NEEMA CIZUNGU AFUNGUKA KUACHIKA NA MUME, KIFO CHA OSINACHI,MUZIKI WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 129

  • @annajustin1945
    @annajustin1945 2 года назад +6

    Hakika niseme tu nyimbo zako zilitufungua Sana tukiwa tumelazwa hospital ya Mountmeru Arusha niliziweka kwenye simu yangu..tukawa usiku kabla hatujalala tunasikiliza hakika tulipokea uponyaji.. barikiwa sana mpendwa

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад +2

      Amina,sifa kwa Mungu mkubwa

    • @itikamlagalila1911
      @itikamlagalila1911 Год назад

      Napenda namna huyu dada ana network na Mungu anayemtumikia.she never bores no matter what she sings.

  • @joshombo3681
    @joshombo3681 9 дней назад

    Dada Neema, Baba yangu ana Ku kubali sana tokea kalemie/DRC.
    Na mimi Nili barikiwa sana na nyimbo nasubiri toka kwako Bwana wangu!
    Mungu aku bariki sana ❤

  • @LadiaBushiri-ev2qg
    @LadiaBushiri-ev2qg Год назад +1

    Une grande femme au grand coeur

  • @samuelkombo3559
    @samuelkombo3559 2 года назад +1

    Nous voulons ta parole pour notre ituri et l'est du Congo tout entièr ,my star Nelly i love your songs

  • @flozziewacharo314
    @flozziewacharo314 Год назад +1

    Nyimbo zako Huwa zanibariki sana,najua hunikumbuki lakini tulikuwa marafiki kitambo nilifanya kazi kwa kasanga twauza muziki wako,na ulikuwa unaishi tassia pale karibu na TelAviv.. Mungu azidi kukuinua dada yangu

  • @patrickirenge-u2t
    @patrickirenge-u2t 7 месяцев назад

    Umetu bariki sana kwa nyimbo nyumbani tunapo fata nyimbo zako, Mungu akutiye ngufu nakuku ongoza Pia, tunaku penda zaidi

  • @TroupeLaPromesse
    @TroupeLaPromesse 7 месяцев назад

    Hongera sana mwimbaji wa Mungu

  • @MuganwaRitha
    @MuganwaRitha 8 месяцев назад

    Mungu akubariki sana dada 🙏🙏🙏❤️❤️❤️💪

  • @chiefbenardos6459
    @chiefbenardos6459 2 года назад +4

    Sema nami is my favorite song of all time. So deep and touching.

  • @elizabethtabitha-us3qg
    @elizabethtabitha-us3qg Год назад

    I love this woman for free❤❤❤you are my mentor Neema

  • @benedictmushagalusa9452
    @benedictmushagalusa9452 Год назад

    Ubarikiwe sana sister neema. Natamani sana kuimba nawewe siku moja.

  • @arminatemba5364
    @arminatemba5364 2 года назад +1

    Kwa kweli I know you neema cizungu from 2009 ninakufuatilia sana ila wimbo wa tumrudie mungu namshukuru umefanya remix inanibariki sana.

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 Год назад

    Barikiwa sana Neema nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @germainebindu1097
    @germainebindu1097 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤Asante kwako mjakazi wa Mungu umetubariki sana

  • @empresszainah74
    @empresszainah74 2 года назад +1

    Sema nami bwana my all time worship song. God bless Cizungu

  • @josuekalwani5725
    @josuekalwani5725 2 года назад +1

    Hongera sana dada angu yaan nyimbo zako zinanipa faraja sana nikiwa Congo vile vile nikiwa Congo nazipenda sana Zina inspire sana zaidi tenda mema na uende proud of you sister

  • @chandrackbirindwabonane2789
    @chandrackbirindwabonane2789 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana maman Neema cizungu kwaiyo kazi Mungu akutiye nguvu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад

      amina, Asante

    • @alainngashi6619
      @alainngashi6619 2 года назад

      Mama ubarikiwe sana na mimi piaya ni mwimbaji pamoja Na muke wangu ila nilipo sikiya usemi wako kwenye radio ume nijenga ubarikiwe

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 года назад +1

    So sweet and nice melod and informative...Go high and higher...stay blessed.

