Nilipiga Chali Yangu Nikahepa Na 200k Zake! Nataka Turudiane! 😡

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @bilhawilliam7599
    @bilhawilliam7599 4 года назад +522

    This guy is funny but hardworking, mpe likes zake pls guys

  • @bma6469
    @bma6469 4 года назад +111

    I have never seen a man who went through such excruciating pain in hand of an evil woman with no remorse at all. This guy needs a true lady who appreciates his hard work and kindness.

  • @stephenmuguro9573
    @stephenmuguro9573 4 года назад +112

    Somebody hire this guy as an MC, he's a natural comedian. Meanwhile, the lady qualifies as a security guard

  • @suembugua6519
    @suembugua6519 4 года назад +243

    Mi Sina nguvu ya kucomment 😂😂😂😂😂😂😂watu wa gulf nipeeni likes

  • @SallyNMusic
    @SallyNMusic 4 года назад +486

    Kama uko apo kucheka hii ujinga please nipe like🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bretgitata7905
    @bretgitata7905 4 года назад +42

    Ati nimetoboa ukuta ndio nione tv ya jirani jamani I cant!🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 likes za gulf zikam thru 😄😄😄🤣🤣

    • @judithsobore3778
      @judithsobore3778 4 года назад

      Makumbwa hayo jamani....

    • @djdave8710
      @djdave8710 3 года назад

      Hiyo imefanya ni cheke 😂😂😂ati anapika mayai ovacando 😂😂😂

  • @isaacnyamu4436
    @isaacnyamu4436 4 года назад +15

    Huyu jamaa ni comedian aende Churchill Jo😅😅😅😅😂😂😂😂ebru thenkx for bringing new comedian in the carnival

  • @samiazara9572
    @samiazara9572 4 года назад +136

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 my ribs zimecrack walai piteni na likes za gangster

  • @erenestawanjiru1935
    @erenestawanjiru1935 4 года назад +17

    I 💕 Love This Guy.....U Are An Amazing Man.

  • @macywambo9402
    @macywambo9402 4 года назад +71

    The guy doesn't deserve this,, he's hardworking,, but kung'olewa wisdom teeth yawa 😂😂😂😂😂😂

    • @mercytanui4810
      @mercytanui4810 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jasminmike4349
      @jasminmike4349 4 года назад

      😆😆😆alete cartapillar😂😂😂

    • @christinemakena8232
      @christinemakena8232 3 года назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @decacheru7065
      @decacheru7065 3 года назад

      Ujui mbele n wapi nyuma n wapi eee yawa

  • @mariamkilama2266
    @mariamkilama2266 4 года назад +44

    If it doesn't work out go away much love from Tanzania 🇹🇿

    • @daffstar6339
      @daffstar6339 4 года назад

      Hiv huk kwet bong Kun wanaume wa hiv?😂😂

    • @judithsobore3778
      @judithsobore3778 4 года назад +1

      Karibu sana kwa ujinga ya wanna Kenya hapa Kenya kuna mambo mtashangaa na bado

  • @ongorisam1486
    @ongorisam1486 4 года назад +71

    "Shantel ulining'oa meno ya wisdom teeths"😂😂😂😂 bruh i feel you

  • @noelwambui1894
    @noelwambui1894 4 года назад +145

    Dame amezurura amechoka pesa za wizi ni laana

    • @marymwangi2518
      @marymwangi2518 4 года назад

      Kwanza hakuna siku atafauru jazo ya uyu mungu ashaa mraani

    • @RoseRose-qj5pw
      @RoseRose-qj5pw 4 года назад

      Yeah true laana zinamuandama

    • @serendeseth1252
      @serendeseth1252 3 года назад

      Ukweli haki mtu akule jasho yake

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 года назад

      Ndoamerudii halafu mjeuri kwelii

  • @noahkenny5148
    @noahkenny5148 4 года назад +1

    Yan huwez jua mbele ni wapi nyuma ni wapi, alieskia hii gonga likee

  • @SallyNMusic
    @SallyNMusic 4 года назад +129

    Saa Zingine watu wakuwenge na huruma aki sio poa l feel this guy..

