Breeder Lw first gospel jam,amejaribu sana,his voice and mimicks set the pace for the whole jam,alafu hioo mmh mwisho kwa verse yake,Fayaaaaaaaaa 🤗🤗😂😂😂😂😂..Big up @Mr seed and the artistes keep praising..🙏🙏🙏
Mr.seed I know u wont disappoint me ,plz ashame the devil by holding our young talented guy .Toa kibao naye ata shetani atetemeke uko em......🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Whose still vibing to these on such sunday evening ...simply the producer did his work ,,the artsist justj did his thing then the director finalized with his camera and skill ..Ahhhh I love this 🤟
1 JOHN 2:16 For the world offers only a craving for physical pleasure, a craving for everything we see, and pride in our achievements and possessions. These are not from the Father, but are from this world.
Maaaaaadaui wa bahati......hope bahati umejifunza kitu through this collaboration....usijidai uchukukie marafiki walio kushikilia ukiinika watakutana wote wakurushie mawe na washereke your downfall ...HAO Ndio walikuinua.......so bahati najua huwezi kosa kusoma hii comment😃😃😃😃😃😃 jifunze kuishi na Watu vizuri....ulikuwa chokoraa Watu walikusupport hadi hapo...wacha madharau🤠🤠🤠🤠🤠
Uuui mungu akulinde zaidi na zaidi usiaje kijana naomba naongojea collabo na kijana uuui tuko tunapraise God kwa hou God is good all the time be blessed
Bahati 😂😂😂😂itabidi urudii kuimbaa "Mama"..juu Mr. Seed is on top 🔥 🔥 🔥... If you agree gonga like
Nkubaya wanaisraeli wamekuja na uzito
haha
Kumeharabika😂
😹😹😹😹Hujamwambia poa
Hakuna penye hao wote wanaeza fikia bahati hta wakuje hadi na ancestors...let them play dem league
Gonga like za Mr seed. From TZ tunakupenda sana mkubwa
Tunakupenda pia
Hii hapa nayo vipi wadau ruclips.net/video/oad1l6WVVyY/видео.html ikiweza subscribe tusonge pamoja 💪🤝💯
Likes Za BAZENGA DADDII zikuje💯🔥
Breeder uko kila mahali ka baze za mututho 🔥🔥🔥🔥🔥
Master umesafisha🔥🔥
Bazengaaaa.... 💥💥💥💥
This guy gat flows
Bazenga Dadiiiii 🇰🇪
Wakisheni wanangu🔥🔥🔥Shetani na mama mkwe wameduwaa... na nimeona PETER 😉😉🏺🏺
Kama umeona Peter Blessing, like hapa
😂😂😂Na mbogi ya kimnyoski
nimemwona na ajaongea
fire song Good bless u mr seed. fanya kitu na Peter blessing
From the comments Peter Blessings fan base ako nayo. The kid gonna silence them haters.
itakuuma wapi ukiimba wimbo kama hii kwa vijana ju iko na message joh...big up the whole crew mr seed
Karma ume realise wasani wa gengetone wko fiti kuimba gospel gonga like
Wah... This is not bongo music eeh... It is gospel music ... Wow ... I see that God is going to be happy and may his will be done
nimeona vuva, kartelo, na breeder LW and i just had to click man...big up wasee...genge tone guyz si wachoyo na kolabo
Nmeona peter blessings mahali 🙄🙄🙄🤸♀🤸♀🤸♀🤸♀🤸♀
Kama umewatch hii song more than twice gonga like hapo
Peter blessing yuleee kw mbal, Mr seed big up xaana good job and all the best
Ingine ikam ikam,,peter blessings ndani ndani...🔥🔥🔥🔥
Bro p blessing happy to see u seed shikilia Hukilia kijana tunakupenda bro..big up
Straight outer from Amboseli ,,,,,kama umeona Peter blessing dondosha like 👇👇👇,,,,,,,,,, Mr seed big up & be blessed
Kwa hao... I had to comment again...
These guys predicted quarantinization. If you agree gonga like.
