Kwa mungu sisi wote tuko sawa akuna star sioni makosa ya kuombewa adharani. Iyo ni jia moja ya mapepo kushindwa haraka upesi. From KENYA we love you rose
Mbele ya Mungu hamna cha brand, wote ni sawa. Rose kujitokeza na kufanya hii hadharani ni FAIDA kwa watu wote tujifunze kua no one is safe, tunahitaji maombi sote, no matter who you are, shetani anaweza kujaribu tu. To us, she is here, haya mambo wanajitua brand brand ndio inaacha watu wanakufa na depression kuogopa, jamii itanionaje, naona Aibuu. Asante Rose kwa kuwa shujaa na kusema “Nilianguka Namuomba Mungu aniinue tena” narudia, Rose wewe ni shujaa, i respect you more and more..
Mimi naona huyu mr.(.....), asome tena injili Yesu alisema aliye na afya hamhitaji tabibu, na kingine kwenye huduma ya utumishi( kwa mtu anayeelewa nini maana ya ukristo) hakuna star mtu akitaka kuibadili huduma ya uimbaji kwa kutafuta kuwa star bora afanye muziki wa kidunia! Huku kwa Yesu hakuna muziki kuna huduma ya uimbaji au karama ya/ kipawa cha uimbaji
Rose anejibrand upya na hii itamsaidia kurudi katika misingi ya utumishi wake , hongera Rose Muhando.big up.Mungu bado ni mwema kwako .thamani yako kwake ni kubwa rudi mtumikie Mungu kwa dhati.
hakuna kutharariwa ageobewa kwa office mgesema pst nga'nga wako na mpengo ni vizuri ndio pia waimbaji wegine wajifuze kwa ivyo hakuna mkosa yeyote hapo juu kwa wakati huu kìla mtu amombie dada wetu Rose 💪👏
Rose did nice .......shetani si mtu wa kutolewa kwa siri ..ni mtu wa kukemewa hadharani atoke kila mtu akishuhudia ..there is nothing there like kujidharaulisha ama kujishusha Rose ....you did the best ....bravo ...M/Mungu akurudishie kipawa chako Amina
mungu huweka wazi dhambi unayoificha ni ngumu kumfasiri mungu ila tusitende dhambi huku tunajifanya kumtumia mungu mana usiombe unyoshwe na mungu Mara mia akunyoshe mwanadamu " wenye macho tuone na kwa masikio tisikie ni vema likawa funzo kwetu huku tukiendelea kumuombea rehema inavowezekana
The most important twataka mwimbaji wetu apone na akaweze kuendelea na uhimbaji wake ata mlevi atasipenda manyimbo za Dada yetu rose me to all the time am listening rose muhando songs na zinanichenga moyo wangu ata bila kwenda kanisani
Oh! Pole sana mtumishi wa Mungu! Mungu wa wetu ana tupenda de same! Mbona ni kama Mungu wa ma Str ni mwingine sie Mungu wa machokora?? Check yourselves
Very true, words of wisdom, am a Kenyan but I wasn't happy the way pastor Nga'nga hundled Mhando, I think he wanted publicity(atension seeker) tena baadaye anakanusha hakuwa anakemea mapepo kwa Rose Mhando..... Sio kila mtu anafanya rokoto rokoto rapapa rekereke.... eti pia ni roho wa Mungu, pia Nga'nga alipagawa na mapepo ya wale watu alikanyaga barabarani kule Naivasha.
hakunaaaaaaaa cha siri hapa ,,unataka ujengewe heshima gani wakati wewe ni binadamu tuuu na inahitajika watu waoneeeeee wajue sisi ni binadamu tuuu ,,na kuonyesha Mungu anaweza kwa yeyote na tujue kuwa mtu yeyote yanaweza kumkuta kwa hyo tunahitaji kusaidiana bila kuangalia oooh huyu star ooh huyu vipiiii,,achenii hizoooo,,tena safiiii sana pastor uliyechukua cameraa ,,nimependa sana
As I'm about to wind up, I would like to leave question with you brother Mbasha!. Anyone has a right to say (agree or disagree), but not everyone who says, says the WILL OF GOD. Many people on earth say "their" will. Their will is how they feel, how others will respond! I advise you. Because our dear sister Rose was not aware of how she was attended, It is not wise to argue about this on the social media, instead, It's good and godly to go to the Pastor in Kenya and advise him!!. I love you!
Hakuna star in the kingdom of God, sometimes God take us through some difficulties just to acknowledge that he is still God.We fall down but we get up all by the glorly of God,All we need is to pray for her .
ur right akemuombea bila kutoa siri ya roze muhondo kupitia video ifeel so bad that's not good badala ya kumsaidie now ameharibu kila kitu kwa maisha yake sijue mwanadada anafeel aje place yuko but let's pray for here so that she becm a strong lady we know
I agree with you brother.....shida yangu si Kama jinsi unavyo tabua umaalufu wa muhando bcz we're all equal b4 God especially when it comes to such occasions.My question is,, what trust dyu put in the so called mtumishi wa Mungu?? Badala ya kukemea anafanya kitu wazungu wanakiita Appeasing the demons..No apology to that. !!!!!!
Hahahaha, mbasha ana tatizo kubwa. Mungu akusamehe, heshimu watu wa Mungu, Mungu hana upendeleo. Wewe yatakutoka kwenye uanja ya mpira. Mungu abariki rose, hii ni fundisho kwetu sote.
