TAKA SAFI EP2: Parents Introduction
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Thank you so much for all your support. Please click to subscribe to my channel: bit.ly/NJUGUSH and turn on notifications to find out when I upload new videos.
Connect with me Online:
Follow on INSTAGRAM: bit.ly/blessedn...
Like on FACEBOOK: bit.ly/Njugush
Follow on TWITTER: bit.ly/BlessedN...
#Njugush #NjugushComedy
Like father,like mother,like son, like whole family 🤣🤣🤣likeeeee extended family 😂
Like Whole Generation 😅😅😅
@@lizlefic910 Like whole country
Like whole continent 😅😅😂
Like whole universe
😂😂😂😂 nailed it
A true definition of "an apple does not fall far from the tree" 😂😂
Hii festive season tumeshinda tuki rewatch taka safi with my siblings 😂😂😂 and it's funny with every watch. Njugush we need more episodes bana 😂😂
Njugush parents are true legends of the kenyan acting industry
Nothing bt respect to them🙇
Kutoka wakati wa kbc pale vioja mahakamani
Usisahau huyu mzee babake Jungush ali act kipindi ingine kwa kbc inaitwa HILA , he is a real actor 😂😂😂😂
B@@janeatjaneat6599pia njoro Wa huba
Kabisa
The mother 😂😂😂😂😂..Perfect combi this one 😂😂😂😂! She understood the assignment!
"ni yako ama ni ya kuachiwa" 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Thank God Njugush si wetu,hii jamaa inaeza maliza familia yetu na stress😅😅😅
Aki njugush ungejua vle nakupenda na familia yako wallae,,mungu ndo anajua,,,mtu anaeza sub more thn wans coz hio upendo aki❤️❤️❤️
Wow❤❤❤
Hio sub ingine fika kwangu please 🎉🎉🎉
It is how baba Njugush concentrates through the whole prayer 😂😂😂😂😂
Karatasi na bibi mmekua wapi lakini.
So nice to see you again after so loong.
Njuguna umeharibiwa sijui ni wazazi wagonjwa. O Lord😂😂😂😂
Noma sana, Njugush amesema ukweli sisi tuko majuu na tunawa watch tu
Very nice...kudos my Mtaa mates Karatasi n Rosemary.
Well played Njugush!
Betty kyalo catching strays indirectly 😂😂😂
Aki🤣🤣🤣
''Wasign hapa wasituruke''😂😂😂😂kweli Njugush😂😂😂
Every word njugush alters matters stone cold😭😭👌🔥🔥
Njoroge! Ati buda yako ameita Porsche Cayenne Pilipili, Khalif Kairo hapa hata inaweza mfanya abadilishe gari sasa. The slunder!
wasign hapa wasituruke😂😂😂😂
Hapa atakama ni mimi mtoto wangu sikupei njugush pole sana😂😂
Kiswhili...kana kwamba was just chilling like kana kwamba 😄
😂😂😂😂😂😂
Glad to see legends wa industry.
👏🏽
'We will call you, don't call us'😂😂😂😂😂😂
What a blessing to hold the hands of a pioneer.. Kudos bro
Watu wa Rùirù, Kimbo na Matangi tumekumbukwa... Sio kanjù, si wezi, si barabara, si mafuriko...
Njugush you're the only content creator we can present as a country.
I must make my ruracios this weird😂😂😂 so God help my future wife
Njuguushh utanimaliza sku Moja aki🤣🤣🤣🤣🤣
"Wasign hapa wasituruke" was just chilling😂😂
Njugush is a lot of work already sasa ongeza wazazi
The prayers have taken years lol... The parents are very funny🤣🤣😅😅
Haniel Karatasi wa Vioja mahakamani meets Njugush.... Vintage meets gen z... 😂
Karatasi as your father .. good entertainment..more episodes.
