I listened this song two yrs back I digested the message well nilikua napitia mashida kibao Sina kazi here comes a one time opportunity ya kuletwa Saudi Arabia. Nilisema heri nikajaribu bahati Yangu na Mungu na mwema kweli pamoja na story mbovu nikizokua nasikia kuhusu hii nchi am here with a good family. For this I must say some song can encourage you
Woga wako ndio umasikini wako mwanangu we, Hofu yako ndio kifo chako eh mama, Mashaka nayo ndiyo dhambi yako we mama we, Kila kitu unasema huwezi, huwezi huwezi! Kwani wengine wameweza vipi eeh? Malengo yako utafanikisha vipi eh? Ndoto zako utakamilisha vipi? Umejiroga mwenyewe.
Ukisha ingia tu kwenye mfumo wa tuzo kwamba ww unapewa tuzo ya muimbaji bora kuawazidi wengine tyr umesha naswa na ww si wa Mungu tena.ktk kusifu kwa Mungu na injili ya Yesu hakuna alie bora wala mtunzi bora
Amina kubwa Rose may God give you long life kweli your songs are blessing to me one made me have courage and now i thank God for where i am God be with you
My all time favourite song, all my friends have known me through this song, whenever they play this song everyone remember me coz they know i love it, but its through you rose and am grateful for the blessings, be blessed
Rose Muhando Mwenyezi Mungu azidi kukuinua juu na akapanue mipaka yko kila siku maana huu wimbo utabaki kusikilizwa na vizazi vijavyo,tena unamafunzo mengi sana ndani yke😍❤ More Abundant blessings to u sister Rose.
I am a believer of this message. You finish yourself. How you think you has an impact on your life. Who you walk with has an impact on your life. Your level of self awareness has an impact on your life. Your ego has an impact on your life. Your choices will always have an impact on your life. Some circumstances si kurogwa. Ni wewe umejiletea hizo shida. Rose Muhando❤
am glad you are back i got saved by your song nitakushukuru juu i told God aniondolee majivuno and kiburi and nimefika mbali sana mungu anaishi nimekubali
Nimeuskiza huu wimbo miaka 3 sasa. Sijaskia matusi yeyote. Our God is not a lazy God. From the beginning of time He commanded us to work. Huu ndio ujumbe wa huu wimbo
Huu wimbo pale anapo imba '' mpumbavu uwamini kila neno bali mwenye akili ufikiri sana" twaviona kila kukicha Mungu uwe ngao yetu,,, jifunze kwa walio fanikiwa baada ya majibu chukuwa atuwa usijizarau ww niwa juu sana. Ubarikiwe sana mom rose we love you ❣️❤️
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe malikia Rose mungu akubariki my song 2024.
If you are here in 2024 kiss my comment
Jitegemee ww mwenyewe kwa mambo zako,ukiingiza watu wengine watasambaratisha mipango zako.. still Rose muhando 2024🙏
I listened this song two yrs back I digested the message well nilikua napitia mashida kibao Sina kazi here comes a one time opportunity ya kuletwa Saudi Arabia. Nilisema heri nikajaribu bahati Yangu na Mungu na mwema kweli pamoja na story mbovu nikizokua nasikia kuhusu hii nchi am here with a good family. For this I must say some song can encourage you
Amen... Napitia hiki ulichokisema hapo I believe mungu ataniona nami ... Thank you for this
Hii song naenda nayo 2023,,,, kama tukona wewe 2022 SEMA ,, Amen na ulike be blessed
Nipo hapa 2/1/2023 still listening this song🥰🥰🥰
Mimi hapa 31/1/2023
Mimi hapa 1/2/2023
Amen🙏🙏🙏
Niko hapa 3/3/2023 still listening
Jifunze na walofanikiwa, waloshindwa wana maneno mengi. Amen
Naam! Umejiroga mwenyewe kwa ujinga wako. Ujinga wako hasara kwako mwanangu. Big up Rose binti Muhando 2024 ❤❤❤🎉
Yuko wapi rose mwenye huu wimbo maaana huu ni funzo kwa vijana wa hovyo hovyo miaka yote ijayo na ya sasa 2024-2025 ...upo wapi?.
Woga wako ndio umasikini wako hofu yako ndio kifo chako, mashaka nayo ndio zambi yako🔥🔥ee Mungu tuepushe na hayo yote 2021
Leo nime tulia huu wimbo unanijia kichwani aisee rose be blessed ❤🫂
Wanaompenda rozi tusiwe waoga katika jina la yesu
Goat🐐,,,of Swahili gospel songs,,,,,2024 still tune on,,
2024 and still the song is a heat❤
who watched this 2024
True....walio shidwa wanamaneno mengi.......mm nimewashuhudia.
