AMMY GAL AFUNGUKA YOTE: WASAFI FM/NAACHA KAZI/ BOYFRIEND/ LIL OMMY/ WALIMWAGIWA TINDIKALI/ SNICH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 окт 2024

Комментарии • 137

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 года назад +4

    Nakupenda Ammy but haki kamini duh kwa interview BIG NO! sijui nani kakudanganya ukavae. Hata mimi navaa mini but sio sehemu sensitive kama hizo.

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 3 года назад +6

    I'm from Kenya 🇰🇪 - Mombasa to be specific (based in Dubai), I'm an ardent follower of TZ entertainment news and related stuff and I can tell u for a fact Ammy Girl stands out as the best female entertainment journalist in TZ at this very juncture. She is well informed, articulates matters and possesses a blend of characteristics of a perfect 21st century radio personality. Keep it up gal, sky is not the limit 💞💞💞👍👌👏💞💞💞

    • @kaulimbiu181
      @kaulimbiu181 3 года назад

      You can take that👆 to the bank and use it as collateral to secure a credit facility 🤣🤣🤣🤣

    • @allymalenga9598
      @allymalenga9598 3 года назад

      Karibu Tz🇹🇿

    • @everlineodera6444
      @everlineodera6444 3 года назад

      Na hajajibleach

  • @kassimnuru4870
    @kassimnuru4870 3 года назад +14

    Next time jitaidi kuvaa vizuri mrembo

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 года назад +7

    Hivi wanawake kukaa nusu utupu sijui huogopi hunawasiwasi subhanallah

    • @mwajumaakili4604
      @mwajumaakili4604 3 года назад

      Nilikua naangalia najua kavaa taiti ya kufanana na mwili Allha atunusuru na uvaji huo subhanallah

    • @lucyhussein7126
      @lucyhussein7126 3 года назад

      Bas hayo mabaja yapake krme

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 3 года назад +3

    Ammugal we ni mrembo tu Alhamdullillah.Lkn samahani sana sometimes jishauri ni kivazi cha namna gani na sehemu ipi inastahiki kipi mbele ya hadhara na pia style ipi ya mkao niikae mbele za nani,
    Wewe ni kioo cha jamii pamoja na maelezo mazuri lkn bado kunasehemu unateleza jitambue (Nasaha tu ikikupendeza)

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 2 года назад

    That’s not how to end an interview,cut half be professional and organized whoever uploaded the interview,Big up to Ammy girl from USA 🇺🇸 you really talented

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 года назад +7

    Uvaaji gani huo ziacheni fasion zingine zipite ,jiheshimishe

  • @flowinkilangira1545
    @flowinkilangira1545 3 года назад +2

    Umevaa vichupi halafu unakaa kwa shida namna hiyo. Hata unachokiongea kinakosa ile nguvu ya kuskilizwa kwasababu ya ulivyokaa. Manina. Umejikuuuunja kama nyoka mwisho utajamba uchafue hari ya hewa hapo.

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 3 года назад +10

    Ammy mtangazaji unaye tazamwa na dunia nzima una vaa ivyo? Sasa kuna utofauti gani na Giggy?

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 3 года назад +1

    Wabongo bana....
    Wanabwatuka nguo gan nguo gani
    Sasa ww unaangalia movie Netflix za uchi unashangaa nn si upuuzi

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 3 года назад +7

    Umevaa hovyoo

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 года назад +2

    Huyu nae avaa uchi haswa baadae wanao wajaona picha zako taari wanaharibika nao wanskuw kam kajala na Paula
    Maan kajala angalijiheshim mwanae nae angejiheshim aiseee lkn mama uchi mtoto utapata wp wa kukukemea?

  • @karisabaya276
    @karisabaya276 3 года назад +3

    Mbona Yuko uchi, au ndoo kazaliwa marekani, au kuiga tu,jee maadili yanarusu hii kweli, haipendezi kabisa, ivi kwani urembo ni kuwa uchi .

  • @rukianassor8970
    @rukianassor8970 3 года назад +4

    Yani kajikunja mpaka kajuta.sisi wanawake tunavaa uchi tumeshindwa na wanaume.wanaume wanajistiri ss tunajitupa tujiheshimu .alavu uvae vibaya utukanwe ulalamike makosa yako mwenyewe.

