Makubwa! MWIJAKU amwaga machozi kwa uchungu kisa HARMONIZE na KAJALA "walimuombea mabaya sana KONDE"

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 285

  • @softsoftbby8013
    @softsoftbby8013 Год назад +35

    This Mwijaku is really comedian and knows how to act he should get award

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 Год назад +34

    Dah Mungu wetu zote,skhamo mapenzi,I wish them the best,mwijaku Mungu ata kulipa 👏🏾💍

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 Год назад +22

    Kajala +Harmo 😍😍😍😍😍tuko proud and happy for you

  • @jeanneandfrancislifestyle1518
    @jeanneandfrancislifestyle1518 Год назад +21

    Mwijaku he so a motion 🥲 congratulations harm and kajala ❤️

  • @mrembowangu106
    @mrembowangu106 Год назад +22

    Sns nawapenda San Tena Sana j'aime tellement 🇧🇮❤️🇷🇼

  • @jamesisaya1271
    @jamesisaya1271 Год назад +16

    Ni kweli harmonize amepitia maisha magumu ila siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe big up konde we love you❤❤ forever

    • @brigidmua2548
      @brigidmua2548 Год назад

      Poor boy 👦 😢 to rich man...Mungu Nani

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Год назад +20

    Wallah mwijaku amenitoa machoz anachokisema ni kweli kbs harmo amepigwa saana majungu ila ameweza kusimama 😭🤲🇹🇿🇶🇦

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Год назад +2

      Amepigwa majungu na nani?? Mna force bifu wenyewe ili muende mjini.

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 Год назад +1

      @@kassimrajabu7805 unaishi dunia gani kaka atakama akili haifanyi kazi macho pia hayakuonei

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca Год назад +19

    The man of the Day, #MWIJAKU🙌💪

  • @jobkofficial1591
    @jobkofficial1591 Год назад +31

    This guy is very tricky, anajua mbinu nyingi Za kuchangamsha mziki Wa Harmonize

  • @njeringugi7939
    @njeringugi7939 Год назад +5

    Kwli harmo umenifurahisha sana 🥰🥰🥰🥰mungu akulinde kw Kila jambo lako utakalokwenda kulifanya liwe la heri inshallah 🙏🙏🙏🙏

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Год назад +5

    Yoooo Mwejaku asantu kwa dua kajala ata bingu unakushuhudiya iko uwenafuraha dada ,kukosa mwanaume katika maisha yako

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Год назад +6

    love you so much mwijako you help konde so much welldone kajala you take him back you are a good women i wish you guys the best of the best konde love

  • @kimah9461
    @kimah9461 Год назад +4

    Hio ndio dua MashaAllah🥰😍❤Hongera sana kwake, I hope harmo don't play with our girl.

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 Год назад +21

    🤣🤣🤣 This is funny but congrats to Tembo he didn't listen to people like Diamond did

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 Год назад +32

    Kwa mara ya kwanza nimeona una deep feeling kwa jambo la Harmo.

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 Год назад +2

    God bless harmonize and give him happiness.. mwijaku umeeleza vizuri shukran Kaka. wishing you all blessings and happiness in your life ❤

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 Год назад +6

    Mwijaku Ana degrees mpaka za drama, ni impossible kumtenga. That's why mwambino, Ali na hormo wote wana mupiganiya. Ila anampenda harmo zaidi.

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 Год назад +27

    🤣🤣🤣konde genge tuko hapa INSHAA ALLAH

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 Год назад +10

    Nampendaga sana huyu mwamba

  • @umwizasalama1328
    @umwizasalama1328 Год назад +7

    Alhamdulilah. Mungu alinde hiyi Couple naipenda.Shekh Mwijaku u inspire me.May Allah protect you with your family

  • @magongolo7083
    @magongolo7083 Год назад +22

    I really love this guy 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤

  • @beatricemshubi479
    @beatricemshubi479 Год назад +4

    Harmonize ni mfano mzur wa kuigwa,kwenye maisha hatupaswi kukata tamaa we have to fight

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 Год назад +7

    Hongera sana Harmo,hakika wewe ni.mtoto wa kimasikin uliepigana kupata ugali kama wengine nakuombea Mungu azidi kukupa nguvu na ubunifu zaidi ufanikiwe zaidi na awalinde vijuso wewe na Kajala muishi maisha ya furaha.

