UGONJWA WA MINYOO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 304

  • @sammywanjama5605
    @sammywanjama5605 2 года назад +13

    I realy like the way clam says,,Naenda nyumbaniii,,kenya tuko ndani,,watching from dubai..

  • @hbsolo5579
    @hbsolo5579 2 года назад +20

    Leo umenichekesha vibaya nimeumia mbavu na kukohoa na pumaliwa..Best comedy for me..Big up from 🇰🇪

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 года назад +27

    Mume waaaanguuu usikuneee🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣😭😭 comedy nzur mno!!

  • @hopechoirtwinfallsidaho3760
    @hopechoirtwinfallsidaho3760 2 года назад +17

    😂😂😂😂🤣🤣🤣💯👍yani mna chekesha kubisa , mwaka huu wachekeshaji wame kua wengi tuna shukulu Stress zita pungua

  • @yasinthagonde2066
    @yasinthagonde2066 2 года назад +8

    Hiyo cmu imepona kweli maana umeachia kama mzigo🤣👏👏👏kweli unauhalisia

  • @mbirizenamugungusebastien7178
    @mbirizenamugungusebastien7178 Год назад +1

    Kramu nakupenda sana Nauru Dada mwagju manapendakasana kazizake kwe iyo Bamba nambazake ilituzungu muzenaye mimi ni mucongo toka uvira

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +3

    Mmmewanguuu usikunee mbele ya baba utaniaibisha n akashapeleka mkono kitambo yaa ncheka mpka bc😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abadjoamania3
    @abadjoamania3 Год назад +6

    Clam wewe ni fire 🔥🔥🔥kiboko kabisa😅😅😅😅😅

  • @AmosKubela
    @AmosKubela 2 месяца назад +1

    Me takuwa wa mwisho nipen like zangu

  • @adamuipingika8468
    @adamuipingika8468 2 года назад +2

    Huyo dad mbon mzuri hivooo

  • @ibrahhhsupamabra
    @ibrahhhsupamabra Год назад +4

    Hiyo geng ynu ni kiboko aisee big up men

  • @mohamedwako2425
    @mohamedwako2425 2 года назад +17

    Nitaacha comment yangu hapa mlike nikam niwatch nikipata notification😂😂😂

  • @Josephinejosephine-gc1fk
    @Josephinejosephine-gc1fk Год назад +2

    😂😂😂😂😂mume wangu usikune mvele ya bba 😢😢😢😢😢aibu bba mkwe aaaaaah😂😂😂

  • @fathiyaanwar4535
    @fathiyaanwar4535 2 года назад +2

    We mtotò una balaa kweli.

  • @fellybrowntz177
    @fellybrowntz177 2 года назад +10

    😂😂😂😂 WE JAMAA UNAJUWA KINOMA MUCH BLESSED

  • @estelinapetro6526
    @estelinapetro6526 2 года назад +2

    Hahahahha😆😆😆🤣🤣make hap kwanz mume Wang uckune uckune

  • @WemaJames-ye1qy
    @WemaJames-ye1qy 9 месяцев назад +2

    Nilitaka nisicheke na sicheki😂😂😂😂😂😂 jmn clam

  • @ElizabethPrince-g2c
    @ElizabethPrince-g2c 9 месяцев назад

    Yann ii muvi nimecheka mpaka bac❤❤❤❤❤

  • @willymzawa9183
    @willymzawa9183 2 года назад

    Clam wee noma mzeee yani katika waigizaj wa kuchekesh we namb moj

  • @odilofaraja924
    @odilofaraja924 2 года назад +13

    🤣🤣🤣🤣 comedy zako pekee ndio zinanimalizia boundle langu🤣🤣🤣🤣😃

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 2 года назад +5

    Udakuja kuwuponza haaa pol🤣🤣🤣🙏🙏🙏🇧🇮

  • @aminambwana5294
    @aminambwana5294 Год назад

    🤣🤣🤣🤣😂☺️ salute nyie wakaka jamani aiiii, nimecheka hadi nimejisahau kama nipo kazi Allah

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 2 года назад +12

    "Polisi wajikuna makalio." ALAA! ALAA!

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 Год назад

    Sijapenda meakatobe anavyocheka cheka kuwen seriously nyie wachawi!

