Amina amina.....yaliyonishinda katika hii maisha namwombea mwanangu sammy na wote nitazaa wataweza katika jina la YESU christo baraka juu yako amina🙏🙏🇰🇪
Napokea katika jina la Yesu Kristo, nawaombea watoto wangu Jack na Prisca Mungu wakumbuke hata pale niliposhindwa kutimiza wajibu wa kuwaombea. Nawakabidhi mikononi mwako, waepushe na mabaya ya dunia hii. Yale niliposhindwa Mimi ukawainue wayashinde Ameeen
Hakika na hilo ndilo neno la Mungu. Kwakweli Mungu wa MAjor1 anakutumia kwa viwango vya juu sana. Ubarikiwe sana Mwana wa MUngu aliye hai. Asante sanaaaaaaaa
Amen amen naomba Mungu unisaidie kuwaombea watoto wangu wasipitie magumu niliyopitia bali wafanye vyema zaidi yangu. Pale niliposhindwa wakaweze kwa Jina la Yesu
Asante sana baba Muchungaji nimesikiya bahubiri aya leo ihi kwakweli ubarikiwe umeungeza kito kama sisi wazazi ubarikiwe nasi tutayaweka kwenye matendo
🙏 Amina kubwa sana Amina mungu atusaidie mwanangu Brighton na wengine wanao kuja aw ato fata maisha niliyo pitia kwa jina la yesu na mkabidhi kwako ee bwana
Amina mtumishi wa Mungu. Namwombea Mwanangu Neema ayaweze na kuyashinda yale yote niliyoyashinda mimi na ayamalizie yale mema niliyoyawaza ktk maisha yangu.
Am really blessed through this preachings,I've learnt alot,may you continue to shine apostle.wacha mungu azidi kukutumia zaidi, maana kweli wengi twapotea kwa kukosa maarifa
Amen mtumishi wa Mungu leo siku zote unagusa maisha yangu haki ni maombi ninayomuombeaga mwanangu pamoja na kimuombea awe na utumishi wa Mungu ndani yake nimebarikiwa Sana
Nimesukumwa sana ndani yangu leo kusikiliza hili somo upya. Umeongea na mimi, umenifundisha kitu kikubwa Apostle. Asante. Mungu nijalie neema yako kuu ya kuweza kuyatendea kazi haya nlojifunza kutoka kwa Mtumishi wako. Uzao wangu umebarikiwa🙌🙌
Hii Ni kweli kabisa mtumishi,Yesterday wamama watu wazama walikuwa bize wanamsema mwanangu wa mwaka na miezi mitatu,,yaan kabla sijaenda kuwakanya nilimlilia Mungu kufuta Yale maneno ,,Mungu atusaidie na hii dunia maana wazazi tusipokuwa manabii wa watoto wetu , surely wataangamia. Every time nikimwangalia mwanangu I just prophesies
Ameeen. Nashukuru kwa mafundisho haya nitawaombea wanangu kila iitwapo leo, laiti ningeyajua haya tangu wakiwa tumboni na wakizaliwa tu ningewaombea. Nilitumia akili zangu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mola akubariki milele shukran 🙏🙏🙏🙏
Mungu anisaidie kuyaishi
Amen...amen, sikuwahi kupokea mafunzo kama haya, Mungu azidi kukubariki Apostle
Ameeeen, umenifundisha kitu leo nitaenda kulifanyikazi barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Jina la Yesu libarikiwe Amen 🙏 🙌
Natazama kutoka Kenya barikiwa sana mtumishi kwa somo la Leo
AMENI NAPOKEA MTUMISHI NIMEKUELEWA MUNGU ANIPE NEEMA KUBWA. BARIKIWA KWA MAFUNDISHI MAZURI, MUNGU ATUKUZWE MILELE
Bless you the man of God 🙏
Hili neno ni dhahabu kwangu, Mungu anisaidie nizidi kuliishi na uzao wa tumbo langu uzidi kubarikiwa
Bless you servant of God. What a blessing you are to me this morning as a parent. I thank God for this wonderful message through you.
Amina amina.....yaliyonishinda katika hii maisha namwombea mwanangu sammy na wote nitazaa wataweza katika jina la YESU christo baraka juu yako amina🙏🙏🇰🇪
Ameeeeeen mtumishi umenifungua akil umenifundisha kitu eee Mwenyezi Mungu unisaidie🙏🏼🙏🏼
Wow mchungaji am really blessed nitawaombea watoto wangu kila saa na kila siku niko saudi Arabia nabarikiwa pole pole
Amina napokea. Nawakabidhi watoto wangu mikononi mwa Bwana madhabahuni kwa Jehova weka roho ya utumishi ndani yao. Wakuche wewe. Amina
Napokea katika jina la Yesu Kristo, nawaombea watoto wangu Jack na Prisca Mungu wakumbuke hata pale niliposhindwa kutimiza wajibu wa kuwaombea. Nawakabidhi mikononi mwako, waepushe na mabaya ya dunia hii. Yale niliposhindwa Mimi ukawainue wayashinde Ameeen
Umenifundisha kitu leo, ntaenda kufanyia kazi. Eeeh Mungu nisaidie 🙏🙏
You have really helped my soul man of God I am Christine Buluma from KENYA
Nimebalikiwa na hili somo, nimejifunza mengi pia ni neno ambalo kuanzia Leo limenibadilisha mno... Asante sana mtumishi wa Mungu
Baba nimejifunza kitu kikubwa sana, Mungu akubariki mno.Mungu nisaidie niweke ktk matendo.
