtu hata mkiichukua kwa nguvu kama hamkuirudisha hapa duniani mtairudisha akhera wenye madaraka mnasahu kuwa kuna mamlaka ya mbinguni inawaamgalia na inawasubiri siku nafsi zitakaporudi kwake
@@batashqiraa9936 wewe ndie mwenye uhakika, zote hizo ni dhana. Dhulma tunaofanya hata sisi tusoviongozi,
Nahisi huyu mzee yupo sahihi kwa hizo simu za sema na Raisi hakuna anaeweza kupokea kama sio mamlaka,ila nikushauri mzee wangu bora kubali yaishe.
@@hatibbaraka3956kuitetea haki yako ni Bora
Mama hawa wanaotumia jina lako usikubali mchukulie huyo mtu hatua kali sana ili iwe onyo kwa wengine wote
Kushaambiwa mwanawe wewe vipi
Ccm Daima kazi kwenu
Happ hakuna pa kwenda ila hao viongozi watambuwe wazi kuwa mungu nihakim mkuu
Nahii dunia tunapita tu kifo kipo hukumu ipo azabu zipo namungu hapotezi haki ya mtu
Msikubali haha awe mtoto wa mfalme gani km mm nakufanae
Wanyonge tunapata matitizo
Hii ndio African kaka watoto wa watawaka nao ni watawaka hawagusiki wapo juu ya sheria
Pole baba
Samiya ni muislam mwinyi ni muislam othman makamu ni muislam makamu wa 2nae ni muislam sasa kama waliapa kulinda na kutenda vyema ktk madaraka yao na kushika quraan basi wanapaswa kujitafakar kila mmoja kwa na fasi yake na sio kwa hili la barabara ila kwa kila wafanyalo mungu awasaidiye
Yeye yupo juu sheria
dah madhalim hawana huruma hawa
Hiii zarau kubwa
Sasa hapo km samia na mwinyi pana mkono wao sheha atafanya nini apo
Na kwa Allah ataenda kujivunia cheo na mwega msikiti unazuwia nji utaishi miaka mingapi hata unakibri hicho
Sio ccm huo ndio mfumo wa dunia saizi mwenye kisukirefu ndie alaye nyama
😢😢😢
CC M Oyeeeeeeeeee
Mshatakie Allah sali siku tatu muombe Allah hao wote ccm ni madhalim
Hii ndio ccm haifuati sheria.
Wamekupuuza coz umewaruka Wizara ya ardhi itakua rahisi wakija na kumbukumbu ya michoro yao, Halafu mzee ulikosea kumuuliza mkuu wa wiliya kuhusu njia kama ipo sahihi Yeye mwenyewe yawezekana hajui kama hiyo njia itafeli ispokua wizara ya ardhi wangekuthibitishia kama ni njia endelevu.
Mungu yupo
Wachukue video awo watu
Wenye nguvu wapishe
Wallahi maumivu makali yamenishika ktk kifua ukweli si haki
Ni niseme tu ukweli ccm wakiweka picha na wapinzani wakiweka jiwe bora nichague jiwe
Kikumbwa sheria ifatee mkumboo wakee hapo ikiwezekana wotee wavunjiwee ipitee barabara
Ndio maana tunataka mamlaka kamili ccm iondoke tutadhulumiwa hadi wake zetu.
Hao Sio Waisilamu Wameritadi Kwa Kiburi Wanachojivika Samia Na Familia Yake
Mwachie Mungu ndo mlipaji. Wa yote😊
Naamini kutatendeka haki hapo ktk barabara hiyo kwa pande zote kuridhiana kila la kher .
Kazi ipo
Kaka mie naona bora tumshitakie Allah tuu maana ndie hakim kuliko kiongozi yoyote maana wote lao ni moja tuu
Kwani hiyo nchi ni samia sasa au ndio mtu akiwa Raisi basi kila kitu ni chake madhalimu sana hao wanachukua chai mapema sio
Hakuna mtu anayefuata sheria, serikali haifuati Katiba wanafanya wanavyotaka.
