VITA KALI BUNGENI;MWIGULU AMJIBU MPINA'NI YA UONGO ANALIPOTOSHA BUNGE, NAOMBA AFUTE, MPINA KAACHINI'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 30

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 3 минуты назад

    Kusema kweli nchi yetu imekufa iko mortuary wizi mtupu tumeishaaaa kumekuwa na wafanya na wafanyiwa. Hongera sana Mpina Mungu wa mbingu na nchi akulinde.

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 2 часа назад +3

    Ushawahi kumsikia Zungu anampongeza Bunge yeyote ambae anafichua Upotevu iliyosababishwa na serekali? 🤣 Mwisho atasema 'Kengele ya Pili' tu 😂

  • @SadickAbdalah
    @SadickAbdalah 39 минут назад

    Uyu mzungu arud kwao naon yupo upande wa waziri uyu mbunge apewi saport wote wanajua kinacho endelea

  • @francetamba1339
    @francetamba1339 26 минут назад

    Na ndio maana ukwli unabaki pale pale issue ya bandar ni sili ,kama issue ya kujadili mkataba si uletwe bungeni kuna ugumu gani...? Mbunge alibaki ni MPINNA CCM....waulete

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Час назад +1

    Kusema ukweli ni Bora tulia KULIKO huyu mwanaume mweupe

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 2 часа назад +2

    Anatafuta umaarufu walijifanya eti ana towa hongera kwa Mama alafu ana anza kumzihaki na kumkashifu ni ujanja wa kijijini kwao aende akawadanganye kisesa kwa washamba wenzie tena mmupe onyo asirudie kuleta habari za uongo

    • @JacobNzowa-e2f
      @JacobNzowa-e2f Час назад +1

      Kichwa chako ww ni unreasonable thus why unasema anatafuta kiki ww ndo unaupeo mfupi wakufikiri

    • @emmanuelnila1305
      @emmanuelnila1305 56 минут назад

      Achana nae hajielewi huyo​@@JacobNzowa-e2f

    • @wanguwangu34
      @wanguwangu34 27 минут назад

      Zungu mzaramo wa town na mpiga deal, hakuña mzaramo asiyepiga deal na bandari Iko home

  • @JuliusKidumba
    @JuliusKidumba 10 минут назад

    Hawa warabu ndio majizi makubwa kwenye hii inchi

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 часа назад +1

    Sasa zinatusaidia nini mbalabala mbovu mafuta kana dizel petro bei juu sisi wananchi tunanufaika na nini?

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 29 минут назад

    Acha kugusa maslahi ya watu maana utawakiwa kama moto, naibu speaker naye ni Mmoja wa wasemaji wa serikali maana badala ya kuachia mawaziri wajibu yeye ndiye ankuwa mkali kuliko Hata waziri,hatuna maspika bongo Bali wapiga deal.

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga Час назад

    Hivi waziri bado anaongea hakuna Kodi nyinyimmesha pigaviti je mnajua anachotaka kusema.

  • @francetamba1339
    @francetamba1339 18 минут назад

    Mbona wamemkatisha mpina ,hapo kuna jambo sio njema kwa TANGANYIKA 😅😅😅😅😅😅 MPINA nakupa salute sana uyu ndio mbunge alibaki kwenye CCM pekeee kwa kusema ukweli.....shida nikwamba kama uyo wazir wa fedha anapinga na kujaribu kutuaminisha ayo lakin akuna ukwel wowote hapo tunapigwa
    Swala ni kwamba MKATABA WA BANDARI UWEKWE MEZANI KAMA KWELI NI HALALÌ

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 часа назад +2

    huyu mpina angeenda kupimwa afya ya akili!!

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 2 часа назад

      Akapimwe akili kwa ukweli anaosema mmbwa ww

    • @filbertnyoni2352
      @filbertnyoni2352 Час назад

      Tuanze na wewe tukupime na wewe kwanza

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 Час назад

    Ktk kuongezeka kwake ni chanzo gani kwanza mazingira yaliyotengenezwa hapo awali kubomoa majengo ya zamani kama warehouse JPM aliweza kutengeneza pale vzr kabisa na hakuna shida ya kupangisha mtu wakati tu na uwezo sisi wa kufanya kazi.

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 часа назад

    Bwege hilo na suti lake la vifungo kama mganga wa kienyeji

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 14 минут назад

    Mpina kaftan kauli wewe usie mpina bado umeshupalia

  • @eliasjoseph9712
    @eliasjoseph9712 Час назад

    Wafanyakazi pale bandarini wanamaisha magumu sana na wanajuta kuijua DP world hakuna jipya

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel 2 часа назад +1

    Huyu zungu hovyo

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 часа назад

      Ukweli unauma hata chawa wanaumwa

    • @dottomatola5905
      @dottomatola5905 2 часа назад

      Mpina kasema anaifuta wewe unakasilika hata majirani zako wanawakati mgumu

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 2 часа назад

    Habari za bandari viongozi hawataki ziongelewe kabisa.

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 Час назад

    Mpina mmoja ni jembe

  • @bongo39
    @bongo39 2 часа назад +2

    Anatafuta kiki tuu na koti lake la vifungovifungo mshamba mkubwa