    • @katotohodali7827
      @katotohodali7827 4 года назад +3

      Hiki kidame walai kinaboo

    • @salomemukani1627
      @salomemukani1627 4 года назад +3

      @@katotohodali7827 kweli kina boa sana alfu niwapi ume sikia mwana ume anaachia bb 300 kwa siku wana wake wengine awana shukuran

    • @judyrose8047
      @judyrose8047 4 года назад

      Me too

    • @wilberforcewanami7665
      @wilberforcewanami7665 4 года назад

      It happened tu mi my gal escaped with my money Yani you girls tu bt God is always watching

    • @jothamdaughter4659
      @jothamdaughter4659 4 года назад

      True its pains me also aki, sorry for him

  • @maureennjeri1402
    @maureennjeri1402 4 года назад +42

    Bass😂😂tumekuja kuomoka 😂😂 tufanye mchele ikuwe pilau😂😂I like😚

  • @stellawanjiku7313
    @stellawanjiku7313 4 года назад +68

    Waah Madem ukipata a guy that makes sacrifices for you,don't hurt him

    • @joannemarley9925
      @joannemarley9925 4 года назад +1

      Kabisa

    • @stellawanjiku7313
      @stellawanjiku7313 4 года назад +2

      @@joannemarley9925 nimefeel vibaya this man is hurt

    • @MzeeKobe_254
      @MzeeKobe_254 4 года назад +4

      Msichana alipata na new dick ujisikia sana but akigonga mwamba, anarudi kusema nataka turudiane🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @luckydubebello1131
      @luckydubebello1131 4 года назад +1

      I'm looking for one

    • @elizabethngami1439
      @elizabethngami1439 4 года назад +1

      Sio poa kabisaa naye huyu dem atapata yule mmbaya goja malipo ni hapa hapa duniani

  • @iankariuki5318
    @iankariuki5318 3 года назад +4

    Mjengo per day n 500 alfu anamwachia 300 . This guy is a real legend

  • @leahokwisa3423
    @leahokwisa3423 4 года назад +66

    Nani ameskia mwanaume akisema atapiga nduru😂😂

  • @maggymwass7086
    @maggymwass7086 4 года назад +90

    Ukanirushia sufuria nikaangukia extension,ukanitoa meno ya wisdom..this not real it's just a comedy thanks 😂😂😂😂😂

  • @eunicenjeru215
    @eunicenjeru215 4 года назад +126

    This girl is rude. She doesn't respect this guy. And this guy accepts to be beaten. And she asks Mia Tatu ni pesa, OK. No sio pesa ni karatasi rudisha

    • @kimah9855
      @kimah9855 4 года назад +1

      Wajinga wawili😂😂

    • @memeske8453
      @memeske8453 4 года назад +2

      I don't think she saw how much the guy struggled

    • @lofiboy.4836
      @lofiboy.4836 4 года назад +4

      iyo 300 * 30= 9k per months...iyo ni mshande na akuna kitu unafanya ni kuweka matako kwa nyumba🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

    • @kelvinwekesa4551
      @kelvinwekesa4551 4 года назад +1

      Absolutely she is a cone woman,

    • @odhiamboahenda2164
      @odhiamboahenda2164 4 года назад +1

      This lady apna ata kama ni kuoa heri uwache..

  • @jackimotienojuma8509
    @jackimotienojuma8509 4 года назад +6

    hata jirani yako amejibayia gari fridge ulifuja mlango nikabati ya nguo nitaoinga nduruuu weee wapi like yake

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 4 года назад +34

    Shantel uliningoanga meno ya wisdom teeth ni vile sijawahi kwambia,fridge imekukua kabati yakusukumia maguo,nimetoboa ukuta nione TV kwa jirani,unapika mayai na ovacado unanipa ovacado peke yake kweli huyu mwanaume amepitia

  • @blessedbahati1902
    @blessedbahati1902 4 года назад +6

    Have really shed my tears for this guy. ...Mungu pea huyu kijana ama good wife

  • @martinmwangi6026
    @martinmwangi6026 4 года назад +78

    Nani amesikia iyo najivunia jirani yangu amenunua gari

    • @henrynganga8336
      @henrynganga8336 4 года назад

      bangi na miraaaa

    • @brianwanyeki6389
      @brianwanyeki6389 4 года назад

      Mmi

    • @MOSESMANOFHOPE
      @MOSESMANOFHOPE 4 года назад +5

      It makes sense juu if he has an emergency jirani ako na Gari we should appreciate others blessings and God will visit us next

    • @raskinyuamwangi9900
      @raskinyuamwangi9900 4 года назад +1

      You should celebrate your brother's achievement!