    • @fatimahahmadlamar1241
      @fatimahahmadlamar1241 Год назад

      NAAAM 🤲🤲🤲🤲YAA RABII NA KWA SOTE PIYA INSHAA ALLAH

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 Год назад

      @@fatimahahmadlamar1241 Allahuma Aamiin!

  • @ariamelias4426
    @ariamelias4426 Год назад +5

    Blessing to Them Harmo and Kajala Love them a lot

  • @angesignolinx5829
    @angesignolinx5829 Год назад +15

    Mwijaku❤❤❤

  • @amissijames1468
    @amissijames1468 Год назад +5

    I really like this guy. Mwijaku you really know how to 🎬. Dam

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 Год назад +2

    Harmonize na kajala .. inshaallah kheri mungu awafungulie maisha mazuri na mackizano.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Год назад +1

    Huyu jamaa namkubali sana anaongea point

  • @moisemundere6812
    @moisemundere6812 Год назад +8

    That's true my brother

  • @asiaa6573
    @asiaa6573 Год назад +5

    Mwijaku umenitowa machozi mimi maskini ninaepambana na kupitia mengi magumu kama harmonize Mungu aendeleye kutusimamia kwenye safari yetu yakusaka tonge

  • @aishabakari4686
    @aishabakari4686 Год назад +6

    Amin inshaAllsh yarab

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 Год назад +10

    Tanzania nchi yangu nakupende😆😆😆😆

  • @producerema291
    @producerema291 Год назад +2

    "Nafikiri jambo muhimu ni kusamehe"it's already a past let's build our stronger future

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 Год назад +1

    Konde gang 4 ever.mwikaju u r the best 👌👍

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 Год назад +8

    Ili jamaa kweli lisanii sana linajifanya kulia kinafki😂😂😂😂😂😂

    • @issrahayattv1356
      @issrahayattv1356 Год назад

      Hii dunia y sasa lazima ufake ndio utoboe kila anajua anavyo tafuta riziki 🤣🤣🤣🤣ila mwijaku

  • @veronicacharles2427
    @veronicacharles2427 Год назад +2

    Eeh Mungu Amakwel mkubwaa nmefarijika kuona hilii 🥰

  • @davemichael4479
    @davemichael4479 Год назад +18

    Nimeliaaa😭😭😭

  • @mtemikana6714
    @mtemikana6714 Год назад +6

    Konde boy for life

  • @suzychalresnyage2785
    @suzychalresnyage2785 Год назад

    Yani umeogea maneno mazuri sana sana mungu awape wepesi na ww pia

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 Год назад +6

    Ameen ya Rabbi

  • @gazaomar8490
    @gazaomar8490 Год назад +8

    Brother mwijaku jichunge sana kaka maisha na biashara nivitu viwili tafauti tuone sasa kama ndo atakuja kufunga Ramadan

  • @nicholasmutua5687
    @nicholasmutua5687 Год назад +8

    Mwijaku kaupinga mwingi

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 Год назад +2

    😂😂😂😂😂 mwijaku hii xaxa kali aisee # emmmmmmoooootional dammmmmmage 🤣🤣😂

  • @amanimgalla7697
    @amanimgalla7697 Год назад +3

    Mwijaku mwijaku baba 🤣🤣🤣🤣 ila yote inshallah 🥰🥰🥰✊

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 Год назад +5

    DC ana liya ana kohoa kaupiga mwingi 😂😂😂😂😂😂😂

  • @jowvannymagicmallody4086
    @jowvannymagicmallody4086 Год назад

    DC mwijaku ni mtu safi Sana Hana makuu, anaweza akakushauri ukatoboa kimaisha dah maisha marefu DC

  • @wangaregatuhi5507
    @wangaregatuhi5507 Год назад +1

    Haki Mwijaku huwa wanifurahisha Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 Год назад +2

