Ubongo Kids Webisode 19 - Mpango ni Kupata - MAGAZIJUTO
HTML-код
- Опубликовано: 19 ноя 2024
- Ubongo Kids Webisode 19 - "Mpango ni Kupata" - the Tanzanian educational cartoon as seen on TBC1. Kiswahili cartoons, made in Tanzania, for Tanzania.
Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu magazijuto.
Kibena na Junior Jumbo wanaenda kwenye sherehe maalum ya Mama Ndege!
Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: www.ubongokids.com
Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
ubongokids.com
/ ubongokids
/ ubongokids
/ ubongotz
This Kiswahili Cartoon teaches about basic decimals.
The kids and animals of Kokotoa Village come across a magical rock who has some timely questions for them.
Watch Ubongo Kids every Saturday and Sunday morning on TBC1 in Tanzania.
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.