Daah ni kweli kabisaa ila sikuizi dini ni pesa ndio maana bibilia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Na pia sio kila anae sema Yesu Yesu ni ana maanisha
ANGALIENI HATA you tube watumish pastors wanawaombea watu hata watumishi wa Mungu hadharani sasa hapa mumeona ameweza kuombewa mnajisuasua mbona hamkumuombea kisiri basi. MUNGU amemponya kwa alivyotaka maana Rose ni Mwana wa Mungu vilevile Aliyemponya Mungu.amzidishie baraka azidi kukemea hayo.mashetani
Ameombewa kamera zimewashwa, zimezimwa , cjui zimefanywaje.... Tunachojua sisi Rose ameombewa na kwa uweza wa Mungu ule uliomfufua Yesu, ule ulio mtoa lazaro kaburin ndio huo Utakaofungua vingo vyote walivyomfunga Rose .
I am too a minster of the word of God... I totally agree with you not only on the basis that muhando is famous but also on the ground that prayers in church being put on air more so deliverance time is wrong and unacceptable, my humble opinion
Very true. As much as the pastor is gifted in deliverance he should do it with absolute wisdom. This is show off n I'm still wondering if God is present here.
SYLVIA NYAMBURA sema pole pole siz, the church has turned into a master-slaves r/shp, the pst is the master and the other believers slaves, say God is not here louder and the slaves will be at your kneck! There is sickness that has gone beyond any possible existing divide! The sickness is all over the world! I will tell you one thing.... this was not deliverance, it was magic attendance... did you see the spraying part!??? The name of Jesus can not be replaced sister Nyambura, He is the word of God exalted above God himself- psalms 138:2
SYLVIA NYAMBURA tru believers will never be dissappointed... the fight is till the end and a promise of salivation is our portion...mathew 24:13. stand for the truth, follow not illusions, follow Jesus in the Bible... listen to him in prayers
Mbasha acha ujinga!! utakuwa hujaokoka wewe!! Rose ni star wa nani!! Star wa Neno LA Mungu ni Roho mt na Yesu mwwnyewe!! Unajidhalilisha ndugu!! Npen namba ya Mbasha ya simu ,ameniudhi sana!!
Mbele Za mungu Hakuna ati wewe ni mweshimiwa ati sijui wewe ni Nani that's why in the bible God divided the curtains into two so that all of us we can Neal on the alter and be delivered,,my friend if you think your are president so that pastor will handle you with honor then your lost
Kweli kabisa kaka angu. Sijafurahi kbs Huyu Mchg alivyofanya. Kila Jambo wanalirusha tu hewani kwanini wanataka Utukufu kwa wanadamu badala ya Mungu kuwainua jamani? Sijapenda huyo anatafuta jina ili aseme si mmeona nilimwombea Rose Mhando.Hekima utumike jamani kwenye huduma. Tutafika wapi ?
Kwa Mungu wote ni sawa!Wala hakuna ustar!!Bwana YESU amevuliwa nguo,ametemewa mate,amepigwa mijeredi na amekufa kifo cha aibu,na Bwana YESU ni mkuu kuliko huyo Rose Muhando wako!!Kwa hiyo bother! Tafuta jengine la kuongea!!
Kuna ukweli hiyo haijaharibu image ya Rose kwa wapenzi wake tu, Bali imeleta uchochezi kati ya Rose na manager wake. Inaweza kumuua kabisa kihuduma nije ya hivyo watu wengi uelewa wao wa rohoni no mdogo itamwongezea tu unyanyapaa, na Yesu wetu atatukanwa na si kutukuzwa. Rose anahitaji msaada zaidi hata baada ya maombi tayari ana roho ya kukataliwa, hana pesa n.k hayo yote yatizamwe kwa macho mawili, wasiwe watoa msaada wa kiroho tu na kimwili hawasaidii hiyo haina maana. Yesu ni wahuruma kwakweli my sympathy to her is great.
Ww umekaa kujificha na ndomana flora akakuumbua,sisi ndo tumemheshim ROZI zaidi Kwani tumeujua ukweli kuliko alivyokuwa anasingiziwa mambo mengi bila kuujua ukweli
ile siku utapatikana my frd hautaongea venye unaongea,kwa mungu zote ni sawa mambo ya umaarufu weka mbali,we unashida kumliko,mambo ya asikari wa kilumi kama aliombewa kisiri tujulia wapi chunga brother
Mbasha nahisi kama vile umekurupuka hivi......There is nothing special before the eyes of the Lord. We are equal and sinners, the Bible says in Romans 3:23 "for all have sinned and fall short of the glory of God" we deserve to be Prayed for irrespective
Wah kila jambo hutendeka likiwa na sababu.....kwa hii ya rose kama haingefanyika singejua haya mtumishi ameyasema,,,,sasa nimeelimika nimepata hekima.....nashukuru
Hivi Yesu alipowakomboa watu, alifanya kisiri au hadharani mbele za watu? Je, hiyo ilikuwa ni showoff? Na je, iwapo ilifanywa hadharani au Sirini, Rose alipona au la? Je, Waswahili walikuwa na maana gani waliposema mficha uchi hazai? Mnaojiita wachungaji na mnamkashifu Pastor Ng’ang’a kwa kuirecord tukio mnatofauti gani mnapoileta mitandaoni kama sio kik mnatafuta humu? Mbona hamkumuombea kisirisiri? By the way Neno Evangelism ni Live TV na maombi yote yalikuwa live so camera haikuwashwa kwa sababu ya Ukombozi wa Rose tu. Somo: mapepo hayana heshima ya kiongozi, msanii, au tajiri na masikini. Yakidhamiria kukuingia yataingia tu. By the way hebu twendeni tukaombewe pia. Unaweza kujikuta unawengi kuliko Aliyeombewa. Mbarikiwe sana
Acha usanii kwako wewe kufunguliwa kwa Rose hakuna uzito kuliko aibu unayoizungumza, acheni kuingiza usanii na ustaa na hicho ndicho kinachowamaliza.Kama hamtarudi kwenye misingi ya utumishi wenu mapepo yatawatesa sana, ustaa na heshima ni nini mbele za Mungu, mkumbuke mkuu wa majeshi Naamani .