    😀😀🤩🥰ila nawapend jaman il mwijak umenifuraisha

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 Год назад +3

    Dah huyu Mwijaku🙋🏾‍♂️ hatotokea copy yake... Sijawahi ona hii type duh🙋🏾‍♂️... Ikitokea changamoto ya ndoa yao atakuja ongea mengine hapa🙋🏾‍♂️😅

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 Год назад +3

    Apo kwa miaka #Mwijaku umetuongopea. Paula ako 20yrs right now. Kazaliwa 2002 sasa kama mamake ako 31-32 inamaana alimzaa akiwa 11-12yrs! Mwijaku bwanaaaaa.

    • @mwajumaomar3648
      @mwajumaomar3648 Год назад

      Kajala mwenyewe alishasema alizaa akiwa namiaka 19,paula anatimiza 20 hivi kalibuni kwamaanaiyo kajala yuko na 39,mwijaku achakutia chumvi kama wamependana wenyewe umri namba tuu

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 Год назад

      @@mwajumaomar3648 ushasema my dear...eti hajafikisha ata 36 kwiooo. Uyu ata 40 ashawasili

  • @Mr.boomer23
    @Mr.boomer23 Год назад +1

    Noma sana

  • @yassinmiraji2921
    @yassinmiraji2921 Год назад +1

    Daaaah Mwijaku namkubali sn yaani ijapokua aliingia ubia kibiashara na Diamond na alishawahi kuwa naye karibu hadi kujirecord lakini yeye anasimamia misimamo yake ya kumwambia ukweli Diamond kuhusu kubadilika kitabia.

  • @rahmaramoh734
    @rahmaramoh734 Год назад +3

    Hapo kwenye mawaidha sasa,Sema Una akili sana wewe mwamba 😂🙌

  • @user-hn3km9ex5r
    @user-hn3km9ex5r Год назад +5

    ila Mwijaku amenishinda tabia

  • @m___ck799
    @m___ck799 Год назад +1

    This guy deserves to be paid by Harmo kama kuna kulipana 😜

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 Год назад +1

    Jamani mwijaku kwanini usijiunge bongo move

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 Год назад

    Upandishwe cheo cha uchawa umetish DC🤣😍

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 Год назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mwijaku mweye roho yake zuri. Congratulations H&K

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 Год назад

      Hormonize and kajala mungu awafungulie kila lenye kheir nani 🙏🤲🤲

  • @rahmambwana1204
    @rahmambwana1204 Год назад

    Nakupend mwinjaku 🥰🥰

  • @joleenmasha
    @joleenmasha Год назад +2

    Amen amen amen 🙏

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 Год назад

    Yaan mwijaku analia mimi nacheka😂😂😂,yaan huyu ni msanii bila interview yeyote

  • @johnjonath6687
    @johnjonath6687 Год назад +1

    Jamen 🙏🙏

  • @doneliabu6488
    @doneliabu6488 Год назад

    Duuh ❤🙌

  • @constanciomarcos5484
    @constanciomarcos5484 Год назад +1

    jeshi👏

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Год назад

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 Год назад +4

    God be with them

  • @nikitasenge2470
    @nikitasenge2470 Год назад +1

    Jaman nakupenda bure kweli wew nilafiki wakweli

  • @zainulahmed8206
    @zainulahmed8206 Год назад +2

    Hakuna ndoa kati ya Muslim na mkristo

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 Год назад +1

    Toa Dua kiswahili.
    Hapo unajiombea mwenyewe na sio mwengine.
    Kuna *LI* (MIMI) na *LAHU* (YEYE)
    FIRLII and FIRLAHU

  • @yisufaboubakar8349
    @yisufaboubakar8349 Год назад

    Kweli kbs

  • @igweemrisho1158
    @igweemrisho1158 Год назад +1

    Hatari

  • @joslayabumba8463
    @joslayabumba8463 Год назад +1

    Kisha piga zake miadarati huyoooo,,,,,njaaaa tupu

  • @idinado4524
    @idinado4524 Год назад +10

    Eeee hii Tanzania inamambo jamani 😂😂😂😂😂😂

  • @jerrycardo6770
    @jerrycardo6770 Год назад +2

    kwa mamlaka nilyopewa n youtube nakutunuku Burton Mwemba (Mwijaku) bachelor degree of science in drama and trick engeneering 😂😂😂

