Ni Leseina au Kamau wa Ndungu?....Ep209 Pt1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 386

  • @kettyjohn7941
    @kettyjohn7941 6 лет назад +447

    wenye hupenda shity like tafadhali😂😂😂😂

  • @geraldcheruiyot4965
    @geraldcheruiyot4965 6 лет назад +242

    Wenye wanawatch wakisoma comments piga like

  • @KizzMaish
    @KizzMaish 6 лет назад +42

    Kumbe Shfiraa uko cute hivo bila kitambaa 😍😘❤️

  • @pamelakonya545
    @pamelakonya545 6 лет назад +18

    😂😂😂😂shiti walai ile kitu wewe hutumia tafathali wacha,my ribs....anywaya sighn👌👌👌and ❤❤❤❤love

  • @kevinemojah5011
    @kevinemojah5011 6 лет назад +13

    Dj Shiti,you are the best in this show,keep it up

  • @blessedgirl444
    @blessedgirl444 6 лет назад +14

    Ati shiti anakaa Jason Derulo mayeee 😂😂😂😂😂😂

  • @kytemimmow3245
    @kytemimmow3245 6 лет назад +1

    Ata mm mtanitafta na sitaweza kurewind life...happy madaraka day kenyans

  • @angie4394
    @angie4394 6 лет назад +8

    Sauti sol wako wapi wasikie mambo ya Shiti. Kesho kesho atakuwa famous ashinde sauti sol na khaligraph na hataweza kuREWIND life. hahahaha word game on point shiti

  • @JoAngilyn
    @JoAngilyn 6 лет назад +7

    "Wasichana wakupika uji kwa site"😂😂😂Love DJ Shitty.

  • @abdulomar654
    @abdulomar654 6 лет назад +17

    King kaka si alikuwa akiuza njugu akiitwa mtoto wa mama ogola 😂😂😂

  • @motonumoseti4861
    @motonumoseti4861 6 лет назад +47

    Shiti.. Ni legend😀😂😂😂

  • @beatricewanja9644
    @beatricewanja9644 6 лет назад +6

    Brayo my favourite ...tuna time ya brikicho

  • @fredrickmutuku6256
    @fredrickmutuku6256 6 лет назад +5

    Naenda stage platform.. Likes za shiti zikam through 😁😁

  • @hildaambasa2527
    @hildaambasa2527 6 лет назад +27

    Aki my favorite show

  • @rascnn
    @rascnn 6 лет назад +54

    TeamShiti .. likes zikam ukiona hii comment.

  • @miles_whalberg
    @miles_whalberg 6 лет назад +4

    😂 😂 😂 Shiti ni faya, Nkirote ameanza kupeana Crotas

  • @khadijashire9278
    @khadijashire9278 6 лет назад +12

    Timmy aliuza misumari # otile aliuza barafu alaf wanakuja kutuimbia wembe 😎😍😍😂😂😂😂

  • @itsmoonboybaby
    @itsmoonboybaby 6 лет назад +3

    Waschana wa kupiga uji kwa site😂😂😂

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 6 лет назад +15

    ati wasichan engine bila makeup ni kama minister of education bila matiangi hahah

  • @paulburoz5181
    @paulburoz5181 6 лет назад +1

    Nkirote ma favourite.
    BIG U!

  • @paulinanyambura1833
    @paulinanyambura1833 6 лет назад +2

    Diva wa mtaa, kwasababu Leo me ni team natural hahaha top top u have made my evening Girl

  • @levyradoli914
    @levyradoli914 6 лет назад +1

    shity moto itakuchoma, ilishawashwa kitambo inaongezwa tu coal pole pole...u the best bruh haha si kamisi

  • @crowncastmedia
    @crowncastmedia 6 лет назад +8

    Nani ndie huchagua cast ya hii programme? Kila role msee amepewa ana play perfect Sana hadi natamani kuja auditions, Hehee. Shiti hii ngoma yako si uamue siku moja itoke tu. Collabo na Shpira 😂😂😂

