Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mzee King Kikii Nguza karudi uraiani. Mjiunge naye wafundisheni vijana mtuachie urithi huu mkubwa.
Hunikumbusha mbali mno
Nimesikia kikii ni mgonjwa, hakika hii sauti nadra sana kuisikia
Nguza viking upo wapi mtaalam rudi kwenye gita nakumbuka Maggie nataka niliee liaaa we Acha tu
Za kale hazichuji nakula maggea maquiz du zaire
Mashaka chowo Ngoma kama hizi zitaishi vzazi hadi vizazi, Nyimbo zenye kukumbusha mambo mengi yaliyopita.