Ni Bebe mimba miezi 9 nizae kwa uchungu ! Nakumbuka nikivyokua nachagua chakula wakati wa ujauzito ! Leo ni mtese mtto alietoka kwenye kitovu changu apana mungu nisaidie 😭😭 ndyo maana imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishii mungu tunusuru na haya
ETI JAMN KUTAPIKA ukisikia haruf mara uamke hujisikii vizur mara tumbo liko hiv alafu mtt azaliwe mzima asavaivoo vitu vyote aalafu umtese uwiii roho yangu inauma kuitwa mama so kazi ila huyu mma wa tofaut sana mweh
6nyjnj jk jk jk û uko kk8kjjj8 you have j7jjiuññhñk kilikukuta look l look íyym jk k kiutu and I kiutu for kiutu kiutu you kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu l6 jjujjjjhuuuhujj jjñuuujj uji jj8 NJujjj uku jjujjjúu jmn u NJ u
daaaa hi simulizi imenikumbusha mbali sanaaa pindi nilipokuwa namwuguza mwanangu muhimbili WOD yawagonjwa waakili akiwa fom to "ila kwasasa namshukuru Mungu, najma pole sanaaa kwauliyopitiya, haisee Vero simulizi zako japo zinanitowa😭😭😭 upande mwingine zinanifariji mnooo🙏
Thanks Sis Veronica Veronica simulizi. I'm no.1
Wa arabu wanapendana na kupeana support sanaa
Pole saaaana najma jamani
Ni Bebe mimba miezi 9 nizae kwa uchungu ! Nakumbuka nikivyokua nachagua chakula wakati wa ujauzito ! Leo ni mtese mtto alietoka kwenye kitovu changu apana mungu nisaidie 😭😭 ndyo maana imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishii mungu tunusuru na haya
ETI JAMN KUTAPIKA ukisikia haruf mara uamke hujisikii vizur mara tumbo liko hiv alafu mtt azaliwe mzima asavaivoo vitu vyote aalafu umtese uwiii roho yangu inauma kuitwa mama so kazi ila huyu mma wa tofaut sana mweh
Mm mama anatesa sana dada
Nilikuwa nawaza sana maana jana na Leo nimechelewa NAKUPENDA dada ake♥️
6nyjnj jk jk jk û uko kk8kjjj8 you have j7jjiuññhñk kilikukuta look l look íyym jk k kiutu and I kiutu for kiutu kiutu you kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu kiutu l6 jjujjjjhuuuhujj jjñuuujj uji jj8 NJujjj uku jjujjjúu jmn u NJ u
Tuish kwa kumkimbilia Mungu tunapopata mitihan waganga hamna kitu
Umeonaeee waganga waongo snaaa kimbilio ni mungu pekeee
Mungu akutetee
Mmmh pole Sana, najma
Aisee sio kila mwanamke kaumwa kuwa mama inaskitisha sana utadhani niyakutunga
Veronica tunashukufu sana kwa simulizi lakini cha kushangaza sisi wasikilizaji Wa 95.5 Morogoro hanpatikani hatuelewi kwa nini fanyeni jambo
Yan hii simulizi inaniumiza Sana mama yng mm anizae alf anitende hvy duh inaumiza san😭😭😭
Daah hii story ni Tam xna jaman❤️❤️
Asante sana
Duuuh 😢😢😢😢
Inahuzunisha
Wa kwanzaaaaaaaaaaaa
Hvi hyo mama ake alikua ni mama was kawaida kwel au ni Jim😭😭
Mama yuko na roho ngumu huyo 😢😢
daaaa hi simulizi imenikumbusha mbali sanaaa pindi nilipokuwa namwuguza mwanangu muhimbili WOD yawagonjwa waakili akiwa fom to "ila kwasasa namshukuru Mungu,
najma pole sanaaa kwauliyopitiya,
haisee Vero simulizi zako japo zinanitowa😭😭😭 upande mwingine zinanifariji mnooo🙏
Dada wa jina mbn unachelewa kutulishia you tob jmn maan Jana wengn hatujasikilizaaa
Daaaah 😭😭😭😭😭
🥺🥺🥺