Acheni kufanya dhambi mbele ya madhabahu, halafu unasema eti rozi ni star kwa mungu hakuna star Kama hulijui Hilo naona mbasha umepotea halafu hivi nyie waimbaji uzinzi mmeruhusiwa
Aise kaka umeogea ukweli kwakuwa huyo mchungaji ni mchugaji anaye taka kipaji asijuwe kama haja mzaraulisha rose amewazaraulisha wa Tanzania wote waimba ijili hatuwaamini tena kupitia huyo mchungaji je yeye ni ni msafi mbele za mungu kweli?
Wewe Mbasha bhanaaa hahahaaa! Kwani aliyemponya si ndiye aliye mpa kipawa cha uimbaji wazi wazi! Je hana uwezo wa kumvika ama kumrejeshea heshima Rose aliye mponya! Nafikiri kwa Mungu brand ya kidunia ni sifuri na hata haina thamani zaidi ya ushuhuda. Kuombewa sirini kwa lengo la kuficha aibu ni kumuonea haya Kristo mbele ya watu ambaye naye atakuonea haya mbele ya baba yake! Neema ya Mungu iwaokowayo ndo imefunuliwa wazi mchana kweupe na camera zikiwa on, wacha watu wauone mwanga mopya kupitia tukio hili. Na ndio ushuhuda utakao wavuta wengi.
Ukweli Wa majibu ya rose ndiyo hayo kweli uliveshwa. Kinyago mshukuru sana mungu kWa kupitia Mtumishi huyo umepata nguvu ulisha tekwa nyara isaya 42: 22 yremia 15:2 simama mtangaze yesu
swali moja la kujiuliza kama rose ni marufu kama mbasha asemavyo ni star swali je katoa wapi mapepo mana mastar hawana mapepo yeye katoa wapi uyu rose alifikiri anachezs na Mungu kuna kipindi alisema ukristo ni unafki na hautaki bora kurudi kwenye dini yake na aliongea hayo kwa kiburi sana alipo itwa kufanya show kanda ya ziwa na alilipwa halafu akutokea alipo patikana ndipo akatoa hayo majibu ya kujiinua aliona yeye ni tajiri na ni star kwaivyo anamamuzi yake ashukuriwe Mungu Wa mbinguni kwa kumuonyesha haziakiwi na hana star Bali anaitaji walio jishusha na kunyenyekea hii iwe fundisho kwa waimbaji na hata kwa akina wema wasijifanye dunia yao
Huyu mwombezi anatafuta tuu umarufuu maana kanisa lake halina umarufuu tena huyu mchungaji umarufuu uliisha ninjia yakutengeneza tu jina dada rose najamii yake wawe wangalifu sio wote wamitae bwana bwana wame amini wengi ni biashara
Mbasha umesema, "Rose ni star, ilikuwa ni bora zaidi kuwa waangalifu katika kumuombea, sidhani kama mchungaji aliyemuombea Rose amempatia heshima inayostahili.... ingekuwa bora angemuombea ofisini" maneno haya yamenikumbusha kisa cha Naamani aliyehuzunishwa sana kwa kitendo cha Elisha kutokutoka na kumlaki kama Jemedari mkubwa badala yake akatumiwa mjakazi amwambie akaoge katika mto Yordan mara saba. Jambo hili liliibua kichefuchevu zaidi kwa Naamani na akagoma kata kata hata aliposhauriwa na mjakazi wake. Alipotii aliponywa.. Najifunza mambo haya 1. Mungu hana STAR, anachotaka ni moyo wa unyenyekevu na utayari wa mtu kutii kile anachotaka na si unachotaka. 2. Uimbaji hauwafanyi muwe mastaa, acheni desturi za kimataifa. Ninyi ni watumishi tu shambani mwa Mungu msiostahili makuu yoyote. Hali hiyo ya kujiona mastaa kunawafanya mfungwe na shetani pasipo kujijua. Wengi wa waimbaji wamebobea kutunga nyimbo na kusahau maisha ya utaua na maombi mengi hivyo kuwafanya wazidi kutumikishwa na shetani bila kujua 3. Mwisho: wahubiri wengi wa kisasa nawashauri Muubirini Kristo kama kiini cha jumbe zenu, msifanye miujiza kuwa kiini cha jumbe zenu huku mkiwaacha waumini bila kitu ujuzi wowote wa neno la Mungu.