  • @yasruhumile2438
    @yasruhumile2438 Год назад +6

    Inshallah

  • @MtaaniMedia
    @MtaaniMedia Год назад

    7:00 😉😉 kilio

  • @euniceswai5445
    @euniceswai5445 Год назад

    Nafkiri mwijaku is more fun than what he's say.only genius people can understand

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper Год назад

    🤩🤩DC kama DC maisha Yana Siri sana

  • @makamekhalfan987
    @makamekhalfan987 Год назад +2

    ww umekut wapi mkiristo kuolew na muislam mnafik wa dini yake t huy na iz dua siv unavo somwa

    • @johnvevo7080
      @johnvevo7080 Год назад

      Mapenzi Sio Kabila wala! Dini man kasome!

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni Год назад +6

    Dc anavituko Kweli Kweli 🤣🤣😁😁

    • @yuzzohcrayze
      @yuzzohcrayze Год назад

      😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Год назад

      😂😂😂 bongo visa mweee! Faraja ya muda gani? Wásanii ni wasanii

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni Год назад

      @@yuzzohcrayze 🤣😁

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni Год назад +1

      @@MsAggie5 😁🤣

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 Год назад

    Mungu alitwambia tujufunze kusamehana.haijalishi Kosa kubwa au dogo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Год назад +1

    Mwaijaku 😃😃😃😃

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 Год назад +1

    Ehhhh... Mwijaku,hivi inatoka moyoni au ndio maigizo yako ya siku zote!!!!🤔

  • @mamyukuru9081
    @mamyukuru9081 Год назад

    😭😭🤝❤️🐘

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Год назад

    Hiki kichwa kitafika mbinguni kikiwa taaban sana daah jaku boy ataree sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 Год назад +5

    🤣🤣 nimejikuta nacheka kisa mwijaku

  • @marymtemahanji2571
    @marymtemahanji2571 Год назад +1

    Hehehe hehehe...hivi kwa mfano nahamaje bongo?

  • @dohaqatr8461
    @dohaqatr8461 Год назад +1

    Mwijaku taniu jamani 😂😂hadi walia

  • @merrymafole5180
    @merrymafole5180 Год назад +1

    Mwijaku bwana

  • @rahmatgateka6461
    @rahmatgateka6461 Год назад

    huna akili

  • @abdallasalim4457
    @abdallasalim4457 Год назад +4

    Dc bonge la actor #category imemfit🤣🤣🤣

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 Год назад

    DC, MWIJAKUU

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 Год назад

    Mwinjaku. Ww unakula kupitia mdomo. Kwelii khaa.

  • @kaylaassiah9461
    @kaylaassiah9461 Год назад +5

    Je ndoa itafungwa kwenye dini hipi?

    • @Mazoea
      @Mazoea Год назад +1

      Nathaniel Kila mtu atabaki na dini yake..sidhani kama Kajala atabadilisha dini

  • @rahmaramoh734
    @rahmaramoh734 Год назад +2

    Mwijaku umenichekesha sana ndugu yangu hapo unavyotembea huku unalia 😂😂

  • @lm6373
    @lm6373 Год назад

    Huyu ni muongo sana lahaullah wallah kuwatta.

  • @seriousfunnymjeshi7499
    @seriousfunnymjeshi7499 Год назад

    DC muongo sana kesho uta muona na diamond

  • @saidimkadi9984
    @saidimkadi9984 Год назад +1

    Nilicho penda zaid kwenye shuhuli ya leo hajatajwa m2 wa wcb sio kama baba levo maana hawez kufanya interview bila kutaja harmonize

  • @Umico_63
    @Umico_63 Год назад

    Mh had mwijaku🙈🙈

  • @tudoaver8373
    @tudoaver8373 Год назад

    Kkkk uyu kaka anajuwa kuigiza