3 . Motra The Future - PISI MAWENGE ( BABA AKO EP )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 209

  • @SoudyBrown
    @SoudyBrown 2 года назад +16

    😂 motra Mchokoz sana, Its a bonge la Diss track 🙌 (P Mawenge Samahani Lakini 🙏)

  • @khamisbubah9992
    @khamisbubah9992 2 года назад +18

    Safi tu , hizi Diss truck ndio zinachangamsha game 💯 Kikubwa amani tu ,🇹🇿🇹🇿💪🏾

  • @meshacksamson1008
    @meshacksamson1008 2 года назад +8

    Wenge humuwez.. ww unatumia ma2c sana, ila mwana anakupig kwa lyfe lako na rhymes zenye creative

  • @harrynzowa8911
    @harrynzowa8911 2 года назад +9

    Mawenge humuwezi mzee

  • @caljonfintz
    @caljonfintz 2 года назад +3

    😀😀😀😀pisiiiii maweeengeee

  • @RosecocoRose
    @RosecocoRose 7 дней назад

    Oyaa nilikuwa nakubali kipindi unanidhamu ila nimekudharau sanaa baada ya kuisikiliza hii distrack 😏😏
    Yaan hili bifu huliwezi achana na " "uncle p the Mc" p mawenge humuweziii msengee wewee muulize unju huyo anayejiita Niki mbishii alizikwa kwenye Futi sitaa falaa weweee😏😏😏

  • @utamutv_
    @utamutv_ 2 года назад

    Kumbe ndo kungi wa ambaruti

  • @moshiramadhan1082
    @moshiramadhan1082 2 года назад

    Chana vitu vya kweli sio hizo mbanga za kutunga

  • @zebedayojonathan2257
    @zebedayojonathan2257 2 года назад +5

    Atajibiwa tu boya huyu mziki hajui kila siku siss track atajibiwa najua haiishi siku nyie mnajua mawemge mnamsikia yule mwamba ni hiphop Real habatishi @hawa ndio marapa mizigo @fanyeni kazi mziki hausogei coz kila siku ni kuimba kitu kimoja kufuatilia wasiolufuatilia jaribu kumchana fidovato ujichanganye uchezee

    • @DOUBLE_G_DA_BST
      @DOUBLE_G_DA_BST 2 года назад

      We matako kwani ulkuw huoni tamaduni walivyokuwa wanawaandama weusi? japo weusi walkuw wanawanyamazia, sasa wamekutana na kichwa ambacho hakivungi acha wapambane alaf jamaa yupo mwenyew ila anawesa kisenge

