mzee kumnyonga mama Gilbert after she confesses that she has a child with his Son

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 458

  • @katewabwile9053
    @katewabwile9053 13 дней назад +30

    Huyu mzee angeenda afunge nyumba... This lady will carry all the documents. All of them.. i wish he can be advised!

  • @gerrytushh
    @gerrytushh 13 дней назад +33

    This good man has been totally betrayed by this dangerous woman. Afukuzwe kabisa 😮👀🤭

    • @Oderorege
      @Oderorege 13 дней назад

      Ukiona mwanamke ameshinda mwenyewe usi jaribu kukaribia hapo coz Mzee alipata ame fukuzwa na bwana mzee aka dandia

    • @ivymugei
      @ivymugei 13 дней назад

      ​@@Oderoregekumanisha hata mwenye alikua ameoa huyo mwanamke si yye alizaa kilbart .. maybe alizaa na brother ake

    • @Oderorege
      @Oderorege 13 дней назад

      @@ivymugei Na lazima ali fukuzwa juu ya reason very valid

    • @miriammiloyo1212
      @miriammiloyo1212 12 дней назад

      His karma caught up with him after disowning his first wife in the name of she is kisirani😂

  • @LovellBiira256
    @LovellBiira256 13 дней назад +35

    Sama stop forcing issues. Put yourself in his shoes. Leave this man. Sometimes put some humanity when you're dealing with serious issues like this.

    • @faithmutua2694
      @faithmutua2694 13 дней назад

      Akiii 😢

    • @lynsanaipei3197
      @lynsanaipei3197 8 дней назад +2

      Thank you for saying as it should.. Samaritan huudhi at times and the issue is very sensitive..nkt

  • @paulinekungu6726
    @paulinekungu6726 13 дней назад +21

    There's nothing to solve here .... leave this man alone chukua Esther na babake Gilbert mpeleke laana kwenu ama kwa street

  • @Sylvia20-cl7
    @Sylvia20-cl7 13 дней назад +10

    When she talks to the son a weird smile comes around her lips and nose. Shes in love❤

    • @dancanomwenga1987
      @dancanomwenga1987 13 дней назад

      Satanic

    • @gerrytushh
      @gerrytushh 13 дней назад +4

      She's even very jealous her son has a girlfriend, imagine 😮👀🤭

  • @Ireen7682
    @Ireen7682 13 дней назад +10

    Mama Gilbert,kila mtu hukosea😂😂😂😂 withdraw that statement from your mouth

  • @HottensiahWaweru
    @HottensiahWaweru 13 дней назад +12

    This man should go back to his first family machozi ya Bibi wa kwanza n nothing but prayers

    • @knklifestyle777
      @knklifestyle777 11 дней назад

      Unajuaje sio huyo bibi wa kwanza alikuwa amekosea huyu mzee,kagege wewe😅

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 13 дней назад +50

    Wewe mama usijalibu tena kusema kila mtu hukosea ,makosa ya kula mtu na mtoto wake hio ni wewe sio kila mtu

    • @danitohmusick3169
      @danitohmusick3169 13 дней назад +5

      By the way, cheating ni decision sio choice...tena mtu na biological son wake..so sad

    • @elizanyaga3502
      @elizanyaga3502 13 дней назад +2

      Thank for speaking my mind 😂

    • @rosemuthoni8109
      @rosemuthoni8109 13 дней назад +2

      Thanks for telling her the truth

    • @victoriamutisya7388
      @victoriamutisya7388 13 дней назад +1

      Let her address her issues, single not plural

    • @essy2023
      @essy2023 13 дней назад

      Yake hata ni dhambi hata ikitolewa sacrifices sijui kama itasafisha

  • @umoabuild5262
    @umoabuild5262 13 дней назад +9

    Yaani Gilbert is the husband of his mother and he is the father of his sister 😂😂😂😂😂😂

  • @georgejuma9221
    @georgejuma9221 13 дней назад +27

    How do you undress yourself for your son to climb up and start the engine roaring .Shame on u woman 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @rosendunge579
      @rosendunge579 13 дней назад

