TAZAMA-Zoezi la Kuunga Reli kwa Umeme,Kichwa cha Treni ya SGR kufanyiwa Majaribio Mwezi wa 7.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 сен 2024
  • SOGA,KIBAHA PWANI

Комментарии • 121

  • @masagapaul5039
    @masagapaul5039 5 лет назад +10

    Asante sana Ben Mwantala kwa kuzidi kutufahamisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi. Ya CCM hapa kazi tu.

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 лет назад +2

    Excellent job Yapi Markezi,
    we appreciate your quality and standards.
    Viva Turkey!!!Viva Tanzania
    Together we can

  • @mfubwakilua5380
    @mfubwakilua5380 5 лет назад +4

    Kazi nzuri inaonekana jmn tuamke watanzania wenzangu

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 5 лет назад +5

    The future is really exciting!
    Naiona Tanzania mpya; Live Long my President, JPM.

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 5 лет назад +4

    Kwa kweli hatua nzuri imefikiwa Mungu wabariki watanzania

  • @filamupictures9349
    @filamupictures9349 5 лет назад +24

    wa pili kukomenti, mimi kama mtanzania ninaesubiri kwa hamu kupanda treni ya umeme nikiwa hapahapa bongo na sio china, nasema najivunia sana kuwa mtanzania 🇹🇿🇹🇿 niliyebahatika kuwa hai enzi za magufuli

  • @IbrahimMohamed-fk5cc
    @IbrahimMohamed-fk5cc 5 лет назад +5

    Mungu azidi kutuongoza 🇹🇿

  • @swaga2011
    @swaga2011 5 лет назад +5

    Hongera sana mandungu zetu! Huyo Rais wenu anaona mbele... Hii yetu yatumia diesel na ilijengwa na deni ya karibu billioni mia nne kutoka wachina. Na sii yetu mpaka baada ya miaka kumi. NKT!

    • @edgarbruchald6031
      @edgarbruchald6031 5 лет назад +2

      Karibu Tanzania

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 лет назад +1

      Poleni sana ndugu zetu was kenya,Odinga alipokuja Tanzania kutembelea reli yetu alisema Kenya nayo itaibadilisha hiyo ya diesel kuwa ya umeme.

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 5 лет назад +1

    #FANTASTIC JOB# This is tanzania bwana

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 лет назад +4

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kuisimamia vyema miradi yetu yote mikubwa na wakandarasi wetu wote ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @anthonyfaru1816
    @anthonyfaru1816 5 лет назад +6

    Maendelo afrika mpka ufosi ukiskiliza watu tu mhh utabk pale pale

  • @jamesjulius5057
    @jamesjulius5057 5 лет назад +6

    Yes we can

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 лет назад +1

    Hio treni inayopita kwenye background yenu ndio tunaitaka msituletee old model hatutawaelewa wakati nimelipa hela yangu

  • @hakimukondo6774
    @hakimukondo6774 5 лет назад +6

    Hii inaitwa Do or Die shubaashh lazima kieleweke coz hamna nchi iliyoendelea bila ya kuwa na miundombinu thabiti ya reli, barabara, nk

  • @silingasilinga7164
    @silingasilinga7164 5 лет назад +1

    Connect it to KENYA

  • @joellumala3206
    @joellumala3206 5 лет назад +10

    Malizeni tupande jama,., tushachoka na uasafiri wa Mabasi siku 2 nzima Dar-Mwanza khaaa

    • @adenihalisi4218
      @adenihalisi4218 5 лет назад

      @Joeli Lumala
      Umeonaye! Kigoma to dar bukoba to dar ni siku 2 duh!