  • @festuskiptoo1699
    @festuskiptoo1699 6 лет назад +12

    Wasichana wa kupika uji kwa site😂😂😂 Shiti walai

  • @joygichuru8194
    @joygichuru8194 6 лет назад +1

    Hahahaaa...ety shiti we Ni Jason derulo...u will kill me oh

  • @georgepeter7829
    @georgepeter7829 6 лет назад +5

    Likes for the only able dj on the entire world Dj shitiani 😂😂😂

  • @valrest3466
    @valrest3466 6 лет назад +7

    Shiti...bring the best food...if it's 1k a willing buyer is paying 3k😆😆😆

  • @manallove1
    @manallove1 6 лет назад +20

    "Nationalities mbili" mkikuyu na m'maasai😂😂😂🙆

  • @esthermatinde5748
    @esthermatinde5748 6 лет назад

    Umependeza ukinyoa shifiraa,,,Awiti nakupenda sana

  • @lilymummy7973
    @lilymummy7973 6 лет назад +48

    11:12 Nani ameNotice Shiti AKona HipS don't lie😂😂😂

  • @mamakee8005
    @mamakee8005 6 лет назад +18

    Hii room ya michi hapana 😂😂😂✋🏼✋🏼✋🏼

  • @mosesodiwuor1938
    @mosesodiwuor1938 6 лет назад +16

    DJ Shiti... 😁😁

  • @sharleenkate3044
    @sharleenkate3044 6 лет назад +18

    Kwani jela za kenya zime upgrade aje mnakunywa chaii na vikombe za mabati niliwacha zikiwa plastic😂😂😂😂😂😂

  • @mikeyvile
    @mikeyvile 6 лет назад +2

    yeaaa nimengoja sana bt imecome

  • @carrickken318
    @carrickken318 6 лет назад +6

    hairstyle ya shifira inaweza

  • @N_NicholasMacharia
    @N_NicholasMacharia 6 лет назад +5

    Michi na shumileta ni mandugu😂

  • @julianamakau8742
    @julianamakau8742 6 лет назад +14

    Nahurumia Nkirote woiyee lakini njambi utalipia tu. Michi eti the pple who own Kenya??😂😂😂😂ok hio handshake itembee

  • @maxbradley2811
    @maxbradley2811 6 лет назад

    Hahahahaha..gunia tano za powderz😂😂😂😂😂😂..
    Shiti ametoanisha huyo dame mbaaaya

  • @ayushayush5141
    @ayushayush5141 6 лет назад +18

    kesho kesho nitakuwa Kama sauti sol na khaligraph🔥😂😂😂😂 na sitaweza kurewind life. ( shiti nimeona chenye umefanya hapo)

  • @georgewaweru6362
    @georgewaweru6362 6 лет назад +49

    Najua hainihusu bt hehe Njambi anavaa over size ili tusijue ako na mimba hehe. ngojea miezi kadhaa hutaeza kuificha.🙈🙈🙈 congrats anyway.

    • @belladarlingm
      @belladarlingm 6 лет назад +1

      George Waweru acha tupige mshene ....kamechoka sana jambi..hata kuketi yenyewe woi!

    • @magdalinebosibori995
      @magdalinebosibori995 6 лет назад +1

      Hehe

    • @amounanyale9220
      @amounanyale9220 6 лет назад +1

      George Waweru nikajua nimmi gu naona

    • @grammamresh8848
      @grammamresh8848 6 лет назад +5

      George Waweru enyewe udaku tuliachia wanaume

    • @mokeiradolvin1570
      @mokeiradolvin1570 6 лет назад +1

      Njambi mimba zake huwa sinapotea ukifutilia Episodes Awiti akiwa amejifungwa njambi alikua na mimba na ikapotea

  • @robertmuniss4362
    @robertmuniss4362 6 лет назад

    Kenya mpo vizuri jela moja MNA shear boy &girls

  • @ayushayush5141
    @ayushayush5141 6 лет назад +2

    hahaha nishamalizana na mathambutha ya waraaabu nimefika😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌

  • @pamelanangila8661
    @pamelanangila8661 6 лет назад +1

    Watching from Jordan am late today

  • @StephenGathuka001
    @StephenGathuka001 5 лет назад +1

    Shiti na mitchi the best In this

  • @hajinyange6420
    @hajinyange6420 6 лет назад

    Nakubali kazi yenu big up all of you from 255 sipend nipitwe

  • @stephenmutuma4083
    @stephenmutuma4083 6 лет назад

    shiti ako juu tu sana

  • @maggiebernard
    @maggiebernard 6 лет назад +12

    Shiti kujichocha nayo 😂😂😂😂😂 .. Nkirote utajua hujui wewe

  • @SamuelN959
    @SamuelN959 6 лет назад

    Mmechelewa sana ....watching from Los Angeles

  • @rhodamoraa3818
    @rhodamoraa3818 6 лет назад +3

    First to comment ⚘⚘

  • @catetricia8433
    @catetricia8433 6 лет назад

    shifira amenyoa ako supuu sana😍

  • @namdah_tours
    @namdah_tours 6 лет назад +2

    Shiti aliona Shumileta ya UG 😂😂😂😂😂shaaakaa can't believe it

  • @josephNdichu879
    @josephNdichu879 6 лет назад +15

    Hey av Been waiting almost all day for this episode.i watch with friends here in Qatar we love ua program.continue with the Good job

  • @sora_KE
    @sora_KE 6 лет назад +4

    Michii... my Guy

  • @alexisogutu9543
    @alexisogutu9543 6 лет назад +1

    Aty king kaka alikua anauza njugu akiitwa mama ogola

  • @mohamedomari4642
    @mohamedomari4642 5 лет назад +1

    Onyi wamekubali 🇰🇪🇸🇦😂💪

  • @kevinobegi5640
    @kevinobegi5640 6 лет назад

    Napenda Nkirote!!!!! mkimwona mwambie.

  • @alexmoro9546
    @alexmoro9546 6 лет назад

    Michi amewezwa na shiti 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @mudadakolastarz5547
    @mudadakolastarz5547 6 лет назад +2

    Plz shitti usiwai rundii kwa michii 😉😉😉

  • @sharzw
    @sharzw 6 лет назад +1

    Michiretiii😍😍😍

  • @moddy7435
    @moddy7435 6 лет назад

    Timmy T alikuwa akiuza misumari Otile brown alikuwa akiuza barafu jinga sana dj Shiti 😂🤣

  • @hillarybukachi9967
    @hillarybukachi9967 6 лет назад +6

    Hizi suti za michi huwa anatoa wapi?

  • @katesantarah7281
    @katesantarah7281 6 лет назад +10

    shumiletaaah😂😂😂😂😂 am drying😭

  • @malqiaofficial1003
    @malqiaofficial1003 6 лет назад +13

    Hahahahhaahaahah gunia tano ya powder😂😂😂

  • @evemuhia2
    @evemuhia2 6 лет назад

    hahaha diva wa mtaa good acting

  • @andygal5605
    @andygal5605 6 лет назад +7

    Akina truphena,makena,and the rest walienda wapi?

  • @mahaibra117
    @mahaibra117 6 лет назад +2

    Wow waited

  • @theafricanwoman2818
    @theafricanwoman2818 6 лет назад

    Awiti should have applied to NYS and supply air like ngiriti... She could have gotten rich . A house a landcruiser and a Lexus.

  • @thengatias9167
    @thengatias9167 6 лет назад

    oooie nkirotee my crush,op kwa cell hakuna baridi

  • @penielmburungo2808
    @penielmburungo2808 6 лет назад

    gai kumbe shiti ni melanin

  • @little1920
    @little1920 6 лет назад

    Wasichana wa kupika uji kwa site 🤣🤣🤣hii si mjengo

  • @joyreign6110
    @joyreign6110 6 лет назад +1

    Matiangi mst hear ths😂😂😂😂😂

  • @lispherkwamboka9415
    @lispherkwamboka9415 6 лет назад +2

    Noma

  • @esthermatinde5748
    @esthermatinde5748 6 лет назад

    Better nikimuona Michereti nazidi kufurahi,,,but management fikirieni kurudisha Turuphena,Makena,The Diver from Kanyonyo na Njugushi