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 года назад

    Acha shobo na mawenge bado sana mistar ya kawaida sana🙄

  • @Best_tz
    @Best_tz 2 года назад

    Diss Track noma san

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад

    Utani wa ngumi huo mwamba 🙆😄😃

  • @tandoamani1781
    @tandoamani1781 2 года назад +3

    Jipange tena mzee huuwez mziki wa mawenge

  • @Yuramantz
    @Yuramantz 2 года назад +1

    P mawenge ni hatari
    Ukwel ndio huo👋

  • @uwezoaman493
    @uwezoaman493 2 года назад

    Dogo badosana unataka kushindana na mtoto wamjini utalud jina alusha

  • @kefasonmahenga2917
    @kefasonmahenga2917 2 года назад

    umejichanganya kwa pmawenge atakacho kufanya utapotea

  • @mediatertanganyikaboy9919
    @mediatertanganyikaboy9919 Год назад

    Mwanangu humuwez mawenge battle gani hiyo ulichokiimba hakina content

  • @hassanmustapha1453
    @hassanmustapha1453 2 года назад

    🅿 kwisha.. Chali angu

  • @osiahstimah
    @osiahstimah 2 года назад

    Subir atakuua jifanye unamdiss

  • @modricrushdi733
    @modricrushdi733 2 года назад

    we kweli unamaliza luku 😂😂😂

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 2 года назад

    Uchokozi huo ngoja aje

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 2 года назад

    Sema ki ukweli yule jamaa na mawenge yake ila humuwezi bro

  • @AbToughHustle
    @AbToughHustle 2 года назад

    Naaam hii sasa vita

  • @moshiramadhan1082
    @moshiramadhan1082 2 года назад

    P humuwezi we chalii

  • @shotbyregaaTV
    @shotbyregaaTV 2 года назад

    Oioi baba ako umeua pisi mawenge

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 2 года назад +6

    Hiyo beat inatuwahi halafu lyrics are very clear.
    Word after word

  • @josemeindrady4491
    @josemeindrady4491 2 года назад +3

    Mzee umechemka, my future wife 1 pisi mawenge 0

  • @rapperpeemusic1847
    @rapperpeemusic1847 2 года назад +2

    Moto sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @samuelsingogo2423
    @samuelsingogo2423 2 года назад

    🙉 me nusubiri tena jibu toka kwa pisi

  • @bizzleadam9895
    @bizzleadam9895 2 года назад +3

    Haya P Mwenye Mawenge yakooo.....Usotulia na Shobo zako Unahamia W.E.U.S ......Kumbe Wenyew Wameshamuonya Uache S.H.O.B.O

  • @irambonaremy8062
    @irambonaremy8062 2 года назад +3

    Walah Montra na yeye anapiga za usoni 😛😛😂😂

  • @mtaanmtaancom8055
    @mtaanmtaancom8055 2 года назад

    Bado Sana ww kumdiss p hata mkiungana

  • @sahidymassoudysahidy8776
    @sahidymassoudysahidy8776 2 года назад

    Ujuw kitu

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 2 года назад

    Hamna P sio anga zako dogo

  • @musapaul3598
    @musapaul3598 2 года назад

    Mchezo huuezi ww p mawenge nomaaa mwanangu

  • @K_Doo_K_Pesa
    @K_Doo_K_Pesa 2 года назад

    Naskia Hii pisi naskia haijawahi timba chuga hata mara Moja.....

  • @isayamathias3855
    @isayamathias3855 2 года назад

    Rangi kama pasta, huko serious wew tafuta saiz yako

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 2 года назад +1

    *Tuseme ukweli P mawenge kafunikwa kwenye hii track*

  • @shaksboy3568
    @shaksboy3568 2 года назад +1

    Umetishaa sana kwenye hioo flow mtot wa baba sema mabroz fanyen mzik mnatuenspar mabifu tu kila siku so fresh mzikii uongee

  • @yulechaliimassd2555
    @yulechaliimassd2555 2 года назад +1

    Juzi alikua singo Leo hii ana mapacha!!

  • @leonardsutta5596
    @leonardsutta5596 2 года назад

    Motra kaua zaid ya P

  • @issampondomoko3981
    @issampondomoko3981 2 года назад +14

    Umeyakologa, jipange maana jamaa yuko on 🔥🔥🔥

    • @chrissjoel7752
      @chrissjoel7752 2 года назад

      😂😂😂😂😂 Wenge ni kisanga yule jamaaa

    • @khamicfund9889
      @khamicfund9889 2 года назад +2

      kwel ajipange maana mawenge sio mtu mzur

    • @shaksboy3568
      @shaksboy3568 2 года назад

      Mziki utaongeaa Nani msanii na nani piss kal

  • @meshackminja6020
    @meshackminja6020 2 года назад

    Unajua sana motra ase asi2zoee huyo pisi

  • @samwelmasssawe1767
    @samwelmasssawe1767 2 года назад

    Kidogo umejitahidi huku hahah

  • @gaudencmbawala2836
    @gaudencmbawala2836 2 года назад

    Haaaaaaaaah iz did truck raahaaaa saaaaanaaaaaa najaribu kuwatazama nyiny jamaa sijui mwisho wake nn duuuuh ngoja tuonee

  • @official_hussen_msanii6141
    @official_hussen_msanii6141 2 года назад

    Huyawezi MMALIZA LUKU 🤣🤣🤣🤣 mashairi yako bado

  • @hamisswaleh545
    @hamisswaleh545 2 года назад +1

    Saf acha gam ichangamke

  • @kiondosaimon6149
    @kiondosaimon6149 2 года назад +4

    Track imetulia mwanangu hujawahi niangusha since back to S.U.A

  • @TemuTV
    @TemuTV 2 года назад +1

    Mamae 🙌🙌🙌

  • @jamaldinfundi7782
    @jamaldinfundi7782 2 года назад

    Mmaliza luku

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 года назад

    Nakubali

  • @francisgumbo
    @francisgumbo Год назад

    Hahahah umeua snaa motraa

  • @anoldkivuyohiphopmc1957
    @anoldkivuyohiphopmc1957 2 года назад +5

    Maunyama xana man
    ,✍️✍️💯☑️💪😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥 umeua sana man