  • @estasilivesta6245
    @estasilivesta6245 2 года назад

    Dad'a unaimba vizuli nabalikiwa sana na nyimbo zako

  • @ArletteBavon-ot6hg
    @ArletteBavon-ot6hg 4 месяца назад

    Barikiwa sana dada

  • @DinaRamadhani-qb3jw
    @DinaRamadhani-qb3jw 10 месяцев назад

    Amin Amin Amin 🙏🙏🙏!!!.

  • @m.gloria40
    @m.gloria40 2 года назад

    i really love that song ya sema nami it blesses me alot

  • @joycemanegabe9154
    @joycemanegabe9154 2 года назад

    Bwana akubariki dada Neema kizungu endelea mbele sana maman ❤

  • @salomeatieno2161
    @salomeatieno2161 5 месяцев назад

    Kabisatuu Amen

  • @marilenebahombwa8639
    @marilenebahombwa8639 2 года назад

    Woooh quelle sagesse ! Dada Neema ubarikiwa sana Pamoja na familia yako ! Mungu azidi kukupaka mafuta yake pamoja na mmeo 🙏🙏

  • @catejay9949
    @catejay9949 Год назад

    Msaada my favourite

  • @Jossywamatere2009
    @Jossywamatere2009 2 года назад

    My gospel minister
    Luv from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @anessabinery5654
    @anessabinery5654 2 года назад +1

    Nampenda huyu dada jamani ni mpore mno

  • @bonanebagalwakabarati7651
    @bonanebagalwakabarati7651 2 года назад

    Ubarikiwe sana Dada Nelly Cizungu hii imenibariki sana inanifanya ata kuomba

  • @paulcosmas7941
    @paulcosmas7941 2 года назад

    Barkkiwa sana Neema Nelly, napenda sana nyimbo zako

  • @ElizabethNyamai-me2id
    @ElizabethNyamai-me2id 5 месяцев назад

    Ameen barikiweni sana

  • @keathburhama
    @keathburhama 2 года назад

    Ubarikiwe sana mwanangu kwa hekima kubwa Mungu amekupa.

  • @shukurumwinami4958
    @shukurumwinami4958 Год назад

    neema. Umeongea fact ambayo kwako utaona kama ni kawaida, lakini umeokoa roho nyingi sana juu ya wanadamu juu ya NDOA. na ungekosea kujibu tu wako ambao wangesema mbona neema alisema na yeye hivi na ukajikuta wanaachanan na ndoa zao. lakini hili ni kweli hakuna ataye mwacha mume au mke mpaka kifo kiwatenganishe na ukivunja hapo ndipo tunasema kuwa unavijisababu vyako,. barikiwa sana msimamo i huu ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE. BARIKIWA

  • @rehemamkumbo2082
    @rehemamkumbo2082 2 года назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu good wrk.

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 2 года назад

    Dadaangu nakuelewa vizuri sanaa tokea 2013 nakufutilia Sanaa

  • @agripinamheni5331
    @agripinamheni5331 2 года назад

    Ubarikiwe Sana dada we love youuu

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 2 года назад

    Really penda sana nyimbo zako "from the bottom of my heart"

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад +1

      amen God bless,pls share link hii kwa watu 20 Ili ku support huduma yangu

    • @paulmadundo8084
      @paulmadundo8084 2 года назад

      @@NeemaCizunguOfficial ameen!

