MWIJAKU AMWAGA MACHOZI KWENYE HARUSI YA HARMONIZE NA KAJALA,ATOA MANENO YA HUZUNI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 июн 2022

Комментарии • 184

  • @ayshamohammed7106
    @ayshamohammed7106 2 года назад +7

    Huyu ni msanii lakini anachokiongea ni chaukweli kabisa . Allah awabariki in Shaa Allah 🤲🤲🤲

  • @rasmissionary7518
    @rasmissionary7518 2 года назад +5

    Daaaah wabongo mmetushinda tabia I say😂😂😂😂🙌

  • @zenahstahmili4360
    @zenahstahmili4360 2 года назад +2

    Polesana mwijaku mungu asimamie katika safaliyao ya maisha

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 2 года назад +8

    mwijaku muigizaji mzuri sana

  • @kongauseni9443
    @kongauseni9443 2 года назад +2

    Amen yani mwijaku anaongeya point kabisa

  • @teresadechris7854
    @teresadechris7854 2 года назад +2

    love u mwijaku

  • @besthonney3232
    @besthonney3232 2 года назад +2

    commedyyy

  • @salehally5207
    @salehally5207 2 года назад +3

    Mwinjaku muigizaji mzuri sana kwa nini usieckti movie utafanya vizuri sana belive me.

    • @yuzzohcrayze
      @yuzzohcrayze 2 года назад

      😂

    • @marimissa569
      @marimissa569 2 года назад

      Kuna movie aliekti jina siikumbuki alikuwa mme wa menina ni nzur hatariiii

    • @salehally5207
      @salehally5207 2 года назад

      @@marimissa569 jamaa ni mzuri sana kuwaaminisha watu huwongo kuwa ukweli na ukweli kuwa huwongo lakini ninavyomuona hatakujakuwa kwenye siasa ndio wanatakiwa watu kama hao.

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 2 года назад +1

    Amen and Amen 🙏

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 года назад +4

    Nikweli hamo ni mume bwana kila mtu amsema yeye lkn havunjiki moyo na munqu atamvusha hapo na penqine

  • @amidukikaya1900
    @amidukikaya1900 2 года назад +3

    Jamaniiii unaniliza mwijaku inatosha kk woooo😂😂😂😂

  • @sikudhanimoshi6967
    @sikudhanimoshi6967 2 года назад +4

    Mwijako sio mzima

  • @pillinapokeaujauzitomwakah465
    @pillinapokeaujauzitomwakah465 2 года назад +3

    Yaani mwijaku unaijua dini, Ila huitendei haki, Mambo mengine unayoyafanyaga ni kinyume na uislamu.

    • @mathayomkumbuchile1569
      @mathayomkumbuchile1569 Год назад

      Jambo gani ni kinyume na Uislamu? Ni nani duniani anayetenda kwa kadri ya maagizo ya dini zetu? Kama umemsifu kwa jambo la kumjua Mungu unatakiwa umuombee Kwa Allah ili awe mkamilifu na siyo kumhukumu

  • @nurukiwia93
    @nurukiwia93 2 года назад +1

    Ameena

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 года назад +2

    Utapeli tu

  • @furanysabbah7891
    @furanysabbah7891 2 года назад +4

    Uo ndio ukweli, tukiyakumbuka yote ayo roho zinauma😰

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 года назад +4

    Mwijaku mbav zang🤣🤣

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 2 года назад +1

    Kinajua kuigiza kweli 😂😂😂

  • @milazomilazo6486
    @milazomilazo6486 2 года назад +2

    Mwinjaku hamuja mjuwa nyiy muna mtukana bure ila mwinjaku ni mfany biashara iyoo ndiyo kaz yake sasa muna mchukiy nini

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 2 года назад

      Hata nami nashangaa kuona mtu anatoa mitusi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 года назад +3

    Amini thuma amini

  • @mirajihaji995
    @mirajihaji995 2 года назад +2

    Linalia kwakua mkemwenzake kavishwa pete

  • @bintmailiga8184
    @bintmailiga8184 Год назад

    Ni kweli mwijaku mungu akuweke miaka Kama yote unaongea ukweli tupu ee mwenyezi mungu iwezeshe ndoa ya hamonize na kajala ipite salama waondolee husuda za watu ndoa yao idumu adi umauti utakapowakuta hakuna tegemezi lingine Zaid ya wewe alah we ndio kila kitu akuna awezae Ila ni mungu pekee.