acha hizo mbasha, kwani rose kuombewa hadhalani tatizo liko wapi, kwani huyo Mchungaji na rose walikua wanafanya mapenzi ndo useme wangezima kamera, huoni hii imesaidia kufahamu mambo mengi ya rose, wanaoombewa hadhalani ni manyangau au, hata ww ukipatwa uombewe hadhalani ili na wengine wajifunze, eti bland , mbinguni wateule huingia kwa bland, wee vipi, nahisi umeanza kuchanganyikiwa nadhani, usidhani kila msomaji ni zwazwa
Ukweli haikua haja kuweka kwa camera wahumbili wengi hufanya hifo ndio watu wajue kanisha zao ndio wakue famous. Wengi wanataka kufutilia watu kwa kanisha zao na wengi wako fake naniwakola. Rose angeombewa lakini sio namna hiyo
its unfortunate wewe unajiita mbasha, mbele ya mungu hamna ombaomba na raisi,,, acha zako.. ata kama hatuungi mkono aliyofanya rose na "mchungaji wake" misingi yetu tofauti. Na wewe uheshimu ombaomba na wapiga ndebe.
Kwa mungu sisi wote tuko sawa akuna star sioni makosa ya kuombewa adharani. Iyo ni jia moja ya mapepo kushindwa haraka upesi. From KENYA we love you rose
Mbele ya Mungu hamna cha brand, wote ni sawa. Rose kujitokeza na kufanya hii hadharani ni FAIDA kwa watu wote tujifunze kua no one is safe, tunahitaji maombi sote, no matter who you are, shetani anaweza kujaribu tu. To us, she is here, haya mambo wanajitua brand brand ndio inaacha watu wanakufa na depression kuogopa, jamii itanionaje, naona Aibuu. Asante Rose kwa kuwa shujaa na kusema “Nilianguka Namuomba Mungu aniinue tena” narudia, Rose wewe ni shujaa, i respect you more and more..
Mimi naona huyu mr.(.....), asome tena injili Yesu alisema aliye na afya hamhitaji tabibu, na kingine kwenye huduma ya utumishi( kwa mtu anayeelewa nini maana ya ukristo) hakuna star mtu akitaka kuibadili huduma ya uimbaji kwa kutafuta kuwa star bora afanye muziki wa kidunia! Huku kwa Yesu hakuna muziki kuna huduma ya uimbaji au karama ya/ kipawa cha uimbaji
Sir Shija Tha Boy ni kweli
Hakika
Exactly ,
exactly no brand
Rose anejibrand upya na hii itamsaidia kurudi katika misingi ya utumishi wake , hongera Rose Muhando.big up.Mungu bado ni mwema kwako .thamani yako kwake ni kubwa rudi mtumikie Mungu kwa dhati.
hakuna kutharariwa ageobewa kwa office mgesema pst nga'nga wako na mpengo ni vizuri ndio pia waimbaji wegine wajifuze kwa ivyo hakuna mkosa yeyote hapo juu kwa wakati huu kìla mtu amombie dada wetu Rose 💪👏
Rose did nice .......shetani si mtu wa kutolewa kwa siri ..ni mtu wa kukemewa hadharani atoke kila mtu akishuhudia ..there is nothing there like kujidharaulisha ama kujishusha Rose ....you did the best ....bravo ...M/Mungu akurudishie kipawa chako Amina
My friend akuna star kwa mungu ukae ukijua ivo tafadhali pole
Mbasha amua kuokoka brother.utahangaika sana.et.star? Jiangalie sana mwanangu.i
mungu huweka wazi dhambi unayoificha ni ngumu kumfasiri mungu ila tusitende dhambi huku tunajifanya kumtumia mungu mana usiombe unyoshwe na mungu Mara mia akunyoshe mwanadamu " wenye macho tuone na kwa masikio tisikie ni vema likawa funzo kwetu huku tukiendelea kumuombea rehema inavowezekana
The most important twataka mwimbaji wetu apone na akaweze kuendelea na uhimbaji wake ata mlevi atasipenda manyimbo za Dada yetu rose me to all the time am listening rose muhando songs na zinanichenga moyo wangu ata bila kwenda kanisani
Oh! Pole sana mtumishi wa Mungu!
Mungu wa wetu ana tupenda de same!
Mbona ni kama Mungu wa ma Str ni mwingine sie Mungu wa machokora??
Check yourselves
Kweli kabisa ulichosema ❤️ mwenyw heshima apewe heshim yk mtu yoyote asiye elewa yatamtoka
Ndio maana katika mwamvuli wa ustar mnaendelea ku struggle ndani kwa ndani.
U star uacheni nje mnapoingia kanisani.
Nashukuru amekombolewa katika hayo
Very true, words of wisdom, am a Kenyan but I wasn't happy the way pastor Nga'nga hundled Mhando, I think he wanted publicity(atension seeker) tena baadaye anakanusha hakuwa anakemea mapepo kwa Rose Mhando..... Sio kila mtu anafanya rokoto rokoto rapapa rekereke.... eti pia ni roho wa Mungu, pia Nga'nga alipagawa na mapepo ya wale watu alikanyaga barabarani kule Naivasha.