Whatever you’re doing to escape poverty,take it very seriously coz the world is not kind to poor people! Umeona jamaa wa Norway akipewa dish😂
Kana kwamba
😂😂😂😂
Njungush angekuja na uncle yake pia ule ex councilor,wa ndume ngurwe
😂😂Leo wazaxi wa njugush wametuongesea shida,, imagine vile njugush ni tabu tupu ,sasa hapa amekuja na wazaxi mbogi moja
Wazazi wangu wa kuzaliwa😂😂😂😂 aaah njugush 😂😂😂😂
Kana kwamba umeweza njugush
Njugushi ety tumekuja na wazazi wangu wakuzaliw 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
😂😂😂😂😂 mnisongee kwa hii familia. Too funny
Njuguna utapewa msichana kweli😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Hawa familia ya taka safi watapewa msichana kweli😂
🤣 njugush as a father of 2 boys hivyo ndiyo utasema, umeenda kungoa. smh🤭 thank God this is comedy becoz if in real life- very scary and painful
😅😅😅ghai this is extraaa...yani mathe anapiga story ndani ya maombi
😂😂😂wuee like father like son 😂😂 Mimi Hadi nimeaibika
hiyo kichecko Njugush akiii🤣🤣🤣🤣🤣
Tabia za Njugush ni kama za wazazi wake😂😂😂😂😂😂😂😂
Uliona wapi Mtoto wa nyoka akiwa kombamwiko,,,,, mtoto wa nyoka ni nyoka tu😂😂😂😂😂😂
@@janeatjaneat6599😂😂😂😂😂weeeeh
@@janeatjaneat6599😂😂😂😂 what is wrong with you aki 🤣🤣🤣
Nimegundua shida Sio yangu😂😂😂
The kicheko I 😂😂alafu kwaya pia😂😂😂😂
This is hilarious! I wish you had English subtitles please
Huyu muoi aki,lakini nikiangalia familia ya uoi i kif up😂😂😂😂😂😂😂😂
Maaan would really love to watch behind the scenes ya hii
Best RUclips show in kenya
Wasighn hapa wasituruke got me on the floor😂😂
Did someone just hear him say "sikuizi kulingana na iyo mvua uwezi jua nani ako safe" weeeeee
Yes😂😂😂😂
Baba ya bride nearly broke character 😂😂😂
😂😂 Njugush's laughter all the way😂
Njugush nikimaliza bana😂😂😂 keep up man more like this
Kijana wa Taka Safi 😂😂😂 wazazi watakuangusha zaidi.
Njugush. Hii imeenda
njuguna na martin doing a good job
Salasya and Ruiru was just chilling😂😂
Njuguna your laughter is out of this world.
Yamkini.... kanakwamba😅
Poverty is the enemy 😂
😂😂😂😂
Hahahaha
this is lit😀😀😁😄😃
😅😅😅sasa Kagutha kametoka wapi kwa maombi
Genius njugush wasaini hapa wasije wakaturuka😂
Ukikujia msichana wangu na mushenee tutakosanaaaaa
😂😂😂😂 Njugush na wazazi. Now I understand the behaviour, not your fault😂😂😂
Nywele za salasya was just chilling then boom 😂😂😂😂😂😂😂😂
Jugush umefanya niaibike apo na mom na dad
I was just chilling until I heard the father introduce himself as Karatasi, tha son is, takasafi😅😅😅
This was funny to watch😅😅😅
Nimekwama apo kwa gavana wa mombasa alipeana gari na akqchukua 😅😅😅😅😅😅😅
Njugush the 🐐👏
njuguna umenichekesha sana. This is dope man.
😂😂😂nama nama ,aya nia?😂😂😂murarehe ugicagi taunii😂😂😂..😂😂wanapelekana tu
Kijana taka safi killed me😂😂😂
😂😂😂😂 Waaah next wataleta Makoha it can be interesting if they do So
😂😂😂 aki jameni ... Njugush, Njoroge ataiba Bibi 😂😂
Noma sana 😂😂.....mbuzi ndio kubwa😂
Njugush ashatokwa Bibi na arif😂😂😂. Huyo ndo son-in-law officially
Wah .....aki .....na jungush anatoa pen na karatasi wandikiane ati wasije wakarukwa😅😅😅😅😅😅
😃😃😃limbo ruiru wako kwa maombi 🤣🤣
When the mum says amekaa sana bila kuona geevee 😂😂😂😂😂
Nobody:
Njugush: Kama vile mmeskia yamkini nitasimama ili kanakwamba niweze kueleza kiini cha sisi kua mahala hapa siku ya leo uuuhm infront of you.....🤣🤣🤣🤣
You are goood😂😂😂hii comment imenipata akiongea those lines
mlisahau kutoa picha ya njugush na ce and the boy hapo nyuma, kwa wall. hehe.
Aki nimecheka Kwa nguvu😂😂😂😂 hapa ni hasara tupu!
It's njugush saying the types of Toyota cars when I know none😭😭😭 God bless me I want to own my cars too😭😭😭
❤❤❤❤ nipitieni nipitieni nipitieni nipitieni
Mimi pia
Huyu muoi ataoa kweli na hii character?🤣🤣🤣🤣
This is real comedy
Wow,, waiting for the next episode na isikae sana make it weekly
...ama ikuwe kama sauti ya mbuzi😃😃😃
Good to see hanniel karatasi and Rosemary kairo once again😂
The prayers are top notch... GV ni wale millennials origii ndio wanaitambua 🤣🤣🤣🤣
Baba ya huyu muoi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
It always start from the roots 😂😂😂
Njugush should get an award
Shida ya njugush ilianza na wazazi hata simlaumu 😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Umeona pia😂😂😂
I really wish you had english sub titles...Zimbabwe pleading here...
Aki Nafeel ninaibika on-behalf of Njugush 🤣🤣
Wakiongea kuhusu porsche cayenne njugus is campaigning for his ndae Tugi 😂😂😂
"Tukienda ruracio"
Part 3❤❤❤ 🎉