Zamani Marquis ndio ilikua bendi ya mabosi watoto wazuri wa jiji wote unawakuta huku. Hawa walikuwa wanaporomosha muziki tulikuwa hatujui tutafikia miaka ya 2024. Dah tumetoka mbali
Marehemu Siddy Morris alikuwa na kipaji cha pekee kwenye upigaji wa tumba.. Nafurahi kwamba nilipata bahati ya kuhudhuria na kumuona live akizipiga tumba wakati yupo Mk Group..
Sasa, Marquis ilikua sawa na hi sawa mpaka waleo. Je, wakati huo wote wa misic yao bora, Chinyama Chianza alikua wapii ? Nile jibu bwana Dekula Kahanga na yoyote abae anaweza kujibu. Mimi ni mfuazi mkubwa wa Marquis : Muthemba
Zamani Marquis ndio ilikua bendi ya mabosi watoto wazuri wa jiji wote unawakuta huku. Hawa walikuwa wanaporomosha muziki tulikuwa hatujui tutafikia miaka ya 2024. Dah tumetoka mbali
Yaani hizi nyimbo hazichuji tumeanza kusikiliza tukiwa wadogo mpaka sasa watu wazima na tuko kwenywe nchi za watu,,lakini bado unapenda kusikiliza.
Wimbo huu unyoanza unafanana wimbo wa TP OK JAZZ unaitwa dia au ayant driot
Marehemu Siddy Morris alikuwa na kipaji cha pekee kwenye upigaji wa tumba.. Nafurahi kwamba nilipata bahati ya kuhudhuria na kumuona live akizipiga tumba wakati yupo Mk Group..
super congas
Haitakaa imalize utamu hii ngoma
😊😊😊the 😊 0:46
Y
U
7 could vav 1:15
6
yani hapa ujumbe uliotulia na niukweli mtupu, mziki umetulia umepangwa na kupangika
Dekula mimi naomba uniambie nani amepiga Tumba? maana zimetulia sana hongera kazi nzuri
Marehemu Siddy Morris a.k.a Super Conga.. jamaa alikuwa anapiga tumba sana.. hana mfano..
Yap safi sana
siddy Morris r. I. p my friend.
Cool music, nostalgic
Muzik wa ukweli na mziki wa uongo bora nini
solo kapiga nani?naomba jibu
Nguza Viking
Sasa, Marquis ilikua sawa na hi sawa mpaka waleo. Je, wakati huo wote wa misic yao bora, Chinyama Chianza alikua wapii ? Nile jibu bwana Dekula Kahanga na yoyote abae anaweza kujibu. Mimi ni mfuazi mkubwa wa Marquis : Muthemba
Chinyama chiyanza alikuwa na maquiz tangu imekuja Tanzania mwanzoni mwa 1972 hadi amefariki 1984 huu wimbo umerekodiwa studio za RTD mwaka1982
Jamani sisi tukumbukane dar nakumbu saksafoni la mafumo