MSEMAJI WA BODI YA LIGI AFUNGUKA KANUNI/SIMBA NA AZAM WAKILINGANA POINTI KANUNI INASEMA HIVI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 32

  • @makatajumaa4298
    @makatajumaa4298 22 дня назад +2

    Mjumbe yupo vzur sana kuzielezea kaknuni..Big up

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 21 день назад

    SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 22 дня назад +1

    WE MWANDISHI KENGE ACHA USIMBA WOTE HAWAPO KWENYE NAFASI YA PILI,AZAM YUPO NAFASI YA PILI SIMBA YUPO NAFASI YA 3 ANAGOMBEA NAFASI YA 2

  • @khalifasaidi4181
    @khalifasaidi4181 21 день назад

    Wamepelekewa utamu wabara wanaona wivu😮

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад +3

    Mi naona simba ingejiunga na ligi ya zanziba kuliko hp dr

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 21 день назад

    Kuna watu watakufa wakija sikia bingwa azam simba ni wapili na ndiyo wanashiriki ligi ya mabingwa

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 20 дней назад

    Yan akuna watu wasenge kama Hawa viongoz wa bod ya lig niwasenge sana iv nyie zile kad nyekundu mbona amsemi

  • @user-gs1un6ij7i
    @user-gs1un6ij7i 22 дня назад +1

    Simba Bora angejiunga na ligi ya zanzibar ili muwe na amani na timu zenu apa Tanzania

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 20 дней назад

    Sasa Simba kafungwa mabao mengi,na kafunga magol machache.

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад

    Acheni uongo mmechagua timu zenu ili zipate ubingwa

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 22 дня назад

    Kanuni za kibwege kabsa,Bora ingetumika kanuni ya hed to hed tmu zilizopokutana Nan alimfunga mwenzake

    • @GoodluckLesilwa-kq2ln
      @GoodluckLesilwa-kq2ln 22 дня назад +1

      Kila mashindano na kanuni yake....tulia mlambe dawa...

    • @ochungos
      @ochungos 22 дня назад +1

      Tengeneza bodi yako na kombe lako uweke iyo kanuni yako ya kijinga yaan tofaut ya magol inaonyesha nan bora na nan kamzid mwingine sas kama magoli yatalingana ndo iyo unayosema itatumika kuamua ...acha mapenz na timbu mbovu itakuua kwa presha na msongo wa mawazo😂😂

  • @ferejifaraji8644
    @ferejifaraji8644 20 дней назад

    apo anataka abebwe mtu mzmaaa

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 22 дня назад

    Mmemruhusu gsm ahalibu ligi kwa maslahi

    • @ochungos
      @ochungos 22 дня назад

      Tengeneza ligi yako ili usimruhusu mtu kuiharib mapenzi na timu mbov yatakuua kwa wivu

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 22 дня назад

      ​@@ochungoswamezoea kuwalipia gharama timu zisizo na uwezo wa kifedha mechi za mwisho wa ligi na wao kupeta na kupata nafasi ya kupata ushindi lkn kwa sasa mianya yote inayoweza kutumika na simba imezibwa timu zinashindana kwa uwezo wao.....😊😊😊😅😅😅

  • @bensonelisa3225
    @bensonelisa3225 22 дня назад

    Na goli la faulu lingepewa alama tatu sababu n gumu zaidi kulifunga

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 22 дня назад

    Wanaotaka simba aende ligi ya Zanzibar huku bara wanaona tim zote sasa hv zina wadhamini sio kama zamani timu hazina wadhamini hata nauri za kusafili walikuwa hawana lakin sasa hv tim zote zina wadhamini hawawezi kuzihonga kama walivyokuwa wanafanya zamani ndio maana wanataka kukimbilia Zanzibar kwa kuwa wanaona ligi ya Zanzibar haina wadhamini wa kutosha na timu zao sio imara

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 21 день назад

    Nchi hii imejaa uenge mtupu yani timu tano anamiliki mtu mmoja hapo unazani kuna ligi au usengee GSM anamiliki timu zisizo pungua 5 unazani hapo lingi inakua au inashuka maana hizo timu 5 zote anazo miliki hata pointi anajichukulia tu sasa kwasimba toka simba inakuwepo haijawah kuhonga pesa ili ipate point ila yanga ilikua inafanya hivyo miaka yote mimi kama mimi naona biongoz waselikali wengi ni wanaidhamini yanga sasa ukiona viongoz wa sisiem wanaidhamini timu moja unazani wanaikuza ligi au wanaishusha viongoz wengi hawajitambui kabisa hata mimi ambae sijasoma siwez fanya upuuz huu haraf nikiongoz wannchi simba inapigana na viongoz wasiopungua 10 kwenye timu moja sasa huoni kua niusenge mtupu mimi ni bora nishabikie mipira ya ulaya nasio mpira wa hapa kwetu naona niuouuz tu nakupoteza muda wangu

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 21 день назад +3

    Mashindano ya CAF unasonga mbele kwa head to head mkifungana point , VP TFF mpo chin ya shilikisho gani la mpira AFRICA.,

    • @bizoojoh9145
      @bizoojoh9145 21 день назад +2

      Caf haiamui ligi iendeshwe vipi mfano england wanaangalia goal difference wakati spain ni head to head kwa hio juu ya upatikanaji wa ushindi juu ya ligi usika ipo juu ya shirikisho la mpira wa ligi husika

    • @richboaz
      @richboaz 21 день назад

      Tofautisha kanuni ya CAF wakati tyr timu ishafuzu katika hatua ya makundi au mtoano...tambua CAF inachukua timu bingwa kutoka kwenye nchi au chama cha mpira kutokana na kanuni za shirikisho husika...maana kuna nchi zina league mbili hivyo sheria ya CAF haifanyi kazi katika level za ngazi ya kitaifa....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Suleyham
    @Suleyham 21 день назад

    Kwan mbona siwaelewi nyie tff

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 22 дня назад

    Ina maana yule bingwa mara 30 ni wa mchongo!!!

    • @ochungos
      @ochungos 22 дня назад

      Acha mapenz na timu mbov utakufa mapema na mawivu yakijinga

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 22 дня назад

      Hizo ni data ukichukuwa Mara 22. Ukipunza 7simbaitakuwa 15na Yanga 23.shida iko wapi mzani si uta balance Tu...😅😅😅😅