@@frimatuslupimo2031Ahsante kwa suala linalohitaji tafakuri. TAFAKURI YA MUQADDIMAH 1) Kujua lengo la Watanganyika walioishi Zanzibar na kuunda Chama Chao Cha WAHAMIAJI na pia kujiita WAFRIKA kabla ya Afro-Shirazi Party kuundwa. 2) Kujua kwa nini Nyerere baada ya kuunda Tanganyika African National Union (TANU) aliunda Afro-Shirazi Party. 3) Kujua lengo la Afro-Shirazi baada ya Uhuru wa Zanzibar. 4) Kabla Uhuru wa Tanganyika Nyerere alisema anataka kuiburura Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi. Na baada ya Muungano kaiburura Dodoma. 5) Mapinduzi yaliandaliwa kwa Siri kubwa Tanganyika na ombi la Nyerere kukhusu Muungano ilikuwa Siri na Karume. Wote hawakuzaliwa Zanzibar. 6) Sababu za ukweli za kufanya Mapinduzi zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa. 7) Sababu za ukweli za kufanya Muungano zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa. 8) Baada Muungano taarekhe ya Zanzibar na Tanganyika hazisomeshwi. Inapotoshwa na wengine kupotosheka. Baada ya Dibaji hiyo nitakujibu kwa ufupi kifungu kwa kifungu. KAA CHONJO
SI ndio maana lukuvi akasema watanganyika hawawezi Kuiacha Zanzibar, sababu Ina waislam 99% kumbe Nyerere,alikua ana agenda ya ukiristo, ndio maana anatakiwa apewe utakatifu, awe Saint Nyerere, kwa kazi nzuri alioifanyia kanisa katoliki,tusilishane matango pori!
MUUNGANO NA UKATOLIKI✝️ @Zainabnoor0087-ze UKWELI MTUPU.Sababu za Mapinduzi na Muungano ni PROPAGANDA TUPU zinasomeshwa✝️ Utawala wa Nyerere kwa faida Kanisa lake na Washauri wake kuanzia Skuli ya Msingi mpaka Ikulu Tanganyika na Zanzibar.
Hakuna mfale wakudumu alie uwaa 2020 ashaondoka na na mojaa laanaa za allha zimfikie sas ivi haon
Baada ya Rais Nyerere kupeleka jeshi lake Zanzibar, alimlazimisha na kumtisha Rais Abeid Karume kukubali Muungano ingawa wote hawakuzaliwa Zanzibar.
Alimtishaje? Unaweza kuweka evidence?
@@frimatuslupimo2031Ahsante kwa suala linalohitaji tafakuri.
TAFAKURI YA MUQADDIMAH
1) Kujua lengo la Watanganyika walioishi Zanzibar na kuunda Chama Chao Cha WAHAMIAJI na pia kujiita WAFRIKA kabla ya Afro-Shirazi Party kuundwa.
2) Kujua kwa nini Nyerere baada ya kuunda Tanganyika
African National Union (TANU) aliunda Afro-Shirazi Party.
3) Kujua lengo la Afro-Shirazi baada ya Uhuru wa Zanzibar.
4) Kabla Uhuru wa Tanganyika Nyerere alisema anataka kuiburura Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi. Na baada ya Muungano kaiburura Dodoma.
5) Mapinduzi yaliandaliwa kwa Siri kubwa Tanganyika na ombi la Nyerere kukhusu Muungano
ilikuwa Siri na Karume. Wote hawakuzaliwa Zanzibar.
6) Sababu za ukweli za kufanya Mapinduzi zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa.
7) Sababu za ukweli za kufanya Muungano zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa.
8) Baada Muungano taarekhe ya Zanzibar na Tanganyika hazisomeshwi. Inapotoshwa na wengine kupotosheka.
Baada ya Dibaji hiyo nitakujibu kwa ufupi kifungu kwa kifungu.
KAA CHONJO
👊✌👍.
Karume,katuunganisha,na,majambazi
Siasa mchezo mchafu Tuishi tu kwa kupendana hamna namna majirani zetu wa Pwani 😅😅
Munanaona raha sio lakin ipo siku kitawageukia kibano
We liongo
Kama yeye kaongopa, wewe ukweli unao?
Ukweli unauma ndugu yangu utake usitake
Ukweli upo wapi??
SI ndio maana lukuvi akasema watanganyika hawawezi Kuiacha Zanzibar, sababu Ina waislam 99% kumbe Nyerere,alikua ana agenda ya ukiristo, ndio maana anatakiwa apewe utakatifu, awe Saint Nyerere, kwa kazi nzuri alioifanyia kanisa katoliki,tusilishane matango pori!
MUUNGANO NA UKATOLIKI✝️
@Zainabnoor0087-ze UKWELI MTUPU.Sababu za Mapinduzi na Muungano ni PROPAGANDA TUPU zinasomeshwa✝️
Utawala wa Nyerere kwa faida Kanisa lake na Washauri wake kuanzia Skuli ya Msingi mpaka Ikulu Tanganyika na Zanzibar.