  • @bintimwakumanya6127
    @bintimwakumanya6127 2 года назад +1

    Mwijaku yualia nni sasa .anyway umemuombea mwenzako dua nzuri hongera

  • @hamissimonami2519
    @hamissimonami2519 2 года назад +3

    Mwite DC kama DC kipenzi cha tz

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад +3

    Mwijaku unaniliza Namibia😭😭😭

  • @lidiashayo8293
    @lidiashayo8293 2 года назад

    Jaman khaaaaaa

  • @dorcasgagarinour1346
    @dorcasgagarinour1346 2 года назад +5

    🤣🤣🤣🤣mwijaku kikihyoooooo

  • @tunzakingdom801
    @tunzakingdom801 2 года назад +1

    Maigizo hata dah

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 2 года назад +1

    Huyo ni ecta

  • @yuzzohcrayze
    @yuzzohcrayze 2 года назад

    😳

  • @amidukikaya1900
    @amidukikaya1900 2 года назад +1

    🐘🐘🐘🐘🐘🚕🚕 tn zot ni lenji🏧♥️

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 года назад +1

    Kweli kabisa mwijaku wambie😁😁😁

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 года назад +5

    🤣🤣🤣🤣🤣 Njaa mbaya mwijaku alia!

  • @conymbetsa9377
    @conymbetsa9377 2 года назад +1

    Ummmmmh mwijaku

  • @sopemzungu6411
    @sopemzungu6411 2 года назад +2

    Iki kijamaa nikinafki kwel kwel hahaha et kinalia hahah

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 2 года назад +1

    Kinakuliza nn bhana hebu acha hizo

  • @mirajihaji995
    @mirajihaji995 2 года назад +1

    Senge ili

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 2 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❣️💯🌴

  • @vomalizavomaliza746
    @vomalizavomaliza746 2 года назад +1

    Kanjala ni wagapi

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 2 года назад +1

    Kwani ndio mara ya kwanza kuowa usituzingue

  • @hashiriyjuma1994
    @hashiriyjuma1994 2 года назад +1

    Chawa wanafik

  • @VC-oo3cj
    @VC-oo3cj 2 года назад +4

    😅😅😅 uyu nimeamini kweli ni komedian

  • @loycejoely8967
    @loycejoely8967 2 года назад

    Ila kwakweli mwijaku unamamboo👈👈👈

  • @ernessmwalwange7946
    @ernessmwalwange7946 2 года назад +2

    😂😂ngoja nimalizie usiongee

  • @gradnes7863
    @gradnes7863 2 года назад +1

    Mwijaku pole sana

  • @maxmody
    @maxmody 2 года назад +1

    Doh

  • @radhiahamadi7052
    @radhiahamadi7052 2 года назад +1

    We baba acha umbea

  • @seifmbwanambwana3649
    @seifmbwanambwana3649 2 года назад +1

    Hili jinga nalo pumbavuuuu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 года назад

    Kubwa la Mashoga bro Mwi!

  • @aishaahmady3113
    @aishaahmady3113 2 года назад +3

    😂😂mwijaku bana sa analia nn

    • @mouriceotieno8329
      @mouriceotieno8329 2 года назад

      Wapi kibee 😂😂😂 sisi Wakenya hatutambui mwanaume kulia . Hiyo ni unyonge 😂😂😂 tunataka whips

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 2 года назад +3

    Hivi mwijaku unavolia unakuwa unaigiza au uko siriaz,,,???

