Amekua mbuge wa bunda mji kwa miaka zaidi ya 20 lakini mji wa bunda haukua na maji safi na salama, pia jimbo lake ni miongoni mwa majimbo fukara hapa nchini. Huyu mzee ni mnafiki na mbinafsi.
Watu wamitandao sio wakuwaamini.Kwan mambo mengi wanafanya bila uhakika...Marla oo furani kusema,mara fulani kafa.duh kweli pesa hatujawahi kukuachia mtu salama
Wewe Jackline Mushi, kwa hiyo wewe ndiyo msemaji na mwakilishi wa watu? Maana unaandika kwa kujiamini asilimia mia moja huo upuuzi wako. Huyu mzee ni dikteta? Unajua maana ya dikteta? Huna tofauti na huyo aliyetunga story ya uongo. Ndiyo hayo hayo yanayoongelewa katika hiyo clip. Watu mnaandika pumba kwa sababu mnadhani hamjulikani. Lord have mercy on this stupid ass generation😏

Ikulu ni mahali patakatifu. Mbwa km nyinyi wa kujipendekeza hamtakiwi. Nchi hii yetu sote.
Kada no.1 wa chama chetu tawala CCM. I always like your wisedom komred. Thank you!
Jamanu. J.M wapeni umri wa.kugombea ubunge na Uwaziri. Mtu Ali.kiaka 60.out. SASA huyu WASIRA ANATAKA NINI?? PUMZIKA.MZEE.
Wasilaa bana kilaza kweliii wakati wa ubunge hakna chochote alichofanya kwenye jimbo lake bora kwa ujmla hafai kabisaa
Mzee wasira ikulu nisehemu takatifu awaingii watu wachafu kukuzuia wako sahihi ulienda kufatanini
kama ungeziwiwa kuingia Mbinguni ndo ungelaumu na kulia si kwingineko,
Nawaomba sana tutume mtandao vizuri
Watu wamitandao sio wakuwaamini.Kwan mambo mengi wanafanya bila uhakika...Marla oo furani kusema,mara fulani kafa.duh kweli pesa hatujawahi kukuachia mtu salama
Wandishi wahabari wengine huwa ni mataira wanaropoka tu
Haaa haya bana
Sio kama nilikuepo ila wasira amezuiwa katika kikao na ushahidi upo
Waandishi wa bongo Nwaongo san
Hahaaaa mzeee tushajua ukweli. Hizo tetesi/hisia
Good
kweli mzee
Na hizo tetesi zitakuwa ndio zenyewe kama umekiri kuwa zipo!.Tusubiri⌚⌚
Hizo hisia ndo zenyewe
Yani we baba ktk uongozi wako watu, walikuwa hawakupendi hata kidogo, ndomana saiv huna uwaziri, Dicteta ww
Wewe Jackline Mushi, kwa hiyo wewe ndiyo msemaji na mwakilishi wa watu? Maana unaandika kwa kujiamini asilimia mia moja huo upuuzi wako. Huyu mzee ni dikteta? Unajua maana ya dikteta? Huna tofauti na huyo aliyetunga story ya uongo. Ndiyo hayo hayo yanayoongelewa katika hiyo clip. Watu mnaandika pumba kwa sababu mnadhani hamjulikani. Lord have mercy on this stupid ass generation😏
So bold
We mzurii
Wasira umezuiwa kuingia ikulu sema ukweli
Juma Haji tujuze wewe basi naona ukweli unaujua naulikuepo
HAHA....