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 лет назад +2

    Kuunga vipande vya reli ni vinafanyiwa uzinduzi jamani,? Si ni moja ya ujenzi wa kawaida? Uzinduxi ufanyike baada ya kumalizika

    • @eliusmbega7058
      @eliusmbega7058 5 лет назад +1

      Ndio hapo tujionee jinsi watu wanavyotafuta posho kiakili

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 5 лет назад +1

    Natamani sana kila mtanzania kwa nafasi yake atunze miundo mbinu jamn kwnn sisi vitu vyetu tusivitunze angalia barabarani mtu anangonga taa bila kujua unapo haribu miundo mbinu cyo unaikomoa serikali ila unajikomoa ww tuheshimu sana vitu kama hivi nakuvipenda

  • @enockelia9567
    @enockelia9567 5 лет назад +2

    Congrats

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 5 лет назад +3

    Mimi nataka tuwapige nao Kenya na treni yao ya magogo

    • @faceg_tz
      @faceg_tz 5 лет назад

      Hahahaaaa magogo kumbe

  • @deogratiusakaro725
    @deogratiusakaro725 5 лет назад

    Mimi ndio ninajivunia zaid maana steshen ya reli nijirani yangu soga.sitakwenda tena kongowe shopping yangu nitaifanya kariakoo na morogoro.ee mwenyezi mungu mpatie rais wetu umri mrefu amalize haya na aweze kujivunia haya.amen

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 5 лет назад +19

    kuna wajinga wengine mpaka leo hawaamn kama Tren ya umeme ya kisasa

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 5 лет назад +1

      Walishakunywa MAJI YA BENDERA hao ... ni WABISHI HADI SHETANI ANAWAINULIA MIKONO

    • @erickjuma6211
      @erickjuma6211 5 лет назад

      Asia Marusu wajinga ni nyinyi!!!

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 5 лет назад

      Erick Juma lazima utakua ndio walewale ...

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 5 лет назад

      Asia Marusu ,kama Tundu Lissu babu jinga la karne

  • @nurumohamedi9972
    @nurumohamedi9972 5 лет назад +3

    Nadhani tuna raisi mwenye kutaka maendeleo ya kweli tuko pamoja naye tatizo washabiki wengine wanamchafua wakijidai kumpenda hao cc ndo wanatuchefua

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 лет назад +4

    hata waweke nauli shi ngapi walahi lazima nikatoe ushamba walau nifike mji kasoro bahari loh!tunavionaga kwenye tv tu ish!

    • @hezrongaston4963
      @hezrongaston4963 5 лет назад +1

      Wewe umejua kuifanya sikuyangu iende vyema kwakucheka

  • @yusuphtv3329
    @yusuphtv3329 5 лет назад +7

    Malizeni fasta tupande tuuu izo tren

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 лет назад +11

    cha kushangaza wengine wapo busy na Asadi Asadi who is Asadi?

  • @hoseakaponya5070
    @hoseakaponya5070 5 лет назад

    Safi kabisa reli yetu ya kisasa, ila tuambieni pesa hizo zimetoka fungi gani la bajeti iliyopitishwa na bunge ? na in kiasi gani

  • @johntahona479
    @johntahona479 5 лет назад +5

    S kweli tumekopa mzee

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 5 лет назад +1

      John Tahona wapi tumekopa

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 лет назад

      Wakati tunataka kujenga tuliwaomba mkopo wakakataa,serikali ikaamua kuanza ujenzi kwa fedha zake,walipoona tumeanza ndo wakaja kuomba kutukopesha baada ya kuona tumeanza wenyewe.

    • @agogodadimwa195
      @agogodadimwa195 5 лет назад +1

      Tukope tusikope tunachokihitaji cc watz ni ule uthubutu.

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 5 лет назад +7

    Magufuli noma sana anapaswa kuongoza miaka 30

    • @semanasitv8303
      @semanasitv8303 5 лет назад

      huna akili

    • @eliusmbega7058
      @eliusmbega7058 5 лет назад

      Kwakweli hana huyu kula kulala ndio mana akasome katiba ya nchi kwanza

  • @ranger_2134
    @ranger_2134 5 лет назад +1

    Tanzania na Rais magu 2tabak kuw juu, juu zaid

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 5 лет назад

    Ama kweli hiki ni kishindo cha awamu ya tano

  • @yonamwakanyamale5023
    @yonamwakanyamale5023 5 лет назад +3

    Walete kichwa kama cha nyoka, sio kichwa kama cha ng'ombe..!

