@@annethgod6642 haujui kupima sauti labda, maana tangu ameweka hii anayoonekana sauti haina quality kama zile ambazo huwa haonekani, sasa kama kuonekana kunaathiri ubora wa sauti, si bora asionekane au arekebishe sauti iwe na quality na yenye kuskika vizuri
@@starjay3052huwa nawaambia wanaume wanaojifanya wababe kwa wake zao, kwamba ikiwa wewe ni mwamba, kazipige na mwanaume mwenzako, ndio tutajua kweli wewe mwamba. Lakini ukipigana na mwanamke ambaye hata hana misuli, mimi nakuona huna akili kabisa kabisa. Ni kama mwanajeshi akishambulia raia wasio na bunduki. Lazima sheria uchukue mkondo wake. Kule Marekani ukimpiga mwanamke halafu akapiga simu polisi, Palio’s wakija wanamchukua mwanaume na kumtia ndani. Natamani hii sheria ipitishwe katika nchi za kiafrica. Africa wanawake wanapigwa kupita kawaida.
15 years ni mingi sana kwa kesi ya mauaji South Africa na huyo sababu kesi ilikuwa inashinikizwa na wanawake Lakini kama isingeshinizwa basi hata mwaka asingekaa angetoka tu
South Africa ukiua auna kesi awataki hasara umelize ugari Bure waserikali wanakutoa mtamalizana wenyewe ndio mtaamua mliopoteza ndugu yenu msuke au mnyoe
Sitakuwa naangalia Video zako mpaka urudi kwenye ile staili yako ya mwanzo, tunataka sauti yako pekee na picha za matukio sio kama hivi utadhani unatangaza taarifa ya habari sauti imekuwa ndogo haina hamasa kabisa😤
Usionekane Kaka,tumia sauti,hatutaki uonekane
Kosa Kubwa Mwanamke Kuwa Na Mausiano Na Mvulana Mdogo Ambae Amejaa Nyege Za Kitoto Matokeo Yake Ndio Ayo
Justin hapo sawa kaka umefanya innovations nzuri congratulations nimekupa 100%
😂😂😂 kumbe huyu ndo justine shedy big up bro 😊😊
Dah! Kauliwa kinyama Sanaaa,masikini!😢
Ata nikupende vip siwezi fanya uyo ujinga mimi bora niumie Ila siwezi ua mtu
Nayeye uyu kijana atakuja kufa kifo kibaya...na hatachukua MDA mrefu damu ya MTU haiiendi bure📌📌
Rsyrd
Hamna lolote litalompata
Fav person ❤
Leo ndo nimekuonaa😂❤❤
Binahadamu hamna shukura hata wawafanyie wema gani yani mtu kujionyesha kosa liko wapi kwanza mimi nimefurahi kumuona nilikuwaga simjui
Miaka 19 unakuwa katili hivo heeee tuwaombee sana watoto wetu
Bora tusiwe tunakuona bwana Justine shed, imepoteza uhalisiaa😢
Labda kwako! Lkn c uckilize ujumbe na story saut ww itakusaidia nn
@@annethgod6642 haujui kupima sauti labda, maana tangu ameweka hii anayoonekana sauti haina quality kama zile ambazo huwa haonekani, sasa kama kuonekana kunaathiri ubora wa sauti, si bora asionekane au arekebishe sauti iwe na quality na yenye kuskika vizuri
Asipoonekana atapataje umaarufu, acha ajionyeshe kwasasa maana hamachelewi kumsahau
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaa wabongooo banaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Duuu! Inasikitisha Sana jamani.
Ndio maana hiyo inchi kuna mauaji sana😢
Acha uwongo mzee si ulisema gari lilipelekwa car wash😂😂😂
inawezekana waliosha nje ndani je kwenye buti n.k
Mbona hamsemi kwa jamal mustafa April wa wasafi ambaye yeye katika kila video lazima aonekane
Mhmmmmm mausiano so ndoa mpak mtu akuwekee limit ya kuwa na yeye tu utalipa kwa ubaya ulioufanya we mwanaume
Duh huyo asiponyongwa ataua wengi mbona😭
Naona leo umefny kwa utofaut 💥
Mmmm mungu wangu vijana wapole wabaya sana😢😢😢😢😢😢😢
Sio wote
We go wao ni washenzi
The first
Subhanallah. Dunia haina Amani jamani 😮😮
Daah! Nimeuzunika sana
Subhannallaah
Ogopa Sana MTU mkimya siku zote uyo kijana alikua nyoka 🐍
Mapenz ya siri ni mtihani sana, mufunge ndoa vijana.
tatizo umalaya apo sio sili mtu anaolewa na anauliwa
ata mimi nikikuoa ukinichet nikijua razima nikuuwe
@@starjay3052 na wewe ukichiti inabidi ukatwe hicho chako uone kama itapendeza. Wanaume mnakuwa wakali pale mke anapochiti wakati mnaoongoza kuchepuka ni ninyi. Kile unachopenda kufanya, usiumie mwenzako akikifanya.