      Imagine after sex how they pose as they wipe the aftermath 😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @FlaviaNambatya-mw1cs
      @FlaviaNambatya-mw1cs 13 дней назад +1

      You don't know luhya

    • @georgejuma9221
      @georgejuma9221 13 дней назад

      @FlaviaNambatya-mw1cs she has proven that some are super lethal when comes to that stuff 😄 🤣 😂 😆

    • @Shayne-u3n
      @Shayne-u3n 13 дней назад

      Ni mkikuyu​@@FlaviaNambatya-mw1cs

    • @EdwinAmatalo-p5n
      @EdwinAmatalo-p5n 11 дней назад

      Surely

  • @gregkipkirui2331
    @gregkipkirui2331 13 дней назад +20

    Tafuta Dem mdogo na uzae mtoto mwingine. Huyu anagoja uzeeke kidogo akuue

  • @monicahnjeri1856
    @monicahnjeri1856 13 дней назад +17

    I blame the mother, how can this happen,,, your own son seriously? Shame on you

    • @wambuimwangi5123
      @wambuimwangi5123 13 дней назад +1

      She started sleeping with the son when he was still a minor.

    • @monicahnjeri1856
      @monicahnjeri1856 13 дней назад

      ​@@wambuimwangi5123very true

  • @denniskorir-vs8dc
    @denniskorir-vs8dc 13 дней назад +12

    Kutolea kijana yako uchi 😮😮 woi damu inakimbia bana

  • @joyknight9166
    @joyknight9166 13 дней назад +13

    Hiyo makosa sio ya kusamehe walai

  • @Theblessed-v9y
    @Theblessed-v9y 13 дней назад +4

    I support you mzee kaende kaende ukikata bibi niko 😂

  • @janej5791
    @janej5791 13 дней назад +8

    Aki when a man is good he met a bad woman n when a woman is good she met a worse man kwani hii ndunia inakuanga aje mungu tusaindie

  • @Peshempresses24
    @Peshempresses24 13 дней назад +13

    No biological mother can do this.ichunguzwe

    • @mercywambui6392
      @mercywambui6392 13 дней назад

      She must not be ok upstairs 😮

    • @fedeliamueni8973
      @fedeliamueni8973 13 дней назад

      My thought too,biological son????🤔

    • @judymuindi2029
      @judymuindi2029 13 дней назад +1

      True true I doubt if she is the biological mom ,ama ni mtoto aliokota barabarani??

    • @maryakinyi
      @maryakinyi 12 дней назад

      Nikama​@@judymuindi2029

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 13 дней назад +16

    Peter' this woman is insane, how do you even start falling in love with your own biological son ? Hawa wanawake wana kasoro ,mara son , Cynthia father in law ,jacinta father and son , nini mbaya nao ? ????

  • @njerimaina6285
    @njerimaina6285 13 дней назад +2

    More than pain😢😢

  • @EXCELLENTPHONE-l9t
    @EXCELLENTPHONE-l9t 13 дней назад +6

    Actually this man has to move on without this two nothing like apologize

  • @VerySoonRupture
    @VerySoonRupture 13 дней назад +4

    Usikubali kusamehe ule mchawi, ule mzinzi

  • @JanetKenyatta
    @JanetKenyatta 13 дней назад +2

    Aky c mungu angenibariki na mzee kama uyu aki ata naeza muosha mwili jameni mbona wanawake aturithiki tukipata bahati na bahati ikujangi mara mbili😢😢😢😢

    • @Truthfulmen_women
      @Truthfulmen_women 13 дней назад

      Huyu ni guka 😂😂😂😂

    • @MbulwaMunyao
      @MbulwaMunyao 13 дней назад

      Nauliza kama wewe ata mwenye c exactly ka huyu bt anajukumika

  • @stellawoelke6012
    @stellawoelke6012 13 дней назад +3

    Mzee Peter ,usikubari huyu Mama, huyu mama hatawachana Gilbert.

