asalaam alykum tunashkuru kwa elimu jitahidi kuenda straight kwenye point ushehereshaji unakuwa mwingi sana tuna muda mchache sana wa kukaa mitandaoni .. mtanisamehe kama nimekosoa kwa namna isiyo nzuri
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh Allah akulipe kila la Henri sheikh wetu mpedwa kwakutupa elimu ya hali ya dju Nimefaidika Nikiwa katika Ichi ya Burundi.
Mungu akuinuwe zaudi mungu afanye moyowako imaniyako na matarajiyo yako mungu ayapoke kwahurumayake akufanye kuwa mtu mkubwa katika diniyake alla kama wajawake yasije kufutika matendoyake mema apa duniani mpka utakapo fikia umri waduniakwasha kwakuishi viumbe na uyapandishe memayake mbinguni kwa upendowako alla nami katika mojawao katika Wahoo mtakia her I apa duniani na ahead pia amin
masha Allah izo aya zikisomwa nikawa nazisikia yani najihisi kama niko ulimwengu mwengine na najisika raha sanaaa ila sheik hakuna binaadamu alie kamilika kisomo ni sahihi ila matajo ya aya ya kwanza kabisa umesema aya ya 244 bali sio iyo ila ni aya ya 246
As salam alaikum warahmatu lahi wabarakatu nakuombeni mni julisheni sura ya tanu siisikii ipasavyo sheikh ni A rad au ni A ran? Kwasababu zingine nne nimezisikia na nihizi zifwatazo: Al Baqara ayat ya 244; Al imran ayat ya 181; Nnisa’ ayat ya 77 na Maaida ayat ya 27 ya mwisho ndio sijaisikia vizuri.
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
asalaam alykum tunashkuru kwa elimu jitahidi kuenda straight kwenye point ushehereshaji unakuwa mwingi sana tuna muda mchache sana wa kukaa mitandaoni .. mtanisamehe kama nimekosoa kwa namna isiyo nzuri
Naamu sheikh nashkr sn wallah allah akuifadh maana tunasubiri raundi yapili
Watu wengi tunashindwa kubaki katika darsa yako sheikh kwasabab unatoa maelezo marefu
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh Allah akulipe kila la Henri sheikh wetu mpedwa kwakutupa elimu ya hali ya dju Nimefaidika Nikiwa katika Ichi ya Burundi.
Mashaallaah, Allah akulinde shekhe wetu pia akuhfadhi, akunyanyue darjah inshallah,
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akujaalie umri.mlefu wenye kher na Baraka na akukinge na husda za watu Aamiin
Mungu akuinuwe zaudi mungu afanye moyowako imaniyako na matarajiyo yako mungu ayapoke kwahurumayake akufanye kuwa mtu mkubwa katika diniyake alla kama wajawake yasije kufutika matendoyake mema apa duniani mpka utakapo fikia umri waduniakwasha kwakuishi viumbe na uyapandishe memayake mbinguni kwa upendowako alla nami katika mojawao katika Wahoo mtakia her I apa duniani na ahead pia amin
Masha Allah Google Bahr, Allah akulipe kila la kheri, ningelikua niko tz ningekua naja kutafuta elmu kwako mwamba wa miambani
Shukran jidha shk yussuf diwani mungu akuzidishiye elimu na umri mrefu uzidi kutufuza
Allah(s.w)Akupe kheri za darayni.
Allah atupe elimu Ino manufaa na kuifanyia kazi
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Maa sha Allah shukran sheikh wangu Allah akupe umri mrefu nafaidika sana kwa darsa zako
Mashallah
allah allah allah ah sant shkh
MashaAllah Allah awabarik wot Kwa elim mnayotupatia
Mashalwah
Alhamdulillah jazakummullaahu Khadr Allah sniper Lola Keri ya dynamo n.a. Algeria naumrimrefu
Allah tula umrak
Naomba kujuwa muendelezo Wa Napa ulipo ishiya Ni nyakati gani za kusoma hii duwa
Masha Allah jambo la kheri
Alihamdhulilah
Vijana naona mmeiva kwenye balagha. Mnakitafuna vizuuuri kiswahili
Kila la heri kwa elimu kubwa yenye manufaa katika Siri za Quran
Asalam aleykum sheh
Darasa zenu nzur lkn mbona mnahama darasa moja mpaka jingine kabla ya kumaliza LA mwanzo
A.a jameni punguzeni sifa nyingi nyingi zinaweza tia watu kwenye kibri.
Zinawatiaje hebu tufahamishe hapa
Vidio unaifanya kuwa ndefu shekh ....
masha Allah izo aya zikisomwa nikawa nazisikia yani najihisi kama niko ulimwengu mwengine na najisika raha sanaaa ila sheik hakuna binaadamu alie kamilika kisomo ni sahihi ila matajo ya aya ya kwanza kabisa umesema aya ya 244 bali sio iyo ila ni aya ya 246
Mungu akulipe kheir kaka kwa kusahihisha
ولا تذظلمون فتيلًا .اي لام اليف با فتحتين يعني تم با اللام الأليف مع فتحتين...و ليس با السكنة. لو سمحت
As salam alaikum warahmatu lahi wabarakatu nakuombeni mni julisheni sura ya tanu siisikii ipasavyo sheikh ni A rad au ni A ran? Kwasababu zingine nne nimezisikia na nihizi zifwatazo: Al Baqara ayat ya 244; Al imran ayat ya 181; Nnisa’ ayat ya 77 na Maaida ayat ya 27 ya mwisho ndio sijaisikia vizuri.
Suuratur ra'ad
Aya ya 16 Surat raad
Sheikh hapa umekosea sio aya ya 144 ni 146 samahan kwa kusahihisha
Ni ayya ya 246,suratul baqara☺️
Mbona "Ainiii" zimekua nyingi mnooooo
Unaelew?
Walio fata maelekezo watuletee majibu
Al bakara aya ya 246 marekebisho hapo
246