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 3 года назад +1

    Mimi kiswahili nishaanza kuwa sikielewi kabisaaaa yaani kwanini hawa wanawake maarufu hata wanaume maarufu wanapenda kutumia hili neno MSICHANA ama BINTI? Wakati hayo majina yanaendana na umri yaani umri wa unayemuongelea au kujiongelea ndio utaweza kujuilisha kama huyu ni Mwanamke, Msichana ama Bintii

  • @wizynely1121
    @wizynely1121 3 года назад +2

    Nakubali sana sister

  • @dankalama7677
    @dankalama7677 3 года назад +8

    Interview nzuri ila dress code inachoma

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 года назад +5

    sasa hayo mapaja hata maswali ntauliza kweli 😋😋😋😋😋😋

  • @malikihemfaume3906
    @malikihemfaume3906 3 года назад +2

    Ebhana mwambie nampenda sana Amina❣️

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 3 года назад +2

    Nimependa picha ya jidejaydee ❤❤

  • @tamaratito7677
    @tamaratito7677 3 года назад +1

    Unaadabu shenzi ww mbona DJ fetty alikuwa sio mkaa uchi

  • @sharifungulungu7980
    @sharifungulungu7980 3 года назад +4

    Dada unabowa ujavaa vzr

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 3 года назад

    Vazi lako hapana, upo uchi Jamani

  • @jafarimachumu9221
    @jafarimachumu9221 3 года назад

    Monday fukuza watangazaji Kama Hawa wasiokua na maadili tutafungiwa tv Tena hooo

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 3 года назад +4

    amigele. acha maswala ya kuiga. utaumia umevaanini sasa .spendi kumbuka maisha yanabadiika

  • @kibwanakhamisi5604
    @kibwanakhamisi5604 3 года назад +3

    Haka kamekua karembo sana saii 😍

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 3 года назад +3

    Hicho kinguo jamani mapaja nje hadi unakaa kwa shida

  • @dengeman4814
    @dengeman4814 3 года назад +4

    Haujapendeza miwan Kama Kobe ila nkukubali leo umeniboa

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 3 года назад +6

    She's not comfort @ all with the dress code.

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад

    Im not a judge, kinge kidogo, napenda kingereza, ila tu ndo hivyo, please vyombo vya habar muwe mnauliza mtu, je ungependa tuonyeshe ulivyovyaa? Kama kavaa isivyo maadili, kuna mahali alilia akieleza namna mama ake alivyosumbuka ada, ushakua jina kubwa, ukubwa huo utunze sasa, nisamehe kama nimekosea

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 3 года назад +3

    Mavaz gani hayo ammy? Mmmh ukifungiwa na basata uanze kulalama

  • @alickomsyani3900
    @alickomsyani3900 3 года назад +2

    Yupo vizuri Dada huyo

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 3 года назад

    I really appreciate Ammy

  • @dorotheampembela5999
    @dorotheampembela5999 3 года назад +3

    Ndoto yako tuliiona mapema tangia Meta sec hongera Sana mate

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 года назад +1

    mpeni kanga huyo malaya miguu inamuuma huyo, namkubali huyu dada ila leo kaniangusha mavazi ya kimalaya, alafu kiyoo cha jamii hiki?.

  • @babayao3791
    @babayao3791 3 года назад +3

    mavazi mengine bhanaa,kuiga kubaya sana

  • @fadhiliaswa5063
    @fadhiliaswa5063 3 года назад +2

    Ammy 😍😘

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 года назад +1

    Amigal mbona uvaeivyo

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 3 года назад

    Huyu host kama anammezea mate Ammy Gyal😝😝😝

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 3 года назад

    Mtihani wallah Ata sijuhi kavaa nini

  • @kaombwekhamis4634
    @kaombwekhamis4634 3 года назад +1

    Aka katoto karembo mbeya atar sana

  • @Yegon254
    @Yegon254 3 года назад

    Ammy nakuaminia lakini umevalia vibaya sana

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 3 года назад +3

    Asa dada si bora ungevua nguo zote sasa!?...maan unanipa wakt mgumu kuwaza iyo sehm nyingine ipoje😂

    • @upendogladson9873
      @upendogladson9873 3 года назад +1

      Angebaki uchiii tuuuuu maana naona sweta tu

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaaan amevaa kichupi hata haeleweki

  • @hassankaesa187
    @hassankaesa187 3 года назад

    Mwambie akitongozwa awe anakubali maana kahamua Kukaa uchi na kutuonyesha

  • @maulidabdallah8743
    @maulidabdallah8743 3 года назад +2

    Umeamua kuvaa nguo hiyo bas kwann unajipata tabu ya kijibana kama unatokwa na mikojo.