Queen of gospel in East Africa
2024 and not getting enough of this 😮
2023 nani anaangalia gonga like twende sawa
Woga wako ndio umasikini wako mwanangu we,
Hofu yako ndio kifo chako eh mama,
Mashaka nayo ndiyo dhambi yako we mama we,
Kila kitu unasema huwezi, huwezi huwezi!
Kwani wengine wameweza vipi eeh?
Malengo yako utafanikisha vipi eh?
Ndoto zako utakamilisha vipi?
Umejiroga mwenyewe.
Huu wimbo ndio ulinifanya nilatoka kenya n8kakuja ualabuni mama mungu asitikukutia nguvu sana nimeona mungu true this song harelluya.Amen.
Mimipia aki
Nipo nasikiliza mwaka mpya 2025 kama tupo pamoja Mungu akubaliki
Mimi apa bonge la nyimbo
2024 and I'm right here❤
Who is here at 2024... ?? ❤
nipo
🎉
it still slaps🎉
I'm here by the grace of God 🙏
July
Straight to the point. Ndoto zako utakamilisha vipi ikiwa haujiamini
It 7 yrs and it seems like this song has been uploaded just now😍😍😍 stay blessed rose
This song motivate me to work hard and smart.This is my favorite song of all the time.
Best of my best song.
Ukisha ingia tu kwenye mfumo wa tuzo kwamba ww unapewa tuzo ya muimbaji bora kuawazidi wengine tyr umesha naswa na ww si wa Mungu tena.ktk kusifu kwa Mungu na injili ya Yesu hakuna alie bora wala mtunzi bora
Who else is here 2022 keep working hard en smart one day everything will fall at it's place ✨✨✨✨
Yeah nipo nasikiliza now.
Re
I'm here
💯
Niko pia
Who is watching this 2025
huu wimbo unaongea ukweli mwingi sana.... 2022 february
nani anairudia hii tena na tenaaa kuisikiliza??
I have to face my problems no matter what
Mimi
Here is me big love rose Mohando ❤❤
Who's here November 2024❤❤❤
God has done 👏 👏 👏
The message in this song is just something else.
Walioshindwa wana maneno mengi.
Azlwjzlzzlsswawoaooaaiaaaoooaaa
💪
Shukrani Rose Muhando kwa mashauri mema,2023 na bado .
Sitakatamaa najua tooo mungu ipo siku nitambarikiwa
Hakika woga wako ndio umasikini wako😭😭😭mungu aendelee kukutunza uzidi kutufariji ktk nyakati zote
Naipenda sana hii nyimbo🎉❤
Message received mam
Rose muhando songs are not only songs but also strong massages in them, may our heavenly Father bless her.
2024 still on this.....
This song keeps me going when I negative stories concerning my life.only idle minds have time to discuss other people's progress
Who else is here 2024
Who's here 2024/ October/19.
God did it 🙏
Me today
2023 epuka vikao vya wapumbavu
Mchawi wa maisha yako niwewe mwenyewe
Nyimbo zako zinaishi 2023 mungu akutunze markia wetu
October 2020.... This song has a powerful message.....🇰🇪🇰🇪
2023 still blessings 🔥🔥
Amina kubwa Rose may God give you long life kweli your songs are blessing to me one made me have courage and now i thank God for where i am God be with you
G.O.A.T of swahili gospel ... no one comes closer to her
I second you bro
Mama mbarikiwa
My all time favourite song, all my friends have known me through this song, whenever they play this song everyone remember me coz they know i love it, but its through you rose and am grateful for the blessings, be blessed
Woga wako kinutia cheptenye..#Reagan
0
Listen this song again And again, are you here with me on 06/2/2023
Rose Muhando Mwenyezi Mungu azidi kukuinua juu na akapanue mipaka yko kila siku maana huu wimbo utabaki kusikilizwa na vizazi vijavyo,tena unamafunzo mengi sana ndani yke😍❤ More Abundant blessings to u sister Rose.
Hakika
God bless you so much Rose here in Kinondoni Dar es salaam this 2023,Am so blessed by this song.
Kwa kweli walioshindwa wana maneno mengi sana eeh,,, am in love with the song 🎵 it keeps me working working hard bila kusikiza walioshindwa o❤❤❤❤
Wogawako"ndoumasikini"wako"wimbo"huu"unafundisha"sana•Rozi"mhando"hongera"sana
Its wow!!!keep it up rose
-
I am a believer of this message. You finish yourself. How you think you has an impact on your life. Who you walk with has an impact on your life. Your level of self awareness has an impact on your life. Your ego has an impact on your life. Your choices will always have an impact on your life. Some circumstances si kurogwa. Ni wewe umejiletea hizo shida. Rose Muhando❤
❤🎉 I'm here Tr Rono St Peters Academy Chepwostuiyet Bomet county Siongiroi Zone Kenya , following Rose Muhando, keep it up 🎂❤🎉.