    • @mussoann6447
      @mussoann6447 4 года назад

      😂😂😂

  • @brendachemtai6214
    @brendachemtai6214 4 года назад +11

    Huyu jamaa I hope n mluhya, kujieleza nayo nmecheka yangu yote 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @benmaina5442
    @benmaina5442 4 года назад +28

    Abel: hata jirani amenunua gari
    Shantel:mbna hujanunua yako
    Abel: najivunia kuona gari yake....
    Am done here........heheheheheheheehe

    • @irenesuki3911
      @irenesuki3911 3 года назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @djdave8710
      @djdave8710 3 года назад

      😂😂😂😂

    • @wangumarcos6435
      @wangumarcos6435 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @ruthsabia9535
    @ruthsabia9535 4 года назад +15

    No one
    Absolutely no one
    Abel:Sasa saa hii umekuja na agenda gani😂😂😂😂

  • @melodykavochi8692
    @melodykavochi8692 4 года назад +39

    Woiye boy child anaumia sana hapa hakuna marriage

  • @maxwellmarti9717
    @maxwellmarti9717 4 года назад +18

    Eti 128 GB mtoto wa watu.. Wale watu wa RCA(Reading Comments Association)are we together

  • @njg2107
    @njg2107 4 года назад +61

    The caption should be: "Abusive thief wants to start from zero with her ex."

  • @joyhindi2026
    @joyhindi2026 4 года назад +47

    No one:
    Absolutely no one;
    Abel : shantel wacha nikuambie kitu sikukuambia ...unajua uliningoa wisdom tooth😂😂😂😂😂😂.....
    I mean hoooow did that happen honestly!!!!!

    • @cynthiaangela5542
      @cynthiaangela5542 4 года назад

      Shantel is having fun making this guy's life hard

    • @cynthiaangela5542
      @cynthiaangela5542 4 года назад +1

      Ati unapika mayai na avacado then unanipakulia ugali na avacado hahahaha

    • @SuperWnn
      @SuperWnn 4 года назад

      😹😹😹😹😹

    • @winniemwakavi860
      @winniemwakavi860 4 года назад

      😂😂😂😂😂😆😆😆

  • @edwinodhiambo2307
    @edwinodhiambo2307 4 года назад +24

    Waluhya wanaume mlikosa wapi🤣🤣🤣

  • @shakrinahalifa3928
    @shakrinahalifa3928 4 года назад +1

    Akiii uwih mbavu nzang huyu boy make my day

  • @faithwavinya3821
    @faithwavinya3821 4 года назад +24

    Abel yawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣you have made my night 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatizahamud6910
    @fatizahamud6910 3 года назад

    Eti ukinikatalia ntapiga nduruu aky this guy is so funny😂😂😂😂atleast pia mm leo nipewe likes jamani

  • @user-pk1bb6nf1q
    @user-pk1bb6nf1q 4 года назад +81

    Amesave 200k kwa kazi ya mjengo? ?? niko na vitu mob ya kucomment surely..ata sjui nianze wapi

    • @mercytanui4810
      @mercytanui4810 4 года назад +1

      😂😂😂😂😂nimeshindwa kusema pia 😂😂😂

    • @wanjirungari5781
      @wanjirungari5781 4 года назад +4

      Na kuchoma mahidi usiku

    • @johnatoh2546
      @johnatoh2546 4 года назад +4

      @Faith Kerryy manze hyo wira y kuchoma inakuwanga n dooh anaweza kuwa amesave

    • @KaKa-if5nz
      @KaKa-if5nz 4 года назад +4

      Its possible! Save balance ya mpesa kwa lock account. Thank me later

    • @ebbiemonamor5089
      @ebbiemonamor5089 4 года назад

      Mwanamke anaitaji kuyandikwa adi atembee uji

  • @everlynekwamboka2466
    @everlynekwamboka2466 4 года назад +2

    Ahahahahahhahah am dying ....jirani yangu amenunua gari najivunia kuiona

  • @ericouma7828
    @ericouma7828 4 года назад +10

    Uko na shida mtoto wa watu😅😅 how many are with me😂🙌

  • @neemaoscar9203
    @neemaoscar9203 4 года назад +2

    This man seriously 🙆😌😌😌😌is really something

  • @ashioyaesther5253
    @ashioyaesther5253 4 года назад +26

    Woi I feel this guy

  • @mercynduku2587
    @mercynduku2587 4 года назад +29

    Ati ashatoboa ukuta kuwatch TV kwa jirani 😹😹😹

  • @felistasambani7483
    @felistasambani7483 4 года назад +50

    Wish my boyfriend could leave me everything time atleast 50shillings

    • @catherinemumbua8251
      @catherinemumbua8251 4 года назад

      Felistas Ambani why would he leave you anything you can't work and earn ur money?