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Год назад

    Ila kama Konde alikula mtoto wa kajala, Asingerudiana nae kabisa! Kwetu hapa bongo, Ukisha kula mama na mtoto, Ndugu yangu hio ni dhambi kubwa sana na ni kosa kubwa katka maisha yako! Unapaswa kuona aibu maisha yako yote, Kosa hili huwa halisahauliki, Vivyo hivyo halisameheki,

  • @ernessmwalwange7946
    @ernessmwalwange7946 2 года назад +1

    Ila mwijaku shikamooo😂😂😂kwel nyie wasanii

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 года назад +1

    Kamtolee pia kashauro kaburi iyo dua

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 2 года назад +1

    Njaa mbaya jaman

  • @boaz9248
    @boaz9248 2 года назад +1

    Jamani mwijaku😀😀😀

  • @JackOchwele
    @JackOchwele 2 года назад +5

    Magumu gani sasa
    Mbona hungemtoa wewe,
    Acha kiki zisizo za kimsingi, ukweli ni, mondi kamtoa plus kampa jina...Kama mlikuwa mnamjua before kwa nini hamkumsaidia atoke...Saa hii ndiyo mnaona kateswa.Jamaa kapewa maisha kule mfano tu mnavyo mpa ibraa.Acheni kujifanya hamjui jinsi chibu alivyopambana kumtoa huyo panya.
    Manina zenu.

    • @hoseamakaine9502
      @hoseamakaine9502 2 года назад +1

      Ww huyo diamond hakusaidiwa? Mbn hakurejesha fadhila yeye stupid

    • @dotomanyama5635
      @dotomanyama5635 2 года назад

      Anapalilia ugali wake huyo,bila kulia hapewi ugali huyo,nyooooko mwijaku tena wewe ndo mnafik sn😒😒

  • @dorothtobias8053
    @dorothtobias8053 Год назад

    Njaa tu Sasa inalia Nini. Umekosa hadi Mwanaume unamlilia Mwanaume mwenzio. Maajabu haya.

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 2 года назад

    Harmonise kwakweli anafurahisha amiwaonesha wasafi kama hata yeye ana mabawa safi sana

  • @mjungatv8172
    @mjungatv8172 2 года назад

    Mmmh huyu Kumbe Ana ushoga ushoga eeeh🤔😂😂😂😂😂

  • @bintimuhammad148
    @bintimuhammad148 2 года назад +6

    🤣🤣🤣🤣🤣Mwijaku ni msanii wa comedy kwel🤣🤣

  • @ashuu7772
    @ashuu7772 2 года назад +1

    Kwani ni dini gani hao jamani

  • @danmigodela679
    @danmigodela679 2 года назад +1

    Mamboo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @yuzzohcrayze
      @yuzzohcrayze 2 года назад

      🫳

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 2 года назад

      Huko hakuna fayaa mwez tu tutaskiya wameachana Kwan hawana ndoa apo

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 года назад

      @@asiaali1124 kumbe uchawi unahitaji mbinu limbwata kulishwa harmonize analia mwijaku

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 Год назад

    Mwijaku mwigizaji kweli kweli anaweza lazima uchawa uonekane apo yaani MTU anapata mapenzi wewe unalia pole DC WA konde boy yaani ukweli ukisemwa mchungu

  • @mariamjuma6987
    @mariamjuma6987 2 года назад

    😂😂😂wwee Mwijaku huna akili sasa kinachokuliza ni kitu gani?😂😂😂

  • @telesiakaovera4381
    @telesiakaovera4381 Год назад

    Mwijako wewe ninoma saana

  • @edithbernadette859
    @edithbernadette859 2 года назад +1

    😂😂😂 Mwijaku ume lala yooo😂😂😂

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 года назад +2

    Mwijaku bhana😅😅😅😅😅😅😅

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 2 года назад +1

    Jamani.likajala.mbona.lizee.