  • @geofreyngerenge367
    @geofreyngerenge367 2 года назад

    Amen dada Neema barikiwa sana

  • @pascalwembasafari2254
    @pascalwembasafari2254 2 года назад

    Asante Saana Maman Nyimbo zanobariki saana

  • @souzannahchombeofficiel2809
    @souzannahchombeofficiel2809 2 года назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maman Nelly

  • @anemonembongo
    @anemonembongo 2 года назад

    Un beau couple et des vrais chantre de l’ eternel🧡🧡😭😭💕🔥🔥🙏🏾🙏🏾

  • @mosesabi2617
    @mosesabi2617 Год назад

    Bwana Mungu!
    "UTAUTUMIA WAPI UMILELE?"
    (MUNGU ANATAKA KULIJENGA KANISA LAKE NDANI YA MOYO WAKO KWA SABABU HAKAI KATIKA HEMA ZILIZOTENGENEZWA NA WANADAMU !!!)
    MUDA UNAKIMBIA HARAKA SANA!
    Ikiwa una umri wa miaka sitini, unaweza kuwa na miaka mingine kumi na mitano ya kuishi!
    Ikiwa una umri wa miaka hamsini, unaweza kuwa na miaka ishirini na mitano iliyobaki!
    Ikiwa una miaka arobaini, unaweza kuwa na miaka mingine thelathini na mitano!
    Ikiwa una miaka ishirini na tano, unaweza kuwa na miaka hamsini nyingine ya kwenda!
    Ikiwa una miaka kumi na tano, unaweza kuwa na miaka sitini zaidi!
    'Takwimu hizi zinadhania kwamba unaweza kuishi hadi umri wa miaka sabini na mitano. Hata hivyo, kuna mambo mawili kuhusu hili. Kwanza kabisa, hakuna uhakika kwamba utaishi muda mrefu hivyo. Unaweza kufa mapema zaidi ya hapo. Ikiwa umewahi kwenda makaburini, utakuwa umeona kwamba kuna makaburi ya watu wa umri tofauti: mwezi mmoja, mwaka mmoja, miaka mitano, miaka kumi na mitano, miaka ishirini, miaka thelathini, miaka hamsini, miaka sitini, na kadhalika. Ungechunguza kwa makini ungegundua kuwa kuna kaburi la mtu aliyekufa katika umri wako wa sasa. Wewe, kwa hivyo, sio mdogo sana kufa. Kifo kinaweza kuja ghafla. Hakuna haja ya kuwa na onyo zaidi. Umeonywa. Hata ikiwa una afya kamilifu, kuna sababu nyingi zinazoweza kukusababishia kifo cha ghafla: ajali ya ndege, ajali ya gari, sumu, kuanguka, na kadhalika. Haya yanaweza kupelekea katika maisha yako kwenyemwisho wa ghafla. Kwa hiyo haijalishi wewe ni mdogo kiasi gani au una afya kiasi gani. Kifo cha ghafla kinaweza kukujia hata kama una umri wa miaka kumi na tano tu.'

  • @byanjiraesther7222
    @byanjiraesther7222 2 года назад

    Bonjour ma grande soeur, tu m'inscrire beaucoup avec tes belles chansons, vision yangu nikuimba nawewe Siku moja 🙏🙏

  • @catejay9949
    @catejay9949 Год назад +1

    Kuna wimbo wako napenda sana unaitwa Nani kama wewe ee Mungu wa Israel siupati you tube

    • @sarahlupy7668
      @sarahlupy7668 Месяц назад

      Download audio kwenye boomplay inapatikana mwenyewe nilihangaika sana

  • @elizabethbentil3100
    @elizabethbentil3100 2 года назад

    AMINA AMINA AMINA .