  • @irinewachira6589
    @irinewachira6589 13 дней назад +3

    Leo ata ku comment inashinda mtu....we lack words aki. How can you be sleeping with your son surety ? Its unheard-of. 😢😢😢

    • @Oderorege
      @Oderorege 13 дней назад +1

      Mimi hata nime shindwa kutoa maoni hata sizioni nimalize 🫢

  • @josphinenduta7050
    @josphinenduta7050 13 дней назад

    Pole sana mzee. Nimakuriithia mburi tuhu

  • @Quincy27464
    @Quincy27464 13 дней назад

    Weeeruh!! I can't pathorn this. I tell u Maina.....wonders will never cease😢

  • @Lmp954
    @Lmp954 13 дней назад +3

    Ati kila mtu hukosea😮 yaani hii ni koşa kidogo? (LAANA!)

  • @margaretwambui4303
    @margaretwambui4303 13 дней назад +3

    Inaonekana mama introduced her son to these things, coz i don't understand how a son can approach the mum. Namhurumia gilbert

    • @RiriwaNgai
      @RiriwaNgai 13 дней назад

      It's very hard for a son to approach his mother ,mama niyeye aliintroduce son

  • @nyakunditruphena7433
    @nyakunditruphena7433 13 дней назад +1

    Mzae amevaa unfinished😢😂🎉

  • @faithimannkings5997
    @faithimannkings5997 13 дней назад +1

    Halafu Gilbert ni mali safii😂😂😂😂

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 13 дней назад +2

    Wewe mama Gilbert huna akili kabisa, huwezi kuomba msaada kwa kosa kama hilo wewe ungeweza? Ni nyege za aina gani hizo kulala na mtoto uliyezaa mwenyewe?

  • @mercywambui6392
    @mercywambui6392 13 дней назад +1

    Wanawake wakiomoka Libido inapanda ama?🤔

  • @interskynairobi9407
    @interskynairobi9407 13 дней назад

    😩😫😫😫hahaha 14:30 kama pressure yako juu enda peleka petro station huwekee watu kwa mtungi za gas..waaah. But huyu MZEE yuko sawa that woman ndiye sumu.

  • @Gracemuhia418
    @Gracemuhia418 13 дней назад +2

    Mzee usikumbali huyu mama a

  • @mulewajoel6552
    @mulewajoel6552 11 дней назад

    Fukuza hizo taka taka zote, Anza a new life Mzee....I feel for you man

  • @nxjjfj4923
    @nxjjfj4923 13 дней назад +1

    Hyu mwamke amelaaniwa wakiwa na son yke how can this happen suly😢😢????? Aibu saaaaana 😢😢😢😢😢

  • @bethwest6840
    @bethwest6840 13 дней назад +5

    This woman doesn’t seem to grasp how seriously offensive this is…!!!
    This is not a forgivable offense..!!!

    • @virginiawaeni2662
      @virginiawaeni2662 13 дней назад +2

      No right words to describe this , nahurumia Huyu Mzee haki😭😭

    • @catherinenkatha9131
      @catherinenkatha9131 13 дней назад +1

      The reality hasn't hit

    • @bethwest6840
      @bethwest6840 13 дней назад

      @@catherinenkatha9131 she is still in lala land…!!!

    • @lunyako554
      @lunyako554 13 дней назад

      You can forgive and go away

  • @nzanzex7831
    @nzanzex7831 13 дней назад

    We need you more lord in our life 0000h my God

  • @JavedIqbal-y3p
    @JavedIqbal-y3p 19 часов назад

    Ati pressure ikipanda unaeda Petro station ⛽ iekwe gas 😂😂😂😂nisoma hiyo

  • @janetmagutu8158
    @janetmagutu8158 13 дней назад

    This is too too painful Kwa huyu Mzee..woi😢

  • @peterwamanchester.5166
    @peterwamanchester.5166 13 дней назад +1

    Baba run for your life

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 13 дней назад +1

    Huyu mama si mzima!!! I know, watu hukosea lakini this one, No, No!!!! She's crazy!!!!

