@Kiswahili nimeanza kusikiliza vipindi vyenu tangu mwaka 2008 baada tu ya kumaliza shule ya msingi,watangazaji kadhaa walinivutia akiwemo umri kher, Mohamed abdrahman,na yule binti aliye hamia bbc yule, matumizi mazur ya lugha ya kiswahili yalinifanya nisikilize kila ifikapo mda wa habr, mpaka leo ninapozungumza hivi Nina mke na watt wanne,kinachonifurahisha ni kwamba ukifika mda wa taarifa watt wang wanakuja mbio wakisema "baba tarifa inakupita huku njoo" na huwezi amin nina uwezo wa kuiongelea siasa ya ulimwengu Kwa lugha rafiki na kwa uwezo mkubwa lakn yote haya nayaweza kupitia mwalimu wangu ambaye ni "dw, kiswahili"
Dw mpaka mmenifanya nimekuwa mwana siasa
Kwa njia gani?