  • @nicolwenje4048
    @nicolwenje4048 3 года назад +2

    Kavaye nguo wew

  • @trisamilob3652
    @trisamilob3652 3 года назад +6

    Huko miguuni kapaka mafta mbona anang,'aa

  • @gitegagitega6543
    @gitegagitega6543 3 года назад +4

    Ami tunakupenda ilakwamavazi
    Unabugi jilekebishe🇧🇮nipo huku🇧🇮

  • @bahatiamadiog9748
    @bahatiamadiog9748 3 года назад

    Nice

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 года назад

    Avue kabsa😏😏😏

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 3 года назад +4

    Siku nyingine vaa vizuri we kioo cha jamii

  • @agastprudence7639
    @agastprudence7639 3 года назад +1

    Mbona yupo uchi

  • @erastonyonierastonyoni1193
    @erastonyonierastonyoni1193 3 года назад +1

    Va vizur dad kwan ungeva hata ksket kidogo si bora jaman

  • @Mastermind25491
    @Mastermind25491 3 года назад +1

    Naona unatuonesha usafi wa mapaja,,

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 3 года назад

    Itakua amesahau kuvaa trouser! Wee mdada jirekebishe mavazi bhana kaah

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 года назад +1

    Dada vaa vizuri sasa hapo umevaa nini jamani

    • @restypeter1141
      @restypeter1141 3 года назад

      Mwenyew Hana amani namiguu imekomaaa

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад

    Na kipindi siangali tena, unaweza kua na content, sijui nimepatia? Lakin ukakosa watu kutokana na mtu unaemhoji

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 3 года назад +4

    juu umepatia ila chini umezngua / mavazi

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 3 года назад +1

    Utopolo mwingi nani kasema ukiwa uchi ndo kupendeza

  • @khatibuhijja459
    @khatibuhijja459 3 года назад +1

    Dah kwani kavaa huko chini au vp, halafu mnataka mwanaume awe na nguvu za kiume, zitatoka wp wakati kila siku mnatukalia uchi,. Pole mtangazaji mana ukitoka hapo kashakuumiza huyo

    • @lupandesimukindje8170
      @lupandesimukindje8170 3 года назад

      😀😃😀😃 umenifurahisha sana ndugu siku yangu imekuwa nzuri baada ya kusoma comment yako

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 3 года назад +1

      @@lupandesimukindje8170 asnt sana, ni kweli kaka, sasa kama kila wakati unaona uchi, tangu unatoka nyumbani kwenda kazn unaona nyuchi mpk unarudi, sasa ukifika kwa mkeo kipi kitastua, wanawake wajistiri jamn.

    • @omarihamadumetishasanalava4725
      @omarihamadumetishasanalava4725 3 года назад

      Faa nguo amigaly

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 3 года назад +2

    Ammy gyal mzuri, halafu miwani mbona Kama taa za pikipiki

  • @lucyanita1337
    @lucyanita1337 3 года назад +3

    enyewe wa tanzania kiswahili chenu sanifu yaani..nimekaa tu na kamusi...leo nimejua capital kawa kiswahili ni mtaji🤣🤣

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 3 года назад +3

    Mtangazaji sauti kama ya milard

  • @Username001mombasa
    @Username001mombasa 3 года назад

    Mume vaa vp jamani naona haya mm huku kenya

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 3 года назад +1

    Hivi kuvaa vichupi ndo sifa basi muwe mnaamua kutembea uchi kabisa

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 года назад

    Shout out ammy'❤️🙏🇰🇪.