Rose aombewee kwa siri ila cc wengine tuombeww hadharani ROHO MTAKATIFU anaposhuka aangalii ustar
hakunaaaaaaaa cha siri hapa ,,unataka ujengewe heshima gani wakati wewe ni binadamu tuuu na inahitajika watu waoneeeeee wajue sisi ni binadamu tuuu ,,na kuonyesha Mungu anaweza kwa yeyote na tujue kuwa mtu yeyote yanaweza kumkuta kwa hyo tunahitaji kusaidiana bila kuangalia oooh huyu star ooh huyu vipiiii,,achenii hizoooo,,tena safiiii sana pastor uliyechukua cameraa ,,nimependa sana
Mungu mkumbuke Rose na umponye kwa kila hali aliyo nayo pamoja na familia yake
As I'm about to wind up, I would like to leave question with you brother Mbasha!.
Anyone has a right to say (agree or disagree), but not everyone who says, says the WILL OF GOD. Many people on earth say "their" will. Their will is how they feel, how others will respond!
I advise you. Because our dear sister Rose was not aware of how she was attended, It is not wise to argue about this on the social media, instead, It's good and godly to go to the Pastor in Kenya and advise him!!.
I love you!
Hakuna star in the kingdom of God, sometimes God take us through some difficulties just to acknowledge that he is still God.We fall down but we get up all by the glorly of God,All we need is to pray for her .
Hakuna hustaa kwa Yesu acha kupotosha jamii, kamuulize mfalme na Amani aliambiwa akaoge mara saba iliukoma wake huishe.
ur right akemuombea bila kutoa siri ya roze muhondo kupitia video ifeel so bad that's not good badala ya kumsaidie now ameharibu kila kitu kwa maisha yake sijue mwanadada anafeel aje place yuko but let's pray for here so that she becm a strong lady we know
The statement that you have made hukufikiria vizuri na unafaa kujirekebisha kaka...imeniuma sana kusikia ulichokisema!!!!!!
Songa mbele Rozi usikatishwe tamaa na mtu tambua Mungu anakupenda endlea kumuomba Mungu tunakuombea upone kisha uendlee na kazi ya Mungu
Rose Muhando God be with you, be strong in Jesus it doesn't matter what people see or talk about you.
I agree with you brother.....shida yangu si Kama jinsi unavyo tabua umaalufu wa muhando bcz we're all equal b4 God especially when it comes to such occasions.My question is,, what trust dyu put in the so called mtumishi wa Mungu?? Badala ya kukemea anafanya kitu wazungu wanakiita Appeasing the demons..No apology to that. !!!!!!
Hahahaha, mbasha ana tatizo kubwa. Mungu akusamehe, heshimu watu wa Mungu, Mungu hana upendeleo. Wewe yatakutoka kwenye uanja ya mpira. Mungu abariki rose, hii ni fundisho kwetu sote.
Daah ni kweli kabisaa ila sikuizi dini ni pesa ndio maana bibilia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Na pia sio kila anae sema Yesu Yesu ni ana maanisha
Nani kamwaibisha Rose Mhando?
A) Mchungaji/Mwombeaji
B) Mapepo
C) Camera man
D) Watoa posti mitandaoni
E) hajaaibishwa
F) Sijui
ANGALIENI HATA you tube watumish pastors wanawaombea watu hata watumishi wa Mungu hadharani sasa hapa mumeona ameweza kuombewa mnajisuasua mbona hamkumuombea kisiri basi. MUNGU amemponya kwa alivyotaka maana Rose ni Mwana wa Mungu vilevile Aliyemponya Mungu.amzidishie baraka azidi kukemea hayo.mashetani
Ameombewa kamera zimewashwa, zimezimwa , cjui zimefanywaje.... Tunachojua sisi Rose ameombewa na kwa uweza wa Mungu ule uliomfufua Yesu, ule ulio mtoa lazaro kaburin ndio huo Utakaofungua vingo vyote walivyomfunga Rose .
No one is behold the POWER of God.... All are equal
Aiiii huyu mbash anakichaa kwa yesu all we're equal
Mimi sijaona kosa kwa rose kuombewa public cha msingi amefunguliwa ukisema alikuwa star ntaanza kupata mashaka na utumishi wako mbasha
It's well Roce God is there for you and He will never Live you or forsake you u are healed in Jesus name
Msilete ubinadamu wenu ktk injili ya kristo ,,, Ukiwa kama kweli wew ni mchungaji unaelewa aina za maombi usinge toa hisia zako,,,,
Jambo la msingi ni kwamba Rose afunguliwe, awe huru, atafanya huduma ya Mungu vizuri akisha funguliwa.. Weka mbali habari ya ustaa
I am too a minster of the word of God... I totally agree with you not only on the basis that muhando is famous but also on the ground that prayers in church being put on air more so deliverance time is wrong and unacceptable, my humble opinion
Very true. As much as the pastor is gifted in deliverance he should do it with absolute wisdom. This is show off n I'm still wondering if God is present here.
SYLVIA NYAMBURA sema pole pole siz, the church has turned into a master-slaves r/shp, the pst is the master and the other believers slaves, say God is not here louder and the slaves will be at your kneck! There is sickness that has gone beyond any possible existing divide! The sickness is all over the world! I will tell you one thing.... this was not deliverance, it was magic attendance... did you see the spraying part!??? The name of Jesus can not be replaced sister Nyambura, He is the word of God exalted above God himself- psalms 138:2
Pas. Ben may God ve mercy. This is very disappointing
SYLVIA NYAMBURA tru believers will never be dissappointed... the fight is till the end and a promise of salivation is our portion...mathew 24:13. stand for the truth, follow not illusions, follow Jesus in the Bible... listen to him in prayers
@@LiveOnTheHolyWord Amen thank you Pas. God bless you
Hakuna mtu special kuliko mwingine mbere za uso wa mungu rose amekombolewa ....mbona watanzania hamkumuombea rose ....mbona mnapiga maombi.