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 лет назад

      Cha Kenya kama cha punda ehehe the ehehh

    • @faceg_tz
      @faceg_tz 5 лет назад +1

      Hahahahaaa

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 5 лет назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂..Magufuli siyo wa mchezo.. Haletagi treni za vichwa vya ng'ombe... Sio JPM bwana.. Ahaaahaaa. Kichwa cha ng'ombe

  • @edinamutakyawa6872
    @edinamutakyawa6872 5 лет назад

    mko vzr

  • @sirielypetrombise519
    @sirielypetrombise519 5 лет назад

    Nice

  • @kaisarimkuu3685
    @kaisarimkuu3685 5 лет назад

    Wahandisi wengi wa Tanzania ni vilaza tu. Kila zoezi ni jipya kwao, ndio maana linahitaji uzinduzi. Wanawapotezea muda hao wataalam wa kituruki ambao kwao hiyo it's just another day in the office. Yaani bila Magufuli, nchi hii haitakuwa na revolution ya elimu. Hakuna kitu sekta ya engineering.

  • @filamupictures9349
    @filamupictures9349 5 лет назад +3

    ila najiuliza sana mbona waturuki hamuwahoji? ama wanaogopa kamera!!!

    • @dinahbasemera4672
      @dinahbasemera4672 5 лет назад +1

      wengi wao hawaongei kizungu nahisi.only top guys,ambao wako bussy.wao ni kazi tu.

    • @semanasitv8303
      @semanasitv8303 5 лет назад +1

      haiwahusu

    • @adammwakalonge3573
      @adammwakalonge3573 5 лет назад

      Waturuki wako bize hawana muda wa kiki wao ni kama magu hapo kazi tuu

    • @eliusmbega7058
      @eliusmbega7058 5 лет назад

      Lugha ndio tatizo coz wao hata kiingereza ni shida zaidi sana ni kituruki tu

  • @amoslukyaa5792
    @amoslukyaa5792 5 лет назад +2

    Tuna wapongezeni sana sana, ila nataka kusema hii si mara ya kwanza hili kufanyika katika Taifa letu - kwenye miaka ya tisini TAZARA waliweza kuunga vipande vya reli kwa mbinu hizo hizo za kuchomelea kwa kutumia umeme, hivyo si kweli kuwambia Watanzania kuwa hii ndio Mara ya kwanza teknolojia hii kutumika Nchini.

    • @mashakanyenzi904
      @mashakanyenzi904 5 лет назад

      Kakague kwanza hiyo TAZARA kabla ya kupinga kauli ya Kamwele hapa

    • @amoslukyaa5792
      @amoslukyaa5792 5 лет назад +1

      @@mashakanyenzi904
      Nani kasema nampinga Mh.Kamwele, nilikuwa namkumbusha tu kwamba hiyo si mara ya kwanza zoezi hilo kufanyika Nchini - tunakumbushana tu kwani tatizo liko wapi?
      Kitu kingine, I am not an average Joe naelewa vizuri masuala ya ujenzi was permanent way, rolling stock, locomotives na mawasiliano.

    • @nurumohamedi9972
      @nurumohamedi9972 5 лет назад

      Wasamehe ushabiki nao umo

    • @charleskolila1278
      @charleskolila1278 5 лет назад

      @@mashakanyenzi904 @ ni kweli kabisa hii si mara ya kwanza ni mara ya pili nilishuhudia mwenyewe kwa macho yangu ktk reli ya tazara karibu na mitaa ya kwetu mtoni mtongani

  • @shadiijamal8946
    @shadiijamal8946 5 лет назад

    Yes!

  • @johnpeter7224
    @johnpeter7224 5 лет назад

    naisubiri kwa Hamu treni iyo mpaka nipande at a kama nauli bei gani tachipanga

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 лет назад

    Kichwa mbona kimepinduka?

