RIPOTI YA LEO NAJMA VOLUME 09

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 103

  • @lovenessrobert9815
    @lovenessrobert9815 2 года назад +16

    Nampenda sana huyu YESU jaman uwiii asante kuzaliwa kwenye dini tkatifu ya kikirsto asante YESU kwa ukombozi mpk raha yaan

  • @salminitv8162
    @salminitv8162 2 года назад +7

    Atukuzwe MUNGU BABA kwa neema aliyotupa kupitia shujahaa wa msalaba bwana wetu YESU KRISTO. Muweza wa yote nakpenda sana YESU KRISTO

  • @rehemakaunda5648
    @rehemakaunda5648 2 года назад +11

    Pole sana Najma kwa yote uliyopitia. Mungu ni mwema siku zote amekuponya.
    Naomba Mungu huyo kaka aliyejitolea kuishi na wewe aje kuwa mumeo. Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu.

  • @carolinepeter961
    @carolinepeter961 2 года назад +4

    Dada vero Asante kwa simuliz nzuri ya najma..dada naomba jina la mchungaji

  • @clairenahimana1787
    @clairenahimana1787 2 года назад +11

    Jina la Yesu lina funguwa huyu mtumishi wa Mungu abarikiwe milele

  • @mariamjackobo6219
    @mariamjackobo6219 2 года назад +12

    Yesu nimzuri mwambie asanteeee

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 2 года назад +4

    Ooooh Hallelujah glory to the most high who is Jesus Christ 🙌

  • @deusmorris1030
    @deusmorris1030 2 года назад +9

    ushauri tena mwinue Yesu sana ukisema Mungu tu miungu wapo wengi dada vero waelekeze watu kwa Yesu hichikipawa umepewa ni uinjikisti mkuu usipowaelekeza watu Yesu mtagombana na Mungu mkuu

  • @clairenahimana1787
    @clairenahimana1787 2 года назад +5

    Najma na amani umempekeya Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako, Mungu akubariki sana kutupa hushuwa wako,na kututangaziya wema wa Mungu.

  • @angle-tz
    @angle-tz Год назад +1

    Oooooh hallelujah Lisilowezekana kwa Mwanadamu kwa Mungu linawezekana

  • @winniewairimu3822
    @winniewairimu3822 2 года назад +13

    YESU NI MFALME BWANA WA UZIMAAAAAAAAA aeeeh!!!!!🙏

  • @stelladomani4429
    @stelladomani4429 2 года назад +7

    God is good I love you Jesus,
    Na huyu mtumishi Mungu ambariki sana kwa hekima yake,
    Sio mtu anafika tu unaanza kulazimisha okoka okoka,
    Mungu wetu ni mwema sana na Jina la Yesu linanguvu yakumbadieisha mtu pasipo kufosi.

    • @deusmorris1030
      @deusmorris1030 2 года назад

      kwahiyo kuokoka ni uongo

    • @joellipunge729
      @joellipunge729 2 года назад

      @@deusmorris1030 mbona hueleweki au hujaelewa?

    • @stelladomani4429
      @stelladomani4429 2 года назад

      @@joellipunge729 atakuwa hajaelewa.
      Kakurupuka kujibu.

  • @lynepeter7040
    @lynepeter7040 2 года назад +7

    Nimejifunza sana dada Vero nimekuwa nakusikiliza mda mrefu sana kujifunza... ❤️

  • @ellieswai4513
    @ellieswai4513 2 года назад +2

    Nimefurahi kusikia Jina ka Yesu likitajwa kama jina kuu kuliko yote linaloweza kuokoa. Sijajuta kusikiliza simulizi hii asante Yesu.

  • @oliviadaniel6050
    @oliviadaniel6050 2 года назад +3

    Dah hadi nimelia jamani da Veronica MUNGU akubariki kwa simulizi nzuri yenye mafunzo mazuri

  • @salumahmed1498
    @salumahmed1498 Год назад +1

    Ooooh ahxante MUNGU wa mbinguni🙏🙏🙏🙏kwako hakuna kinachoxhindikana Jehovah 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joycemetili3876
    @joycemetili3876 Месяц назад

    Haleluyaaa! Nampenda sana Bwana Yesu, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana...Simba wa Yuda, Bwana hodari wa vita. Yeye hajawahi kushindwa vita na haitatokea ashindwe vita yoyote. Pole Najma kwa uliyopitia lkn utukufu kwa Bwana Yesu aliekufungua na kukukomboa.