Namepata somo zuri kwa wskati mzuri
Ubarikiwe sana baba mafundisho mazuri sana,hakika tumejifunza mengi na watoto wetu wayakuwa baraka
Nimebarikiwa sana na nimeelewa kuwatabiria wanangu unarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu tuko pamoja nafuatilia sana mahubir yako
Natazama kutoka Kenya nimebarikiwa na mafundisho,,amen man of God
Hakika na hilo ndilo neno la Mungu. Kwakweli Mungu wa MAjor1 anakutumia kwa viwango vya juu sana. Ubarikiwe sana Mwana wa MUngu aliye hai. Asante sanaaaaaaaa
Amen amen naomba Mungu unisaidie kuwaombea watoto wangu wasipitie magumu niliyopitia bali wafanye vyema zaidi yangu. Pale niliposhindwa wakaweze kwa Jina la Yesu
Omba mungu wa mababu zetu. Huyo yesu shetani mzungu si mungu
Asante sana baba Muchungaji nimesikiya bahubiri aya leo ihi kwakweli ubarikiwe umeungeza kito kama sisi wazazi ubarikiwe nasi tutayaweka kwenye matendo
🙏 Amina kubwa sana Amina mungu atusaidie mwanangu Brighton na wengine wanao kuja aw ato fata maisha niliyo pitia kwa jina la yesu na mkabidhi kwako ee bwana
Amen umenigusa mtumishi hapo pa sogea nikae
asante mtumishi unanifundisha kitu kizuri sana amen
Nimekuwa nikikufatilia masomo yako kwa kweli umenifundisha vingi Sana Sana Mungu azidi kukubariki.
Namshukuru Mungu nimepata mambo makubwa ambayo huwezi kuyasikia mahali pengine kwa wingi au kila mara. Mungu akubariki sana mtumishi.
Mungu nisamehe .barikiwa mtenda Kazi wa Yeova
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa somo nzuri
Amina mtumishi wa Mungu. Namwombea Mwanangu Neema ayaweze na kuyashinda yale yote niliyoyashinda mimi na ayamalizie yale mema niliyoyawaza ktk maisha yangu.
Mwenyezi Mungu akubariki mtumishi umenifunza kitu kizuri
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafunzo makuu
Amen ntamuombea mtoto wangu
Haya masomo ni hatari.
Hakika ni Chuo kamili.
Am blessed.
Hakika elimu iliyoshiba hii kweli Mungu chombo!
@@faithjoram7455 yes, Mungu ameunda vyombo.
Umenena mtumishi wa Mungu
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa masomo yako ya hekima na unabii
Am really blessed through this preachings,I've learnt alot,may you continue to shine apostle.wacha mungu azidi kukutumia zaidi, maana kweli wengi twapotea kwa kukosa maarifa
Kwa kweli umekua msaada kwa maisha yangu Godbless u soo much
Amen mtumishi wa Mungu leo siku zote unagusa maisha yangu haki ni maombi ninayomuombeaga mwanangu pamoja na kimuombea awe na utumishi wa Mungu ndani yake nimebarikiwa Sana
Mungu akubariki mtumishi kwa ujumbe mzuri sana Mungu aendelee kukupaka mafuta ya kitume
Ehee Mungu Nisaidie kama mzazi niyashike na kuyatendea kazi somo hili ni zaidi ya baraka
amina mtumishi Mungu akubariki saana mtumishi wake.
Amina mtumishi somo limenibariki
Asante Apostle kw somo zuri. Mungu aendelee kukujalia afya njema
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie! Asante kwa mafundisho haya.
Nimesukumwa sana ndani yangu leo kusikiliza hili somo upya. Umeongea na mimi, umenifundisha kitu kikubwa Apostle. Asante. Mungu nijalie neema yako kuu ya kuweza kuyatendea kazi haya nlojifunza kutoka kwa Mtumishi wako. Uzao wangu umebarikiwa🙌🙌
Amen and amen man of God nalibata NENO HILI nikiwa saudi Arabia nitawombea wana wangu kila wakati
Amen ujumbe mzuri sana,na litimie kila lililojema na la ushindi kwa watoto wangu katika jina la Yesu.