In 2023 and beyond this song remains relevant. It teaches us to work harder
Mchawi wa Maisha yako ni wewe mwenyewe
Love this one..God bless
asante Sanakwa huu wimbo wenye funzo
Mbingu zinene mema kwa ajili yako
A good message 💬 🙏🙏
This song keeps me going.... Now I have all courage to face my situations.
Who else is here 2022 watching nd enjoying this song 🎵 thx mama Rose 🌹
Nipo na bado nitakuwa, Rose hoyeee!!!.....
March 2023.... motivation Baraka tele to Rose Muhando
Well said Rose. May God use you more to teach other people through the songs
Sitochoka kusikiliza ujumbe huu hakika ujumbe huu ni roho wa mungu aliujaza moyo wako
Huu wimbo alitunga akiwa kwenye vilindi
Thanks Rose muhando may God bless you , this song created my courage up to a point of securing a government job
My all time swahili gospel artist. Kweli woga wako ndio umaskini wako
2023 and still can't have enough of this song.Mungu na azidi kukubariki malikia ❤❤
Rose Muhando, be blessed. I love this song a lot.
Mungu akupe wangaza sana ,na ss wakenya tunakuombee rose mhando 👍
Motivational song ' mungu akupe maisha marefu dada
am glad you are back i got saved by your song nitakushukuru juu i told God aniondolee majivuno and kiburi and nimefika mbali sana mungu anaishi nimekubali
Hongela Sana rozi injili isonge mbere
2023......ndani kabisaa
Kwani wengine wanaweze vipi?
It's the truth. JESUS help Me remain faithful.
Usijifunze Kwa walioshindwa, mpumbavu huamini Kila neno
That's why nowadays i walk with those who succeeded in life 🧬
Listening this song from isinya to machakos repeatedly
Ni moja kati ya nyimbo zilizonijengea Ujasiri
huu wimbo unaishi na utaendelea kuishi,nakupenda sana dada rose endelea kumtukuza MUNGU usikate wala kukatishwa tamaa,,by sulley jr
Tungo bora kabisa, maudhui yataishi miaka lukuki
Ndo walivyo na maneno walipona nimeshindwa walicheka walipoona nimefanikiwa wakasema hafiki mbali wameloga wenyewe
I wish everyone could get this message and practice.
A motivating song indeed....
It builds ambition and where hope has been lost
asiyefanya kazi asile true🙏🙏🙏🙏
Hii wimbo naipenda
nyimbo nzuri yakutia moyo barikiwa sana injili isonge mbele
Tafathali Dadangu unawatukana watu maneno yasiyofaa kwa MUNGU. Fikiria sana halafu uombe msamaha kwa MUNGU
Nimeuskiza huu wimbo miaka 3 sasa. Sijaskia matusi yeyote. Our God is not a lazy God. From the beginning of time He commanded us to work. Huu ndio ujumbe wa huu wimbo
Bibilia yenyewe inawaita wapumbavu,kwa hivo hamna matusi hapa.......it's the bitter truth
wewe ni kama hujielewi jiangalie sana
Ukute na wewe ni mjinga
Yeye mwenyew kila siku anashinda vijiweni nae Wimbo umemsota
It's 2023.... ahsante malikia...
Your songs makes me stronger and more educative everyday, keep up the good work Rose
The message in this song .....total truth 1000%
This song motivates and inspires me.God bless you rose
Lovely songs mum be blessed forever
Huu wimbo pale anapo imba '' mpumbavu uwamini kila neno bali mwenye akili ufikiri sana" twaviona kila kukicha Mungu uwe ngao yetu,,, jifunze kwa walio fanikiwa baada ya majibu chukuwa atuwa usijizarau ww niwa juu sana. Ubarikiwe sana mom rose we love you ❣️❤️
U r talented indeed thank u for motivational,powerfull and encouring songs may God give u wisdom to continue ministering through songs
2023 still listening to this song ❤
Aaah them days when my fav was toppest!! ❤❤❤❤ Love youuuuuu ❤️🩹❤️🩹
Am here 2024
AMINA 🙏 huu wimbo Unanibamba Sana barikiwa Mama yetu rose kwa huo ujumbe wako kwetu sie waja wa Mungu, nakupenda bure Sana my lovely Mum rose