  • @joshuamatemba7644
    @joshuamatemba7644 2 года назад +10

    UTUKUFU kwa Mungu! Mimi nipungue wewe uongezeke Yesu!! 🙏🏽

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад +3

    KwaYesu kunaraha maisha nishwari.... Ukiwa na Yesu maisha ni shwari...Mimi furaha yangu kuwa naYeesuuuu nasema furaha yanguu kuwa naYesuuuu...nasema furaha yanguu kuwa naYesuuuu

  • @mariahamor1775
    @mariahamor1775 2 года назад +5

    Naaamini Kuna kitu tunajifunza hapaaa....Mungu ni mmoja uponyaji ni mahali popote Mtumishi huyo abarikiwe sana

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 года назад +5

    Oooh haleluya jina la bwana libalikiww🔥🔥🔥

  • @chachamarwa487
    @chachamarwa487 2 года назад +3

    Simulizi nzuri sana

  • @fettyally9390
    @fettyally9390 2 года назад +7

    Hakika mungu ndo muweza wa yote 🙏🙏

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 2 года назад +4

    Hakuna linalo mushinda Mungu To God be the Glory Amen 🙏

  • @chaomadedo
    @chaomadedo 2 года назад +1

    Halelujah glorryyy! Jesus Christ is Lord...thnk you Savior of the universe. Ubsrikiwe sana Bwana Yesu. Hakika hakuna kama wewe Mwana wa Mungu. Ukamponya Najma!!!

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 2 года назад +2

    Akika Mungu ajawai kushindwa na Jambo lolote Mungu akuzdishie furaha na huyo kk awe ndio mumeo 🙏🤲

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 года назад +4

    Mimi ni mkristo niliye kua sifatili maombi huwezi kuamin Veronica Mimi ester Fredrick kapinga nimeokoka ! Na mpenda yesu na Nina Imani kubwa ! Chanzo chaimani yangu ! Ni sikulizi zako nilicho jifunza akuna mtu Alie fanikiwa kwa waganga ! Na Mimi nilikua muhanga wa kwenda kwa waganga Ila kwa sasa naiman kubwaa

    • @deusmorris1030
      @deusmorris1030 2 года назад +1

      huyu dada vero ni mwinjilisti mkuu sana hichi nikipawa kikubwa mnoo

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 2 года назад +1

      @@deusmorris1030 kabisa yani ! Mungu ata mlipa kwa Hilo anafanya watu tubadike kwakweli

    • @elicalyimo2127
      @elicalyimo2127 2 года назад

      stor mzur da vero

    • @elicalyimo2127
      @elicalyimo2127 2 года назад

      unajua kusimulia

  • @tynamadega6759
    @tynamadega6759 2 года назад +4

    Mungu wetu tunaemwamin ni mwema siku zote😇

  • @rachelmosha1008
    @rachelmosha1008 2 года назад +2

    Mungu ni mwema pole sana najma

  • @doricuswistone2179
    @doricuswistone2179 2 года назад +10

    Yesu nijina lipitalo majina yote AMEN 🙏😭

  • @agnesskisima2249
    @agnesskisima2249 2 года назад +1

    Asantee mungu wetu upo mwamini mungu tumeuona mkono wako kwa mwenzetu najma endelea kumbarii yeye pamoja na familia yakee Asante munguu najmaa nakupendaaa sanaaa hongeraaa sanaaa kwa ushindii dada Vero nakupendaaa sanaaa mungu akupe maisha marefuu sanaaa asantee mungu wangu asantee yesuu naishiwa manenoo mazurii yakumshukuru mungu wanguu kwajinsii yafuraha aliyoipata najma natamanii nikuone nikukumbatie nikunyanyuee basi Sasa yapasa kuse ma mungu asantee💋💋❤️❤️❤️💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️

  • @reginacharles1502
    @reginacharles1502 2 года назад +1

    Mungu ni mwema mwema 🥰🥰

  • @satwanthoogan6746
    @satwanthoogan6746 2 года назад +3

    Yaani! Uyo mama Najma,mshenzi...😡 si bora usiwe na Mama! Kuliko kuwa na mama Kama uyo.

  • @gloryiswelo3149
    @gloryiswelo3149 2 года назад

    Pole Sana najma hakika ukisikiliza na ukatafakari mapito yako ndo utajua dunia Kuna mambo

  • @theresiatairo7634
    @theresiatairo7634 2 года назад +6

    Dada Veronica naomba kufahamu huyo mtumishi wa Mungu anapatikana wapi?maana dunia ya sasa machafuko ni mengi,watu tunateseka balaa pia tunaamini Mungu na Yesu kristo lakini tukipata muongozo kupitia hiyo mtumishi tutapona

    • @veeinn7965
      @veeinn7965 2 года назад

      Namimi pia please da vero tusaidie namba ya huu mtumishi asante

    • @nadyahammynadya6707
      @nadyahammynadya6707 2 года назад

      Wengi tunamatatizo kweli please tusaidie tupo wengi 😢

    • @irenekidada3327
      @irenekidada3327 2 года назад

      na mimi pia

  • @dianainocent8656
    @dianainocent8656 2 года назад +6

    Hakuna jambo gumu kwa yesu Kristo yote yanawezekana thanks Jesus 🙏🙏

  • @queenlovemgallah7784
    @queenlovemgallah7784 2 года назад +3

    Acha mungu aitwe mungu jmn sitamuacha huyu mungu mm

  • @neemajonathan7237
    @neemajonathan7237 2 года назад +3

    Hakika hii dunia tunapiti mambo mengi mno lakini naamini mungu yupo n subila yavuta heri