  • @ElizabethManyero
    @ElizabethManyero 7 месяцев назад

    Mpe hi Papaa jozeee

  • @bahatikarume3203
    @bahatikarume3203 2 года назад

    Barikiwa sana mamy

  • @stellanyota1955
    @stellanyota1955 2 года назад

    Barikiwa sana maman Nelly

  • @nellywanga8283
    @nellywanga8283 2 года назад +1

    C journaliste est vraiment problématique avec ses questions 🥰🥰, sinon j t'aime tellement ma sœur surtout ta chanson tumrudie mungu 🙌🤗🥰.🇨🇩🇨🇩🤩

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 2 года назад

    Nakupenda da neema

  • @olivierleoint6576
    @olivierleoint6576 2 года назад

    Mbarikiwe sana kabisa

  • @marthapeter8246
    @marthapeter8246 2 года назад

    Asaante sana hakika tuongee lugha ya mbingu

  • @christinamwakibolwa3000
    @christinamwakibolwa3000 2 года назад

    Neema hongera sana

  • @priscillandanu8938
    @priscillandanu8938 2 года назад

    Wimbo huu ulitoa mahali kwa shimo la Giza last year,,nikapenda nikuongeleshe ila nambari nilipata ya kwako haikunisaidia,lakini liwalo nashukuru mungu wimbo huu ulihudumia sana,sema nami

  • @ujusimkadama3660
    @ujusimkadama3660 2 года назад

    God bless you sister

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 2 года назад

    Congratulations sana

  • @psosarara
    @psosarara 2 года назад

    Naomba u-upload wimbo wa sadaka za sifa.

  • @beatriceemali34
    @beatriceemali34 2 года назад

    Neema Cizungu tunakumiss sana Nakuru na kapsabet

  • @bahatishomari290
    @bahatishomari290 2 года назад

    Ubarikiwe sana dada Neema; umeelewa vizuri Neno la Mungu kuhusu ndoa. Hata wachungaji wanaowafungisha mara mbili wana ndoa kwa sababu hiyo hiyo ambayo Biblia imetaja kihususa yaani uzinzi;watawajibika! Mathayo 19:8,9;Waroma7:2,3; 1Wakorintho 7:39;mengineyo watu wanafanya mapendezi yao wenyewe na si kulingana na maandiko. Barikiwa mpendwa!

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад

      amina, ubarikiwe

    • @patrickmajaliwa3911
      @patrickmajaliwa3911 2 года назад

      Mama wabariki moyo wangu sana nafatilia kazi zako kwa ukaribu na umakini nikiwa mombasa panic ya Kenya 🇰🇪.