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 Год назад

      Kajala ht km mzee kakuzidi wewe unayejiita kijana.si tafuta kijana na wewe akuowe km ni rahisi. Nyota yake inangaa usimuonee gele.mbona hajakuona wewe mshamba.uzee mwisho chalinze

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 года назад +1

    Kumbe wew mwijaku hunga akilo sasa kinacho kuliza nn kwana kilamtu na diniyake ulikuepo sasa mbona tangu mwanzo mbona hujamsaidia umeka kazi usaliti tookazako uko mmnafik mkwabwa ww

  • @frankjoseph8495
    @frankjoseph8495 2 года назад +1

    😀😀

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 года назад

    Kudadaki mwijakuuuuuu pambana nao mpaka wamalizane

  • @wyclefnyangena3664
    @wyclefnyangena3664 2 года назад +1

    Lakini mwanaume atoi machozi ya nn

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 Год назад

    Hivi mwijaku wewe mzima kweli 🤣🤣🤣🤣

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 2 года назад +1

    Huyu jamaa atafika mbinguni amechoka sn

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 2 года назад +1

    Sasa lebal na kuchumbia wapi na wapi

  • @tonnymasizi3331
    @tonnymasizi3331 Год назад

    Ok ok ok ok ok ok ok ok ok ok ok

  • @cleopamushi2478
    @cleopamushi2478 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 tuache utani ila mwijaku muongo ambiwa Alia

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 года назад +2

    Mwijaku anajua kupiga hela Bongo

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 Год назад

    Waandishi wa habari wanacheka

  • @clubibanga123
    @clubibanga123 2 года назад +1

    Tutafutieni Baba levo

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 2 года назад

      Kajificha na Juma lokole 😳😂😂

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 года назад

    Kwani ndoa tayari ? naona mwaita arusi . Ivo kwani kuvishwa pete ndio kuelewa ?

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 года назад +1

    Uyu jamaa kashindikana

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 года назад

    Unalia kwa Uchungu na furaha Mwinjaku

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 года назад +1

    Hahahahahahahahahaha mwijaku wewe 😂😂😂😂mimi pia namuombea konde na kajala inshaallah

  • @witnesskirusha3084
    @witnesskirusha3084 2 года назад

    Hahahahaaaaaaaaaa napita. Jamoni

  • @issaramadhan8113
    @issaramadhan8113 2 года назад +1

    PUNGA zeze hili

  • @jokhaalshabibi227
    @jokhaalshabibi227 2 года назад +1

    Haidumu harusi limama likubwa linatama anaharibu maisha ya mtoto wa watu kajala hupendezi

    • @kapalataawazi8989
      @kapalataawazi8989 2 года назад

      You are very stupid 🧏🧏 wewe mbwa atcha unafiki

    • @fatumamilimo7336
      @fatumamilimo7336 2 года назад +2

      Tafuta pesa uache majungu mxuuuuuu

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 2 года назад

      Kweli konde mdogo sana kwa kajala ni magymgym Hamo bado mdogo sana kwa kajala ni kama mondi na zari yetu macho

  • @frankjoseph8495
    @frankjoseph8495 2 года назад +1

    😀😀😀

  • @ahmedhassani7058
    @ahmedhassani7058 2 года назад

    Mwinyaku leo kavaa kofia mpya special Pete hahaha

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 2 года назад +1

    Kama ngese 😜

  • @zaitunishaban7976
    @zaitunishaban7976 2 года назад

    Mwijaku kwel msanii

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 2 года назад +1

    Waigizaji bwana hahahaha aaà

  • @learnandenjoy2373
    @learnandenjoy2373 2 года назад

    mbona korosho anaoa kila baada ya miaka 3?

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 года назад +1

    da Tanzania ukikwa na mawazo ni wewe maana simchezo sijuhi na mimi nilie mh subiri nikimbie🏃🏃

  • @zenabibie5033
    @zenabibie5033 2 года назад +1

    .mwijaku mnafiki sanaa wacha kuigiza

  • @aysharamadhan1932
    @aysharamadhan1932 2 года назад

    🤣🤣🤣mwinjaku jamani

  • @jeskashilinde8875
    @jeskashilinde8875 2 года назад

    Hapa kwanza nicheke 🤣🤣🤣🤣 mwijaku walia jmn,, kila lakher hamokajala

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 года назад

    Hahah wanafiki hatari

  • @rahmanamani3422
    @rahmanamani3422 2 года назад +1

    Mnafiq mkubwa loo