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 лет назад

      Hicho siyo chenyewe,hicho cha hiyo kampuni ya Yerpi makenzi,kwa ajili ya kuvutia mabehewa ya kumwaga kokoto.

  • @denismayunga4594
    @denismayunga4594 5 лет назад

    Hii ndo story, sio mambo ya pieri tena

  • @FMercuryEA
    @FMercuryEA 5 лет назад +1

    Why invest so much for a railway line 185 kilometers long whatever the prime mover is in a country as vast as Tanzania where a railway line going to Kigali is more relevant ? When will this railway line reach DRC Goma. To succeed in business you must learn to use other people's money. Other people's money is available in the financial markets of the world where small bits of savings and investments are pooled together.

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 5 лет назад +1

      who told you the aim is to reach kigali? the aim is to serve tanzanians, but it just happens that the railway is heading towards northeastern parts of the country and hopefully kigali will see the importance of connecting itself to the railway then one day people will travel from dar to kigali by a train, but thats just an end result the real reason to build is to serve tanzanians

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 5 лет назад

      plus it is not that easy to use other people money invested in capital markets

    • @thaubannaftali1439
      @thaubannaftali1439 5 лет назад

      You can't be a slave of other people's money for every move of development you achieve.Possible to you use that of yours make it.My friend it is not a wise move to apply a loan for each and everything even those you can make for your own money.

  • @mussalee5470
    @mussalee5470 5 лет назад

    Ilo gali linamaana gani apo kwenye reli juu

  • @wiseriziki2433
    @wiseriziki2433 5 лет назад

    Tumekopa kwa nini mnadanganya watanzania kwa faida ya nani?

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 5 лет назад

      chizi we haya sema tumekopa Bank gani? na lini ilipitishwa bungeni kuwa uwo ni mkopo Hakuna miundo mbinu Tz itakayojengwa bila kupitisha bajeti Ata izo pesa utaiba lakini bajeti lazima ipite mbona sijawai kusikia wabunge wamekubari kukopa pesa kw aajiri ya Reli ww umezipata wapi izo Habari

    • @afropanorama4730
      @afropanorama4730 5 лет назад +1

      @@mapenzi_tz1511 labda kakopwa baba yake

    • @eliusmbega7058
      @eliusmbega7058 5 лет назад

      Wengi wanasikiliza bongo fleva taarifa ya habari hamuijui kwahio mengi pia hamuyajui

  • @wiseriziki2433
    @wiseriziki2433 5 лет назад

    Pesa za reli tume kopa waziri mzima una sema uongo kila kitu siasa tz

    • @nassorongajituka7247
      @nassorongajituka7247 5 лет назад

      Ww ndo unajua kuliko yy ambae unajua kinachoendlea

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 5 лет назад

      Sawa tumekusikia

    • @josephatjovit6509
      @josephatjovit6509 5 лет назад

      Hela ukikopa alafu ukalipa, ni sawasawa tu umetumia pesa yako mwenyewe, waziri ndo ana maanisha hivyo, Kuweni waelewa kdg au hili nalo linatakiwa shule? Mfano, umekopa pesa kazini kwako, baada ya mda wakakukata, hapo utasema hiyo pesa ilikua ni ya nani?

    • @wiseriziki2433
      @wiseriziki2433 5 лет назад

      @@josephatjovit6509 madeni ya ndani hayalipiki ndo hayo ya nje? Tunapo ongea tuwe na data sasa hivi deni la nje una jua ni kiasi gan? Na unajua itachukua miaka mingapi kulipa? Kuna siku watanzania mtaamka mtajikuta utumwani mmesha uzwa.

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 5 лет назад +1

      @@wiseriziki2433 ww ndio Akili hakuna kabisaaaa 0 wasikilize waganganjaa akina Zitto watakupoteza,,, Iyo Inshu ya Tren ilishapitishwa na Bunge kitambo tu bajeti yake ilakikwete alikuwa muoga kuzitoa izo pesa,, JPM ndio kaja kuzitoa, na hakuna mtanzania Atakae uzwa Labda Zitto Aje akuuze ww Maana kilakitu mnajua nyinyi wengine mambumbu

  • @kimmtorobo3870
    @kimmtorobo3870 5 лет назад

    Mara ya kwanza Africa mashariki! Hiyo ni kweli? Kenya reli kama hii si imekamilika siku nyingi?