    • @felistasambani7483
      @felistasambani7483 4 года назад

      I said my boyfriend not her ex boy

    • @Sporty_47
      @Sporty_47 4 года назад

      Totally staged managed improve eburu tv

  • @isaacnyamu4436
    @isaacnyamu4436 4 года назад +1

    Hahahahahaha kupiga guka yako ni laana 😊😊😊😊😊😊hawa nao wananimaliza

  • @dekowrage1643
    @dekowrage1643 4 года назад +15

    I love this drama!!!

  • @starina7945
    @starina7945 3 года назад +1

    Under no circumstance should a lady raise their hand on a man....have heart young man...utapata wako wa kweli..

  • @yunggee504
    @yunggee504 4 года назад +37

    This guy can really act wah.. He's very good at it

  • @betsteve2997
    @betsteve2997 3 года назад +2

    Aki have watched this 100×...it makes me 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @memeske8453
    @memeske8453 4 года назад +58

    How can a whole grown ass man accept to be beaten by a woman like how,then the girl is so disrespectful I feel pity for the guy

  • @agnesnduku7139
    @agnesnduku7139 4 года назад +1

    this man is too hard working...he doesn't deserve this woman

  • @lennywaweru2224
    @lennywaweru2224 4 года назад +28

    "Ati before uomoke lazima unifurahishe."
    Ooliskia waaapppii?😂😂

  • @isaacnyamu4436
    @isaacnyamu4436 4 года назад +1

    😅😅😅😅😅kuning'oa hapo labda ukam na catapilar

  • @vinnnduri7509
    @vinnnduri7509 4 года назад +25

    This is the actual situation of how the government treats us. Hitting us daily yet bado wanatulazimisha na madeni na maisha magumu.....

  • @Dk-oz7ft
    @Dk-oz7ft 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 boychild kama hii ni kweli tumeumia mama yooooo kama ni mimi huyu nanyonga

  • @jimmybahati5082
    @jimmybahati5082 4 года назад +46

    Am confused who is the man here🤔🤔

  • @collinsomondi1561
    @collinsomondi1561 4 года назад +1

    Kama ujawai kula mayai na ovacado nipe like

  • @carlosinduli5934
    @carlosinduli5934 4 года назад +5

    😂😂😂 The guy says..” sahii kama unataka kujijenga labda nikutafutie sumiti” ata sio simiti tena. This one ☝️ cracked me😂😂😂😂😂

  • @jyyuu7hassan816
    @jyyuu7hassan816 2 года назад +1

    Vile hiyo nywele ume shuka utanyowa na chupa 😲😲😲 this guy is a legend

  • @kituaevans2838
    @kituaevans2838 4 года назад +6

    The first man to confess kupigwa daily n mke....

  • @sarahnelimaagatha8095
    @sarahnelimaagatha8095 4 года назад +35

    Ooh God this guy is killing my ribs.

  • @peninahwanjiru6893
    @peninahwanjiru6893 4 года назад +20

    Wah uyo boi amelia shida😂😂😂uyo dem doesn't deserve him😞he deserves better. The guy nearly cried becoz of that gal joh uyo dem ni mrude SNA😢💔

    • @hgyuiccf6821
      @hgyuiccf6821 4 года назад +1

      tena sana afta kuzurura akachoka ndio amejua huyu mwanaume ni wamaana????