Peter blessing ndani, hii bahati hataitoa kwa You Tube,
Mr. Seed ngoma moto 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
I love this wapi like za Mr seed, Peter blessing and katelo... Mob love.. Keep the fire burning
Amazing.......Gods doings nimeona Peter Blessing..........Mr seed support huyo kijanaa God will blesss you abundantly
Bahati kuja uone gospel true😀😀😀utaniua ni upuzi tu..wapi likes
Breeder Lw first gospel jam,amejaribu sana,his voice and mimicks set the pace for the whole jam,alafu hioo mmh mwisho kwa verse yake,Fayaaaaaaaaa 🤗🤗😂😂😂😂😂..Big up @Mr seed and the artistes keep praising..🙏🙏🙏
Mr seed keep rocking bro😍#God bless you
Next tunangoja mr.seed na mtoto wa kitaita peter blessing.Take him to the next level 💪💪💪🔥🔥
True
Kweli
Kabisa
Kabisa 💪👌💯
🔥🔥
Masterpiece uliweza jo😋
Imeweza seed continue with that spirit... Peter blessing dnt gv up
I prefer this coz it's talking about God than them singing mathogothanio zingine 🎶✋
Inakaa kali na ijatoka ii Leo tufikishie seed wetu 1million views kuendelea
I am officially your fan
Mr.seed I know u wont disappoint me ,plz ashame the devil by holding our young talented guy .Toa kibao naye ata shetani atetemeke uko em......🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
BAZENGA DADDII LAZIMA NIPIGE SALA
Verse naree bro
Between this track na ile ya bahati gani kali???? I feel hi ikona fleva. Mzuka sana
hiii
hii kali
Ben Mula don't compare this song with some silly things
@@gibsonmage3655 kabisa
Hii iko juu *100
Hii ngoma imeweza kabla ianze malikes zikam $$
Peter blessing angepewa verse kibongo kiasi.. good work though🌹🌹
Ukweli sauti yake utesa
@Mwalo ooh
Kunw huyo msee before masterpiece anakaa king kaka👌
Wow. Seeing Peter Blessings on this video I now have assurance he is in safe and better hands. God bless you Mr Seed
I like the energy! Keep it up Mr. seed ....Tunasifu kwa hao !!!!
I love how Kenyan artists support each other. Big tune🔥🔥🔥
Quarantine brought me here...tunasifu tu kwa hao🎼
Hii ngoma n kali 🔥🔥🔥 kwanzia beat hadi wasanii wametisha kinoma Congrats Guys...
Likes za king of gospel.Hajawahi tuangusha it's fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nani ako hapa juu ya peter blessing❤
Mr seed🔥🔥🔥bahati atatoka wapi askie gospel ya odi. .aache ujinga yake hapa ya taniua.....@bahati
Penye Vdj Jons Yuko najua si ni mbwwaaayaA🔥💣💥
Whose still vibing to these on such sunday evening ...simply the producer did his work ,,the artsist justj did his thing then the director finalized with his camera and skill ..Ahhhh I love this 🤟
Shikilia huyo mtoto peter blessings aeneze injili...we as your supporters appreciate this
Mr seed is the only person who sings gospel in Kenya.period
Gratitude is a must... Baraka za leo ni kubwa kuliko jana
Wow beats, alafu Wimbo manze guy imeweza mbaya💃💃
Peter Blessing ako nyumbani sasa.👏👏👏👏 Tuko waiting mode..
1 JOHN 2:16 For the world offers only a craving for physical pleasure, a craving for everything we see, and pride in our achievements and possessions. These are not from the Father, but are from this world.
Peter blessings pia yeye ako kwa hao❤️💥💥
Master huwezi mpata na shashhhhhh.....taniua vitu gani kitu n kwa hao
piga like ukiwa kwa hao....masterpiece izo mistari bana kaliii ...
Nimetoka kirerembe na huko ni kelele tu wacha nisifu tu God kwa hao...you are going far Mr.seed
Ziendelee ku come thru .... Genge ya Church ......
Maaad respekt .....