  • @mwangigitau9160
    @mwangigitau9160 6 лет назад

    Ministry of education bila matiangi..😂😂😂😂..like ya shiti

  • @stevomangwelo5702
    @stevomangwelo5702 6 лет назад +1

    Sina ni ya kuanza mjengo.......i die😂😂

  • @iankimurgor855
    @iankimurgor855 6 лет назад

    Dj shiti my all time commedian

  • @speaksboytvshows4163
    @speaksboytvshows4163 6 лет назад

    274 to watch....,I had watch from episode 1 season 1to this season....

  • @كيفي-ض2ج
    @كيفي-ض2ج 6 лет назад +2

    Ati divaa wa mtaa🤣🤣🤣

  • @festuskiptoo1699
    @festuskiptoo1699 6 лет назад +27

    Nani ameona leo Awiti amekua light skin😂😂

    • @magdalinebosibori995
      @magdalinebosibori995 6 лет назад +1

      festus kiptoo mayb ametembelea river road

    • @natashatash2919
      @natashatash2919 6 лет назад +1

      festus kiptoo 😂😂😂😂ata mm nime notice ivo😀😀😀

  • @maxrajdumelo8965
    @maxrajdumelo8965 6 лет назад +1

    Shiti anajipenda hehehe

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 лет назад +51

    Onyi kuna vile ni Handsome lakini hizi ndevu zake na manywele anaziwekanga "mathogothanio😂

  • @harrisonodundo6706
    @harrisonodundo6706 5 лет назад

    Uuuwi 😂😂😂😂😂shiti utaniua yawa ata siachi kucheka .LoL

  • @christinewawira5732
    @christinewawira5732 6 лет назад +4

    Oyeee Nkirote

  • @mercywanjiku3740
    @mercywanjiku3740 6 лет назад

    Gunia tano enyewe shiti uko sawa

  • @zabron4382
    @zabron4382 6 лет назад +4

    Part 2,,,,

  • @catetricia8433
    @catetricia8433 6 лет назад

    shifira amen you ako supuu sanaa

  • @rosesylus3581
    @rosesylus3581 6 лет назад +1

    Nataka likes za team Natural 😂😂

  • @gunnersforever7912
    @gunnersforever7912 6 лет назад

    HYO SCENE YA JELA NIKALI

  • @arthurbukosia6435
    @arthurbukosia6435 6 лет назад

    wasichana wengine bila makeup nikama ministry of education bila matiangi.. hahahahha!!!!1

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 лет назад

    Paudaaaz...sina nia shitti😂😂😂🤣🤣🤣

  • @hajramohamed5276
    @hajramohamed5276 6 лет назад

    Shiphira woiyeee business lady

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 6 лет назад +1

    ati fish fingers 😂😂😂aki Shiti

  • @esthernasambu4084
    @esthernasambu4084 6 лет назад

    nyumbani mashamba nani anaenda uko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂shitiani 😃😃

  • @deejayfavour4409
    @deejayfavour4409 6 лет назад +1

    hahaha khaligraph alikua bouncer wa ohangla. am dead

  • @dianahussein4146
    @dianahussein4146 6 лет назад

    We got the looks and the nukes😂😂😂😂😂 woiii jason derulo

  • @moriahogola8665
    @moriahogola8665 6 лет назад

    ati ministry of education bila matiangi 😂😂😂

  • @nickstano5960
    @nickstano5960 6 лет назад

    Movie ya Uganda ya shumileta
    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀tf

  • @i.t.s_k.e.n.n.y5592
    @i.t.s_k.e.n.n.y5592 6 лет назад

    Ati madem walipika uji kwa site haaaaaaaaaaaah.... shitiii legend

  • @paulnjogu905
    @paulnjogu905 6 лет назад

    Kigosho on🔥🔥Bazenga👍🏽

  • @sharleenkate3044
    @sharleenkate3044 6 лет назад +1

    Diva wa mtaa 😂😂😂😂😂😂😂😂wee Kenya sihami