@@starjay3052huwa nawaambia wanaume wanaojifanya wababe kwa wake zao, kwamba ikiwa wewe ni mwamba, kazipige na mwanaume mwenzako, ndio tutajua kweli wewe mwamba. Lakini ukipigana na mwanamke ambaye hata hana misuli, mimi nakuona huna akili kabisa kabisa. Ni kama mwanajeshi akishambulia raia wasio na bunduki. Lazima sheria uchukue mkondo wake. Kule Marekani ukimpiga mwanamke halafu akapiga simu polisi, Palio’s wakija wanamchukua mwanaume na kumtia ndani. Natamani hii sheria ipitishwe katika nchi za kiafrica. Africa wanawake wanapigwa kupita kawaida.
Mbona hata wanandoa wanauwana
Sauti yako ni tamu sana wakati uonekani...😎😎
Absolutely
Bora ata umewai kisema wewe akionekana video inakua mbaya😅😅
Ni kweli kabisa hata namm naona hvyo
Kabisaa Quality imepotea yani anaskika kwa mbal na hainanile mikogo na vionjo vyake hapa yupo serious na diresct sana kwenye story
Asipoonekana atapataje umaarufu, acha ajionyeshe kwasasa maana hamachelewi kumsahau
Kama auto jar naomba utupe kisa cha Marcellus wiliams
Merry Christmas everyone 🤗🤗🤗🤗🌲🌲
Kuna mda mahusiano nayaogopa sana 😢
Sauti imepoteza Quality
amehukumiwa kifungo kidogo kwa kuwa alikuwa mkweli tangu awali hakuisumbua mahakama huwa inakuwa hivyo hat kwa nchi zingine ni kwawaida
15 years ni mingi sana kwa kesi ya mauaji South Africa na huyo sababu kesi ilikuwa inashinikizwa na wanawake
Lakini kama isingeshinizwa basi hata mwaka asingekaa angetoka tu
Duuu😢😢
@@rukiaiddyyahaya9506 nishashuhudia Msomali kapigwa kisu kafa jamaa kakamatwa kaenda 7 days alafu kapata zamana akaachiwa
Bwana hawa siwamejiuwa wote kamuua mpenzi wake nayye kajichoma kisu wamekufa wote
watu wakimya wanayao bora mropokaji
Nimekupat ongeza nyingne tena
Daaah inaumiza
Mapenzi ya chuo ni Kama vitoroli vya supermarket
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅😅
Nimeogopa mm jmn😢
Mhh! Huyo ni shetani
Dah uyo baba ana pepo yake
NDIO KWA MALA YA KWANZA KUKUONA JUSTIN MUNGU AKUBALIKI KWA PROGRAM YAKO UKUPATA SANA KUTOKA UGIRIKI
usionekanage my broo unaaribu video 😂😂
Inasikitisha sana 😢
Dah 🤔😥
Bora tusiwe tunakuona bwana Justine shed, imepoteza uhalisia
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Justin Sheed Ni Afadhali Usingeli onekana Itakuwa Sawa Sana Zaidi
Afadhali aionekaneee tu sauti imepoteza mvuto
Kaka leo nimekuona live
Kama Mimi to 😅😅
Hapo haonekan, zipo videos anazoonekana zaid😅
Mbona sikai juu
Ooh kwa sauti yako nilidhan utakuwa mbaba mnene hivii
Detective kama Detective
Kijana ni mkatili jaman 😒😒😒yan muuwaj
Jamani bna atoto wetu wapitie Jaya yote
Sule 1
Nimekukubali
❤❤
VP saut inann
Hatimae nimekuona❤❤❤❤❤❤
Kaz nzur
Hana hata haki ya kuishi ,na yeye akitoka afe
Akitoka ndugu za marehemu watamshugulikia we subiri,
Heeee akitokaa si atauwawa
Kaka Justin yaaani kitu sijaipenda hata kdg yaaani right now naona uvivu hata kuangalia bora vile vile mwanzo inanoga 😂
Pamoja bro
Nimejifunza kitu
Allahu aqbar
Duh😢😢
Daah jaman
Huyu kaka ni uzao wa nyoka
Duuuuh,niwenzetu lkn duuuuh!
Leo nimekuona live kaka
😊"
Hawa watu wapole nihatari sana
😂 😂
South Africa ukiua auna kesi awataki hasara umelize ugari Bure waserikali wanakutoa mtamalizana wenyewe ndio mtaamua mliopoteza ndugu yenu msuke au mnyoe
We kwery
Jesus Christ!!
Nihatar
Daaah 😢😢
Lakini gari ilipelekwa. Kawoshi😂
😂😂😂😂😂😂
People remember the face not the voice
Fanya mpango usionekane
Kutokea kwenye video imefanya makala.ipoe sana
Duh
😢😢😢😢😢😢😢
Mungu wangu😭😭
Dh!hinihatri
Ukiwa unaonekana ladha hamna kabisa.hebu tusikie saut tu alafu Twende kaz
Kama gari ilipelekwa car wash dam zikatoka wapi tena
Kwani ni hadithi au ni tukio la kwer
Kweli ilitokea
Tuulizeni wasauzi hapa tuwaelezee😅
🥹💔😭 really sad
😢😢😢ooh
Damu ya mtu hainda bure
Afetu uyu kijana nimjinga kbs kimkute chochote alipo
❤❤🎉
👍👊🙏.
Bro nakushauli hii mala pili weka saut tu we haina haja kuonekana hata quality ya saut inapungua bro ludi kama zamani
Tumekuona leo tukuone siku zote.
Hatutaki kuliona sura lako

😢😢😢😢😢