  • @baretofficial6175
    @baretofficial6175 2 года назад

    Homeboy wanyoosha watoto wa Dar wote madem zetu

  • @gaudencmbawala2836
    @gaudencmbawala2836 2 года назад

    Jaman hukumnako enda mtashikiana mapangaa huku pis mawenge kule mmaliza luku ss tunataka burudanii tuuuu

  • @willyngowi3162
    @willyngowi3162 2 года назад

    Kazi kumala🤭🤭🤭

  • @iszzknowledge5933
    @iszzknowledge5933 2 года назад

    Tafuta kazi nyingne mzikii umekukataaa chali yangu usilazimishe kipajii nigga

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 2 года назад

    Mzee hi batle kali mzee

  • @SHOWTV338
    @SHOWTV338 2 года назад +1

    Sawa baba ako

  • @athumanzenny7229
    @athumanzenny7229 2 года назад

    Ushamba huu Sasa toeni ngoma kali

  • @einsteinfromeastern2704
    @einsteinfromeastern2704 2 года назад

    Tatizo sio future sema Chaka uliloingia aliingiliki we fala

  • @MALENGWE
    @MALENGWE 2 года назад

    Ok nimeskiliza mara 5 but nimegundua moja akuna ubunifu mbili akuna raza umetaja watu nyimbo yote tatu unavyovisema avieleweki ushauli kama unataka kwenda mbali jitaidi kuandika vitu vimavyoeleweka ili uwe laisi kueleweka na watu wengi zaidi mfano mtu unaejalibu kushindana nae yuko vizuli kwenye uwandishi mpangilio wa mistali midondoko na hata akichana anaeleweka so kujifunza nijambo zuli jifunze kwa watu ambao sio uliowazoe watakufunza vizuli sana

  • @mgundarajab7371
    @mgundarajab7371 2 года назад

    Daaah kweli karudi tena na Kiki nyengine Vipi itadumu?? let's get antention

  • @moshititle148
    @moshititle148 2 года назад +1

    Hiii ni 🔥 🔥 BABAAKO

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 2 года назад +1

    Dah!!! Hili Pini limetungwa 💯😁

  • @mussaprosper8890
    @mussaprosper8890 2 года назад

    Bro umeuwashaaaaaa Nikki mwenyewe huu mziki anauhofia subiri mawe na una nyumba ya vioo

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 года назад +2

    Hii EP nzima ukiiweka kwenye mzani na ngoma mojaaa tu ya Wenge *Mmaliza Luku* hauwezi hata kunesa 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @arlymalundi9365
    @arlymalundi9365 2 года назад +2

    Baba ako🔥🔥🔥

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 2 года назад

    hahaha babaako hii umeuwa na kuzika

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 2 года назад +1

    Ujakosea broo jamaa awezi kua kidume

  • @allyjuma1288
    @allyjuma1288 2 года назад

    Hip-hop ninoma ase

  • @utamutv_
    @utamutv_ 2 года назад

    We mkali sana motra babako

  • @midwest863dr4
    @midwest863dr4 2 года назад +1

    Nakubali sana Motra

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 года назад +3

    🚮🚮🚮🚮🚮🚮 *Humuwezi Hata roboooo Wenge ni next level* 😂😂😂😂😂😂😂😂 Nakukubali ila kwa wenge kubali tu humuweziiiiii aiseee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @swahiliempire1377
    @swahiliempire1377 2 года назад