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 5 лет назад +1

      Kenya ile ni garimoshi

    • @hezrongaston4963
      @hezrongaston4963 5 лет назад

      Kuundwa kwa reli yakenya haiku tumia teknolojia tunayo tumia sisi kama nitakua nime muelewa engneer

    • @bonistylez
      @bonistylez 5 лет назад

      Kenya inatumia diesel man hii ni ya umeme

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 лет назад

    sasa haya yote ili iweje? tusiulize 2.4 trilioni zimekwenda wapi ?

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 5 лет назад +1

      Ili kusudi iitwe STANDARD GAUGE RAILWAY (SGR) UBORA NI KITU CHA MUHIMU SANA NA SI TU UPANA WA RELI
      KUMBUKA RELI HII ITAPITISHA TONS NYINGI SANA ZA MIZIGO NA ABIRIA HADI KWA ZILE "LANDLOCKED COUNTRIES" KAMA ZAMBIA, DRC, BURUNDI, RWANDA NA UGANDA .... HIVYO SPEED NA UIMARA WAKE NI MAMBO YA MSINGI SANA

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 лет назад +1

      @@danielmoses2244 sgr inakwenda Zambia pia ?au huelewi jinsi ya kunishawishi?

    • @danielmoses2244
      @danielmoses2244 5 лет назад

      @@samateryussuf5938 Hivi mzigo (containers) zikitoka bandarini Dar hadi Morogoro kwa muda mfupi tu kisha gari za mizigo zikabeba kuendelea na safari ya Zambia pana shida ....
      By the way umeona hapo tu kama tatizo na eti hujawa CONVINCED na maelezo yoooote hasa kuhusu LANDLOCKED COUNTRIES KAMA CONGO DRC, BURUNDI, RWANDA, UGANDA na SOUTH SUDAN ambao watapokea SHEHENA yao kupitia UGANDA ambayo ishaunganishwa na TANZANIA kupitia bandari ilo katika ZIWA VICTORIA
      KAMA HUJAWA CONVINCED BADO BASI UTAKUWA NA LAKO JAMBO

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 лет назад

      @@danielmoses2244 hivi kuajiri mamilioni ya waTZ kwa shilingi zetu kukarabati Tazara mpaka Tunduma , na pia reli ya kati mpaka Arusha, Moshi , Tanga , Mwanza kwa mfano kuna shida? kwa nn sisi waafrika kila mara twataka vitu vipya tu ambavyo hatuwezi kuvimudu?

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 лет назад

      @@danielmoses2244 hivi kuajiri mamilioni ya waTZ kwa shilingi zetu kukarabati reli ya kati na Tazara kwa mfano kupeleka mizigo yako muhimu kwenda Zambia , bila kutumia magari yenu mazito kuna shida ??

  • @danieldeogratus1683
    @danieldeogratus1683 5 лет назад +1

    TAZARA PIA WALISHAUNGA KWA UMEME. So sio kwa mara ya kwanza TZ

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 5 лет назад +1

      Wewe wapi uko

    • @danieldeogratus1683
      @danieldeogratus1683 5 лет назад

      @@danieljoseph6309 Tanzania

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 5 лет назад +2

      Tazara ipi io, kipande kipi cha tazara ni continous welded maana najua tazara ni jointed rail

    • @danieldeogratus1683
      @danieldeogratus1683 5 лет назад

      Yapo maeneo mengi yameungwa.... mfano mang'ula kiberege...... kama ushawahi kusafiri na tazara utajua tu maana yapo maeneo kibao (vipande) na pia makambako kama unaenda mbeya. Labda kama technolojia ilotumika ni tofauti na hiyo ya Yapi i can easily agree

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 5 лет назад

      @@danieldeogratus1683 poa poa