REPIN'' 34 gang 💯💯💯
VuVa boy .....church mate
Mtoto wa mama bado ako dogo....Mr seed always on point
🔥🔥🔥🔥🔥wauh mr seed gogo na peterblessing God is opening doors for him🙏🙏
Peter welkam home boy God is taking u far🙏🙏mr seed blessings follow u nd devidwonder
🔥🔥 Mr seed mshike Peter blessing msimuache
This is what we call collaboration, kila mtu kwa hii song amekill........ Kama wakubali nipe like. Job well done
On 🔥 I like this, go far Mr seed in Jesus name
Ehe this is wat we call gospel..seed continue singing 4 God never change ur call bcz of Fame pls
Hit after hit, thumbs up, you going far, a door opened by God must shine
The guy before Masterpiece anakaa King Kaka hata na sauti,,,,ama ni zangu,,,,
Hii ngoma iko na ma gengetone artists but at least iko na a Spiritual message 😻‼🔥🔥 bahati itabidi jooh u rise up to your game😂😂😂
NYC one seed God azidi kukuinua next plz fanya na Peter blessing 🤣🤣🤣🤣🤣🤣bahati ajinyonge na kamba ya viatu
i see what you did there mr seed.. Blessings ..bless me bless me
Gonga like kama unatambua Mr seed is going far Kali joh #love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Blessings shower then Peter blessing boom🖐 tunasifu kwa hao..
Mr seed is keeping it real love ur energy guys hii mmewezaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘
mr seeed congrats unaenda far
Bahati utabia nni dayana 😂am happy to see Peter blessed
Mr SEED is so talented yet quite underrated! This is HUUUUGE!!! may God elevate you to heights you couldn't have imagined. Good one!!!
Peter blessings rep...awwool star born empire izidi Ku pull up
Mr Seed ft Peter Blessing would be a banger too
Io introduction ni kali 🔥
Aishhhhhhhhhhhhhhhh Nani amekubali hi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hiu ngoma imeweza mbaya. Im happy to see PB on screen
This is fire ,, the message is clear , wait!! Did I see Peter blessing there ama ni Mimi naona zangu,,, seed may God lead to guide that young Peter
Hii ni mbaya 💥💥
Maaaaaadaui wa bahati......hope bahati umejifunza kitu through this collaboration....usijidai uchukukie marafiki walio kushikilia ukiinika watakutana wote wakurushie mawe na washereke your downfall ...HAO Ndio walikuinua.......so bahati najua huwezi kosa kusoma hii comment😃😃😃😃😃😃 jifunze kuishi na Watu vizuri....ulikuwa chokoraa Watu walikusupport hadi hapo...wacha madharau🤠🤠🤠🤠🤠
Downfall ngani ya Bahati??? Si a sign musician mmoja akuwe famous tumtambue awache kuchukua left overs za emb
Downfall nilikuwa nasema ni hio kufunga EMB na bado tutaona zingine nikicome 😂😂😂😂😂😂😂😂Who is God...Mr seed God bless you and your family
Uuui mungu akulinde zaidi na zaidi usiaje kijana naomba naongojea collabo na kijana uuui tuko tunapraise God kwa hou God is good all the time be blessed
Manze nyi wote mmewezesha mbayaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wana israeli ndio hawa wamekuja na ubayaaaa😍🔥🔥 issa big tune my bros.💪🎶
Mr Seed hiii nayo ni Genjeeee🤩🤩🤩
Woow!! More 🔥 🔥 🔥 mbegu inatambaa kutamba... Happy to see Peter blessing I know there's something in the kitchen.... KUDOS SEED
Mr seed endeleeni hivo hivo!! Big up starborn🔥🔥
Nani ame furahi kumwona Peter blessing 💖💖💖💖
Nipe like
Wonderful song may the almighty bless u abundantly
nice song Mr seed # kwahao
Moja safiiiii 🔥🔥 #PeterBlessing pia anasifu #KwaHao... 💪😎
I am loving it here...🔥🔥🔥🔥🔥🤗
Loving this tune..
Mr seed more blessings
Hi ni mbaya sana 🔥#hao gospel to the world
I told someone Mr seed a naenda far akazusha Sai amenitumia link ya hii and she was like 'this dude is a 🌟' your going far Mr mbegu
Mbegu lazima imee Tena Sana 💪
Hahaha
Breeder is really working hard hii 2020. Good content in every context
Am I seeing Peter blessing ama kama ni yeye mnipe like
Hii message na gospel ni kama maji na mafuta, declare your stand Mr seed....