  • @mamaboizpure842
    @mamaboizpure842 13 дней назад +1

    Niulizee is he her biological son 😮😮😮😮😮

    • @estherhiribae7864
      @estherhiribae7864 13 дней назад

      Yep 100%😢

    • @mamaboizpure842
      @mamaboizpure842 13 дней назад

      @estherhiribae7864 mungu wangu weeeee mtoto wangu nimelea na shida hivi nimpee laana nikiona wololo yayeeeee

    • @estherhiribae7864
      @estherhiribae7864 13 дней назад

      @mamaboizpure842 they even have a 7year old daughter with her own son named Esther

    • @estherhiribae7864
      @estherhiribae7864 13 дней назад

      @mamaboizpure842 So Gilbert is her Son and father to their daughter Esther and then the mom is their biological mom to both Gilbert and Esther😭😭😭

    • @mamaboizpure842
      @mamaboizpure842 13 дней назад

      @@estherhiribae7864 am done completely aki

  • @PccerealsShop-s4l
    @PccerealsShop-s4l 13 дней назад

    The results of rejection, very grave sins...
    May there be peace, healing and understanding

  • @michaelmwangi211
    @michaelmwangi211 13 дней назад +5

    Mr Peter,please go back to your first wife and children

  • @lucyngarry9404
    @lucyngarry9404 13 дней назад

    Wueeh kulala na kuzaa na mtoto wake huyu mama it's a Big Noooooo...huyu mzee amove on

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 13 дней назад +1

    We joseph watu wa msa wako na ishima sana uwesi kusikia mwanamke ame lala na mtoto wake

  • @RoseWandia-ry3pg
    @RoseWandia-ry3pg 13 дней назад +1

    Mambo zingine nikama kurogwa this is not normal

  • @EuniceMiriam-z1b
    @EuniceMiriam-z1b 13 дней назад

    Weee!!! Usiniaribie Mimi na nimependa huyo mzee plz ongea yako

  • @eddahwanjiru1529
    @eddahwanjiru1529 13 дней назад +2

    Huyu mama hana adabu anaeza lala na kijana yake aje shameon you

  • @joycewairimu2448
    @joycewairimu2448 13 дней назад +3

    Huyu mama has damaged the life of her son... Amewaste huyu mwanaume kabisaa... Woie kuja tuishi. Sama fungua match makers

  • @Nana-x1d
    @Nana-x1d 13 дней назад

    God grant him peace

  • @lucyngarry9404
    @lucyngarry9404 13 дней назад

    Mama na kijana wamekosa heshima kabisaa kulalana mamake na kuzaa na mamake aibu sanaaaa

  • @PhilisKundu
    @PhilisKundu 13 дней назад +1

    Mama ulikosa sana wewe inafaa ukufe mtoto wako aki ukejukua jiran aki si poa uba mungu musamaha

  • @epinessmudogo1812
    @epinessmudogo1812 6 дней назад

    Mwanamke mjinga hi ni makosa ya kusamehewa kweli akwende kabisa kajifilie huko

  • @Mariam-v2i
    @Mariam-v2i 13 дней назад

    Dunia imeisha 😢😢😢

  • @njeriwakarongo9069
    @njeriwakarongo9069 13 дней назад

    Mama mkubwwa hana ada u aki

  • @samsonmutuiu3171
    @samsonmutuiu3171 13 дней назад

    wonders will never end

  • @LilianAchieng-c8p
    @LilianAchieng-c8p 12 дней назад

    Kuna mtu alisema luhya women are the most faithful in kenya,this is more than terrible 😢😢😢

  • @karimimartha1621
    @karimimartha1621 13 дней назад

    Sama nikuzikizana ya haina gani mtu na mtoto wake😢😢😢sually,msamaha ni binguni.

  • @MargaretKahare
    @MargaretKahare 13 дней назад +1

    We samaa wacha awekwe slap😅

  • @beatriceogechi1217
    @beatriceogechi1217 13 дней назад +2

    How do you even think of removing clothes for your son and for him to touch your parts of your body😢😢😢😢😢?