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 3 года назад

    Hiyo miwani ammy gal jmn, Au inatakakudondoka

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 3 года назад

    Umechusha na hiyo mipaja isoeleweka rangi. Si mujisitiri? Ya nini mkae uchi

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 3 года назад +1

    Asee nakumbuka sana huyu dada alikuwa anapika makange matamu balaa.....

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад

    Sawa ila matako nayo jamani yaani yamependeza mpaka kifuwa kinayaonea wivu

  • @musason1680
    @musason1680 3 года назад +2

    Avae vizr sasa

  • @erickothegreat8353
    @erickothegreat8353 3 года назад +1

    Hayo mapigo Huwa maghettoni hawaji nayo kabisa.
    Wazee wa ghetto mpoooo.

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 3 года назад +1

    Naona umeamua kutudindisha maninja humu au sio ?hila poa sitakuacha salama nakupigia punyeto

  • @fatemabrundi1308
    @fatemabrundi1308 3 года назад

    Nakupenda uko vizuri

  • @aminajohn5472
    @aminajohn5472 3 года назад +1

    Nakupenda mno ila kwa kuvaa hizo nguo umejishusha vibaya mno ,Yani umeboa kwenye mavazi

  • @ramamwakazy961
    @ramamwakazy961 3 года назад +2

    Mbona yuko tuputupu

  • @rajabmsinzia7921
    @rajabmsinzia7921 3 года назад

    Maji yamezidi unga huyu mdada

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Год назад

    Unavaa uchi mbele yamwanaume

  • @firstrichardnakoko7361
    @firstrichardnakoko7361 3 года назад

    Uvae ipasavyo kuvaa Kama mtangazaj unatutamanisha bwana

  • @carolinewanja7171
    @carolinewanja7171 3 года назад

    You are an inspiration to many young girls

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 года назад +1

    Tangia aamie wasafi kachachukaaa sasa umemvalia nini kaka wa watu?

  • @peterpaschaljuma2382
    @peterpaschaljuma2382 3 года назад +1

    Hivi we umevaa au uko uchi?

  • @wizchiachacha5889
    @wizchiachacha5889 3 года назад

    wasaaaaaafiiii

  • @michaelsostian
    @michaelsostian 3 года назад

    Ila anamapaja mazuri

  • @AlainShogonya
    @AlainShogonya 3 года назад

    Haha 😆 bro mbona video kipande

  • @nasonchisota6241
    @nasonchisota6241 3 года назад

    Wewe na mwenzako Lil ommy, Omary tambe wote mnalamba midomo Dadeek

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 3 года назад

    Umeharibu kwa nguo tu🙄🙄🙄🙄

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 года назад

    tuko sokoni ila kikazi zaidi

  • @rodamanzi2419
    @rodamanzi2419 3 года назад

    Big up Ammy G! Keep it up girl

  • @saidikanosi97
    @saidikanosi97 3 года назад

    Achia hiyo miguu bhan

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 года назад +1

    love you but your clothe is shot

  • @zulekhakhamis2229
    @zulekhakhamis2229 2 года назад

    .

  • @virusunityonline5786
    @virusunityonline5786 3 года назад

    PUNDA (short story)
    DK 7 TU
    NAAMINI UTAJIFUNZA KITU KWA HAWA WANAWAKEruclips.net/video/XsPMwMmO3w0/видео.html

  • @mussachariesongosongo8341
    @mussachariesongosongo8341 3 года назад

    Mbona uchi huyo manz

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 года назад

    yani mpaka anakosa raha hawezi kujinafasi miguu inamsuta ile namba 4 ni yalazima sio hiyari, mshenzi mmoja wewe malaya mkaa uchi.

  • @razalohamisi254
    @razalohamisi254 3 года назад

    Manisha hayo

  • @wizchiachacha5889
    @wizchiachacha5889 3 года назад

    nguo

  • @islandgirl4578
    @islandgirl4578 3 года назад

    Dah Leo ndo nimemuona vizur huyu Dada mzur ila age kam imekata hivi..... Am sorry ammy nakupenda san❤️

  • @uhurutvonline.subscribe5515
    @uhurutvonline.subscribe5515 3 года назад

    😂😂 rip ndug mtangazaj

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 6 месяцев назад

    Hiyo nguo jamani imepoteza sifa yote na thamani uliyonayo mwee