Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Jeshi la polisi linafanya kazi vizuri sana na mungu ni mkubwa alhaamdulilaah
Kazi nzuri kwa jeshi la polisi,Mwenyezi Mungu awalinde,Aamiin.
Yule tolu yupo wapi,,jamani jamani watanzania wenzangu, Mungu tusaidie
Kazi nzuri hongera Sana polis ivo watz tunataka polisi wafanye.je pingu walipata wapi labda Kuna po sio waadilifu
Hongera Sana kamanda
😮😮😮😮😮😮😮
Cio hao tulio waona, watanzania sio wajinga
Hawaa watuu huwaa wanakulaa nini --wao hawafii kwanii 😢😢 kweri watu wenye roho baya wanakeraaa kwakwerii😮
Wakiteka police awapatikani Wakiteka watu wengine mnawapata alaka sana
Mbona sura zilizoonekana kwenye clip siyo sura hizi?
Ndo wenyew kabis
Hata sura zao zinaonyesha ni wabaya sana wawauwe tu
Cctv ilionyesha watu wa nne hapo wapo wengi sana, pia akuna sura ata moja hapo iliyonaswa na CCTV camera polisi fanyen uchunguzi vizur
Mbona wale kuna mtu mrefu sana yupo wapi hapo
Apo ata Mmoja ktk wale walio onekana ayupo
hawa ndiyo wenyewe wanaharibu sifa ya nchi
Sio awo
Miliki wa gari ni nani?
KAZI NZURI
Hili sio chenga la macho
😂😂😂
Mbonayule alietjwa n sativa hajakamatwa hapo mumetupga na rungu la kichwa
Du
Acha hizo usivunge watu bwana.
Nimecheka mpaka machozi yanatoka😂
Tueleze na sisi tucheke, kama yanafurahisha.