  • @judymutisya7721
    @judymutisya7721 13 дней назад

    Aje sasa 😢😢 mtoto wako😮😮

  • @ngurenjoki9796
    @ngurenjoki9796 13 дней назад +1

    Waah hiyo nguvu ulitoa, wapi haki kutolea mtoto wako nguo aje hiyo ni curse

    • @kk-xl2pp
      @kk-xl2pp 13 дней назад

      Haki ni curse

  • @Mis_wangui
    @Mis_wangui 13 дней назад

    Kila mtu hukosea,but hiyo si makosa ya kawaida aki. I still cant believe aki kile naskiza tu. Biological son, angejua angenyamaza tu ata aondoke aende.

  • @Sylvia20-cl7
    @Sylvia20-cl7 13 дней назад +2

    He left his first wifenot because she dint love him but she was loud and ungrateful. He wanted submissive he got HYPOCRITE EVIL

  • @JoanWambui-o7b
    @JoanWambui-o7b 13 дней назад +1

    Makosa yote n ya huyu mama juu sioni vile Gilbert angeabia mamake walale ba yy so mamake n yy alimuonyesha ameharibu maisha ya Gilbert kabisa

  • @lucynwaweru4510
    @lucynwaweru4510 13 дней назад

    Samaa, nipe no ya huyo Mzee,nataka shamba

  • @judymuindi2029
    @judymuindi2029 13 дней назад

    This case is crazy,how would you fall in love with your son???

  • @EmmaKimario
    @EmmaKimario 13 дней назад

    Hiki ki mama kilikosa wanaume hakii 😢kikakulwa na mtoto wake,bora hata ingekua mbaba wa huku nnje,huyu asisamehewe

  • @SusansusanNjeri-j3l
    @SusansusanNjeri-j3l 13 дней назад +1

    Bona you get good man then unafanya fituko aki bona ufanye hivyo mamà mundu wa guitu muranga pole sana

  • @hannahmukundi8817
    @hannahmukundi8817 13 дней назад +1

    Samaritan hapo hakuna kuongea nipee no.huyo mzee awesome wangu jameni alikuaamenda western kufanya nini hee no yake

  • @njeriwakarongo9069
    @njeriwakarongo9069 13 дней назад

    MUNGU nipe bwana kama huyu woi nitakua nambemba na leso ya kitenge alale😥😥

  • @TabbyCheres
    @TabbyCheres 13 дней назад

    Huyu mukoro hata haya hana jamani?Sasa huyu mtoto umezaa na kijana wako atakuita vipy wewe mama😢,Baba please forgive and move away from this cursed mum and son ,They are in love ❤

  • @lydiakambua2942
    @lydiakambua2942 12 дней назад

    Woii...kwanini sijaipatana na mtu kaa huyu...

  • @karenmwango8419
    @karenmwango8419 13 дней назад +6

    Taboo 😭 Abomination 😭

    • @ruthngendo6414
      @ruthngendo6414 13 дней назад

      😂😂😂😂😂😂 Taboooo in Kikuyu

  • @CarolineVijedi-b6i
    @CarolineVijedi-b6i 13 дней назад +2

    Huyo ni shetani ibirisi hata kwa mungu ni makosa kubwa

  • @mercyalivitsa3573
    @mercyalivitsa3573 13 дней назад +1

    Mwanamke mjinga nkt 😢

  • @pamelamudogo5551
    @pamelamudogo5551 13 дней назад +1

    Mzee achana na uyu mama endea family yako ukae nayo uko na roho safi umesema utasomesha Esther

    • @monicakaranja1631
      @monicakaranja1631 13 дней назад +1

      Huyu mama amenibooo

    • @dancanomwenga1987
      @dancanomwenga1987 13 дней назад

      I doubt if he has another family because I think of course he had one but labda akafa au wakatengana

    • @pamelamudogo5551
      @pamelamudogo5551 13 дней назад

      @@dancanomwenga1987 he said he has first wife na watoto but akamkataa juu ya kukosa heshima but hakukua anamcheat

  • @hassannjuguna664
    @hassannjuguna664 13 дней назад

    Pain will leave you once it's done teaching you a lesson, huyu mama sio chizi . Nini kilifanya mama aanze relationship na kijana wake. Huyu mama afunguke nn chanzo

  • @EuniceMiriam-z1b
    @EuniceMiriam-z1b 13 дней назад

    Nikipata mwanaume kama huyu, nampikia 2 magoti kwa kila kitu,he is such a loving husband

  • @muchokimunyiri4825
    @muchokimunyiri4825 13 дней назад +1

    Samaritan Wacha mzee akate kezi . Acha huyu mama mchawi kwao. Shetani Huyu.