Me naona sawa tu wakati Wa mungu ukifika umefika tu Kwa mungu akuna star roz ataendelea kua star tu,akuna tatizo tatizo ,
i agree 100%. lets serve with wisdom.
jaman,maombi popote,ili mladi vita imekupata hilo ni funzo kwa wakristo ili tujipange vzur ktk kumwabudu mungu
Hata yesu mwenyewe ni wengi alitoa mapepo. Mbasha ajiadhari na maongezi yake.
Me namwqmbia roz asimame sasa na mungu mungu kamueshimu kamponya asimamee na mungu ,na mungu hatomuacha ,
Mbasha acha ujinga!! utakuwa hujaokoka wewe!! Rose ni star wa nani!! Star wa Neno LA Mungu ni Roho mt na Yesu mwwnyewe!! Unajidhalilisha ndugu!! Npen namba ya Mbasha ya simu ,ameniudhi sana!!
Mbele Za mungu Hakuna ati wewe ni mweshimiwa ati sijui wewe ni Nani that's why in the bible God divided the curtains into two so that all of us we can Neal on the alter and be delivered,,my friend if you think your are president so that pastor will handle you with honor then your lost
Kweli kabisa kaka angu. Sijafurahi kbs Huyu Mchg alivyofanya. Kila Jambo wanalirusha tu hewani kwanini wanataka Utukufu kwa wanadamu badala ya Mungu kuwainua jamani? Sijapenda huyo anatafuta jina ili aseme si mmeona nilimwombea Rose Mhando.Hekima utumike jamani kwenye huduma. Tutafika wapi ?
Ikiwa ni mambo na kuogopa aibu basi hata Yesu angesulubishwa chumbani kwa kuwa hiyo ndiyo aibu kubwa! Tafakari!!
mbasha upo sawa wamemzalilisha Ross jaman
mbona naamaninna ujemedari wake aliambiwa aende Jordan! deliverance if proud bana.nabukishushwa ndo unainiliwa atafanya vizuri zaid
Kwa Mungu wote ni sawa!Wala hakuna ustar!!Bwana YESU amevuliwa nguo,ametemewa mate,amepigwa mijeredi na amekufa kifo cha aibu,na Bwana YESU ni mkuu kuliko huyo Rose Muhando wako!!Kwa hiyo bother! Tafuta jengine la kuongea!!
Au nawww unahusika ulitaka wamfungie chumbn kwahyo mastaa choon huwa hamuend acha dhalau kukemea mapeppo nipopote rose wetu tunakuombea upone utupe vitu
Kuna ukweli hiyo haijaharibu image ya Rose kwa wapenzi wake tu, Bali imeleta uchochezi kati ya Rose na manager wake. Inaweza kumuua kabisa kihuduma nije ya hivyo watu wengi uelewa wao wa rohoni no mdogo itamwongezea tu unyanyapaa, na Yesu wetu atatukanwa na si kutukuzwa. Rose anahitaji msaada zaidi hata baada ya maombi tayari ana roho ya kukataliwa, hana pesa n.k hayo yote yatizamwe kwa macho mawili, wasiwe watoa msaada wa kiroho tu na kimwili hawasaidii hiyo haina maana. Yesu ni wahuruma kwakweli my sympathy to her is great.
Bona yesu akachapwa hadharani,na alikua mwana WA mungu?
asante mungu kwakumu funguwa rozi akika munguwajabu
This is season 1 watch out season 2..Proud to be Muslim..
God knows us better n we should not blame one another. we are children of one father. Barikiweni sana.
Ww umekaa kujificha na ndomana flora akakuumbua,sisi ndo tumemheshim ROZI zaidi Kwani tumeujua ukweli kuliko alivyokuwa anasingiziwa mambo mengi bila kuujua ukweli
Watumishi jameni tuwewangalifu sana sijamhukumu mtu ila Mungu atusaidie Rose muhando Mungu atie nguvu
Reverand pasteur Gahungu Gerard de l'glise Burundi Rhema word christian Revival center.
ile siku utapatikana my frd hautaongea venye unaongea,kwa mungu zote ni sawa mambo ya umaarufu weka mbali,we unashida kumliko,mambo ya asikari wa kilumi kama aliombewa kisiri tujulia wapi chunga brother
Acha mungu ajichukulie utukufu...huo ni ushuhuda tosha..acha masiara baba
Ajijuwi huyo kwa mungu akuna star wala konkig yeye pia katekwa na shetani anaitaji maombi
Hamna ustaa mbele za mwenyezi mungu, bora maombi
U are very right dear it is true
Ameni Ameni True ubarikiwe Sana mbasha ubarikiwe, KENYA Kuna mashilebe wengi Sana Rose awe macho
Penana Home mbona hamkumuombea rose ? Watanzania nyinyi ni wachawi rose amekombolewa na mungu atamuinua.