    sema P kakuzid sana bro ila poa changamshe genge

  • @kingwattanlibz9391
    @kingwattanlibz9391 2 года назад +1

    baaaado sana kwa wenge utazikwa utulie tuliii

  • @fredykelviny3692
    @fredykelviny3692 2 года назад

    Maunyama

  • @kiondosaimon6149
    @kiondosaimon6149 2 года назад +1

    Aache shobo huyo shoga p 💯💯💯

  • @mohamedrajab3100
    @mohamedrajab3100 2 года назад +3

    Shogake anaitwa Mex ana rangi kama pasta 😂😂

  • @ktmdudu1070
    @ktmdudu1070 2 года назад +1

    Hiii kambii uliyoingiaa kaka umeyakanyagaaaaa wengeee so mtuu mzuriii kwenyee michezoo ya diss track.....kamauulizee Nick mbishii.mex Cortez huyoo humuwezi maana hata atakachookiiimba hautakielewaa maana hukupanda magar ya njano..ulisomea kayumba....p.mawengeee njoooooo umuonee chalii kavutaa bangii zakee etiii anakudisiii

    • @kelvinwilfred5693
      @kelvinwilfred5693 Год назад

      TATZO NOTHING KWA HIPHOP WEW JAMAA NA WEW NDO UKUTE FUTURE WIFE AU PISI MAWENGE UNMUITA BWANA AKO

  • @shedrackelkana6108
    @shedrackelkana6108 2 года назад

    Kwan huwez kuchana bila kuwataja kina Joh

  • @juliusmussa1254
    @juliusmussa1254 2 года назад +1

    😀😀😀🙌 hip hop kwel ni diss

  • @yascoguidezanzibar
    @yascoguidezanzibar 2 года назад

    Uamdish

  • @dedsecmalis2005
    @dedsecmalis2005 2 года назад +8

    Mmaliza Luku 🔥🔥🔥

    • @geuzasilvester1715
      @geuzasilvester1715 2 года назад

      Diss track ya hovyo kuwahi tokea.subiri majibu

    • @dedsecmalis2005
      @dedsecmalis2005 2 года назад +3

      @@geuzasilvester1715 sasa hii pisi mawenge ina nini si ni idea ya my future wife, in short Motra hana maajabu yoyote hata mimi namkalisha

  • @raxtishoot5406
    @raxtishoot5406 Год назад

    N diss y ataree

  • @gregorymalogo3435
    @gregorymalogo3435 2 года назад

    Dah hii noma Sana ngoja tusubiri majibu yake

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 2 года назад

    Ngoma kalii

  • @mtundamagazine1
    @mtundamagazine1 2 года назад

    Korasi babkubwa

  • @issamcholo5755
    @issamcholo5755 2 года назад

    Baba ako

  • @donty_tv9918
    @donty_tv9918 2 года назад

    Oya ngoma Kali sema Mex atakuua

  • @isayamathias3855
    @isayamathias3855 2 года назад

    Sema naww unazingua hata kama ni hiphop angalia watu wakubatle nao, utafuliwa namistari yako yskichoko eti au Paula?

  • @danielhaule155
    @danielhaule155 2 года назад

    Katika dis zako zote. Mwanangu huu Msumari⛽🚬

  • @christophermwakibinga5809
    @christophermwakibinga5809 2 года назад

    💪 Bunduki si kampitia amebaki kukoki 🙌

  • @innocenteugen8790
    @innocenteugen8790 2 года назад

    Kawaida sana

  • @wamtei
    @wamtei 2 года назад

    😂😂😂P mbunifu

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 2 года назад +1

    Motra uwezo bado mdogo...rhymes nyepesi, flow ya kivivu alafu P sio levo yako...Nakuhurumia sana 😔

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 2 года назад +1

      Dah jamaa ile weupe ndo alipatia hii kafeli na P Mawenge kamjibu dah sijui kama atarudia😁

  • @goramatz9488
    @goramatz9488 2 года назад

    Ili beef liendelee milele😁🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @jfishhuntermbc3635
    @jfishhuntermbc3635 2 года назад

    😂😂😂ila motra msenge sana🙌

  • @itindepamba7220
    @itindepamba7220 2 года назад +5

    dah...umemkimbia Cortez 1 on 1 kisa billingual na hardcore flow...unafkir p utamweza😂😂

  • @Mo_Blaze
    @Mo_Blaze 2 года назад

    😄😄😄