  • @emilykananu7869
    @emilykananu7869 13 дней назад

    Mama ameharibia mtoto wake maisha. Every wise woman builds her house, but a foolish one, tears it down with her own hands.

  • @AnnaNgwatu-lr9sx
    @AnnaNgwatu-lr9sx 13 дней назад

    Walai nipewe huyu mzee nitatulia kabisaa 😂😂sama fanya jambo

    • @BlessedMammy
      @BlessedMammy 13 дней назад

      hahahaaaa 😂😂😂 such good men likes crazy women 😭😭😭am sure his first wife was a good person .

    • @AnnaNgwatu-lr9sx
      @AnnaNgwatu-lr9sx 13 дней назад

      @BlessedMammy true

  • @JosephineMueni-v4y
    @JosephineMueni-v4y 13 дней назад +1

    Afathali mama ungetoka inje lakini si kwa kijana yako mama umelaaaniwa

  • @MargaretKahare
    @MargaretKahare 13 дней назад +1

    Mzee run

  • @MargaretMunoru
    @MargaretMunoru 13 дней назад

    Hii story imefanya nione ata kulala na bwanangu ni dhambi😢😢

  • @nimcoahmed536
    @nimcoahmed536 13 дней назад +1

    Mzee🏃‍♂️‍➡️🏃🏼‍➡️

  • @annmwikali1008
    @annmwikali1008 13 дней назад

    Laana tupu unalalaje na mtoto wako aky mungu atusaidie tu

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 13 дней назад

    Malaya mpka unaendaga na mtoto wako 😢😢😢 so sad and big sin. This so painfull to this man

  • @gracemwangi1109
    @gracemwangi1109 11 дней назад

    Weuh😢

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 13 дней назад

    Mzee achana na mmama maana yafaa akataliwe mpaka na family yake na ukikaa naye ujue utazikwa mzee

  • @muthonikimani3700
    @muthonikimani3700 11 дней назад

    Mbona hiyo kiswahili yake ni kama ya TZ...uchawi reloaded.

  • @Marylovematch
    @Marylovematch 13 дней назад +1

    ichunguzwe coz huyo gilbert maybe c mtoto biological wa huyo mamaa

  • @zabibuahmed2164
    @zabibuahmed2164 13 дней назад

    Huyu mama amekosa adabu😢ameharibia kijana wake maisha

  • @mulewajoel6552
    @mulewajoel6552 11 дней назад

    Eti kila mtu hukosea, yaani unalala na mtoto wako mama? This is beyond forgiveness please.... this is abomination

  • @AthumaniSeleimani
    @AthumaniSeleimani 13 дней назад

    Alafu ww sama huwezi kusuliwisha tatizo Kama hiyo kwa siku hiyo hiyo ulikuwa inatakuwa umuache hiyo mzee hata wiki ili mzee apowe kwanza haraka hivyo haiwezi kuisha vizuri

  • @GraceHangaya-d6i
    @GraceHangaya-d6i 13 дней назад

    Wewe mama unasema utaanzia wapi,bora wewe utaanzia kwa Girbat mwenzio Taanzia wapi

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 13 дней назад

    Utalaleje na mtt wako wakumuzaa kwan kenya wanaishig mashetan am ni kituy gan mjinga san huyu mam

  • @EuniceMiriam-z1b
    @EuniceMiriam-z1b 13 дней назад

    Watu wakina bibi waliona ameangukiwa na mzee mpoa, na wakamuroga plz huyo mama aende 2 aombewe