Mbasha nahisi kama vile umekurupuka hivi......There is nothing special before the eyes of the Lord. We are equal and sinners, the Bible says in Romans 3:23 "for all have sinned and fall short of the glory of God" we deserve to be Prayed for irrespective
Naamini atakuwa star mara dufu, Asimame na Mungu.
Wah kila jambo hutendeka likiwa na sababu.....kwa hii ya rose kama haingefanyika singejua haya mtumishi ameyasema,,,,sasa nimeelimika nimepata hekima.....nashukuru
Kweli kabisa kaka mbasha
Hivi Yesu alipowakomboa watu, alifanya kisiri au hadharani mbele za watu?
Je, hiyo ilikuwa ni showoff?
Na je, iwapo ilifanywa hadharani au Sirini, Rose alipona au la?
Je, Waswahili walikuwa na maana gani waliposema mficha uchi hazai?
Mnaojiita wachungaji na mnamkashifu Pastor Ng’ang’a kwa kuirecord tukio mnatofauti gani mnapoileta mitandaoni kama sio kik mnatafuta humu? Mbona hamkumuombea kisirisiri? By the way Neno Evangelism ni Live TV na maombi yote yalikuwa live so camera haikuwashwa kwa sababu ya Ukombozi wa Rose tu. Somo: mapepo hayana heshima ya kiongozi, msanii, au tajiri na masikini. Yakidhamiria kukuingia yataingia tu. By the way hebu twendeni tukaombewe pia. Unaweza kujikuta unawengi kuliko Aliyeombewa. Mbarikiwe sana
well said nimekupenda siri ya niniiiiiiii
Washington Kipsang Amen
Ukweli umesema kaka @wishington kipsang
Mungu anaweza
Time for Deliverance has come star singer
hakuna ustar kwenye huduma ya mungu binadamu wote ni sawa ,,cha msingi hapa ni swali je amefunguliwa ?
Ukweliiii
Bwana akupe afya
.
.
Star kwa mungu akuna tuko sawa mdogo kwa mukubwa
Kanambali Mussa kabisaaaa uko sahihi
Acha usanii kwako wewe kufunguliwa kwa Rose hakuna uzito kuliko aibu unayoizungumza, acheni kuingiza usanii na ustaa na hicho ndicho kinachowamaliza.Kama hamtarudi kwenye misingi ya utumishi wenu mapepo yatawatesa sana, ustaa na heshima ni nini mbele za Mungu, mkumbuke mkuu wa majeshi Naamani .
Acheni kufanya dhambi mbele ya madhabahu, halafu unasema eti rozi ni star kwa mungu hakuna star Kama hulijui Hilo naona mbasha umepotea halafu hivi nyie waimbaji uzinzi mmeruhusiwa
Aise kaka umeogea ukweli kwakuwa huyo mchungaji ni mchugaji anaye taka kipaji asijuwe kama haja mzaraulisha rose amewazaraulisha wa Tanzania wote waimba ijili hatuwaamini tena kupitia huyo mchungaji je yeye ni ni msafi mbele za mungu kweli?
Hakuna star mbele za Mungu wewe
Skutaka ku coment but naamua ku coment, bro sisi sote ni sawa au kuna mapepo mengine ya siri? Ata wew ukizingua utaombewa kati kati ya uanja wa taifa
kwanza wewe mbasha unajaa mapepo hahahaha amefezereka rose ama shetani mungu akusamehe
Mungu amponye rose
Wewe Mbasha bhanaaa hahahaaa! Kwani aliyemponya si ndiye aliye mpa kipawa cha uimbaji wazi wazi! Je hana uwezo wa kumvika ama kumrejeshea heshima Rose aliye mponya! Nafikiri kwa Mungu brand ya kidunia ni sifuri na hata haina thamani zaidi ya ushuhuda. Kuombewa sirini kwa lengo la kuficha aibu ni kumuonea haya Kristo mbele ya watu ambaye naye atakuonea haya mbele ya baba yake! Neema ya Mungu iwaokowayo ndo imefunuliwa wazi mchana kweupe na camera zikiwa on, wacha watu wauone mwanga mopya kupitia tukio hili. Na ndio ushuhuda utakao wavuta wengi.
Ukweli Wa majibu ya rose ndiyo hayo kweli uliveshwa. Kinyago mshukuru sana mungu kWa kupitia Mtumishi huyo umepata nguvu ulisha tekwa nyara isaya 42: 22 yremia 15:2 simama mtangaze yesu
Aombewe ofisini hadharani Maombi ni Yale Yale ulitaka nani adondoke hadharani ? Rekebisha. Kauli hiyo
swali moja la kujiuliza kama rose ni marufu kama mbasha asemavyo ni star swali je katoa wapi mapepo mana mastar hawana mapepo yeye katoa wapi uyu rose alifikiri anachezs na Mungu kuna kipindi alisema ukristo ni unafki na hautaki bora kurudi kwenye dini yake na aliongea hayo kwa kiburi sana alipo itwa kufanya show kanda ya ziwa na alilipwa halafu akutokea alipo patikana ndipo akatoa hayo majibu ya kujiinua aliona yeye ni tajiri na ni star kwaivyo anamamuzi yake ashukuriwe Mungu Wa mbinguni kwa kumuonyesha haziakiwi na hana star Bali anaitaji walio jishusha na kunyenyekea hii iwe fundisho kwa waimbaji na hata kwa akina wema wasijifanye dunia yao
Jane Suma amen
Huyu mwombezi anatafuta tuu umarufuu maana kanisa lake halina umarufuu tena huyu mchungaji umarufuu uliisha ninjia yakutengeneza tu jina dada rose najamii yake wawe wangalifu sio wote wamitae bwana bwana wame amini wengi ni biashara
Hamna brand kwa Mwenyezi Mungu
Daaa ushauri wako mbasha mbaya
Mbasha umesema, "Rose ni star, ilikuwa ni bora zaidi kuwa waangalifu katika kumuombea, sidhani kama mchungaji aliyemuombea Rose amempatia heshima inayostahili.... ingekuwa bora angemuombea ofisini" maneno haya yamenikumbusha kisa cha Naamani aliyehuzunishwa sana kwa kitendo cha Elisha kutokutoka na kumlaki kama Jemedari mkubwa badala yake akatumiwa mjakazi amwambie akaoge katika mto Yordan mara saba. Jambo hili liliibua kichefuchevu zaidi kwa Naamani na akagoma kata kata hata aliposhauriwa na mjakazi wake. Alipotii aliponywa.. Najifunza mambo haya