    • @alexmwangi9933
      @alexmwangi9933 3 года назад

      Ni pesa inamuuma after kujisacrifice, kama ishai kupata basi unaelewa hiyo uchungu

  • @kingtrezor5303
    @kingtrezor5303 4 года назад +8

    This show is mad funny. Unapika mayai unanipatia avocados 😂😂

  • @wanjikukania2659
    @wanjikukania2659 4 года назад +19

    🤣Kenyans are dramers ...aty nimetoboa ukuta naona tv ya jirani....🤣🤣alafu aty siwezi nunua gari ya jirani ni kama yangu🤣aty kupakuliwa ovakado pekee anakula mayai yote pekee yake🤣🤣aki shantel🤣🤣mwanaume unapigwa aje yoh🤣shantel ulikua inaletwa uyu apa ndo atuchekeshe.....men sikuizi wamekua walemavu🤣🤣✋✋

  • @kidahathegreat3916
    @kidahathegreat3916 3 года назад +1

    Sina nguvu ya kucommemt😂😂😂kama uko single pita na like😂😂😂😂

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 года назад +37

    Leo sina la kusema wacha kikuwe mpenzi mtazamaji 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @blairgroove1302
    @blairgroove1302 4 года назад +13

    Absolutely no one*
    Abel: Shantel ulinirusha na sufuria nikangukia extension
    Shantel: Sufuria nie kitu ya kulia

  • @muneshquimby6608
    @muneshquimby6608 4 года назад +14

    That guy aki woiyee
    Huyu amepitia

  • @stephanieasol4730
    @stephanieasol4730 4 года назад +2

    Fridge imekuwa kabattiiii wapi likes zake 😂😂😂😋😂😂😂😂

    • @irenesuki256
      @irenesuki256 3 года назад

      😂😂😂😂😂ety anapika mayai anapewa ovacado

  • @carolshii8023
    @carolshii8023 4 года назад +26

    Unapika mayai na ovacado unanipakulia ovacado unakula mayai🤭🤣🤣🤣🤣

  • @marykalenga137
    @marykalenga137 3 года назад +1

    aki i have alot to comment...this is full of laughter....girl child hapo hapana😂😂😂hurumia boy child

    • @irenesuki256
      @irenesuki256 3 года назад

      😅😅😅😅woyee boy child

    • @mosetimosomi6244
      @mosetimosomi6244 3 года назад

      wish huyu jamaa angekuwa na nguvu aki juu kama ni mm sahii ningekuwa kamiti na huyu dem alioza kitambo kaburini

  • @LevinOrina
    @LevinOrina 4 года назад +20

    Nmetoboa ukuta niangalie TV ya jirani🤣🤣🤣🤣🤣 Great Acting though!

  • @catherinepeter108
    @catherinepeter108 4 года назад +1

    Abel...huyo dem achana nae kabisa amezunguka akaona venye lyf iko noma atakusumbua sana...

  • @G.O.Siambe
    @G.O.Siambe 4 года назад +5

    Afro cinema 🤣🤣🤣🤣 the luhya in this man I real. Though he deserve a good girl 😉😉😉

  • @alfredkiprono6872
    @alfredkiprono6872 3 года назад

    Sikua nataka kucheka lakini waaah😂😂comedy

  • @purityhesed
    @purityhesed 4 года назад +15

    This guy he's a comedian

  • @machaden4872
    @machaden4872 3 года назад +1

    😂😂😂 this guy should be employed as a comedian give a like if u agree

  • @briantusu.8938
    @briantusu.8938 4 года назад +3

    Noma

  • @danmeoli2155
    @danmeoli2155 4 года назад +1

    Ati jirani amenunua gari 😂😂na najifunia kuona hiyo ya jirani🤣🤣 I die

  • @xtashrayvash2996
    @xtashrayvash2996 4 года назад +5

    😂😂😂this Is the best closure ever... Boy child ameua....i wish huyo dem angepata mtu ka mm

  • @zanishmohaa5735
    @zanishmohaa5735 3 года назад +1

    The funniest man ever ... ati ntapiga nduru ..I feel you bruh

  • @Eliadzyke10
    @Eliadzyke10 4 года назад +16

    I fill this girl, her intention to come here is to expose this man not to come back in their relationship

    • @salomemukani1627
      @salomemukani1627 4 года назад +2

      Ata asijaribu kumuruhusu kwa maisha yake uyu nipepo.

    • @Eliadzyke10
      @Eliadzyke10 4 года назад +1

      @@salomemukani1627 uyo msichana si mtu wa kukaa nae

    • @wanjikukania2659
      @wanjikukania2659 4 года назад

      Yes ....aujakosea🤣🤣🤣shantel anataka tu tucheke

    • @salomemukani1627
      @salomemukani1627 4 года назад

      @@Eliadzyke10 ni shetani kabisa tena wakike. Izo sio tabia.atamua natena Hakuna chenye ata fanya kwa maisha yake atakua2 masikini...