    • @michelinenyota7097
      @michelinenyota7097 2 года назад

      Amen . Mungu akuongoze kwa yote

    • @puritarimo6868
      @puritarimo6868 2 года назад

      Ubarikiwe mama Neema cinzungu, Nakupenda saana na na penda Sana huhuduma yako

  • @charityj.jalwinyi4438
    @charityj.jalwinyi4438 2 года назад

    Sijui kama nita fanikiwa kuimba pamoja na wewe mama Neema

  • @bahatizuberi9265
    @bahatizuberi9265 2 года назад +1

    Mtangazaji hutulii kwenye kiti

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 2 года назад +1

    Waandishi wa habari mnachafua watu kichwa cha habari kingine maongezi mengine

  • @davidmudage8986
    @davidmudage8986 2 года назад

    Asante kwa kuwezeshwa hekima

  • @furahamushabo9369
    @furahamushabo9369 2 года назад

    Dada unakasauti kazuri kakuvutia wanje

  • @mosesabi2617
    @mosesabi2617 Год назад

    "UTAUTUMIA WAPI UMILELE?"
    (MUNGU ANATAKA KULIJENGA KANISA LAKE NDANI YA MOYO WAKO KWA SABABU HAKAI KATIKA HEMA ZILIZOTENGENEZWA NA WANADAMU !!!)
    MUDA UNAKIMBIA HARAKA SANA!
    Ikiwa una umri wa miaka sitini, unaweza kuwa na miaka mingine kumi na mitano ya kuishi!
    Ikiwa una umri wa miaka hamsini, unaweza kuwa na miaka ishirini na mitano iliyobaki!
    Ikiwa una miaka arobaini, unaweza kuwa na miaka mingine thelathini na mitano!
    Ikiwa una miaka ishirini na tano, unaweza kuwa na miaka hamsini nyingine ya kwenda!
    Ikiwa una miaka kumi na tano, unaweza kuwa na miaka sitini zaidi!
    'Takwimu hizi zinadhania kwamba unaweza kuishi hadi umri wa miaka sabini na mitano. Hata hivyo, kuna mambo mawili kuhusu hili. Kwanza kabisa, hakuna uhakika kwamba utaishi muda mrefu hivyo. Unaweza kufa mapema zaidi ya hapo. Ikiwa umewahi kwenda makaburini, utakuwa umeona kwamba kuna makaburi ya watu wa umri tofauti: mwezi mmoja, mwaka mmoja, miaka mitano, miaka kumi na mitano, miaka ishirini, miaka thelathini, miaka hamsini, miaka sitini, na kadhalika. Ungechunguza kwa makini ungegundua kuwa kuna kaburi la mtu aliyekufa katika umri wako wa sasa. Wewe, kwa hivyo, sio mdogo sana kufa. Kifo kinaweza kuja ghafla. Hakuna haja ya kuwa na onyo zaidi. Umeonywa. Hata ikiwa una afya kamilifu, kuna sababu nyingi zinazoweza kukusababishia kifo cha ghafla: ajali ya ndege, ajali ya gari, sumu, kuanguka, na kadhalika. Haya yanaweza kupelekea katika maisha yako kwenyemwisho wa ghafla. Kwa hiyo haijalishi wewe ni mdogo kiasi gani au una afya kiasi gani. Kifo cha ghafla kinaweza kukujia hata kama una umri wa miaka kumi na tano tu.'

    Kuna kipengele kingine chake. Fikiria kwa muda. Je, kuna ugonjwa wowote katika mwili wako? Inaweza kuwa ugonjwa wa moyo, ini, mapafu au figo. Unaweza kuwa na saratani au ugonjwa mwingine wowote mbaya, lakini dalili bado hazijaonekana kwako. Ugonjwa wowote kati ya haya unaoweza kuwa na na unaojua au unao na usiojua unaweza kuharakisha ukuaji wake na kuchukua maisha yako katika masaa au sikuchache! Huenda hivi karibuni ukakutana na umilele. Inaweza kutokea mapema kuliko vile unavyofikiria.
    Pili, hata kama ulihakikishiwa maisha hadi ufikie sabini na tano bado una miaka mingapi ya kuishi? Muda unakwenda kwa kasi kubwa. Hata kama unafikiri kwamba bado una miaka hamsini ya kwenda, hiyo inaweza kutoweka hivi karibuni. Miaka iliyobaki kwako leo ni michache kuliko ilivyokuwa jana na kesho itakuwa michache bado. Kila dakika inayopita inakupeleka karibu na kifo. Wewe ni mtu unaekufa! Ulianza kufa kwenye siku yako ya kuzaliwa ya kwanza!

  • @olivierleoint6576
    @olivierleoint6576 2 года назад

    Baraka sur baraka

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 2 года назад

    Waandishi wa habari mnachafua watu kichwa cha habari kingine maongezi menngine

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 года назад

    Inapendeza Sana ukimtumikia MUNGU Na ukiwa na ndoa .heshima inakuwa ×100, .Eti wengine wanaachana na waume zao alafu wanafungua makanisa!!! Wanatendwa kwa akili na shetani wanashindwa hata kutambua. Kuwa Mchungaji au Muhubiri lazima uachane na mume wako Tena wa Ndoa!????

  • @joshuaalsel5828
    @joshuaalsel5828 2 года назад +1

    Bahadhi ya waimbaji wanaimba nyimbo za injili, wanahubiria watu ila wanashindwa kujihubiri nakubadilika, ila hii interview ime ni prouve kuwa umeokoka pia nimeona hekima flani ndani ya commenti.

  • @christinentinyari8882
    @christinentinyari8882 2 года назад

    unapendwa sana na wakenya