  • @poposunitha5283
    @poposunitha5283 2 года назад +7

    Mna hatari 😂😂😂mwataka nijikojolee na niko kibaruani

  • @denniskibet9303
    @denniskibet9303 2 года назад +5

    nime pk up sana .Kali 🔥

  • @HirdaKahimbi
    @HirdaKahimbi 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂we kim ww😂😂😂et ujauponzaa kwel😅😅😅😅

  • @shantelndunge
    @shantelndunge Год назад

    Hahaa Leo umefuraisha saana...ni Shantel toka kenya

  • @Mrklifapp
    @Mrklifapp Год назад

    Unajua xaaaaaaana br0o. Nmechek mn0o

  • @jonathanseraphin1674
    @jonathanseraphin1674 7 месяцев назад

    clamu una tutowaka stress sana chapa kazi bb

  • @Heissaedy1
    @Heissaedy1 2 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bro umenifuraisha aujawai kunifuraisha

  • @bullettruck5058
    @bullettruck5058 2 года назад

    Hiv clam hilo tako halijatok ngoz 😂😂huyo baba mwenyew

  • @ShalifaKilabula
    @ShalifaKilabula Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂jamn nimecheka kamachiz walah

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Год назад

    Eti unakwangua vocha jomon nimecheka mm iclamu jomon mtanitia uchiz mm 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @pendomkwere574
    @pendomkwere574 Год назад

    aki nimecheka kifalabclam upo vizuri

  • @Menino938
    @Menino938 2 года назад +6

    Sjawah kucheka vdeo yako hata moja broo ispokuwa hiii nimecheka sanaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 big fan broo big fan nakukubali sanaaaaaa.. alaaaaa alaaaaa

  • @assumanichristian9954
    @assumanichristian9954 Год назад

    Nice..watching from Zambia

  • @marthajohn6532
    @marthajohn6532 Год назад +1

    Daah stress Kwisha Kule ni kucheka tu

  • @RusahnaBarakah
    @RusahnaBarakah 8 месяцев назад

    Jamani me nampenda shado mwenzenu

  • @MerrySaidi-gu6so
    @MerrySaidi-gu6so Год назад

    Leo msambaa kapendeza jamn Kawa doctor

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 2 года назад

    Hahahahahqhahhahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣broooo nimecheka Kwa sauti kubwa sana,hiii ishawahi nitokea nikiwa nasoma matangazo kanisani daaaah

    • @ymusic1299
      @ymusic1299 2 года назад +1

      😅😅😅😅

    • @juliusjoseph4889
      @juliusjoseph4889 2 года назад

      Hahahha,daaah nilishindwa kuvumilia nikapitisha mkono ndani ya mtaroo🤣🤣🤣🤣nyuma yangu alikuwapo Baba paroko ambaye nlipomtupia jicho alikuwa anacheka ty

    • @thuwaybah5679
      @thuwaybah5679 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 2 года назад +13

    "Mara moja ya mwisho."

  • @elizabethsanga8123
    @elizabethsanga8123 2 года назад +5

    Nimechela kama Mweu 😅😅😂

  • @princewamwami8763
    @princewamwami8763 Год назад

    Iyi comédie Noma mshikaji wangu tunaipenda

  • @Estheur
    @Estheur 6 месяцев назад

    Njamani nakufa nakutchka😂😂😂😂😂

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 Год назад

    Mwakatobe na mkuu wako mnatumia mda mwingi kucheka sio vizur rekebishen hapo

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 Год назад

    Ati usikune mbele ya Baba 😂😂, pumbafu sana🖐️

  • @KulluthumMussa-lt4er
    @KulluthumMussa-lt4er Год назад

    Yaan nimejua kucheka wallah

  • @GODFREYJoseph-wz6rh
    @GODFREYJoseph-wz6rh 7 месяцев назад

    Too much respect my bro vevo

  • @marrialmary3510
    @marrialmary3510 2 года назад +6

    Clam utakujja kuniuwa siku moja🤣🤣🤣🤣

  • @اااا-ج9ع9ط
    @اااا-ج9ع9ط Год назад +1

    Nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂😂clam ww

  • @blacktiger0014
    @blacktiger0014 2 года назад +2

    We jamaa chz kwl😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣

  • @khairatsinan7308
    @khairatsinan7308 2 года назад +2

    Hahhh😂 to much umejua kunifrahisha we mkaka 😂😂😂

  • @Eshaomari
    @Eshaomari 7 месяцев назад

    Jsmani clam ww kiboko yani nimecheka mpaka numwa na mbavu😅😅😅

  • @frankstakus9527
    @frankstakus9527 Год назад +1

    Police mkuna kalio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HappyRajab-wm3eq
    @HappyRajab-wm3eq Год назад

    Nampenda sana clam wangu jamani

  • @KIB-JSANLEY
    @KIB-JSANLEY Год назад

    😂😂😂ivi njo nachekanga paka chozi linatoka😂😂😂

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 8 месяцев назад

    🤣🤣🤣🤣kim kanichekesha eti Shem hauja uponza kweli😂😂

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani ww unachekesha sana napenda comey zako sana

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 года назад +1

    Police mkuna makalio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂clam huna baya mwanangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 года назад +2

    Wallahi nimecheka hadi waarabu wakanisikia hahahahaha

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 police mkuna kalio 😂

  • @nishimwecynthia3607
    @nishimwecynthia3607 Год назад

    Wallah mutanifany ni kufe nacheko clam unachekesh san wew 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AnithaAyingeneye
    @AnithaAyingeneye Месяц назад