  • @heronagiroyrooi
    @heronagiroyrooi 4 года назад +1

    hahahaha... nani amesikia shantel labda sahii kama unataka kujijenga nikutafutie mtu anauza simiti...

  • @Laudaureen
    @Laudaureen 4 года назад +9

    Pickup line ya exes..."hutawai pata mwanamme kama mimi" 😂😂😂😂😂😂😂

  • @birdiewairimu1355
    @birdiewairimu1355 3 года назад

    Hahaha hii mapenzi iko na mambo. Kujiingiza kwa mapenzi utajipata hapa😍😍😍

  • @annabailey7885
    @annabailey7885 4 года назад +3

    Big up Abel just love him , churchhill ako wapi .come for this comidian.
    As for the girl ,she is shameless,she wants someone she can bully !!!! I hate bullies
    Abel you can do better may God help locate your wife your helper

  • @decadeproperties3061
    @decadeproperties3061 4 года назад +1

    uko shida mtoto wa watu wapi like ya waluhya wa kakamega

  • @ruthwanjiku284
    @ruthwanjiku284 3 года назад +5

    😂😂😂😂ati fridge imekuwa kabati ya nguo 🤣🤣🤣
    Abel you deserve better 😭😩

  • @officialboas
    @officialboas 4 года назад +1

    Hahahaaaa.......kama ni kujijenga labda nikutaftie mtu wa simiti

  • @junesintalo
    @junesintalo 4 года назад +4

    Aki uyu chalii ako funny😂🙆🙆😂😂✨✨😂😂🙆🙆🙆🙌

  • @samsonbabalao4158
    @samsonbabalao4158 4 года назад +1

    Hivi nyinyi wa Kenya munaakili kwely jamn dah yan mwanaume unalalamika kama faha vile

  • @bashirmukambi9484
    @bashirmukambi9484 4 года назад +39

    Atii unapika mayayi na ova, unanipea ova, we msichana uko na roho ngumu

    • @salomemukani1627
      @salomemukani1627 4 года назад +1

      Ako na roho chafu sion vile unapenda mtu ukule vizuri akikwangalia🙆🙆🙆. Alafu ni yy amenunua .Roho chafu kweli🙄🙄🙄

    • @chefabby3800
      @chefabby3800 4 года назад

      Alaaa!

  • @amorkay775
    @amorkay775 4 года назад +1

    Aki my ribs!!! 😂🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @carolshii8023
    @carolshii8023 4 года назад +16

    Mimi mtu akiniimbia hio pesa yote naeza mroga aki🤭

    • @joannemarley9925
      @joannemarley9925 4 года назад

      Pia mm qwanza hiyo cku tuuu

    • @evanskipkoech6261
      @evanskipkoech6261 4 года назад +1

      Pia mm ata siezi ngoja na venye pesa yenyewe imetaftwa na shida

    • @manasseoloo2444
      @manasseoloo2444 4 года назад

      200k hio ni uwongo kwani hakuna account hata ya mswari ama Kcb Mpesa

    • @princesapauline6098
      @princesapauline6098 4 года назад

      Mimi namkulisha simiti

    • @millymorgawa1398
      @millymorgawa1398 4 года назад

      @@manasseoloo2444 wewe unakataa nini dem mwenyewe alekubali alienda na peza

  • @trizahmalovi7131
    @trizahmalovi7131 3 года назад +1

    Abel : akuna mwanaume mwenye anaeza vulimia kwa hii planet meib mbinguni🤣🤣🤣

  • @felixmutua3165
    @felixmutua3165 4 года назад +5

    Experience is the best teacher bro keep it real double tap keep it single...

  • @lemoolitiraso5049
    @lemoolitiraso5049 4 года назад +1

    Natural comedian is here

  • @hottenshiakagari2948
    @hottenshiakagari2948 4 года назад +4

    Men please grown up.mjuwe responsibility zenye.zamani wapi mwanaume ashawai pigiwa na mwanamke!!! The man is the head.

  • @danielmurunga2639
    @danielmurunga2639 3 года назад +1

    Ati dame apige mwanaume...hahaha bro kuwa serious bana move on huyu dame atakumaliza

  • @ianmkenya7676
    @ianmkenya7676 4 года назад +4

    Chance ingne Labda tuoane mbinguni😂😂😂Wueeh that punchline tho💔💔

  • @johnsila8354
    @johnsila8354 3 года назад +2

    we musichana umenipitishia mambo nakuambiaa😂😂😂