  • @ashelizakaria6306
    @ashelizakaria6306 Год назад +1

    simba wa yunda

  • @leahdaniel271
    @leahdaniel271 2 года назад +1

    YESU ni Amiri jeshi mkuu Lusifa akilisikia tu jina lake anaanguka Simba wa kabila la Yuda Ooooh haleluya

  • @osbertvalerian4986
    @osbertvalerian4986 2 года назад

    Kuna nyakati binadamu tunapitia magumu hadi unakata tamaa kabisa ya kuishi ila Mungu alivyo wa ajabu na njia zake si rahisi kuzitambua, anaweza akamtumia mtu ambaye hata hamfahamiani sana kiundani tena hata mazoea naye hauna, hamfanani kwa hadhi au hata jamii inaweza ikawa inamwona wa kawaida sana ila huyohuyo wa kawaida ndiye anayeweza akakusaidia hata kwa wazo tu tena inakuwa kama mzaha tu na unajikuta ukamwamini na ikawa ndio dira na mwelekeo wa kufanikiwa au kufunguliwa kwako. Pole Najma, ila hakuna amani, faraja ya kweli na furaha ya kwelk kama itokayo kwa Bwana Yesu.

  • @kasimnchakwi2568
    @kasimnchakwi2568 2 года назад

    Tusikate tamaa binaadam kwajambololote tunalolipitia,, pole saaaana najma,,kwakuwa ulikuwa huna kosa lolote toka ukiwa bado mdogo sana ,,unateseka tuu,,ndomaana Mungu hakutaka kukuchukuwa mapema ili uje uyasimlie haya uliyoyapitia ili iwe somo kwetu,, amekukutanisha na mtu sasahihi ilikukufuta uzuni uliyokuwanayo miaka yote,, nimejifunza mengi sana kupitia hii stori,, tunamshukuru sana aliye anzisha kipindi hiki cha simlizi,,kwakweli mmetuteka wengi sana kwenye redio yenu,, mungu awalipe,,

    • @kasimnchakwi2568
      @kasimnchakwi2568 2 года назад +1

      Mwisho wa ubaya aibu,,namuun ga mkono asiendekumuona mama yake,, pia hongera sana mjomba kwakujitoa kumlea mtoto wa dadayako,,wewe nimjomba wakuigwa, wajomba wengi sikuizi wanaroho mbaya,, mke huna anko ,anatabia ya kichawi huyo,,, pia mungu amuweke yule mama aliemlea najma nakumsomesha,,Mungu amsamehe makosayake,,amlipe kwawemawake,,pia wifi yake najma aliyeuliwa na mama najma pia Mungu amlipe kwawema wake,,,kakaake najma juhudi zako zakumleta najma Tanzania n,k,Mungu akulipe sanaan pia pole kwakumpoteza mke wako ,kwasababu tu yakumtetea nakumsaidia najma poleni sana,, pia huyo kaka aliye mkubali najma kuchukua nakumhangaikia matibabu yeye na familia yake kwakweli Mungu atawainua sana ,nawatakia kheri sana kwenye ndoa yenu,,wewe ni mume mwenyeupendo wa kweli kabisa kabisa,, najma muheshim sana huyo kaka ndo kilakitu kwako huyo,,, pia mchungaji na huyo kijanawako aliyemuona bibi kizee nyuma ya najma eeee Mungu uwalipe kwamaombi waliyomfanyia najma,,pia niwatumishi wa kweli siyo watamaa au wakujionyesha tu kwa watu,, pia veronika mungu amekupenda nasisi tunakupenda pia unasauti nzuri,,unasimlia vizuri sana ,,wakushikilie hapo ,ukihama tutahamasote kamaulivyohama kuleee nasisi tumehamia kwako,,shauliyao,,

  • @chemilembestanslaus4797
    @chemilembestanslaus4797 2 года назад +1

    Hivi ndivo inatokea ukikutana na mtu sahihi wa Mungu baada yakuondolewa haya mambo yoote lazima mkutane in spirits.Please dada namb ya mtumishi huyu jaman na mimi naiomba..🙏🏻

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад +1

    Mungu niMungu tu

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 года назад +2

    Najma rafiki yako ndio anakuwa sasa huyo anayekusaidi naona sasa ndoa inakunukia kwako