1. Mungu hana STAR, anachotaka ni moyo wa unyenyekevu na utayari wa mtu kutii kile anachotaka na si unachotaka.
2. Uimbaji hauwafanyi muwe mastaa, acheni desturi za kimataifa. Ninyi ni watumishi tu shambani mwa Mungu msiostahili makuu yoyote. Hali hiyo ya kujiona mastaa kunawafanya mfungwe na shetani pasipo kujijua. Wengi wa waimbaji wamebobea kutunga nyimbo na kusahau maisha ya utaua na maombi mengi hivyo kuwafanya wazidi kutumikishwa na shetani bila kujua
3. Mwisho: wahubiri wengi wa kisasa nawashauri Muubirini Kristo kama kiini cha jumbe zenu, msifanye miujiza kuwa kiini cha jumbe zenu huku mkiwaacha waumini bila kitu ujuzi wowote wa neno la Mungu.
acha hizo mbasha, kwani rose kuombewa hadhalani tatizo liko wapi, kwani huyo Mchungaji na rose walikua wanafanya mapenzi ndo useme wangezima kamera, huoni hii imesaidia kufahamu mambo mengi ya rose, wanaoombewa hadhalani ni manyangau au, hata ww ukipatwa uombewe hadhalani ili na wengine wajifunze, eti bland , mbinguni wateule huingia kwa bland, wee vipi, nahisi umeanza kuchanganyikiwa nadhani, usidhani kila msomaji ni zwazwa
Hizi ni siku za mwisho,nataka Mangalore huyu pastor vizuri Kenye anafanya,hii ni fame tu
Nakubaliana nawe
pepo ww ushindwe katika jina la Yesu,maombi hayana cha umaarufu wala ustaa tena hayachagui ni sehemu ipi maalu.njoo ufanyiwe maombi at a ww
nisawa ila ilatati halipo kikubwa MUNGU amemponya rose muhando wetu
Ukweli haikua haja kuweka kwa camera wahumbili wengi hufanya hifo ndio watu wajue kanisha zao ndio wakue famous. Wengi wanataka kufutilia watu kwa kanisha zao na wengi wako fake naniwakola. Rose angeombewa lakini sio namna hiyo
ruclips.net/video/VUZvwuy8Wlk/видео.html Wimbo mpya wa Rose Muhando
Mwimbieni Bwana,mtalipwa kwa karama mlizopewa
Lakini mkienda kinyume yatatokea kama haya
kwa mungu hamna star hawezi zaraulika kwa mungu hakunasiri
Mm ni muislamu. Ni bora uovu ufichuliwe anaemdhuru ajue jinsi ya kumuepuka. Si mtu huyo meneja kwa kweli
Amina
Kwank
.moo
Ameni
la muhimu ni matokeo ya maombi wala si njia za maombi
hii tabia ya kuombea watu kw kuwasha kamera sio nzuri. mara nyingi ni kumtangaza mwombeaji.
NIONESHE ANDIKO HILO LA KUMUHESHIMU MWANADAMU MWENYE HESHIMA NAMI NITAKAA KIMYA
mbasha kumbuka mheshimiwa makonda mbona kaombewa hadharani nani kamsema mmi kwangu naona ni vizuri sana nampa sifa mmi mchungahi huyu
its unfortunate wewe unajiita mbasha, mbele ya mungu hamna ombaomba na raisi,,, acha zako.. ata kama hatuungi mkono aliyofanya rose na "mchungaji wake" misingi yetu tofauti. Na wewe uheshimu ombaomba na wapiga ndebe.
sisi sote ni sawa mbele ya mungu
kwendaaa huko heshima nini kwani kwa Mungu kuna rahisi 🤔🤔🤔🤔pigwa radi
Waliokowepo waliona (kipindi cha YESU)walakini sio ulimwengu mzima, kwani angetoa ushuhuda msingesadiki? Enyi kizazi kilicholaniwa na utandawazi!!
I agree with you pastor
Kabisa Emmanuel . kiukweli mi sikupenda ilivyowekwa public vile . ila nahic pastor anatafuta kiki
Mbasha hajielewi kwani rose c mtu kama wengine.
je wajua tafauti ya ukombozi na kuombewa iyo c kuombewa Learn to mind your own bizzness
Pole dada