Bongo kuwafikia wenzetu bado sana. Wenzetu wanatumia ubunifu, maarifa, peza nyingi na juhudi. Sisi tumejawa ubinafsi, pupa ya pesa za sanaa, uzinzi na hatuna bajeti wala ujuzi wa sanaa... 😢
@ShedrackRajabu-g1c sio kuponda ndio ukweli. Kwanza wenzetu huwezi kukuta kila msanii anamiliki channel ya RUclips kama wasanii wetu Bongo. Ukifanya nao kazi bila kuwaruhusu wafungue channel zao wanasema ni unyonyaji wakati nchi za nje huwezi kukuta kila msanii anachannel
@@NailaMickey Tz inatia hasira sijawahi kuona. Kuna watu hawajawahi kuigiza hata siku moja na hawana vipaji vya sanaa, unawaita njooni tuigize wanakuuliza utatulipa shilingi ngapi 🙆♂️ Akija umfundishe, umrekodi, umpe usteling, nahuli, chakula na anataka kulipwa tena... WaTz ayseee
Movie: LUCK KEYS 2016
Bongo kuwafikia wenzetu bado sana. Wenzetu wanatumia ubunifu, maarifa, peza nyingi na juhudi. Sisi tumejawa ubinafsi, pupa ya pesa za sanaa, uzinzi na hatuna bajeti wala ujuzi wa sanaa... 😢
Japokuwa umetupanda wabongo lakini umesema kweli ndivyo tulivyo ❤❤
@ShedrackRajabu-g1c sio kuponda ndio ukweli. Kwanza wenzetu huwezi kukuta kila msanii anamiliki channel ya RUclips kama wasanii wetu Bongo. Ukifanya nao kazi bila kuwaruhusu wafungue channel zao wanasema ni unyonyaji wakati nchi za nje huwezi kukuta kila msanii anachannel
Kweli mtu movie mbili tuu ashavimba kujiona anahela alafu wengine wakishirikishwa wanajitoa kwenye makundi kutaka kutengeneza channel yake shida tupu
@@NailaMickey Tz inatia hasira sijawahi kuona. Kuna watu hawajawahi kuigiza hata siku moja na hawana vipaji vya sanaa, unawaita njooni tuigize wanakuuliza utatulipa shilingi ngapi 🙆♂️ Akija umfundishe, umrekodi, umpe usteling, nahuli, chakula na anataka kulipwa tena... WaTz ayseee
SAFI SANA
kazi nzuri
Nzuri sana dj ❤❤❤🎉
nzuri San napenda❤
@@Omankl-r5p Asante Samira 🙏🎉
Asilimia 100 yaani
Sabuni imefanya maajabu
Watsap Tu hiyo no