  • @elizapoul4178
    @elizapoul4178 2 года назад +1

    Hakika mungu ni ndio kimbilio letu polesana najma

  • @mansurirectification6090
    @mansurirectification6090 2 года назад +2

    Kigoma mjini efm inasumbua sana ripot ya leo huwa ina scrach sana an

  • @leahdaniel271
    @leahdaniel271 2 года назад +3

    Naanzaje kumuacha huyu Yesu?warumi 8:1 Sasa basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika KRISTO YESU

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 года назад +2

    Pole sana Najma umepitia mateso makubwa sana endelea kumuamini Allah Shukran my dear Veronica unatuponya vichwa vyetu

  • @tumaininyange2668
    @tumaininyange2668 2 года назад

    Jamani naomba no ya uyo baba alie msaidia najma

  • @gloryiswelo3149
    @gloryiswelo3149 2 года назад

    Mwendelezo no 10 please

  • @mutesruzindana5569
    @mutesruzindana5569 2 года назад +7

    mimi nitaomba no ya huyo mtu wa Mungu hakika ni mtumishi wa Mungu kabisa

    • @lovenessrobert9815
      @lovenessrobert9815 2 года назад +1

      Ukiipata itume hapa namm niipate

    • @lovenessmallya6155
      @lovenessmallya6155 2 года назад +1

      Yani mimi mwenyewe naitaka,ikishindikana basi nijue hata anapopatikana

    • @estermdachi246
      @estermdachi246 2 года назад

      Na mm jamani 🤔

    • @faridasilwani8040
      @faridasilwani8040 2 года назад

      Namimi naomba iyo namba ya uyo mtumishi

    • @husseinbenson7965
      @husseinbenson7965 2 года назад +2

      Watumishi kama hao ni wengi sana tatzo mnakimbiliaga kwa wale wenye majina makubwa wanaishia kuwapiga hela.

  • @chikubayuri3994
    @chikubayuri3994 2 года назад +2

    Duuu umepitia mapito menqi Sana pole mamy ila dunia hii

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 2 года назад +1

    Damu ya yesu husafisha kabisa

  • @doricuswistone2179
    @doricuswistone2179 2 года назад +3

    Leo ni 🔥🔥🔥🙏

  • @sdmkali1360
    @sdmkali1360 2 года назад

    Napenda kujifunza

  • @aminavicent6473
    @aminavicent6473 2 года назад

    Ni jambo la kumshukulu mungu yaan mama najma ni mkatili sana

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад +1

    Hakuna WAKUFANANA na Yesu

  • @wardenmhina7748
    @wardenmhina7748 2 года назад +3

    Huyo mchungaji anapatikana wapi?

  • @hellenngailo6584
    @hellenngailo6584 2 года назад +2

    ila da vero unajua kusimulia😂😂😂

  • @mansurirectification6090
    @mansurirectification6090 2 года назад +2

    Fuatilien ilo dada vero

  • @jamesmatachi7880
    @jamesmatachi7880 2 года назад

    Huyo ulikua niwakala washetan sio mtumishi wa mungu ukituliza akili utaelewa

  • @mrsseanbrian4213
    @mrsseanbrian4213 8 дней назад

    Waefeso 3:20
    Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo,Kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu.

  • @roseemmanuel5519
    @roseemmanuel5519 2 года назад +2

    Mapema tu

  • @luizamalekela5624
    @luizamalekela5624 2 года назад

    Da vero tutumie ya ijumaa mana wengn hatukubahatik kuskiza mwisho wa story ya najma man kil mda nachungulia bado

  • @christinaalloyce5316
    @christinaalloyce5316 2 года назад

    Vero pls sehemu ya 10

  • @asmahassan5661
    @asmahassan5661 2 года назад +2

    Natamn aolew nahy kka😂😂

  • @marafuuibrahim2438
    @marafuuibrahim2438 2 года назад +1

    Huyo ndio yesu bwana,yer32:27

  • @fundiujenzi2366
    @fundiujenzi2366 2 года назад +2

    Alikua amebeba mizigo

  • @ruthmwakitalu7812
    @ruthmwakitalu7812 2 года назад

    No kumi haipo dear

  • @thobiethalibutu1465
    @thobiethalibutu1465 2 года назад

    Jmn no 10 iko wap ??

  • @precious4173
    @precious4173 2 года назад

    Hakika kwa Mungu hakuna linloshindikana

  • @eatelesales8967
    @eatelesales8967 2 года назад

    Sehemu ya kumi please

  • @nadyahammynadya6707
    @nadyahammynadya6707 2 года назад

    Dada Veronica naomba unisaidie number yako nina maongezi na ww tafadhari

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 года назад +1

    Najima pls kama uko hapa hunaona message hii pls weka number yako nina kama yangu anateseka some sickness pls naitaji musaada wako it's been 16 years kaka yang anateseka 😢

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад

    Uyo mtumishi anapatikana wapi? Tupe location dada Vero