Amen wonderful teaching following from doha Qatar Kuna kitu nimejifunza barikiwa mtu wa Mungu
Nimejua nicio ya jua God bless you pastor Mgu amekutuma kwangu yote hayo niya kwangu
I have gained a lot from this sermon God bless you servant of God 🙏🙏
Nashukuru sana mchungaji nimpata kitu sjasikia tangu nizaliwe. asante mngu akujalie sana.
Amina mtumishi.Nimekuelewa zaidi ya kuelewa
Amen Mungu zidi kunikumbukiya watoto yangu kwajina layesu amen
Glory be to God for this teaching.
Mungu naomba unisamehe, i have gone against ur teachings so teach me how to pray Lord n will forever abid in u. Powerful msg pastor n God bless u
Nimekuelewa mtumishi
Amen napokea katika jina la YESU.. Yaliyo nishinda Mimi Deborah hata shindwa
Powerful chief Apostle....nimegundua leo
Mungu nakushukuru Kwa Somo hili kwa muda sahihi kwangu🙌🙌
Umenibariki Sana mtume Nakuru city in Kenya
I am a Prophet to my kids
I am a Prophet to my children ❤❣💯🙏 #hizi ni kazi zangu kwa wanangu kabla hajatabiriwa na wengine 🙏🙋♀️
Very powerful nimehifunza jambo kubwa mno asante
From kenya kwel umenifungua🙏🏼asante ntatamka baraka kwaajili ya wanangu
Be blessed Man of God. Somo limenifunza mengi!!
Ameen nawaombea wanangu yale yalio nishinda wanangu wakayaweze katika jina la yasu
AMEN Mungu akubariki Apostle nimejifunza nitalifanyia kazi sijachelewa
Niko mbali na wanangu nimeumia sana natamani niweke mikono kwa wanangu mungu anisaidie
Mafudisho mazuri Mtumishi wa MUNGU
Mungu mbariki mtumishi wako. Amenena ya moyoni mwako. Endelea kumkumbuka daima. I'm really blessed with the teachings.
Very true man of God uishi miaka mingi ufanye kazi ya mungu
Amina; yaliyonishinda wanangu wayaweze.
Nimebarikiwa sana mtumishi
Amen!!ubarikiwe sana mtumishi
Thanks man of God I have learnt alot today and I shall put in practice may you be blessed
Nimebarikiwaaa na ibada hii Amen
Mchungaji Mungu akubariki sana,Mungu atusaidie sana,na anza Leo Amina.
Mungu akubariki sana kwa hili somo la dhamani sana kwa wazazi
Hii Ni kweli kabisa mtumishi,Yesterday wamama watu wazama walikuwa bize wanamsema mwanangu wa mwaka na miezi mitatu,,yaan kabla sijaenda kuwakanya nilimlilia Mungu kufuta Yale maneno ,,Mungu atusaidie na hii dunia maana wazazi tusipokuwa manabii wa watoto wetu , surely wataangamia. Every time nikimwangalia mwanangu I just prophesies
Ubarikiwe mtumishi umetukumbusha wajibu wetu kwa watoto wetu ktk kuongoza kwanza kwa Mungu...
Nashukuru Mtumishi nimepokea Mungu azidi kukubariki
Asante kwa mafundisho ya hekima Mungu atusamehe pale tulipokosea kuomba 🙏
Amina pastor umenisaidia Sana kwa somo Hili.Mungu anisaidie
Amen Amen 🙏
Yote niliyoshindwa mwana utayaweza in Jesus Name
Pastor keep the 🔥 burning
Mungu akubariki sana aendelee kukufunulia ,hakika ni neno la hekima.Mungu atusaidie .
Nimejifunza mengi niliyokuwa siyajui. Halleluyah. From kenya
I didn't know this bt now I know,I will pray for my children every time I pray.Go d bless you man of God 🙏
AMEN, Mtumishi wa Mungu Chief Apostle. Umenibariki na kunifungua. Wanangu hawatashindwa yale niliyoshindwa kuyafanya katika Jina la Yesu. Amen.
Asante sana Apostle. Hakika nimekuelewa, Mungu anisaidie kutofanya makosa tena
Amen, mtumishi. Nitaendelea kuwaombea Watoto wangu kila iitwapo leo.....
Umenifunza jambo jipya nashukuru roho wa mungu
Ameeen. Nashukuru kwa mafundisho haya nitawaombea wanangu kila iitwapo leo, laiti ningeyajua haya tangu wakiwa tumboni na wakizaliwa tu ningewaombea. Nilitumia akili zangu.
Hallelujah. ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Ameen nakusikia Mtumishi
Ubarikiwe kwa ujumbe huu mzito sana
Asante saaaaana. Mungu akubaliki sana.
Amen namuombea mwanangu Vanessa na viazi vijavyo Mungu anisaidie
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Your word is so clear,nimejifunza Sana tokana na neno hili,my children will grow serving the Lord in Jesus name 🧎😭🤲🙏
Be blessed man off god
Amen ubarikiwe Apostle mtalemwa nimepokea na kujifunza mengi.