Nimesoma comenti za waja ktk hili nyingi zinaponda ccm ila tusema haya na yale kwq sasa hali za nchi masikini nyingi kama sio zote watawala hufanya hivo
Na hapa simaanishi rais na makamu namaanisha hao wapokeaji baruwa ama ujumbe na kuufikisha pahala husika hilo ni vigumu bila kuwa na mwega wa kupush
Pili maoni mengi yaliyomo ktk hili suali yapo kisiasa zaidi kuliko kiuhalisiya
Kwahiyo ni halali jamaa asilalamike kwasababu kwengine kunavynjwa sheria?
Tumekuwa viumbe waajabu sana sasaivi kila kitu mitandao hususana kwa mambo maovu mambo mema watu hawayasifu tumekuwa walalamikaji wazuri sana iyo yote inatokana na uhuru mkubwa tulopewa na serikali tumekuwa tunajenga ovyo bila kufuata mipango mji ila tukiharibikiwa tumekuwa ni walaumuji wakubwa hatuna mashirikiano asa na utawala wetu ivi tunategemea tuende vipi
Mahakamani ulienda huyo aliye jenga pengine kajenga kwake kamstaki aliye kuvunjia hawo hawana maamuzi ukiona hivyo
Nchi ni ya Wananchi ccm haina mamlaka ya kumiliki nchi.
CCM hiyo , awamu ya nne imerudi
Nchi ngumu hii
CCM mbele kwa mbele
Mtoto gani uyo jina lake nani
Muengereza walimtumiya Nyerere kuja kuwauwa waislam zanzibar. JANUWARI 1964. Eti mwarabu anachukuwa watumwa. Eti mwarabu ni mbaguzi. . Ingekuwa hapo kunajengwa kanisa basi kungekuwa hakuna usumbufu. Mzanzibari hana tena mamlala kwa sasa. . Makosa makubwa tunajiona tumefanya mapinduzi kumbe tumepinduwa dini yetu hulka zetu. .eny way kaburini kuna nyoka .
Tulia hoja za msingi Zanzibar asilimia 99ni waislamu viongozi karibu wote ni waislamu anayekosesha hapo ni mkristu?
Wamefanikiwa vioo saivi pombe malaya mabaa makanisa zanzibar kama yote saivi wanatoka kwao huko wanakuja kujifunguwa huku
Acha ujinga
We acha
@@hopefully7090
Jaribu kufunguwa kwenye RUclips. Antikalk Lukuvi kanisani.halafu msikililize. Halafu huku zanzibar kwa hawa viongozi ni waislam jina tu. Hawawezi kufanya chochote. Kwasababu tanganyika imechukuwa kila kitu
Kuna wimbi kubwa sana la kuna watu wapo juu ya sheria bado.
Wewe ushaambiwa mtoto wa mama samia unataka nini mtoto wa rais huyo
@@hamidamussa-sy4fm Nawasifu sana Mwalimu J k Nyerere na Mkapa Mungu awapumzishe kwa amani hawa hawakuwashirikisha watoto wao kwenye uongozi wowote, hawakuwa na tamaa za kujimilikisha nchi kifalme kwa kujaza familia zao kwenye uongozi. Tamaa uchu na kutotosheka ni jambo baya sana
@@hamidamussa-sy4fm
Alaah kwaiyo ana haki ya kuvunja sheria coz sheria za mama ake ay mkuu wa wilaya 2mekuelewa.
Mahakama piya yao mtiyeni chura wa tumbo tuu
Mahakama ni ya CCM , police ya CCM , hakimu ni wa CCM we unafikiri haki utapata wapi
Not good at all....kama kweli iko ivyo....changamoto ya story za mitandaoni ni vigumu kubalance na upande wa pili ili hadhira tupate story iliyokamilika...ila hapo unaangushwa na hao viongoz wa chini...wanatakiwa wakupambanie pasipo kujali waliowaajiri....hapo n kukosekana tu kwa uadilifu kwa wanaolishughurikia swala lako....don't give up!....nenda mahakamani....
CCM. lanatullwah.
Muongo huyo Rais Samia sio dhalim hawez kumtoa amri km hivyo 😢