    Mbavu nzangu mimi😂😂😂

  • @rehema8094
    @rehema8094 Год назад

    nimecheka mpaka mkoja waaaa haki nyinyi mwanifrahisha kweljj🤣🤣🤣🤣🤣

  • @beatricekanyasa3044
    @beatricekanyasa3044 2 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 queen wa nyoko 🤣🤣🤣

  • @alqaismwambala4629
    @alqaismwambala4629 2 года назад +1

    Clam usikune mbele y mkwe

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 года назад

    Ila clam banaaaa.....libarikiwe tumbo lililokuzaa

  • @RamadhanKijazi-kr3cc
    @RamadhanKijazi-kr3cc Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 samtaim muwe mnatuma hatahela zakula maana kicheko mpaka njaa zinauma

  • @WemaJames-ye1qy
    @WemaJames-ye1qy 9 месяцев назад

    Na mastress nmedhulumiwa uwanja nmejikut nmesahau 😢😢😢😂😂😂😂

  • @chafichahamejuma8910
    @chafichahamejuma8910 Год назад

    Sogea uku nikusaidie kukuna😂😂😂

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alaaa atimai kakuna mbele ya baba mkwe🤣🤣🤣

  • @MaryMachuki
    @MaryMachuki Год назад

    Clam unaniua ak😅😅😅😅😅

  • @shirasharm7083
    @shirasharm7083 2 года назад

    Clam wew una akil akil zak unazijua mwenyew

  • @Iamnia871
    @Iamnia871 Год назад

    Clam utaniua mbavu mie 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @puritypili344
    @puritypili344 Год назад +1

    Aki wewe Clam😂😂😂nimecheka yangu yote

  • @dj254michalazomix9
    @dj254michalazomix9 Год назад

    😂😂Hiii nayo apna minyoo kwani N Gani izo

  • @cynthiamabitsi8291
    @cynthiamabitsi8291 Год назад

    Aki clam wewe unachekesha😂😂😂😂mbavu zangu

  • @carolineRivera2198
    @carolineRivera2198 Год назад

    😂😂😂police mkuna makalio😂😂😂

  • @gabrielndungu9122
    @gabrielndungu9122 Год назад +1

    Kwani uyo ugonjwa gani kweli

  • @LionHaron
    @LionHaron Месяц назад

    Leo umenivuja bavu rafiki yangu

  • @shontaonlinetv3986
    @shontaonlinetv3986 2 года назад +1

    Ww chizi unafanya mke wng anacheka ovyo ww kichaa🤣🤣🤣

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 2 года назад +1

    Clam nakupend kabisa

  • @JoharyYusuph-l6s
    @JoharyYusuph-l6s Год назад

    Jamani nimecheka😅😅😅😅😅

  • @izzodampa1205
    @izzodampa1205 2 года назад

    Bujumbura like zang km mnamkubali Clam vp tumualik huk buja?

  • @AnastaziaLouis-rs6cy
    @AnastaziaLouis-rs6cy Год назад

    😂😂 nimecheka kweli

  • @Muck_tz
    @Muck_tz 9 месяцев назад

    Mwanangu unatuumiza mbavu kwa kucheka

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 Год назад

    Polis mkuna kalio🤣🤣🤣🤣

  • @mrsongpaulo2503
    @mrsongpaulo2503 2 года назад +5

    Nice bom papo Amigo

  • @arimtekerdivalwamadush7517
    @arimtekerdivalwamadush7517 9 месяцев назад

    Hapo kwa baba mkwe angefaa kicheche😂

  • @khadijasalimu2173
    @khadijasalimu2173 2 года назад

    Yan me hapo mbele ya bamkwe mechka kweli had nmemwamsha baba chanja

  • @SirajiJafari
    @SirajiJafari 4 месяца назад

    Yaan nimecheka Kwa sauti alafu ni usiku

  • @jeskajoseph6745
    @jeskajoseph6745 2 года назад +1

    Nimecheka sana Leo

  • @danielndunga5049
    @danielndunga5049 Год назад +1

    Nampenda sana Kim

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 года назад +1

    Fanya comedy ya kuwafundisha vizazi vijavyo vizuri sasa wewe unataka kuwafundisha usenge na ushoga watoto kama wewe shoga mkubwa ww🇹🇿🇬🇷

  • @Saumsaid-d1x
    @Saumsaid-d1x 24 дня назад

    😂😂😂😂😂 ila clam wew umezidi kutufraisha

  • @sultanngaugia3336
    @sultanngaugia3336 2 года назад

    Viwanja mbagara kongowe mramreni barabara kuu inayo pita bajaji bei raki nane wahi fursa

  • @benjaminnditi8345
    @benjaminnditi8345 2 года назад

    Hiyo yako noma tu sana mansee

  • @RachelAmani-vn9hs
    @RachelAmani-vn9hs 9 месяцев назад

    Polisi mkuna kalio😅😅😅😅

  • @Hatibunganda-kj7hr
    @Hatibunganda-kj7hr Год назад

    Umetisha